Welcome to Scribd, the world's digital library. Read, publish, and share books and documents. See more
Download
Standard view
Full view
of .
Save to My Library
Look up keyword
Like this
7Activity
0 of .
Results for:
No results containing your search query
P. 1
Annur toleo la Ijumaa

Annur toleo la Ijumaa

Ratings: (0)|Views: 394 |Likes:
Published by annurtanzania
Soma Annur kila Ijumaa
Soma Annur kila Ijumaa

More info:

Published by: annurtanzania on Jan 12, 2013
Copyright:Attribution Non-commercial

Availability:

Read on Scribd mobile: iPhone, iPad and Android.
download as PDF, TXT or read online from Scribd
See more
See less

04/21/2014

pdf

text

original

 
ISSN 0856 - 3861 Na. 1053
SAFAR
1434, IJUMAA JANUARI 11 - 17, 2013 BEI TShs 500/=, Kshs 50/=
Sauti ya Waislamu
www.annuurpapers.co.tz
Uk. 16
QUR’AN katika Sura Al Buruji(85) aya ya 10 inasema kuwa:“Hakika wale waliowaadhibuWaislamu wanaume na
Mwisho, mwanzo mbaya kwa Masheikh
Wako wapi miamba, watesaji waliotamba?Waliowatesa Waislamu kisha hawakutubiaWapo makaburini hawafurukuti, wanapata jaza yao
Imekuwa ya Watende wao kina mwafulani Ajabu... Kitenda wenzao, kutwa midomoni’
Padre Ambrose VsSheikh Soraga
Waislamu wanawake, kishawasitubie, basi watapataadhabu ya Jahannamu na
Inaendelea Uk. 3
SMZ inaendeleakukamata Uamsho
Uk. 4
Isisahau kumuenzi ‘nabii’ wa Mkuranga
Mtwara, Lindi watendewehaki katika gesi-Lipumba
Kama ‘nchi’ haina Dini
ni huko Bara si Zanzibar
Uk. 3
WANACHOTAKAwananchi wa mikoa yaKusini, ni kutendewa hakina uadilifu katika neemaya gesi iliyopatikana.
Hayo yamesemwa naProfesa Ibrahimu Lipumbaakiongea na waumini wadini ya Kiislamu mara baada ya ibada ya swala yaIjumaa, wiki iliyopita katikaMsikiti wa Mwinyimkuu,Magomeni Jijini Dar esSalaam.
Uk. 16
 Asema Pro. Sharif na kusisitiza kuwaWazanzibari ni Waislamu toka zama
RAIS KikweteRAIS SheinSHEIKH PondaIGP Said MwemaKamishna Mussa
Sheikh FaridSheikh MsellemSheikh Azzan
 
2
 AN-NUUR
SAFAR 1434, IJUMAA JANUARI 4 - 10, 2013
AN-NUUR
S.L.P. 55105, Simu: +022 2400786
Cel: 0784 370 208, 0755 260 087 , DSM.
www.annuurpapers.co.tz
E-mail: annuurpapers@yahoo.co.uk
Ofisi zetu zipo: Manzese Tip TopUsangi House (Jengo dogo), barabara ya Morogoro, D'Salaam
MAONI YETU
Tahariri/Habari
JAMII ya walio wengiwanaamini kuwaMaaskofu ni watu wadini. Bila shaka jamii piainawafahamu kuwa ni watuwanaotekeleza wajibu wakufunza watu wenginewaishi kwa mujibu wamatakwa ya Mungu.
Dini inatizamwa kamamfumo wa kimaisha yamwanadamu, unaomtaka binadamu kuishi kistaarabuna kiadilifu. Watu wanaaminikuwa Dini ni mfumo wamaisha ambao upo mbali namatendo maovu, dhuluma,ghiliba, chuki, ubinafsi namambo machafu menginemengi yanayodhuruwanadamu na kumchukizaMungu.Viongozi wa dini kwa jinsi wanavyoaminiwa nakuheshimiwa na jamii, sirahisi kudhaniwa kwambawanaweza wakafanyamambo ambayo hayanaithibati, au mambowasiyokuwa na uhakikanayo au wakapotosha ukwelikwa ajili ya maslahi yake.Hii ni kwa sababu niaibu na ni dhambi kubwakwa kiongozi wa dini,kwa makusudi akasemaurongo hadharani, hukunafsi yake ikijua fika kuwaanachokisema au kukiteteani urongo na upotoshaji uliomkubwa.Katika sikukuu yaChristmas, viongozi waUmoja wa Makanisa walikujana tamko lao. Pamoja namambo mengine, lakinisehemu kubwa ya tamkolao liliwalenga Waislamu nataasisi zao.Wakiitaka serikalikuchukua kali dhidi yawalioitwa watu wachachewanaotumia mwanyawa dini kuvuruga amaninchini. Moja ya hatua hizoni kuzifuta taasisi za diniambazo wamedai kuwa ndiochanzo cha upotevu huo waamani kwa kutumia mgongowa dini.Bila shaka kauli hizizinashadidiwa zaidina kuwepo matukio yakuchomwa makanisakadhaa nchini siku za hivikaribuni.
 Amani haitakuwepo kwakuendeleza Mfumokristo
Lakini pia Maaskofuwamekuwa wakikerwa nakilio cha Waislamu kwamba,kuna mfumo kristo ndani yamamlaka za serikali na ndiosababu kubwa ya kuwepodhuluma na unyanyaswajikwa jamii ya Waislamunchini.“Labda niwakumbushe,viongozi wote waandamizi wangazi za juu nchini, asilimia90 ni Waislamu. Itakuwajenchi iendeshwe kwa mfumowa kristo?” Alikaririwaakihoji Askofu Martin Shao,kutoka Kanisa la KKKTDayosisi ya Kaskazini, katikamkutano wao wa Umoja waMakanisa nchini.Walitajwa Rais, Makamuwa Rais, Mkuu wa Usalamawa Taifa, IGP, Jaji Mkuu. Na kudaiwa kwamba hawani asilimia 90 ya viongoziwaandamizi wa ngazi za juuna kwamba ni Waislamu.Zanzibar ilielezwa kuwaasilimia mia moja ya viongoziwote ni Waislamu na kwambasi kweli kwamba Zanzibar hakuna Wakristo wenye sifaya kuongoza.Uwakilishi katika Tumeya Kukusanya na kuratibuMaoni ya Katiba Mpya,ilielezwa kuwa theluthimbili ya wajumbe wake niWaislamu.Hoja hizi, zimechukuliwakwamba zinakidhikuthibitisha na kuhalalishakutokuwepo mfumo kristonchini, unaopigiwa kelele naWaislamu.Ili kutetea hoja yao kwambahakuna mfumo Kristo,Maaskofu kwa kusukumwana imani ya kidini ambayotunaamini husimamia zaidiukweli na haki, wana wajibuwa kuja na kauli zilizothibitiukweli ili kuondoa hili ombwelililopo la kuwepo ubaguzi naupendeleo wa kiimani katikamamlaka ya nchi.Waache kauli za mwambangoma, ambazo haziwezikutanzua hitilafu zilizopo,zaidi ya kuendeleza mivutanoya kutetea maslahi ya watuwa imani fulani dhidi ya watuwa imani nyingine badala yakutetea haki.Bila hiyana, Maaskofuwalitakiwa kueleza bayanauwiano kati ya Waislamu naWakristo, katika ngazi zoteza kiutendaji au kitumishiserikalini, ili kujiridhisha nahoja yao kwamba mfumoKristo unaopigiwa kelelehaupo katika maeneo hayo, badala ya kutizama nyadhifambili tatu za juu, na kuishiahapo.Wasituhadae kwa kutakakutuhalalishia hoja zao kwakutoa mifano michache yaghiliba, kama walivyoitajaRais, Makamu wa Rais, Jaji,IGP na Mkuu wa Usalama,Tume ya Katiba. Hawa ni tonekatika bahari ya wasimamizi,watumishi na watendaji waserikali kwa ujumla.Kama utaanzia juu, basitutaanza na Rais na idarambalimbali katika Ofisiyake.Kuna Mahakama, Wizaraza serikali, Mashirika nataasisi za umma za serikali,Mawakala wa serikali, Tumeza serikali, kuna balozi, nk.Kote huko kuna watendajina watumishi wake. WapoMajaji, wakuu wa majeshi,Mawaziri, ManaibuMawaziri, Makatibu Wakuuwa Mawizara, Manaibu wao,Wakurugenzi wa Wizara,Makamishna, Wakuu waIdara na watumishi wakekwa ujumla.Wapo Wakuu wa mikoa,Makatibu Wakuu wa mikoa,Wakurugenzi wa Halmashauri,Manispaa na Miji na maofisaau watumishi wengine kwangazi hiyo.Kuna Wakuu wa Wilaya,Wakurugenzi wa Halmashauriza Wilaya, maofisa wa idarambalimbali na watumishi wakada mbalimbali ngazi yawilaya.Wapo Makatibu Tarafa,Watendaji Kata hadi waserikali za mitaa.Lakini huko kotehawakutaka kugusa kwa kuwawanatambua huko wapo wanamna gani na wana maslahigani kwao.Pia ni vyema ikaelewekakuwa, Waislamuwalishabainisha kuwa tatizola mfumno kristo halikuanziaawamu hii ya madaraka.Wamebainisha, tena kwamifano ya wazi kwamba tatizolilianza toka kuja kwa wakoloniwa Kijerumani na ndio maanaWaislamu walikuwa mstariwambele katioka kupitganiauhuru. Bahati mbaya Tanzaniahuru imerithi na kuendelezamfumo ule ule ulioachwa nawakoloni wa kuwabagua nakuwakandamiza Waislamu.Kuhusu suala la kuchomwamakanisa, sote tunajuakwamba kwa mafundishoya dini, iwe ni Uislamuau Ukristo, wafuasi wakewanafahamu kitendo hichosio cha kibinadamu.WalichokidhihirishaMaaskofu ni chuki yamakusudi na kuwatukanaWaislamu na taasisi zao.Lakini kwa kuwa tayarikuna kesi zinaendeleamahakani juu ya kuchomwamakanisa, basi Maaskofuwangefanya uungwana kwakutoa au kuleta ushahidi katikavyombo husika ili kuisaidiaserikali kuthibitisha wahalifu,ili uchugunguzi ufanyikena wahusika wabainike nasheria ichukue mkondo wake.Sio kutusi Waislamu naTaasisi zao, na kuwachongeaserikalini.Amani wanayodaikuipigania na kuililiamaaskofu haiwezi kuwepo nakudumu kwa kuleta kauli zaghilba za kuendeleza mfumokandamizi na wa kibaguzi-mfumokristo.
 INNA Lillaahi wa inaa Ilayhi Raaji’oon.
Hakikakila mwanadamu atarejeakwa muumba wake.Mwaka huu jamii yawasanii imempoteza msaniimwenziwao, almarhumJuma Kilowako, almaruufuSajuki. Nimeamua kuandikamakala haya leo si kwasababu nyengine isipokuwani kueleza mtazamowangu katika utetezi wamafundisho ya dini yetutukufu ya Kiislamu.
Awali ya yote nataka kumpa pole mjane wa marehemuJuma, Bi. Wastara Juma.Huyu ni mwanamke ambayeameonesha upendo wa dhatikwa mumewe wakati wa uhaiwake. Kubwa zaidi ambalolimenisukuma ni namna Bi.Wastara alivyosimama imarakulinda, kuenzi na kuheshimumila, silka na utamaduni waKiislamu unaosimamiwa chiniya Quran tukufu.Akiwa mwanamkewa Kiislamu, Bi. Wastaraamejiheshimu, hakutakakuivunjia heshima dini yake
 Ya kujifunza kutokanana msiba wa Sajuki
Na Juma Mohammed,China
na aila yake. Nimekuwanikifuatilia habari za kifocha Juma na moja nililobainini umakini wa Wastaranamna alivovaa vazi lenyeheshima kwa mwanamke waKiislamu hususan kizuka.Hakubabaika, hakuwa nakhofu kuwa ataambiwaMujahidina maana siku hiziukivaa vazi la heshima lenyekumstiri mwanamke na ikiwamwanamke mwenyewe niMuislamu ataambiwa anaimani kali ya kidini.Hakutaka kufuatamila na desturi zisizo zaKiislamu, mnaweza kujiulizanimemuonaje ilhali namisikuwepo nyumbani kwaKizuka? Kwa kupitiamitandao mbalimbali yakijamii nimeona picha ambazoamepigwa kizuka alipokuwaakipewa mkono wa pole amana viongozi au na wananchiwengine. Wastara amejisitirina Inshaallah Mwenzi Munguatamsitiri.Tunaambiwa na Maulamaakwamba kujisitiri kwamwanamke kunakuwamuhimu zaidi katika sehemuza makundi, kama msibani,maeneo ya sherehe, hospitali,na mashule, hata kamakutakuwepo wanawaketu, kwa sababu baadhi yawanaume ambao si Mahramna hata vijana wanawezakuwaona au kuwachukua picha hali ya kuwa hawanastara zao kamili, na hiyoitakuwa ni sababu ya fitnahkwa wale wanaowaona.Bi. Wastara alichukuliwa picha ya mnato akiwa katikavazi linalotakiwa katikaUislamu. Ni mfano bora wakuigwa na wanawake wenginehususan wale maarufu ambaowanadhani kuwa umaarufuwao utawasaidia kitu mbeleya Allah, kumbe hakunakitakachowafaa zaidi yamatendo mema. Tunawaonawanasiasa wanawake wakiigamila na desturi zisozokuwaza Kiislamu na wanaume pia tunawaona misibaniwanavyoiga mambo ambayo nikinyume kabisa na Uislamu.Mtume MuhammadS.A.W anasema “Ainambili za watu wa motonisiwaoni... Wanawake ambaowamevaa lakini wako uchi,wanawashawishi wanaumewawatongoze, na wanaelekeakwao (kwa kuwa warahisi).
Inaendelea Uk. 7
 
3
 AN-NUUR
SAFAR 1434, IJUMAA JANUARI 4 - 10, 2013
Habari
Mwisho, mwanzo mbaya kwa Masheikh
Inatoka Uk. 1
watapata adhabu ya kuungua(barabara).”
Kabla ya aya hiyo katikasura hiyo hiyo tunasoma kuwakwa hakika hao waliowatesaWaislamu, wale waliowaadhibuWaislamu, “hawajaona bayalolote kwao (Waislamu) ilakumuamini Mwenyezi Mungumwenye kushinda (na) mwenyekusifiwa.” (85:8)Tunapoandika maoni hayaSheikh Issa Ponda Issa badoyupo ndani akiwa kanyimwa hakiya kupata dhamana katika kesiinayomkabili. Kama ipo haki,kama ipo sheria kwa mujibu wakatiba ya nchi hii na kwa mujibuwa sheria na haki za binadamu zakimataifa, inayomnyima Pondahaki ya kupata dhamana kwamujibu wa kesi inayomkabili,wanaomzuilia wanajua. Na kamawanafanya hivyo kwa msukumowa kisiasa, kwa chuki binafsina kwa kutaka kumkomoa kwasababu yoyote ile, wanajua pia. Nafsi zao zinawashuhudia naMungu wao anashuhudia naanajua vyema pia kama wanasababu za msingi au ni katikakutumia mamlaka yao vibaya.Hali ni hiyo hiyo kwawanaowashikilia Sheikh Farid,Msellem, Azzan na Masheikhwengine wa Jumuiya yaUamsho.Hawa ni Masheikh ambaoumekuwa mwisho mbayawa mwaka 2012 na mwanzombaya wa mwaka 2013.Wamemaliza mwaka wakiwarumande na wameanza mwakawakiwa rumande. Kama ilivyokwa Sheikh Ponda, kama iposheria kwa mujibu wa Katibaya Zanzibar na ya Jamhuri yaMuungano, na kwa mujibu washeria za Zanzibar/Tanzania,inayoelekeza kuwa Masheikh haowanyimwe haki yao ya dhamanakutokana na kesi inayowakabili;viongozi wa Zanzibar na wakuuwa Mahakama na vyombo vyadola wanajua.La kama wanafanya hivyokwa sababu za kisiasa, kwamatashi yao tu, kwa chuki nakutaka kuwakomoa Masheikhhao kwa sababu yoyote ile,nafsi zao zinajua na Mola waoMuumba Hakimu wa Mahakimuna Mfalme wa Siku ya Malipo,anawashuhudia wala hawawezikumdanganya kuwa walikuwawakisimamia sheria za nchi.Ambalo tungependakuwakumbusha ni kuwa kilamchunga ataulizwa. Na kilaunapokuwa na mamlaka,madaraka na cheo kikubwa,ndio masuuliya yako yanakuwamakubwa zaidi.Ifike mahali mtu ajiulize,atamjibu nini Mwenyezi Mungukama kuna mtu alidhulumiwakatika utawala wake kwakuwekwa rumande bila yakosa?Wanasema wasemaji kuwamadaraka hulevya. Lakinimadaraka yana mwisho. Hatakama hakuna wa kukung’oa,lakini kifo huwezi kukiepuka.Walikuwepo miamba lakinileo kimyaa! Wapo makaburinihawafurukuti.Wapo wengine badowanapumua ila ukomandoo waoumekwisha. Wale aliowalundika jela akitoa kauli za kejeli kuwasio mapapai kuwa yataoza,wanatembea na afya zao. Lakinikomandoo ni wa kushikwa mkonokuonyeshwa njia. Mwenye machoyake kaleta Qadari yake.“Enyi watu (Enyi wanasiasa,Enyi wenye madaraka katikaMahakama na vyombo vyaDola)! Mcheni Mola wenu,hakika mtetemeko wa Kiama ni jambo kubwa (kabisa).”Siku mtakapokiona (hichoKiama)-kila mwanamkeanyonyeshaye atamsahauamnyonyeshaye, na kila mwenyemimba ataizaa mimba yake(kabla ya wakati kufika). Nautawaona watu wamelewa;kumbe hawakulewa, lakini niadhabu ya Mwenyezi Munguiliyo kali.” (22:1-2)
SMZ inaendelea
kukamata Uamsho
Mwandishi WetuZIPO habari kuwa kunamama mmoja amejitokezana kujitangaza au kusemakuwa yeye ni ‘Nabii’.
Mama huyo kutokaMkuranga, Mkoa wa Pwanianazunguka katika mitaa yaZanzibar akitafuta wafuasi.Taarifa zaidi zinafahamishakuwa miongoni mwa madaiyake ni kuwa ameshawahikufika Uwingu wa Saba pamoja na madai mengi yakufru.Habari kutoka ofisi ya MuftiMkuu wa Zanzibar na baadhiya Ulamaa zinafahamishakuwa washakutana na mamahuyu na kusikia madaiayake.Hata hivyo hadi sasahakuna matamko ya dhatiwala harakati madhubuti zakuhakikisha kuwa Mama huyohaendelei na kufru zake.Ufupi wa maneno naubaya wa suala lenyewe,hawa wote pamoja na elimuzao, wameshindwa kuchukuahatua dhidi ya kufru hii.Hata hivyo, ofisi ya Muftiinasemekana kutoa kauli kuwamama huyu aache kwendamisikitini na kuhubiri.Pili inasemekana pia kuwakumetolewa fat’wa kuwaahamishwe na kurejeshwakwao Tanganyika.Hata hivyo, suala hilolimepingwa na Idara yaUhamiaji (Immigration)wakidai kuwa mamahuyo ni Mtanzania hivyohawezi kuondoshwa kutokaZanzibar.Baadhi ya watu wanahoji,mbona Sheikh Kurwa Shaurialihamishwa kutoka Zanzibar na kupelekwa Tabora na mpakahivi sasa anaishi Tabora?Huyu mama anayedai kuwani Nabii, Uhamiaji wanasemakuwa hawezi kuhamishwakutoka sehemu moja yaTanziania hadi nyengine.Lakini mbona Mapalalaaliwahi kuhamishwa? Kwaupande mwingine AbdullahRashid alipokuwa RCKaskazini Unguja, alizuiawatu wa upande mmoja wakisiwa cha Unguja kwendakwengine.Kwa sheria za Kiislamu,huyu mama ni murtad – lakiniKaimu Katibu wa Muftianaitwa Jongo anadaiwakumtetea au ksuhindwakuchukua hatua madhubuti.Wanachohoji Waislamuni je, mbona hadi sasahazijasikika sauti na kauli zakukemea kama inavyosikikakatika masuala mengine?
Kama ‘nchi’ haina Dini ni huko Bara si Zanzibar
SERIKALI ya Jamhuri yaMuungano wa Tanzaniaimetahadharishwa isilete hojaya nchi kutokuwa na dinikatika Katiba ya nchi kwaniWazanzibari hawatakubalikupokonywa haki zao za kidinikama Mahkama ya Kadhi.
Ushauri huo umetolewa naMwenyekiti wa Baraza la KatibaZanzibar, Professa Abdul Sherif muda mfupi baada ya kutokakwenye meza ya utoaji wa maonimbele ya Tume ya Mabadiliko yaKatiba yaliofanyika juzi katikaukumbi wa Eacrotanal MjiniUnguja ambapo aliwasilishamaoni ya Baraza la KatibaZanzibar.Professa Sherif amesemamabadiliko ya katiba mpyaya Jamhuri ya Muunganowa Tanzania yanayofanyikayazingatie suala la dini kwanikatiba ya Tanzania inazungumziaserikali haina dini lakini katibaya Zanzibar haina kifunguhicho na hivyo suala la diniwaachiwe watu wenyewe badalaya kuingizwa katika katiba.Alisema, huenda kuingizwakifungu hicho kunaweza kuletamatatizo hasa kwa kuzingatiaZanzibar ina asilimia 99 yaWaislamu na hivyo hawawezikukubali kufutwa Mahakamayao ya Kadhi ambayo wameikutatokea miaka kadhaa ya wazaziwao.“Kuwepo kwa kifungu chakatiba kuhusu dini kunawezakuchochea suala hata laMahakama ya Kadhi nadhaniWazanzibari hawatakubalikuambiwa Mahakama ya Kadhi
Na Alghaithiyyah, Zanzibar
ifutwe, sasa sisi tunashauri sualahili lisiingizwe katika katibakatiba”. Alishauri.Professa Sherif ambayeni bingwa wa historia naameshawahi kupokea tunzombali mbali duniani kutokana namchango wake mkubwa katikakuandika vitabu kadhaa vyahistoria amesema Wazanzibariwana haki ya kuwa na Mahakamaya Kadhi kutokana na kuwa idadiyao ni kubwa na hivyo wanahaki ya kujiamulia mfumo wawanaoutaka katika kuendeshanchi yao.Aidha alisema miaka kadhaaWazanzibari wameishi bilaya kutokea ugomvi wa ainayoyote kuhusiana na dini na ndiomaana hata wakati wa utawalawa Uingereza kuna makanisamakubwa yalijengwa Zanzibar ambapo wakati huo Wakristowalikuwa wachache mno lakinikutokana na kuheshimu dininyengine utawala wa Sultanambaye ni Muislamu alithubutukutoa kibali cha kujengwamakanisa.“Miaka yote Wazanzibarihawajawahi kugombana kwahabari ya dini, wanagombanakwa mambo mengine lakini siodini, wamekuwa na uvumilivumkubwa na kushirikiana na ndiomaana kuna mahekalu, misikinina makanisa, lakini watu wakehawagombani”, alisema ProfessaSherif.Akizungumzia masualamengine kwa ujumla alisema bunge la Tanzania halikuwa nahaki wala mamlaka ya kupunguzaau kuongeza mambo ya muunganoambao yalikubaliwa katika hatiya Muungano kati ya Tanganyikana Zanzibar zilipoungana ambapoawali yalikuwa mambo 11 tu.Professa Abdul Sherif amesema mambo yaliongezwayamefanyika kinyume cha sheriana hivyo yalioongezwa yoteyamekuwa batili kwa mujibu washeria kwa kuwa bunge halikuwana madaraka hayo.
Wakati huo huo,
CHAMACha Wanasheria Zanzibar (ZLS)kimependekeza katika katibampya ya Jamhuri ya Muunganowa Tanzania kuwepo kwa mfumowa serikali TATU pamoja nakuwepo kwa fursa ya mgombea binafsi kuwania uongozi wa nchi badala ya mfumo uliopo sasa.Akiwasilisha maoni yakembele ya tume ya mabadilikoya katiba jana, Katibu wa chamahicho, Mussa Kombo alisemamfumo wa kuwepo kwa serikalitatu ndio utakaofaa kwa sasa pamoja na kupendekeza kuwepokwa mgombea binafsi katikakuwania nafasi za urais nchini.“Sisi kama ZLS tunaonamfumo wa serikali tatu ndiounaofaa kwa sasa kuingizwakatika katiba mpya kuwepona serikali ya Zanzibar nakuwepo na serikali nyengine jina lolote litakaloitwa na piakuwepo na serikali ya muunganoambayo hiyo itakuwa ni ndogoitashughulikia masuala yamuungano tu”, alisema Mussanje ya mkutano wa utoaji wamaoni yaliofanyika ukumbi waEacrotanal Mjini Unguja.Kombo alisema katiba mpyaiainishe waziwazi hizo serikalitatu na mamlaka zake ili kusiwepona utata kwani mfumo uliopo sasahaujaelezwa kikamilifu katikakatiba na hivyo kumekuwepo namalalamiko mengi kutoka pandembili zilizoungana.Aidha alisema ZLS imeonakuwepo na mgombea binafsiatakayewania nafasi ya uraiskwani imani yao ni kwambaanaweza kupatikana kiongozimzuri atakayetokana nje yachama cha siasa.Kombo alisema mamboambayo sio ya muunganoyanapaswa kuamuliwa kwa pamoja na kwa ridhaa ya pande mbili zilizoungana hukukila serikali iwe na chombochake cha maamuzi ambapowalipendekeza kuwepo na bungela Zanzibar, bunge la bara auvyovyotelitakavyotwa na kuwepona bunge la pamoja.Alisema tabia ya serikaliya upande mmoja kujiamuliana serikali ya pili kushindwakutoa maamuzi haipendezi nahivyo wameshauri jambo loloteliamuliwe kwa pande mbili tenakwa makubaliano.Akizungumzia suala la hakiza binaadamu kuingizwa katikakatiba Professa Chris Peter Maina wa Kituo Cha Hudumaza Sheria Zanzibar, alisema hakizote za binaadamu ziwekwekatika katiba ikiwa pamoja nahaki ya kupata elimu na afya iweni ya lazima pamoja na ile hakiya msingi ya kuishi.Professa Maina alisemakatiba mpya ianishe haki yakuandamana na uhuru wavyombo vya habari badala yakatiba ya sasa inavyosema uhuruwa kupata habari peke yake.Mambo mengine aliyotakayawemo katika katiba ni uhuru wafikra na maoni iwe ni pake yakena uhuru wa dini na imani hukuakipendekeza haki ya kupigakura kwa watu waliofungwa auwaliopo rumande na kulindwakwa mali iliyopatikana kihalali.

Activity (7)

You've already reviewed this. Edit your review.
1 thousand reads
1 hundred reads
Abdul Hamid liked this
Abdullah Ally liked this
Abdul Hamid liked this
Salim Lossindilo liked this

You're Reading a Free Preview

Download
/*********** DO NOT ALTER ANYTHING BELOW THIS LINE ! ************/ var s_code=s.t();if(s_code)document.write(s_code)//-->