Welcome to Scribd, the world's digital library. Read, publish, and share books and documents. See more
Download
Standard view
Full view
of .
Save to My Library
Look up keyword
Like this
16Activity
0 of .
Results for:
No results containing your search query
P. 1
ANNUUR 1043

ANNUUR 1043

Ratings: (0)|Views: 3,136|Likes:
Published by Hassan Mussa Khamis

More info:

Published by: Hassan Mussa Khamis on Nov 02, 2012
Copyright:Attribution Non-commercial

Availability:

Read on Scribd mobile: iPhone, iPad and Android.
download as PDF, TXT or read online from Scribd
See more
See less

01/04/2013

pdf

text

original

 
ISSN 0856 - 3861 Na. 1043
Dhuul-Hijja
1434, IJUMAA NOVEMBA 1-7, 2012 BEI TShs 500/=, Kshs 50/=
Sauti ya Waislamu
Uk. 10
Watanzania sisi
tutaponea wapi?
Mulugo kasoma Madrasa au Sunday School?Maaskofu KKKT waombe uchunguzi NECTAKabla ya kuleta madai ya mateso ya Kanisa
Mmemchukua yuhaimnamrejesha maiti?
 Asema Baba wa kijana aliyeuliwaPolisi wakanusha kuhusika
Polisi wadaiwa kumtesa
mbeba mizigo Zanzibar
Wamkata ngozi ya kichwa kwa kisu na kumnyoaMwingine apigwa na Vespa yake kuvunjwa vunjwaNusura mja mzito apate kipigo, kisa maandishi ukutani
Katibu Mkuu Baraza KuuSheikh Sanze akamatwa
DPP azuiya Sheikh Ponda kupewa dhamanaWengine dhamana wazi, kutoka Novemba 5Wadhamini watakiwa kuwasiliana na Wakili
 MH. Philip Mulugo DKT. Joyce Ndalichako KATIBU Mkuu wa Baraza Kuu la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu (Baraza Kuu), Sheikh Ramadhani Sanze.
Uvamizi na dhulumaza Israel katika mjimtakatifu wa Qudsi
Uk. 12
 
2
 AN-NUUR
Dhuul-Hijja 1433, IJUMAA NOVEMBA 1-7 2012
AN-NUUR
S.L.P. 55105, Simu: +022 2400786
Cel: 0784 370 208, 0755 260 087 0713 110148, DSM.
www.ipctz.org E-mail: annuurpapers@yahoo.co.uk
Ofisi zetu zipo: Manzese Tip TopUsangi House (Jengo dogo), barabara ya Morogoro, D'Salaam
MAONI YETU
Tahariri/Habari
SASA hivi kunazoezi linaendeshwana vyombo vya dolala kuwakamatana kuwaswekandani Masheikhna viongozi waWaislamu jijini Dares Salaam.
Zoezi hili limekuwalikifanywa bila shakakwa ajili ya kudhibitiharakati za Waislamukatika kupiganiahaki zao, ambazo pamoja na kuzielezana kuzidai kwawahusika kwa mudamrefu, lakini hakunaaliyejali wala kutakakuwasikliliza.Maandamano namakongamano ni njiaza kidemokarasiaambazo jamiiya Waislamuimeamua kuifuatakatika kushinikizawahusika kusikiakilio chao ambachokimekosa wakukisikiliza kwamuda mrefu. Njia hizi ndizoambazo zimeletahofu na propagandachafu dhidi yao kiasicha sasa kuwindwana vyombo vya dolaili kudhibitiwa.Hata hivyohatudhani kuwasuluhu ya kilio chaWaislamu hawa nikuwadhibiti kwa
Kukamata Masheikh sio
dawa kuwadhibiti Waislamu
nguvu za dola.Kukamatwa Ponda,Sanze au kiongozimwingine yeyote waKiislamu, hakuwezikuwa suluhu yamatatizo.Bado Umma waKiislamu ambaondio unaoathirikana kupuuzwa aukudharauliwa,utaendelea kupiganiahaki muda wa kuwawanaamini kuwahawatendewi haki. Ni vyema serikaliikatafakari kwakina kabla yakutumia nguvukuzima matakwa yaWaislamu.Kuna haja ya serikalikutambua kwambatatizo sio viongoziwa Waislamu, bali nidhulma.Sisi tunaona kuwa jambo la msingikufanyika ili kufikiasuluhu ya kudumuni serikali kuachadharau katikakusikiliza na kutatuashida za Waislamu pale zinapodhihirikakuwepo, hasa zilezinazoshabihiana nadhulma na ubaguzi.Tuache kuwakamataviongozi wao.Tuwasikilize badalaya kuwapuuzwa nakuwatisha.
Tusicheze ngoma yao
TOKA atekwe SheikhFarid na toka akamatweSheikh Ponda IssaPonda, ukisikiliza kauliza viongozi wa kisiasa,makamanda wa Polisi,viongozi wa makanisa nataarifa katika vyombo vyahabari, utaona kuwa wotehao wameungana katika jambo moja: Kupigapropaganda kuwa nchihii inakabiliwa na kitishocha uharamia na ugaidiwa Kiislamu.
Tumesikia jinsi ambavyomatukio ya kuharibiwamakanisa yanavyopigiwazumari huku lile lakunajisiwa Qur’an marambili likionekana kanakwamba hakijatokea kituau kama kilitokea, basi siajabu wala hakuna kosa.Tukishajua kuwahilo ndio lengo, busarainaelekeza kuwa tusifanye jambo lolote ambalolitawasaidia wanaopanganjama hizi. Kwa agendayao hii, wanachotakawao ni kuona makanisayakiendelea kuchomwa,Waislamu kutoka mitaanikwa maandamano maanahiyo ndiyo itatoa fursahata kutuma vijana waowa kupanga wakachomemakanisa ili wapatekuwasingizia Waislamu.Ukiwasikia wanatoakauli za onyo, ni kama njiamoja wapo ya kuwachocheaWaislamu wasemehatukubali. Wanawatumia pia Masheikh ambaowanajua fika kuwa hawanauso wa kusimama mbele yaWaislamu na kusema jambowakasikilizwa. Mahesabuyao ni kuwa iwapo Masheikhhao wasiotambulika naumma wa Waislamu,watakataza jambo, kwahoja yoyote ile, hata yenyemantiki, basi Waislamu na‘Wanaharakati’ watafanyakinyume chake.Kwa hiyo katika nafsizao watakuwa wanafurahisana wakisikia Waislamuwakihamasishanakuandamana kwa sababuwatapata fursa ya kuwapigamabomu, kuwadhalilishawanawake wa Kiislamu,kuongeza idadi ya Waislamurumande na kubwa zaidikuhakikisha kuwa ghasiazinasambaa mitaani hukuwakitumia vyombo vyahabari kusambaza uwongona propaganda kuwaWaislamu ni magaidi hatariwa Boko Haram. Ni jambo la kushukuruMungu kwamba MasheikhZanzibar, Waislamu naWazanzibari kwa ujumla,wameigundua njama hii.Wametulizana Misikitinina majumbani mwao. HataMahakamani wanapangaidadi ya watu kwenda ilikuondoa wingi wa kuwapasababu FFU.Kwa hakika busara hiiambayo inathibitisha ilekauli ya Qur’an kuwawaumini ndio Ulil Albaab,yaani ndio wenye akili,ndiyo imeifanya Zanzibar mpaka sasa ipo katikasalama. Na huenda ndiyoitakayoisalimisha ile hali yamaelewano baada ya kupitiakatika kipindi kirefu chafitna, farka na uhasama.Katika jumla yahabari ambazo zilipewakipaumbele na nafasikubwa katika vyombo vyahabari Tanzania, Afrikana dunia wiki hii, ni lilela kushambuliwa Kanisakule Kaduna, Nigeria nakuuliwa watu saba.Kwa mujibu wa tarifaza vyombo vya habariambavyo kama kawaidayao, walizipamba sana,ilidaiwa kuwa Muislamummoja alifanya shambuliola kujitoa muhanga akalipuaKanisa Katoliki hukuwaumini wa Kanisa hilowakiwa ndani wakifanyaibada.Baadhi ya vyombovya habari vilidai kuwamtu huyo alindesha garialilolijaza mabomu na kujakuliegesha karibu na Kanisahilo Katoliki na kulilipua.Hata hivyo kwawanaofuatilia habari za Nigeria watakumbukakwamba shambulio kamahilo lilidaiwa kufanyikaFebruari 21, 2012 nje yaKanisa la Christ EmbassyChurch (CEC), Barabaraya Morocco, Suleja, Jimbola Niger. Katika shambuliohilo ilidaiwa kuwaWaislamu Boko Haramwalitega mabomu katikagari halafu wakaliegesha jirani na Kanisa hilo.Hata hivyo, haukupitamuda uchunguzi wakipolisi ukagundua kuwagari hilo lilikuwa la mmojawa waumini wa Kanisa hilona ndiye aliyelipaki likiwana milipuko akaondokaakiliacha likilipuka hukunyuma.Propaganda inayopigwahivi sasa ni kuwaWaislamu wanapangakulipua makanisa. Aidha,washaanza kuambiwa kuwawana tawi la Boko Haram.Yakiwemo mazingira yafujo na zogo litakalotokeaFFU wakikabiliana naWaislamu wanaoandamana,inaweza kuwa fursa nzurikwa wenye mipango hiimiovu kulipua Makanisa nakuwasingizia Waislamu.Lakini katika hali yautulivu, inaweza kuwarahisi kuwaona nakuwaumbua wanaopangakulipua makanisa yaokama walivyoumbuliwawale waliolipua Kanisa la(CEC), Nigeria.Utulivu wa WaislamuZanzibar umesababishasasa laana wanayowarushiaMasheikh wa Uamshokuwarudia wao wenyewe. Ni vikosi vya SMZsasa vinavyoonekanakubughudhi watu mitaani. Na uzuri wa mambo nikuwa Wazanzibari wotewenye mapenzi na nchiyao wametambua kuwavipigo vinavyotembezwana vikosi hivyo, ni namnanyingine ya kuwachocheana kuwachokonoawakasirike waamue kulipakisasi. Wanazidi kuusianana kumeza hasira na kuwana subra.Itakuwa vyema kamaWaislamu wa TanzaniaBara na hasa Dar es Salaamwatakuwa na ujasiri huuwa kumeza hasira nakusubiri katika kipindi hikikigumu.
 
3
 AN-NUUR
Dhuul-Hijja 1433, IJUMAA NOVEMBA 1-7 2012
Habari
Katibu Mkuu Baraza Kuu Sheikh Sanze akamatwa
KATIKA harakatizinazoendelea zakuwakamata viongozi waWaislamu nchini, Polisiwamemkamata Katibu waBaraza Kuu la Jumuiya naTaasisi za Kiislamu (BarazaKuu), Sheikh RamadhaniSanze.
Sheikh Sanze alikamatwa juzi huko Mbande Mbagalaakiwa na wenzake kwenyekikao cha kujadili kadhiazinazowaandamana viongoziwa Waislamu nchini.Wengine waliokamatwa pamoja na Sanze ni UstadhSadik Gogo, Ustadh Abdillahna Ustadh Mkadam Swaleh.Gogo ni MkurugenziMtendaji wa taasisi yawanataalum wa Kiislamu,yaani Tanzania MuslimProfessional Organisation(TAMPRO)Hadi sasa hazijapatikanataarifa viongozi hao waWaislamu wamepelekwa wapina nini kimewasibu.Hata hivyo kuna taarifakwamba hivi sasa Jeshi laPolisi lipo katika msako mkaliwa kukamata Masheikh naMaimamu wa Misikiti ambaowanaonekana kupingana nautendaji wa BAKWATA nakuhamasisha Waislamu kuwakitu kimoja katika kutetea,kulinda na kudai haki zao.Taarifa za kuaminikazimefahamisha kwamba baadhi ya Masheikh naviongozi wanaosakwa niwale wa taasisi za Shura yaMaimamu nchini, TAMPRO,Baraza Kuu na baadhi yaviongozi wa Misikiti jijini Dar es Salaam.Wakati huo huo, Waislamuwanaoshikiliwa katika gerezala Keko jijini pamoja naSheikh Ponda Issa Ponda, jana walifikishwa katikaMahakama ya Hakimu MkaziKisutu ambapo Mahakamailiweka wazi dhamana zawatuhumiwa wengineisipokuwa Sheikh Ponda.Taarifa kutoka kwa wakilianayewatetea watuhumiwainasema kuwa washitakiwawote wa kesi ya kiwanjacha Markaz, wote waliletwaMahakamani jana naMahakama ilikubali dhamanakwa washitakiwa 49 isipokuwaSheikh Ponda.Aliyataja masharitiya dhamana kuwa ni kilamshitakiwa kuwa na mdhaminimmoja.Kila mdhamini kuwa na barua ya utambulisho kamakutoka ofisi inayoeleweka auserikali ya mtaa.Kila mdhamini kusaini
Na Mwandishi wetu
dhamana (bond) ya sh.1,000,0000/= na kwambawashitakiwa wote watakaopatadhamana ni marufuku kufikakatika eneo la kiwanja chenyemgogoro.Kuhusu Sheikh PondaWakili amesema kuwadhamana yake imezuiliwa kwaCERTIFICATE YA DPP.Wakili huyo amesemakuwa washitakiwa wotewamerudishwa rumande haditarehe 15.11.2012 kwa sababukutokana na hali ya ulinzi pamoja na muda wa kesi kuwaasubuhi sana isivyo kawaida,wadhamini wengi walishindwakufika mahakamani kwawakati hivyo kushindwakuwadhamini washitakiwa.“Niliomba mahakamaikubali washitakiwawadhaminiwe mapemakabla ya tarehe ya kesi,MAHAKAMA IMEKUBALIOMBI HILO na imesemaitatoa “removal order”washitakiwa waletweili wadhaminiwe ikiwawadhamini watapatikana”,amesema Wakili Juma Nassoro.“Kwa hiyo naandaa baruaya kuomba washitakiwawafikishwe mahakamanitarehe 5 au 6 Novemba.Hivyo basi ndugu au jamaa za washitakiwawawasilishe barua zao zautambulisho kwangu niwezekuziambatanisha kwenye barua ninayokusudiakuipeleka mahakamaniKESHO INSHAALLAH!”Ama kuhusu dhamanana Sheikh Ponda, Wakili Nassor amesema kuwa bado anatafakari hatua zakuchukua ili kuhakikishakuwa naye anapata haki yakeya dhamana.Jana asubuhi helkopta yaPolisi ilikuwa ikirandarandakatika anga la jiji la Dar esSalaam ambapo imetafsiriwakwamba helkopta hiyo ilikuwaangani muda huo kufuatiataarifa zisizothibitishwakwamba kungekuwana maandamano wakatiSheikh Ponda anafikishwamahakamani.Kesi hiyo imeahirishwakufuatia polisi kudai kuwaupelelezi wa kesi hiyohaujakamilika na itatajwa tena Novemba 15 mwaka huu.Hadi tunakwendamitamboni jana hatukuwatumepata habari wapianakoshikiliwa Katibu waBaraza Kuu na wenzake nakwamba wanashikiliwa kwatuhuma gani.
Polisi wadaiwa kumtesa mbeba mizigo Zanzibar
MTU moja mkazi waMkele juzi alinusurikakuuawa katika msakowa kuwakamata watuwanaotuhumiwakusababisha vuruguzilizotokea wiki mojailiyopita mjini Zanzibar.
Vurugu hizo ziliibukaOktoba 17 mwaka huu baadaya kiongozi wa Jumuiya yaUamsho na Mihadharaya Kiislamu (JUMUIKI)Sheikh Farid Ahmed Hadikutoweka katika mazingiraya kutatanisha Oktoba 16,mwaka huu.Akizungumza nawaandishi wa baharimjini hapa jana, kijanaaliyenusurika kuuawa,Salum Bakari Muya alidaialiteswa kwa kukatwangozi kwa kisu kichwanina kisha kunyonyolewanywele polisi ambao piawalikuwa na silaha.Alisema, kabla yakukutwa na tukio hiloalikuwa amekaa na wenzakewakiwa wanasubiri tendaya mizigo ya kusafirishakwa kutumia magari ya punda.“Nilikuwa nabangaya – yaani kubangaiza –wakatokea polisi sita,walipofika nilipokaa
Na Mwandishi Wetu
wakanifunua kofia nakunikata kipande cha ngozina nywele kichwani kwakisu,” alisema Salum.Alidai polisiwaliomfanyia ukatili huoni wa kikosi cha FFU nakwamba baada ya kitendohicho waliamua kumpelekaKituo cha Afya cha JKUkilichopoa Saateni kwamatibabu ya awali.Salum alidai kuwa baada ya kupata matibabukatika kituo hicho chaJKU iliamriwa kwambaapelekwe Hospitali Kuuya Mnazimoja kwa vilealikuwa anavuja damunyingi.Hata hivyo alisemaalishangaa kabla ya kufikaMnazimoja polisi haowaliamua kumtekelezakatika eneo la kwa AbbasHussein, kilometa chachekutoka walipomtoa hospitaliya JKU.“HawakunifikishaManazimoja, wakaniacha nakuondoka huku wakisemaUbaya Ubaya mtakomawaambie na wenzio,”alisimulia Salum akiwana bandeji aliyofungwawakati anapata huduma yakwanza.Alisema baada yakutelekezwa na Polisialiamua kwenda Welesihuko Kikwajuni kwalengo la kuzungumza nawaandishi wa habari juu yamkasa uliompata.Baada ya kusimuliamkasa huo, Salum ambayealifuatana na kaka zakewalioomba wasiandikwemajina baadae alipelekwahospitalini kwa matibabuzaidi.Alipoulizwa juu ya tukiohilo, Kamishana wa PolisiZanzibar, Mussa Ali Mussaalisema bado hajapewataarifa na kwamba iwapomwathirika atalalamikakituoni Polisi watachukuahatua ya kuchunguza.“Tumezoeakulalamikiwa, kama mtuamefanyiwa ukatili kwanini asiripoti kituo cha polisi, hapo ujue kuna jambo anaficha,alisemaKamishna Mussa.Lakini baada ya kuelezwana mwandishi wa habarihizi kwamba kijana huyoamepelekwa hospitali nakaka zake, Mussa alisemaaliahidi kufuatilia tukiohilo.Kitendo cha Salumkufanyiwa ukatili nawatu wanaodaiwa kuwa polisi kimetanguliwa na
Inaendelea Uk. 4
 BAADHI wa waumini wa dini ya Kiislamu waliofika katika mahakama ya Kisutukufuatilia kesi ya Sheikh Ponda na wenzie jana jijini Dar es Salaam.

Activity (16)

You've already reviewed this. Edit your review.
1 hundred reads
Hawa Salumu liked this
Hawa Salumu liked this
Hawa Salumu liked this
Majaaliwa M Ali liked this
Saad O. Saad liked this
Abdullah Ally liked this

You're Reading a Free Preview

Download
/*********** DO NOT ALTER ANYTHING BELOW THIS LINE ! ************/ var s_code=s.t();if(s_code)document.write(s_code)//-->