Welcome to Scribd, the world's digital library. Read, publish, and share books and documents. See more
Download
Standard view
Full view
of .
Look up keyword
Like this
6Activity
0 of .
Results for:
No results containing your search query
P. 1
annuur-1028

annuur-1028

Ratings: (0)|Views: 3,278|Likes:
Published by MZALENDO.NET

More info:

Published by: MZALENDO.NET on Aug 03, 2012
Copyright:Attribution Non-commercial

Availability:

Read on Scribd mobile: iPhone, iPad and Android.
download as PDF, TXT or read online from Scribd
See more
See less

12/28/2013

pdf

text

original

 
ISSN 0856 - 3861 Na. 1028 SHAABAN 1433, IJUMAA AGOSTI 3-9, 2012 BEI TShs 500/=, Kshs 50/=
Sauti ya Waislamu
‘Karume mpya’ acharuka
 Ataka Zanzibar iwe na Polisi, sarafu yake Awambia vijana wasiogope wakati ni huu Ampasha Vuai, asema Zanzibar sio ya CCM
Hakuna adhabu atakaegoma kuhesabiwa
Na Bakari Mwakangwale
Waziri WilliamLukuvi ajiuzulu
Amesababisha watu kufa kwa ‘Babu’Sema: kweli imefika, batili imetowekaHatimae Dr. Haji Mponda aibuka shujaa
HAKUNA atakayeadhibiwakwa kukataa kuhesabiwakatika sensa ya idadi yawatu na makazi.
Hayo yameelezwana Mkurugenzi Mkuu wa
 Asema Mkurugenzi wa Takwimu Dr. Chuwa Ateta na Masheikh wanaowakilisha WaislamKipengele cha dini kikiwekwa sensa iahirishwe
Takwimu, Dkt. AbinaChuwa.Dr. Chuwa alikuwaakifafanua taarifa iliyokuwaimetolewa awali kuwa atakaekataa kuhesabiwa atakamatwana kufungwa jela au kupigwafaini.Akitoa ufafanuzi huo mbeleya Wanazuoni wa Kiislamu,Mkurugenzi huyo amesemakuwa sheria itamchukuliahatua mtu ambaye ataharibuvitendea kazi vya maofisa waSensa.
LEO hii tunaona dinimoja tu inayohodhi kilakitu hadi kufikia nyimboza dini kupigwa katika ofisiza Serikali bila ya wogawowote.
Picha za kiongozi wa dinikubandikwa kwenye maofisiya Serikali. Hakuna haki walauwiano wa asili (fair play andnatural justice).Ukanda wa kikabila naudini vimechangia kutufikishahapa tulipo leo.Kanda na dini moja kuhodhisehemu zote nyeti. Hili halina
Tujuane ili watu wa dini
moja wasihodhi kila kitu
kificho tena. Nenda TRA,Wizara ya Fedha, CRDB, NBC, idara zinazohusu pesana maamuzi ziko mikononimwao.Ukiuliza utaambiwa waowamesoma!! Hivi ni chuokipi kinasomesha kabila audini moja tu au kozi zipizinasomesha kabila au dinimoja tu!!!“Sababu kubwa hakuna“fair play na natural justice”hata mashuleni”!!! (Somamakala Uk. 8)
RC Arusha azidikukoroga Sensa
Atisha Masheikh. Apashwa ukweli mchunguAdai msimamo wao utamwongezea dhambiKiroja: Shehe Bakwata ashangiliwa na maaskofu
Inaendelea Uk. 2
 MZEE Hassan Nassoro MoyoWAZIRI William Lukuvi akipata 'kikombe' kwa 'Babu'.
 
2
 AN-NUUR
RAMADHAN 1433, IJUMAA AGOSTI 3-9, 2012
AN-NUUR
S.L.P. 55105, Simu: +022 2400786
Cel: 0784 370 208, 0652 849227, 0713 110148, DSM.
www.ipctz.org E-mail: annuurpapers@yahoo.co.uk
Ofisi zetu zipo: Manzese Tip TopUsangi House (Jengo dogo), barabara ya Morogoro, D'Salaam
MAONI YETU
Tahariri
Hakuna adhabu atakaegoma kuhesabiwa
Inatoka Uk. 1
“Hakuna atakayefungwakwa kukataa kuhesabiwa,ila anatakiwa aelimishweisipokuwa sheria itachukuliwakwa mtu ambaye atachanakaratasi (dodoso) lakini atakaekataa inabidi aelimishwe lakinisio kumweka mahabusu, kamailivyoelezwa.”Alisema Dk. Chuwa katikakikao kilichowakutanishayeye, Kamaishana wa Sensana Masheikh wa Umoja waWanazuoni wa Kiislamuwakiongozwa na Mwenyekitiwao Sheikh Suleiman AmranKilemile, katika ofisi zaoKariakoo, Jijini Dar es Salaam,Jumatatu wiki hii.Dkt. Chuwa, aliwatakaWanazuoni hao kuangaliauzalendo zaidi wa Taifa, nagharama ambazo Serikalitayari imeingia mpaka sasa,kwani dunia nzima inajua haliilivyo sasa nchini na kuwatakawawashawishi Waislamukushiriki katika Sensa.Ama kuhusu kuzagaa kwaTakwimu zisizo rasmi ambazozinalalamikiwa na Waislamu,Dkt. Chuwa, alisema Takwimuambazo wanazijua za idadiya Waislamu na Wakristoni ile ya mwaka 1957 na sivinginevyo.Kwa kauli hiyo ya Mkuuwa Takwimu ni kuwa, serikaliimezitupilia kwa mbali ziletakwimu za 1967 ambazozilichakachuliwa na kudaikuwa Wakristo ni wengi.Katika sensa ya mwaka1957 Waislamu walikuwawengi kuliko Wakristo kwauwiano wa 3:2 lakini ilipofika1967 ikadaiwa kuwa Wakristoni asilimia 32, Waislamu 30%na wenye kufuata dini za asili37%.Kwa mujibu wa taarifa zandani ya serikali, Jumuiyaya Kimataifa ilihoji ikitakakujua nini kimetokea kwaWaislamu.Je, kumetokea mauwajiya Kimbari (genocide), njaailiyouwa Waislamu pekee auWaislamu wote wamegomakuzaa ikawa wanakufa tu bilakuzaana. Ni kutokana na kukosekanana majibu ya maswali hayo,nyaraka za sensa za ya 1967leo ukizitafuta huzipati,imebaki tu ile namba ya jumlainayotaja idadi ya Watanzaniamwaka huo. Na ndio maana leo Mkuuwa Takwimu anasema kuwatakwimu pekee halali na zakuaminika zilizopo serikalinizinazoonesha idadi yaWaislamu na Wakristo ni ileya sensa mwaka 1957.Kutokana na rekodi hii,hakuna namna ambayo sensaitaaminika kipengele cha dinikikiwekwa kama hakun autaratibu mpya utakaowekwakuhakikisha kuwa kila hatuaya watu kuhesabiwa watu wadini zote wapo wanahakikiidadi inayotolewa kwa kilakijiji/kitongoji/ mtaa mpakakujumlisha na kutangazamatokeo ya mwisho. Ni kwa sababu hii kamahoja ya Waislamu itakubalika,itabidi sensa iahirishwetaratibu zipangwe upya.Kwa upande mwingine,Dr. Chuwa amekiri kuwatakwimu nyingine zinazozagaamitaani si sahihi na zinawezakuleta machafuko ndani yanchi, huku akidai kwambatatizo hilo limechangiwa nakutokana na sheria iliyoposasa kuwanyima mamlaka yakukemea hali hiyo.“Hizi Takwimu zilizoposheria ingekuwa inaturuhusutungewashitaki kwani hiini kuleta vita kubwa ndaniya nchi. Hatuwezi kukaa natakwimu za namna hii, sheriailiyopo haiana meno ndiomaana haya yote yanatokea.”Alisema Dkt. Chuwa.Katika kikao hicho, MaalimAlly Bassaleh alisema kuwa japo Tume imefanya hambola msingi kuwaona Masheikhhao wawakilishi halali waWaislamu, na wanaotambuliwana kusikilizwa na Waislamu,lakini wafahamu kuwa nyumayao kuna umma wa Kiislamuwanaosubiri serikali inasemanini juu ya madai yao.Alisema, haoni kamakuna ugumu wa kuingizwakipengele cha Dini, ili hali hataUmoja wa Mataifa unaruhusuna kutambua kipengele chaDini.“Mimi naomba maana hataUmoja wa Mataifa unaruhusukipengele cha Dini kuwemokatika Sensa, kiingizwe,itasaidia kusahihisha zilehesabu zisizo sahihi ambazozimezagaa, ombi letu wekenikiambatanisho, ikibidisensa isogezwe mbele ilikurekebisha suala hili, hapohapatakuwa na ugomvi naWaislamu.” Alisema MaalimBassaleh.Maalim Bassaleh, alisemasuala la kutishana kwambawatu watafungwa kwa sababuhawatahesabiwa, aliwatakamaafisa hao kuliangalia kwakina na si kucheza na imaniza watu.Mwenyekiti wa Umojahuo, Sheikh Suleiman AmraniKilemile, akichangia kwaupande wake alieleza kuwaWaislamu hawakuwa nania ya kususia Sensa hiyokwani wanaelewa umuhimuwake, bali kilichopelekea
 MAALIM Ally Bassaleh
Inaendelea Uk. 4WAKATI Waislamusehemu mbalimbalinchini na dunianikwa ujumla wakiwawamefikisha nusu yafunga ya mwezi mtukufuwa Ramadhani, ni mudamuafaka kwao kuanzakujiandaa kwa ajili yakutoa Zakat Fitri.
Sadaka ambayohutolewa na kila Muislamumwenye uwezo wakukidhi mahitaji yakeya msingi kwa ajili yakuwawezesha wasiokuwana uwezo kusherehekeasikukuu ya Eid el Fitrikama wanavyosherehekeawale wenye uwezo.Kwa kawaida Zakat Fitr hutolewa na kila Muislamumwenye uwezo wa kutoazaka hiyo. Katika familia,kwa maana ya mke, mumena watoto, basi wazazi kwamaana ya baba au mamaanalazimika kuwalipiawatoto wote alio nao. Hatakama kuna yeyote ambayeanaishi katika familia kwakutegemea huduma ya baba au mama, basi huyomzazi au mlezi mweyefamilia analazimikiakumlipia zakat Fitr.Kila kichwa hulazimikakutoa au kutolewa ZakatFitr iliyo kamili kiasi chavibaba viwili na nusu au pishi moja au kilo mbilina nusu. KinachotolewaZakat Fitr lazima kiwe nichakula kinachopendwana watu wa eneo husikaanakoishi mpokeaji aumtoaji.Kutokana na hali halisiya maisha, ni vyemamtoa Zakat Fitr akaanzakujiandaa na mapemahususan kwa wale wenyefamilia zinazowategemeaau ndugu jamaa ambao nitegemezi kwake.Kwa sehemu kubwa
Waislam jiandaenikutoa Zakatul Fitri
ya Tanzania, chakulakinachopendwa sana naWaislamu walio wengi
katika sikukuu ya Eid elFitr ni wali, pilao, ch
apatina mboga inayotegemewani nyama, samaki, kuku namaharagwe kwa kiasi.Kilo moja ya Mchelesafi hivi sasa ni shilingi2,000, pishi moja nishilinghi 5000. Kulinganana hali ya vipato
vya watuwa nchi yetu, Kamamtoa Zakat Fitr, hususanyule mwenye watuwanaomtegemea iwapohatajiandaa mapemakua
nzia sasa, basi ni wazikwamba zoezi zima lakutekeleza ibada hii yaZakat Fi
tr litakuwa gumukwake na kuna hatariya funga yake kuingiadosari.Hatari ya kuingiadosari inakuja kwakuzingatia kwamba kwamujibu wa mafundishoya Uislamu na hadithi,Zakat Fitr ndiyoinayokamilisha utimilifuwa funga ya Ramadhanikwa mfungaji. Inaelezwakwamba iwapo mfungajihatatowa Zakat Fitr hatatoa Zaka hii, basifunga yake itakuwainaning’inia kati yambingu na ardhi.Ukiacha ZakatFitr, bado Waislamuwana utaratibu wakuwanunulia wapendwawao mavazi mapya. Hii nikutokana na mafundishoyetu kwamba ni sunnakwao kuvaa nguo mpyasiku ya Eid.Hivyo kwa kuzingatiahayo, ndio
maanaleo tunawakumbushana mapema Waislamukwamba wajiandae namapema kutekeleza ibadahii muhimu ili kuletawepesi kwao mara baadaya kuondoka Ramadhani.
 
3
 AN-NUUR
RAMADHAN 1433, IJUMAA AGOSTI 3-9, 2012
Habari
‘Karume mpya’ acharuka
MZEE Hassan NassoroMoyo, maarufu kwa sasa‘Karume Mpya’, amesemawakati ni huu wa kudaihadhi na mamlaka kamiliya Zanzibar kama dola.
Katika kutoa witohuo, akawataka vijanakupigania Zanzibar yaowala wasiogope bali hiyoiwe ‘Jihad’ yao kamayeye ambapo amejiwekeamsimamo wa kuipiganiaZanzibar hata kama hiyoitamgharibu kufukuzwaCCM.“Leo vijana nakwambienikwamba muda umeshafikana muda huu ndio wakatiwake wa kuyasema hayamsiogope.”Amesema, kwakeZanzibar kwanza kwaniCCM imekuja baada yanchi na muungano.Akitoa historia ndefu yanchi mbili za Tanganyikana Zanzibar Mzee Moyoalisema kwamba viongozina waasisi wa muunganowalikuwa wamekubaliana baadhi ya mambo katikamuungano mwaka 1970 baada ya viongozi waBaraza la Mapinduzikuhoji uendeshaji washughuli za Muungano nakutangaza hatua kadhaaikiwemo ya kutaka Rais waZanzibar kujulishwa juu yahali ya hatari inapotokeaTanzania.Akizitaja hatuanyengine zilizokubalika,Moyo alisema Baraza laMapinduzi lilitaka kilaupande wa Muunganoujitegemee kwa kila upandekuwa na jeshi lake la polisi,kuwa na mamlaka kamili juu ya masuala ya uhusianowa kimataifa na pia pandehizo kila moja kuwa nasarafu yake.Alisema, baada yaviongozi wa Barazala Mapinduzi wakiwawamefuatana na MzeeKarume kutoa hoja hiyombele ya Mwalimu Nyerere,wakaambiwa muda wasuala hilo haujafika.Akasema ikiwa wakatiule muda ulikuwa haujafika, basi sasa ni wakati wake.“Alipoambiwa Mwalimu Nyerere basi akasema
Na AlghaithiyyahZanzibar
muda haujafika, lakinileo vijana nakwambienikwamba muda umeshafikana muda huu ndio wakatiwake wa kuyasema hayamsiogope”, aliwaambiavijana ambao walioalikwakatika mkutano huo wawaandishi wa habari.Muasisi huyo wa ChamaCha Mapinduzi (CCM)amesema yuko tayarikurejesha kadi ya chamachake iwapo atalazimikakufanya hivyo hukuakisisitiza kuunga mkonoMuungano wa Mkataba.Akizungumza nawaandishi wa habari MjiniZanzibar juzi Jumatano,amesema ataendelea kuteteamsimamo wake wa kutakaMuungano wa mkataba kwakuwa muungano uliopo kwamiaka 48 sasa umeshindwakutatua kero zilizopo nakuleta matumaini kwaWazanzibari.“Jambo kubwa ni nchi,chama lilikuwa jambola pili na kama viongoziwetu wa chama wanatakakutupeleka huko tukaelezemsimamo wa chama,mimi nasema muunganoumekuja kwanza na hivyondio ninavyojua mimi nahuo ndio msimamo wangulakini ikiwa wanatwambiaturejesha kadi, miminitakuwa tayari lakinisiwezi kuacha nchi yangu...nchi ilikuwa jambo lamwanzo”, alisiitiza MzeeMoyo.Kauli hiyo ya Moyoimekuja siku chache baadaya Naibu Katibu Mkuu waCCM Zanzibar Vuai AliVuai kuwataka wafuasi wotewa chama hicho kuheshimusera ya chama ambayo niserikali mbili kama ilivyohivi sasa na kuwaonya walewote ambao watakwendakinyume na chama hicho.Mbali ya kauli ya Vuai,Chama Cha MapinduziWilaya ya Mjini kilipitishaazimio la kuwataka baadhiya Wabunge, Wawakilishi,Muweka Hazina waChama hicho Mansoor Yussuf Himid na MakamoMwenyekiti wa chamahicho Zanzibar AmaniAbeid Karume kuacha tabiaya kuhubiri sera za vyamavyengine.Azimio hilo lililopitishwa
 RAIS mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume
na wajumbe 400 lilisemaviongozi hao wamekuwana tabia ya kuunga mkonomsimamo wa kutakamabadiliko ndani yamuungano msimamo ambaounakwenda kinyume namsimamo wa chama chaoambapo sera za chama chaCCM ni serikali mbili zenyemfumo uliopo ambapomasuala la muungano nikushughulikiwa na siokubadili mfumo.Akitoa historia refu yaharakati zake za ukombozimbele ya waandishi wahabari, Mzee Moyo alisemaanashangazwa na kauli yakuwanyamazisha wananchiwasitoe maoni yao kwakisingizio cha kwendakinyume na sera za CCMwakati suala la Muunganoni muhimu zaidi kulikochama.“Chama kimekuja baadaekwanza ilianza nchi naukaja muungano, sasamsiwazuwie watu kutoamaoni yao kwa kutwambiachama kinasema hivi auvile”, alisema Mzee Moyohuku akionesha uso wakukasirika.Mzee Moyo, aliyewahikuwa waziri na kushikanyadhifa mbali mbalikatika Serikali yaMapinduzi Zanzibar naSerikali ya Muunganoalisema aliwataka vijanakuendelea kutoa maoni yao bila ya woga kwani kufanyahivyo ni kuendeleza kazialiyokuwa akiifanya MzeeKarume kutetea nchi yake.Aidha Mzee Moyoambaye ni miongoni mwawaasisi wa Mapinduzi naMuungano alisema chanzocha Zanzibar kuibua madaihayo, yalitolewa baadaya Mwalimu Nyererekuamuru kikosi cha jeshikutoka Zanzibar kwendakatika shughuli za vita vyaukombozi wa Msumbiji bila kumwarifu Rais waZanzibar jambo ambalohalikumfurahisha MzeeKarume.Mzee Moyo atakuwa nimwana CCM wa kwanzakukariri hadharani manenoya Mzee Karume aliyosemadhidi ya Muungano juu yamambo iwapo yatakwendakombo.“Mzee Karume alisemawazi muungano kama kotilikikukera unalivua lakini piaMzee Karume aliufananishahuu muungano na kanzuambapo alisema unawezakuivua”, alisisitiza MzeeMoyo ambaye alisemakutoa maoni ni moja yauhuru na sera za chamachake.Aidha Mzee Moyoalikumbushia yaliomkutaRais wa awamu ya pili yaserikali ya Zanzibar, MzeeAboud Jumbe Mwinyi piahakufanya makosa aliotakaMuungano unaoendeshwa bila kuingilia mamboya Zanzibar na serikalinyingine inayoshughulikiamasuala ya Tanganyikayasiyokuwa ya Muunganolakini akasema bahatimbaya nia hiyo ilikuwaamekwenda nayo pekeyake bila ya kuwashauriwenzake.“Sisi tulikaa kimya kwasababu yeye kama kiongozimkuu wa nchi akaona aendenayo peke yake kwa hivyoMoyo akaa kimya hakusemakitu lakini angetwambiasisi tungemuunga mkono”,alikumbushia.Akitoa nasaha zakeMzee Moyo alisema huusio wakati tena wa ChamaCha Mapinduzi kuwazuwiawatu wasitoe maoni yao bali wanatakiwa kuwaachiawatoa maoni yao kwauhuru na uwazi ili kuundamuungano unaokubalikana wenye maslahi kwa nchizote mbili Tanyanyika naZanzibar.Hata hivyo Mzee Moyoaliwakemea sana viongoziwenye mawazo yao nakukataa kupokea mawazoya wenziwao na kusemakwamba nchi hii sio yaCCM na kila mmoja awehuru kutoa maoni yao nakuwataka viongozi waCCM wavumilie juu ya
Inaendelea Uk. 4

Activity (6)

You've already reviewed this. Edit your review.
1 thousand reads
1 hundred reads
Yusuph Khatibu added this note
Inna lillah,ma kana linafsi antamuta illa bi idhni llah kitaba muajalla
Imsim Khamis added this note
Inalilah waina alayhim Rajiun.. ASW awalaze mahali npema peponi na awape subra wazazi na familia za watoto o. Amin

You're Reading a Free Preview

Download
scribd
/*********** DO NOT ALTER ANYTHING BELOW THIS LINE ! ************/ var s_code=s.t();if(s_code)document.write(s_code)//-->