• Embed Doc
  • Readcast
  • Collections
  • CommentGo Back
Download
 
Na. FredKatunzi
Makala zilizo-kuwaziendelee wikihii zitaendelea wiki ijayohususan suala la vitam-bulisho vya taifa.Kutokana na kupamba motokwa mradi wa Dowans tu-nalalazima kurudia tena su-ala hili la Dowans ambalotulisema wazi kuwa kwanamna yoyote ile Dowanswatajaribu kulipwa. Msi-mamo tunaochukua hapa simsimamo dhidi ya WaziriNgeleja kama Ngeleja balitunachukua msimamo huukutokana na kile tuna-choamini kuwa ni vipaum-bele vilivyogeuzwa.Katika taarifa yetu ya mwakatumesema kuwa kinachotuon-goza mwaka huu ni msimamowa “kutoka kulalamikakuelekea kuhamasika” Tuna-tambua kuwa tuna uamuziaidha wa kukaa kimya, aukusema, kuangalia au kutenda,kukubali au kukataa. Katikamakala hii tumechukua msi-mamo wa kukataa hoja zina-zotolewa kuhusu kuhalalishaununuzi wa majenereta yaDowans.Baada ya kumsikiliza Waziri waNishati na Madini kwa kirefu katikamahojiano yake na Mwanakijiji juzina baada ya kufanya tafakuri yakina iliyoenda sambamba nakusikiliza hoja mbadala zina-
TUKUBALI AU TUPINGE
Sema hapana Dowans 1-5Tahariri 1Hapana Dowans 2Hapana Dowans 3Hapana Dowans 4Da’Jessy: Tukishawataja? 5Picha, Katuni na Maoni 6
Ndani ya Toleo Hili 
Kijarida Ulichoshika 
Kinatoka kila Ju-manne
Ni cha bure kabisa!
Kisichofungamana nachama chochote aufisadi yeyote!
Kiko huru, kinathu-butu, na hakiogopimtu au hoja yoyote.
Ni kijarida chako!
Haki zote za kuchapana kunakili zimeru-husiwa!
 
J
UZUU
8
TOLEO
29M
ACHI
04, 2009
Cheche za Fikra
MOTO WA MABADILIKO UMEANZA...
KIJARIDA CHA BURE— UKISHASOMA MPE MWINGINE—USIBANIE!
Benjamin. G. Mwalukasa
Mhariri
HOJA YA MWANAKIJIJI
Walipoamua kununua ndege ya Rais kwa bilioni 50 tuliwap-inga, walisikia mapingamizi yetu wakapuuza wakanunua;tukayaonaWalipotaka kunua rada ile yakijeshi kwa bilioni 40 tuliwap-inga, walitusikia, wakatupuuza;tukayaona.Walipoamua kujenga minara ya Benki Kuu tuliwapinga nakuwahoji, walitusikia, wakatu-puuza; tukayaona.Ilipokuja Richmond na Airbus yote tuliyasema, wakatusikiana wakapuuza na tukayaona.Sasa tunaambiwa“wameokoka”! Kwamba wana- jua kilicho bora na ya kuwawana uzalendo. Tunawaambia“Hapana Dowans”. Wamesikia,watatupuuza, na kutudharau.Na sisi tutaona! Wasije kusematunapinga maendeleo!
MAKALA MAALUM
HAPANA DOWANS!
 
Fundi Umeme 
 
U
KURASA
 
WA
2 CHECHE ZA FIKRA
TUWAAMBIE “HAPANA DOWANS”
zotolewa na watu mbalimbali waki-wemo wabunge mashuhuri kama Mhe.Zitto Kabwe (Kigoma Kaskazini-CHADEMA), Mhe. Harrison Mwakyembe(CCM-Kyela) na Mhe. William Shelukindo(CCM-Bumbuli) tumeona ni lazima tu-chukue msimamo ambao tunaamini kwamuda mrefu ujao utakuwa na maslahimakubwa zaidi kwa taifa kuliko tatizo lamuda mfupi uliopo.Msimamo wetu ni wa kupinga kwanguvu na kwa kauli moja isiyo na utata jaribio na mpango wowote wa serikalikununua majenereta ya umeme kutokakwa kampuni ya Dowans kamailivyopendekezwa na kupigiwa debe nauongozi wa Tanesco, Wizara, baadhi yawabunge. Tunakataa kabisa kwa Watan-zania kuendelewa kuchukuliwa kwadharau, au kuonwa kuwa hatuitakii nchimema au hatuelewi uharaka au ulazimahali ya nishati nchini.Msimamo wetu huu tunauchukua kwamaumivu makubwa kwa sababu tuna-tambua wazi suala la nishati ni muhimusana kwa taifa na maendeleo ya nchi yoyote ile. Tunatambua vile vile kwambaTaifa letu liko katika wakati ambapohatuwezi kufanikiwa pasipo kuwa nachanzo cha kudumu na cha kuaminikacha nishati. Tunatambua katika kuchu-kua msimamo tunaweza kusimama peke yetu kama manabii wa zamani walio-tengwa na jamii zao kutokana naujumbe wao kutokuwa wa kupendezakwa watawala.Ni kwa sababu hiyo basi tunajuagharama ya kuchukua msimamo usio naumaarufu hasa kwa kuzingatia sualanyeti kama la nishati. Hata hivyo wakatimgumu unahitaji maamuzi magumu vilevile.Tunazo sababu kadhaa za kupingaununuzi wa mitambo ya kuzalishaumeme ambayo inauzwa na kampuni yaDowans. Tunazianisha sababu hizokama ifuatavyo.
1. Tatizo la nishati Tanzania hali-wezi kuendelea kushughu-likiwa kwa vipande vipande.
Kwa muda mrefu sasa tumeona seri-kali inavyoshughulikia tatizo lanishati. Kwa mtazamo wetutunaweza kusema pasipo shakakuwa serikali haina nia ya dhati nakusudio la kweli la kuondoa tatizo lanishati ya umeme nchini. Kwamiongo kadhaa sasa suala la nishatilimekuwa likishughulikiwa kwakibaba.Leo jenereta, kesho jenereta jingine, ke-shokutwa bwawadogo la maji, namtondogoo mpangowa bwawa jingine lakuzalisha umeme.Endapo tutaangalia jinsi serikali inavyo-shughulikia tatizo hilila nishati tunawezakuamini mambo ambayo si ya kweli.Kwanza, tunaweza kudhania kuwaTanzania kuna tatizo la vyanzo vyanguvu za umeme, na pili kwambaTanzania kuna tatizo la fedha zakuendeleza vyanzo vya umemevilivyopo na ya kuwa kulitatua maramoja na daima tatizo la umemenchini nchini ni jambo ambalo hali-wezekani katika kizazi chetu. Yotehayo mawili au matatu hayana msingikatika ukweli.Ukitembelea tovuti ya Tanesco(http://www.tanesco.com) utaonasehemu inayozungumzia mpangomkuu wa nishati (master plan)inaonesha miradi mbalimbali iliyokombioni ambayo inaonesha vilevyanzo ambavyo tayari vinajulikanakwa uwezo wa kutengeneza nguvu ya umeme. Miradi hiyo kamaingetekelezwa yote ingeweza kuon-geza kwenye gridi ya taifa siyo chini ya 660MW za umeme.Kuelewa umuhimu wa hilo watanza-nia watambue kuwa vyanzo vya maji(hydropower plants) ambavyo tayarivinazalisha umeme sasa hivi yaaniKidatu, Hale, Pangani, Nyumba yaMungu, Kihansi, na Mtera, vyanzohivyo vyote vinauwezo wa kuzalishakiasi cha 561MW. Ukiongozea navyanzo vingine vya kukodisha aukununua kutoka wazalishaji huru waumeme tunapata karibu 930MW Hii ina maana ya kwamba endapotungeamua kushughulikia kwaujumla kuendeleza vyanzo vilivyopovya maji tu kwa uharaka ambao tu-naambiwa upo, tungeweza kuongezakwenye gridi ya taifa zaidi ya marambili ya uwezo wa umeme ambaotayari unapatikana! Kwa maana yakwanza kungekuwa hakuna haja yaIPTL, Songas, Richmond walaDowans!Tunachokiona hata hivyo ni utatuziwa tatizo la nishati kwa vipande vi-pande. Hakuna sera madhubuti yenye kutaka kuondoka na tatizo lanishati mara moja na daima na ma-tokeo yake wanasiasa wetu wana-kuja kila mwaka na “kamradi” ken-gine ka nishati kama vile wanatupi-mia umeme kwa kibaba.Kwa sababu hii ya kwanza tunapingakununua vijenereta vya Dowans!
2. Uwezo wa maporomoko yaStielgers chini ya RUBADA wa2100MW
Katika ya miradi ambayo hatuisikiikabisa ni maporomoko ya Stielgersambayo kwa watu wengi hata jinalabda linaweza kuwa halifahamiki.Mradi huu uliangaliwa na kufanyiwaupembuzi yakinifu karibu miaka the-lathini iliyopita. Mradi huu uko chini ya Mamlaka ya Maendeleo ya Bondela Mto Rufiji (RUBADA) na wadauwengine ikiwemo serikali yetu.Mradi huu haukuendelezwa miakahiyo kwa sababu moja kubwakwamba mahitaji ya umeme ya nchihata eneo letu hayakuwa makubwakiasi cha kulazimu kujenga bwawahili. Kama unavyoona mradi huu unauwezo (kama ukijenga kwa kiwangochake cha juu kabisa) wa kutoamegawati 2100 za umeme. Hii nikaribu mara nne ya uwezo wa sasawa mabwawa yote nchini na kwahakika ungesababisha miradi ilemingine tuliyoitaja hapo juu kuto-kuwa ya ulazima wowote.Gharama ya mradi huu inakadiriwakuwa ni dola bilioni 2. Kiasi hichokinaweza kuonekana kuwa ni ki-kubwa mno. Hata hivyo ukichuku-liwa kuwa katika Benki Kuu kati yamiaka miwili Tanzania imepotezakimazingaombwe dola karibu bilionimoja ambazo hadi hivi sasa hakuna juhudi za kweli ya kuzipata imefany-ika!
KARIBU MWANAKIJIJI.COM
 Dr. Idris
 
U
K
.3 J
UZUU
8, T
OLEO
29
Soma bure 
Ukichukulia na ripoti ambayo ime-toka hivi majuzi toka Wizara yaMambo ya Nje ya Marekani ambapowamesema kuwa Tanzania inapo-teza karibu asilimia 20 ya fedha zabajeti kwenye mambo ya kifisadiutaona kuwa siyo tu tuna uwezowa kifedha wa kufadhili mradi huumkubwa ambao utaondoa kabisana kufanya tatizo la umeme kuwandoto bali pia tuna uwezo wa kuge-uza maeneo mengine ya vimiradividogo vidogo kuwa ya burudanina utalii bila kuyaharibu kwa mi-tambo na mashine mbalimbali.Siyo sisi tu tunaoupigia debe mradihuu. Mbunge wa Makete Mhe. Dr.Binilith Mahenge alisema hivi Bun-geni “Kimsingi mradi huu kamautachukua njia ya mkato kutokaChalinze ni kilomita 165 tu unafikakwenye huu mradi. MheshimiwaSpika, nadhani tulishindwa kufanya yale maamuzi ama ni kwa sababu ya mashinikizo ya wenzetu waki-tumia kigezo cha mazingira lakiniukweli ni kwamba walitushinikizawakati hata wao wenyewe mpakatunavyoongea sasa hivi wa-meshindwa kusaini Mikataba yaKyoto. Sasa nadhani haya ndiyo yaliyotufikisha mahali mpaka tukaji-kuta tuna matatizo ya umeme natukaanza kutafuta vitu gani viwezekutusaidia.”Tunafahamu kuwa Rais Kikwetealipokea taarifa ya mpango waRUBADA kuialika kampuni tokaCanada ya Energem kuwa mbiawake na hakuoneshwa kufura-hishwa nayo. Tunaamini kuwa wa-kati umefika kwa uongozi wa kuthu-butu, wenye maono ya mbali nawenye utayari wa kuanzisha mradimkubwa kabisa wa nishati katikaeneo letu la Afrika kuanza ku-tekelezwa. Tunangoja nini?Sababu hii inatufanya tuupingemradi wa Dowans!
3. Dowans wameshiriki tayarikwenye mradi wa kifisadikwanini tuwazawadie tena?
Kwanza tukumbuke kuwa kampuni ya Dowans tayari imeshalipwamabilioni ya shilingi. Hata ukiondoafedha tunazowadai kati ya bilioni 8-10 bado wameshajipatia mabilioni ya fedha za Watanzania. Cha kukat-isha moyo ni kuwa wote tunajua
“HAPANA”
kuwa kuingia kwa kampuni hiyo hapanchini tayari kuligubikwa na wingu laufisadi.Kampuni hii iliingia kwa haraka ku-chukua nafasi ya kampuni ya Rich-mond ile kampuni ya kifisadi ambayoilikataliwa na kuumbuliwa na Kamati ya Teule ya Bunge chini ya Dr. Mwa-kyembe. Kuingia kwake kunashan-gaza kama tutakavyoona hapa.a.Kwa mujibu wa Dr. Idris Rashid nikuwa kampuni hiyo iliingia nchiniikiwa imeandikishwa huko CostaRica ambako ilianzishwa kwamtaji wa dola 100!! (dola miamoja). Hayo aliyasema yeyemwenyewe mwishoni mwamwezi Juni mwaka jana (2008)alipozungumza na waandishi wahabari. Hata hivyo uchunguziwote uliopo hadi hivi sasa nausio na shaka umeonesha kuwakampuni hiyo ni ya kutokaUarabuni ikimilikiwa na familia yakina Al-Adawi huku watu watatuwakitajwa kuwa ndiyo wamilikiwote wakiwa ni raia wa Falme zaKiarabu. Kwanini kuna tofautihii? Iweje leo Mkurugenzi yule yule ambaye aliliambia taifakuwa kampuni hii inatoka CostaRica leo tuweze kumuamini an-apotuambia kuwa hatuna ucha-guzi isipokuwa kununua tokaDowans?b. Habari za ndani ambazo ni zakuaminika zinaonesha uhusianowa karibu sana kati ya Mbungewa Igunga Mhe. Rostam Aziz nafamilia ya Al-Adawi na inadaiwa yeye mwenyewe ni mwekezajiaidha katika kampuni ya DowansHoldings au makampuni men-gine ya familia hiyo. Hilo peke yake halitoshi kutushtua lakinikinachotushtua ni kuwa Dr. IdrisRashid na Waziri William Ngelejawote wawili wawili kwa wakatimmoja wamefanya kazi chini yaRostam akiwa mwenye hisa yaasilimia 19 kwenye kampuni yaVodacom. Ngeleja akiwa niwakili na Dr. Idris Mkurugenzi. Je yawezekana hawa wawili siyowatu sahihi kuupigia debe mradihuu?c. Serikali imeithibitisha kuwa kam-puni ya Dowans kuingia kwakemkataba na Richmond haku-kuwa kwa maslahi ya taifa.Ukirejea ripoti ya wanasheria waBunge ambao walipitia mikataba yote ya Tanesco utaona kuwamkataba waDowans hau-kuwa na tofautikubwa namkataba waRichmond naTanesco. Sasatayari tumesha- jua kuwa hatu-wezi kuwaaminihawa kwaninileo tugeuka nakutaka kuwapawatu hawa hawa mabilioni yafedha za walipa kodi wa Tanza-nia, kwa umaskini gani tulionao?d. Watu wengi wasichokumbukani kubadilika toka Dowans Hold-ing kwenda Dowans TanzaniaLimited. Baada ya kugundulikakuwa kampuni ya Dowans Hold-ing ina matatizo ya kisheria wa-talaamu wetu wakaamua ku-badilisha na kuiita Dowans Tan-zania limited ili angalau ione-kane ni kampuni ya Watanzaniana sitoshangaa kuwa kwa Tan-zania ina wamiliki wazalendo.Hawa ni kina nani? Kwanini ku-badilisha hivyo walikuwawanaficha nini? Yawezekanahicho tulichokisema kwenye ki-fungu (b)?
4. Jaribio dhaifu la kuizunguka she-ria ya manunuzi ya mwaka 2004
Kitu kimoja ambacho kimetushan-gaza sana ni jinsi gani serikali nawizara ambayo iliamua kuvunjamkataba wa Richmond na waDowans kutokana matatizo ya kishe-ria kuwa ndiyo watetezi wa kuizun-guka sheria hiyo tena. Katika mahoji-ano na Mwanakijiji.com Waziri waNishati na Madili alisema kuwa safarihii serikali haijatangaza zabuni kwasababu ni Dowans ndiyo wanatakakuuza mitambo yao na kuwa ni waowametangaza zabuni.Zabuni ya Dowans ilitangazwa mwis-honi mwa mwaka jana (tunaamini
 Ngeleja
of 00

Leave a Comment

You must be to leave a comment.
Submit
Characters: ...
You must be to leave a comment.
Submit
Characters: ...