Welcome to Scribd, the world's digital library. Read, publish, and share books and documents. See more
Buy Now $3.99
Standard view
Full view
of .
Save to My Library
Look up keyword or section
Like this
4Activity

Table Of Contents

KiKao Cha DharUra
Vijana Wa tUMe
MaPigo Ya laana Ya MalUUni
oPeration KiMbUnga
Debbie PatroCinio abrego
KitabU Cha Siri
MWanaSeSere Wa nYoKa
KiFo aU UShinDi KaMili
P. 1
Kolonia Santita

Kolonia Santita

Ratings:

5.0

(1)
|Views: 115 |Likes:
Published by AuthorHouseBooks
Kolonia Santita: Laana Ya Panthera Tigrisi' ni hadithi ya kusisimua ya kijasusi na madawa ya kulevya iliyoandikwa na Enock Abiud Maregesi. Inazungumzia vita kati ya Tume ya Dunia ya Umoja wa Mataifa, ya kudhibiti madawa ya kulevya na ugaidi wa kimataifa, 'World Drugs Enforcement Commission' (WODEC) au Tume ya Dunia; na shirika kubwa la madawa ya kulevya la Kolonia Santita (CS-14) la Kolombia na Meksiko. Inaelezea, kwa kinagaubaga, jitihada za pamoja kati ya Tume ya Dunia, Marekani na Meksiko za kuwasaka na hatimaye kuwatia nguvuni viongozi nduli wa CS-14; na kuzuia shehena (kubwa) ya madawa ya kulevya na malighafi ya nyukilia: kwenda Afrika, Asia, Amerika, Ulaya – na kung’oa mizizi ya shirika la CS-14, lote, katika nchi za Hemisifi a ya Magharibi – na duniani kwa jumla.

Hiki ni kitabu cha kwanza cha aina yake cha kimataifa katika Tanzania. Lengo lake si tu kukata kiu ya wapenzi wa riwaya za kipelelezi na kufufua mwamko wa usomaji wa vitabu; ni
kuleta, hali kadhalika, ufahamu na burudani ya kimataifa kwa Watanzania, Wakenya na Waganda – na jamii nzima ya Afrika ya Mashariki inayozungumza Kiswahili – na walowezi wa jamii yote ya Kiswahili duniani.

More info:

Publish date: Sep 17, 2012
Added to Scribd: Sep 20, 2012
Copyright:Traditional Copyright: All rights reservedISBN:9781477222973
List Price: $3.99 Buy Now

Availability:

Read on Scribd mobile: iPhone, iPad and Android.
See more
See less

05/05/2014

407

9781477222973

$3.99

USD

pdf

You're Reading a Free Preview
Pages 17 to 68 are not shown in this preview.
You're Reading a Free Preview
Pages 85 to 194 are not shown in this preview.
You're Reading a Free Preview
Pages 211 to 237 are not shown in this preview.
You're Reading a Free Preview
Pages 254 to 332 are not shown in this preview.
You're Reading a Free Preview
Pages 349 to 407 are not shown in this preview.

Activity (4)

You've already reviewed this. Edit your review.
1 thousand reads
1 hundred reads
Enock Maregesi liked this
Rosemerry Malima liked this

You're Reading a Free Preview

Download
/*********** DO NOT ALTER ANYTHING BELOW THIS LINE ! ************/ var s_code=s.t();if(s_code)document.write(s_code)//-->