You are on page 1of 6

M O T O WA MA BA DI L I K O UM E ANZ A . . .

Cheche za Fikra
J U ZU U 8 TO LE O 31

M AC H I 1 8, 2 0 09

KIJARIDA CHA BURE— UKISHASOMA MPE MWINGINE—USIBANIE!

SAKATA LISILOKWISHA

PORTEK: DOWANS GANI?


Na. Fred Katunzi Benjamin. G. Mwalukasa
Mhariri

Kijarida Ulichoshika
Kampuni ya
Dowans Tan- • Kinatoka kila Ju-
zania Limited manne
inayomilikiwa na mfanyabi-
ashara mkubwa wa Oman • Ni cha bure kabisa!
na Falme za Kiarabu Brig.
Gen Suleiman Mohammed • Kisichofungamana na
Yahya Al-Adawi ilijipa ujiko chama chochote au
isiyokuwa nao na kutangaza fisadi yeyote!
kuwa wanahisa wake wa-
• Kiko huru, kinathu-
kubwa ni makampuni
mawili ya kigeni ya Dowans Mawinchi yaliyoletwa na kampuni ya Portek Bandarini Dar butu, na hakiogopi
Holdings ya Costa Rica mtu au hoja yoyote.
(Marekani ya Kusini) na ile kuwemo kwenye kampuni ya moja iliyoandikwa na mmoja wa
• Ni kijarida chako!
ya Portek ya Indonesia. Dowans Tanzania Limited. waandihi mahiri nchini miaka
Uchunguzi wa kina wa Che- karibu miwili iliyopita kampuni ya • Haki zote za kuchapa
che umeweza kuthibitisha Kwa mujibu wa habari Portek ina asilimia 39 wakati kam- na kunakili zimeru-
pasipo shaka lolote kuwa mbalimbali ambazo zimekuwa puni ya Dowans Holdings ya husiwa!
kampuni ya Portek ya Indo- zikirudiwa na vyombo vyetu Uarabuni ina asilimia 61.
nesia ambayo inatajwa vya habari kampuni ya Portek
katika nyaraka za BRELA ya Indonesia ndiyo mwekezaji Ili kuhakikisha kuwa tunazun-
kwenye Dowans Tanzania Lim- gumzia kampuni hiyo hiyo nakala Ndani ya Toleo Hili
haina hisa yoyote wala ku-
tambua hisa zinazotajwa ited. Kwa mujibu wa makala za BRELA (inaendelea Uk. 2)
Portek: Dowan nani? 1,2

MWAKYEMBE KUJIBU MTANZANIA LEO Mwakyembe ajibu 1,2

Portek: Dowans nani? 3,4


Na. Mwandishi Wetu Mtanzania la Jumatatu tarehe Kwa mujibu wa gazeti la Mtan-
15 Machi ambapo alidaiwa zania "Wachunguzi wa mambo Maoni ya Mhariri 4
Mbunge wa Kyela Mhe. Dr. kuwa anaumiliki wa kampuni wanaamini kuwa ushujaa wa
Harrison Mwakyembe kesho ya kufua umeme na ya kuwa Dk. Mwakyembe kuishambulia Nguvu ya Hoja 4,5
asubuhi anatarajiwa kuzun- hakutangaza maslahi hayo kampuni ya Richmond, na
gumza na waandishi wa habari wakati anaongoza Kamati baadaye Dowans, unatokana Da’Jessy: na “Umodo”? 5
jijini Dar-es-Salaam katika kile Teule ya Bunge iliyoundwa na mgongano wa kimaslahi.
kinachotarajiwa kujibu madai kuchungwa kampuni ya ku- Picha, Katuni na Maoni 6
yaliyotolewa kwenye gazeti la zalisha umeme ya Richmond. Katika taarifa (inaendelea Uk. 2)
UKURASA WA 2 CHECHE ZA FIKRA

PORTEK NA DOWANS
zinaonesha kuwa anuani ya kampuni Bw. Rostam na ambaye sasa amepata zote zinazunguka katika shughuli za
hiyo ya Portek ni PORTEK SYSTEMS AND wadhifa Ikulu. Katika makala yake hiyo mambo ya bandarini, na hasa katika suala
EQUIPEMENT LIMITED mwandishi huyo aliandika ifuatavyo ku- la kuleta teknolojia ya kisasa katika ma-
20 HARBOUR DRIVE #02-01 PSA VISTA husu kampuni ya Portek yenye hisa tumizi ya kuhamisha mizigo bandarini.
SINGAPORE 117 612. Anuani hiyo ni kwenye DTL: Jina la kampuni hiyo lingeweza kuwa is-
kweli ni ya kampuni tanzu ya yenye jina hara tangu mwanzo “Portek” yaani “Port
hilo ambayo kampuni yake mama “ Nayo nguvu ya kampuni ya Portek Technology”. Kuna kampuni nyingine ya
inaitwa Portek International. inafanya biashara ya uzalishaji wa umeme, vyuma ya Marekani inayotumia jina la
uandisi wa umeme, uandisi wa gesi na “Portec” na nyingine inayotengeneza
Kuwa kampuni ya Portek ya Indonesia mafuta, na uandisi wa jumla, Kampuni mikanda ya mashine mbalimbali.na bila
yenye anuani hiyo hapo juu ndiyo hiyo imeorodheshwa katika Soko la Mitaji ya yashaka sababu pia ya kutafautisha
mwekezaji wa kwenye Dowans haina la Singapore na ina shughuli katika nchi majina.
utata kwani hilo liliwahi kuandikwa na nyingi duniani zikiwamo Singapore yen-
mojawapo ya magazeti mashuhuri yewe, Australia, UAE, China, Algeria, Indo-
nchini tena na mwandishi makini. nesia, Uingereza, Pakistan, Korea Kusini, Tovuti ya kampuni hiyo inasema hivi ku-
Uchunguzi wetu unaonesha kuwa wa- Taiwan, Marekani, Peru, Malaysia, Luxem- husu shughuli zake “The Portek Group,
kati kampuni ya Dowans ilipoingia bourg na Italia. established in 1988 and headquartered in
nchini gazeti moja linalomilikiwa na Singapore, has emerged as a global spe-
Mbunge wa Igunga Mhe. Rostam Aziz Kwa pamoja Portek na Dowans zimeshiriki cialist provider of solutions to the port
ambaye ndiye aliyetoa mwaliko kwa Bw. kuendesha miradi ya pamoja katika
industry. We are able to deliver both ca-
Al-Adawi kuingia nchini liliandika ku- nishati, kuendesha bandari, kuzalisha
husu makampuni mawili yaliyona hisa umeme, na kushirikiana katika biashara ya pacity and productivity to port operators
kwenye kampuni ya Dowans Tanzania kukodisha mitambo mikubwa ya ujenzi na by enabling them to gear up and stream-
Limited. shughuli nyingine.” (msisitizo wetu) line their operations over a relatively short
period of time. Portek's range of compe-
Vyanzo vyetu vya kuaminika kabisa Bahati mbaya uchunguzi wa Cheche ume- tencies includes turnkey engineering solu-
vimedai kuwa mwandishi wa makala onesha pasipo shaka kuwa kampuni ya
hiyo ya kuipamba Dowans alikuwa Portek haijihusishi na mamnbo ya uzal- tions such as port equipment modernisa-
mwandishi wa habari wa siku nyingi ishaji umeme mahali popote duniani. Kwa tion, modification and maintenance,
nchini ambaye alikuwa mwajiriwa wa mujibu wa kampuni hiyo shughuli zake equipment leasing and sale, and distribu-

MWAKYEMBE KUJIBU GAZETI LA MTANZANIA


hiyo gazeti hilo ambalo linatajwa boni jioni hii hai- kyembe baadaye leo yatakata ule “mzizi
umilikiwa na Mbunge wa Igunga ambaye jawekwa sawa wa fitina”.
alihusika katika kuikaribisha kampuni ya mkutano huo uta-
Dowans nchini Mhe. Rostam Aziz "Dk. fanyika wapi lakini Ripoti ya Kamati Teule ya Bunge ilitoa
Mwakyembe na wenzake walianzisha muda uliopangwa wito kwa Waziri Mkuu kupima kuhusika
kampuni yao kabla ya ujio wa kampuni hadi hivi sasa ni saa kwa ofisi yake na yeye mwenyewe
iliyozua utata mkubwa wa Richmond. nne za asubuhi. katika suala la Richmond na kuamua
Matarajio yao yalikuwa kwamba wazal- kuchukua hatua zinazopasa. Aliyekuwa
ishe umeme na kisha waiuzie Tanesco, Mjadala wa kuhusu Waziri Mkuu baada ya kupima tuhuma
lakini ujio wa Richmond ulionekana ku- Dr. Mwakyembe dhidi yake na ofisi yake aliamua ku-
taka kuwakwaza. Richmond ilisababisha umeibua gumzo jiuzulu nafasi yake na kusababisha
aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa, kubwa kwenye baraza la Mawaziri kuvunjika.
ajiuzulu Februari mwaka jana." mtandao na mi-
taani ambapo watu mbalimbali wameone- Tangu wakati huo kuna kila dalili kuwa
Kutokana na madai hayo na mengine sha kuamini taarifa za awali huku baadhi Bunge la Muungano limegawanyika
mengi yaliyomo kwenye taarifa ya gazeti yao wakimtaka ajiuzulu kutokana na kati ya kambi ya “Lowassa” na kambi ya
hilo, vyanzo vya karibu vya Dr. Mwa- “mgongano huo wa maslahi” “Mwakyembe”. Kambi hizi mbili zime-
kyembe (Pichani) vimeiambia KLHN kuwa kuwa zikirushiana madongo kila wan-
Dr. Mwakyembe atatoa maelezo yake na Hata hivyo sauti chache zimetoa wito wa apopoata nafasi. Ni wazi kuwa leo tena
vinasema kuwa "mstari uliokuwa hau- kutaka watu wasubihri kusikia majibu na tunaweza kushuhudia hoja nzito zaidi
vukwi kesho utavukwa". maelezo ya Bw. Mwakyembe kuhusu madai ambazo zinaweza kabisa kuvuka mi-
hayo. paka na kuleta mgongano wa kambi
Mmoja wa watu wa karibu wa Mwa- hizi katika mahakama zetu. Yetu ma-
kyembe wameiambia KLHN kuwa "Dokta Wapo wanaomini kuwa kwa namna fulani cho.
atawatolea uvivu kesho". Alipobanwa kama ni kweli Dr. Mwakyembe hakutan-
kuelezea ni kwa jinsi gani uvivu huo uta- gaza maslahi yake yawezekana amejiweka
tolewa jamaa huyo alikataa na kusema kwenye nafasi ngumu. Wengine hata hivyo
"subirini kesho". Hadi tunakwenda mitam- wanaamini kuwa maelezo ya Dr. Mwa- KARIBU MWANAKIJIJI.
JUZUU 8, TOLEO 31 UK.3
PORTEK NA DOWANS
tion of components and parts.” tumepata nakala za ripoti zake za kifedha za mwaka 2007 pia ilileta mawinchi ma-
mwaka 2006, 2007, na 2008. Katika ripoti kubwa 2 kuja bandari ya Dar-Es-
Yaani, “Kampuni ya Portek, iliyoan-
hizo ambazo zinatakiwa ziwe na taarifa zote Salaam. Uchunguzi wetu unaonesha
zishwa mwaka 1988 na yenye makao
za kampuni kuhusu mapato yake, shughuli kuwa mawinchi hayo yanatumiwa

Kielelezo 1
makuu huko Singapore imeibuka kuwa zake, leo hii na kampuni ya kupakua mizigo
ni kinara katika kuleta utatuzi wa madeni n.k Jina la kampuni ya Dowans Tan- ya TICTS. Mmoja wa wamiliki wa kam-
shughuli mbalimbali za bandarini. zania Limited halionekani. puni hiyo ambaye alitimuliwa na Bodi
Tunaweza kuwapatia yote mawili yaani yake ni aliyekuwa Waziri wa Nishati
Kwa mwaka wa 2007 na 2008 kampuni ya na Madini Bw. Nazir Karamagi.
uwezo na uzalishaji mzuri wale wana-
Portek Systems and Equipment Ltd ambayo
oendesha bandari kwa kuwawezesha
ndiyo tumeambiwa imewekeza kwenye Katika kuhakikisha habari za wachun-
kuboresha na kurahisisha utendaji wao
Dowans chini yake yapo makampuni mach- guzi wetu tuliwasiliana na mmoja wa
ndani ya muda mfupi. Kati ya mambo
ache tu na kutoka Afrika iko kampuni moja maafisa wa shirika la Portek huko In-
ambayo Portek inaweza kufanya ni
tu ambayo wao wana hisa, na kampuni hiyo donesia na kumuuliza kuhusu umiliki
pamoja na miradi ya kujenga na kukod-
iko Algeria. wa kampuni yake naye alionesha ku-
isha kama vile kupyaisha vifaa mbalim-
shangazwa na habari hiyo kwani al-
bali, kurekebisha na kutengeneza, ku-
Ukiangalia kielelezo 1 cha mwaka 2007 kam- isema wazi kabisa kuwa kampuni yao
kodisha vifaa na kuuza, kusambaza vi-
puni ya Portek Systems and Equipment Ltd haijawekeza kwenye uzalishaji
faa vya ndani vya mashine na vipuri.”
ilikuwa na makampuni 5 chini yake na kiasi umeme mahali popote kwani kufanya
cha hisa pia kinaweza kuonekana. Dowans hivyo itakuwaa ni nje ya majukumu
Katika maelezo yake hakuna mahali
Tanzania Limited haipo! Ripoti yao ya ya familiar ya mmiliki wa kampuni
popote panapoonesha kuwa kampuni
mwaka 2008 nayo (kielelezo 2) nayo ni hiyo.
hii inahusiana na nishati. Cha kushan-
hivyo hivyo inaorodhesha makampuni yali-
gaza zaidi ni kuwa katika makala hiyo
yokuwa chini ya PSE Ltd kwa mwaka huo Mtindo huu wa wawekezaji kuja
mwandishi aliripoti ifuatavyo “Kwa
pamoja na hisa zake, ni yale yale 5. nchini huku wamebeba majina ma-
pamoja Portek na Dowans zimeshiriki
kubwa ndiyo ulitumiwa pia na kam-
kuendesha miradi ya pamoja katika Katika uchunguzi wetu tulijaribu kufuatilia ni puni ya Richmond ambayo kwa mu-
nishati, kuendesha bandari, kuzalisha kwanini wajanja walitumia jina la kampuni jibu wa ripoti ya Kamati Teule ya
umeme, na kushirikiana katika biashara hiyo kubwa na kuliweka katika Dowans Tan- Bunge. Katika taarifa yake iliyosomwa
ya kukodisha mitambo mikubwa ya zania Limited? Uchunguzi wetu unaonesha na mwenyekiti wake Dr. Harrison
ujenzi na shughuli nyingine.” Hata kuwa kati ya mwaka 2006 na 2008 kampuni
hivyo hakuna mfano wa mahali popote ya Portek ilisafarisha mitambo (cranes) za
duniani ambapo makampuni hayo
Soma
kutumika katika bandari ya Dar (kitu am-
yamewahi kufanya mradi wowote. bacho ni kazi yao).
Katika kuhakikisha kama kampuni ya
Portek inahisa zozote katika Dowans,
Mwaka 2008 ilisafarisha mawinchi ya
kawaida kutoka Indonesia kuja Tanzania na
bure
UKURASA WA 4 CHECHE ZA FIKRA

HOJA YA MWANAKIJIJI:TUTATOKA KWELI HAPA?

Mwakyembe kamati hiyo ilidokeza


kuwa “viongozi wote wa Serikali
waliohojiwa na Kamati Teule walisisi-
tiza kuwa uamuzi wa kuipa Richmond
Development Company LLC kazi hiyo
ya kuzalisha umeme wa dharura,
ulichangiwa kwa kiasi kikubwa na
madai ya kampuni hiyo kuwa na ubia
na kampuni maarufu ya Pratt & Whit-
ney.”

Hivyo watu wale wale waliojua kuwa


ukija na jina kubwa unapapatikiwa
wakaamua kujibambikiza ubia na
kampuni ya Portek na kuipa “hisa” na
wakajua wakiipamba vizuri basi Wa-
tanzania watakubali tu. Tunaamini
kuwa kuingia kwa Dowans kuliingia
kwa ulaghai (under false pretence) na
ya kuwa hawakuingia wakiwa na nia
ya kuaminiana (good faith). Yote haya nyumba yako. Basi mwizi huyo ukim- Tutakubali kuwaachia majenereta hayo pale
mawili yanatosha kabisa kuilazimisha tumia una haki ya kutaifisha jiwe hilo! tu watakapokuja Portek Systems and Equip-
serikali kuitaifisha mitambo ya Hapa ndipo sera ya kweli ya utaifishaji ment Ltd kutuonesha kuwa ina hisa yoyote
Dowans na kuanza kuitumia bila ku- inapotakiwa kutumika. Tusiache mi- kwenye kampuni ya Dowans Tanzania Lim-
lazimika kulipa chochote! tambo ya Dowans iondoke (tunatoa wito ited ukiondoa kwenye makaratasi ya BRELA.
ulinzi uwekwe hata wa wananchi wen-
Tunaamini mwizi akiingia ndani ya yewe!) na tusikubali kuinunua, bali tuitai- Vinginevyo tunatajia Uamuzi wa kutoi-
nyumba yako kuiba na wakati amein- fishe. zawadia Dowans utasimama bila kujali mtu
gia akaangusha jiwe la almasi, kwenye au kumuogopa mtu.

MAONI YA MHARIRI
Kama tulivyodokeza wiki iliyopita wiki 1000 tu ambao itakuw rahisi kwetu ku- nafasi ya pekee na nzuri ya kuchochea ma-
hizi mbili zitakuwa ni wiki mbili za wasiliana nao na kubadilishana mawazo na badiliko hayo ya kifikra kwani mpango upo
mwisho za kupokea wanachama mijadala mbalimbali. tayari na kwa miaka mitatu tumeweza
wapya ambao wamejiandikisha ku-
kuongoza mjadala huu wa mabadiliko ya
pokea kijarida hiki kwa njia ya mtan- Lengo letu kama tulivyoanisha kwenye ri- kifikra.
dao. poti ya mwaka ya tovuti yetu ya mwanaki-
jiji.com (unaweza kupata nakala yako pale) Tunachosema ni kuwa zimebaki nafasi
Lengo letu toka mwanzo ilikuwa ni ni mwaka huu kutoka kulalamika na chache tu kwa mtu yeyote anayetaka kuji-
kuwa na waliojiandikisha wapatao kuelekea kuhamasika. Ili tuweze kufikia unga nasi kufanya hivyo na baada ya hapo
lengo hilo tunataka tuwe na mahali pa ku- tutakuwwa tunaendelea kupeana taarifa ya
SWALI LA WIKI: weza kukusanya uwezo, elimu na vipaji nini tunafanya na kubadilishana mawazo
vyetu kuanza kuibadili nchi yetu kuifanya tufanyeje kitu hicho.
Serikali kupitia Waziri wa Nishati na vile tunavyotaka au tamani iwe.
Madini Mhe. William Ngeleja imetaka Jiunge nasi kwa kuniandikia barua pepe
wananchi tusitishe mjadala wa Katika hili hatuzungumzii suala la kisiasa kwa anuani ya mhariri@klhnews.com na
Dowans. Imetutaka tuufunge mjadala bali masuala ya kijamii na kujitolea. Tuna tutafurahi kwa wewe kuwa mmoja wetu.
huo. Je unakubaliana na wito huo uhakika wapo Watanzania wengi ambao
kwamba haya ya Dowans tuwaachie wanasubiri nafasi au uratibu wa kitu cha
tu serikali wafikie maamuzi bila ku- kufanya ili na wao watoe mchango ambao
fanya sauti zetu nasi zisikike? wamekuwa wakiutamani.

majibu yako: mhariri@klhnews.com Hivyo, sisi tunaamini kabisa kuwa tuna


JUZUU 8, TOLEO 31 UKURASA WA 5

S t e n d i ya U BU N G O : H A D I WAZ I R I M K UU A J E?
Na. M. M. Mwanakijiji kampuni hiyo kupewa tenda hiyo kwa kile kwamba tumefikia mahali pa kuona kuwa
kinachodaiwa kubebwa na watu mbalim- fedha za umma zikichotwa na kutoweka ni
Nimebakia natikisa kichwa baada ya bali. jambo la kawaida tu.
kusoma na kufuatilia Wizara ya Waziri
Mkuu jijini Dar wiki iliyopita. Kilichonis- Cha kushangaza Sasa tumefikia hadi Waziri Mkuu na msa-
hangaza ni maagizo ambayo yame- ni kuwa kwa fara wake aje na kuwaambia watu na akili
tolewa na ripoti ambazo ziliandikwa muda wote huu zao na wengine wanaitwa wasomi kuwa
kuhusu ziara yake hasa linapokuja sua- inajulikana kuwa “hili siyo sahihi”.
lala kukusanya mapato kwenye stendi mahali hapo ha-
ya mabasi ya pale Ubungo. kuna bodi wala Angalia maneno ya Waziri Mkuu “Mimi
utawala unaoele- sijui ni nani anayemiliki ile kampuni, lakini
Katika ziara yake kwenye eneo hilo weka; inajulikana hapa ninachokizungumzia kinahusu
maarufu ambalo kwa wengi ndiyo kuwa kiasi am- maslahi ya umma. Tuone hicho kinacho-
mlango wao wa kuliingia jiji hilo la Kan- bacho wameku- fanyika huko ni kwa maslahi ya nani?”
doro Waziri Mkuu alitoa wito kwa baliana ukilingani- Kwamba hata Waziri Mkuu ameshindwa
Mkaguzi Mkuu wa Mahesabu ya Seri- sha na magari yanayoingia hapo ni ki- kutaja jina la mmiliki wa kampuni hiyo!
kali kufuatilia kituo hicho kuona suala dogo mno, inakuwaje kampuni hiyo
zima la mapato likoje. ikaendelea kufanya shughuli zake? Kama wao wenyewe wanaogopana hivyo
wananchi wakaida itakuwaje?
Kituo cha Mabasi cha Ubungo hakina NI wazi kuwa kuna watu waoga kwenye
bodi inayosimamia wala Kamati lakini Halmashauri ambao wameshindwa kusi- Hata hivyo ni lazima tukubali kuwa an-
inadaiwa kimeweza kuingia mkataba mamia maslahi ya watu wa Dar na taifa. galau sauti za manung’uniko ambayo
na kampuni ya ukusanyaji mapato am- Watu hawa ambao walitakiwa kuweka yamekuwepo kwa muda mrefu zimeanza
bayo hutoa kikasi cha shilingi milioni maslahi ya taifa mbele ni dalili tu ya ubovu kupata msikilizaji. Sijui ni kwa kiasi gani
moja na nusu kwa Halmashauri ya Jiji. tulio nao kwenye masuala ya mikataba. CAG atafuatilia (kwani sioni sheria
inayompa Waziri Mkuu madaraka ya ku-
Kampuni inayosimamia mradi huo Hivi kweli watu hawa wanaweza vipi muagiza CAG kufanya jambo lolote).
inamilikiwa na na mtoto wa kiongozi kuendelea na kazi zao kama kawaida? Bila
wa zamani nchini na Mbunge wa ku- ya shaka wanafanya hivyo kwa sababu Lakini tusipoangalia tutajikuta tunamsubiri
teuliwa Mhe. Kingunge Ngombale hakuna tishio la matokeo mabaya kwao. Waziri Mkuu au Rais kuja kutuambia kitu
Mwiru aitwaye Kinjekitile (Pichani). Kwani ni nani anayekosa fedha hizo? ambacho tayari tunakijua halafu tukabakia
kushangalia kuwa Waziri Mkuu kasema.
Kuanzia kwa kuingia kwa kampuni hiyo Kwao wao hawa serikali ikipoteza fedha Tunaweza kujikuta Waziri Mkuu anakuja
katika mradi huo kumekuwa na la- siyo tatizo. Mawazo ya namna hii tunaya- kutuambia kile ambacho tangu tukiwa wa-
wama na tetesi za ufisadi uliosababisha kuta katika miradi yetu mingi tu kiasi toto tulikuwa tunajua tunapaswa!

DA’JESSY: UNAPOMPIGA ALIYEMPIGA RAIS MSTAAFU!


Na. Jessica L Fundi na imani yake akiruhusiwa kumchapa vibao kinakubalika?
au fimbo mtu anayesema kitu au kufanya
Mtu mnafiki ni vigumu sana kujijua. kitu kinyume cha mafundisho ya dini hiyo Tunaposema kuna haki za binadamu,
Mnafiki ni mtu ambaye wakati basi humu nchini itakuwa mshike mshike.
hatumaanishi “haki za viongozi” au “haki
mwingine anafanya kitu ambacho za wenye madaraka”. Tunaposema haki
anamkataza mwingine kufanya. Naweza kuwa peke yangu za binadamu tunamaana haki za uzao
nikilaani kitendo cha wote wa Adam na Hawa! Maana yake,
Kama Watanzania wengine nilishtu- waumini ambao walijiona Rais Mwinyi hana haki zaidi za binadamu
shwa, kusikitishwa na kuchukizwa na wao ni bora zaidi walipoa- kuliko Mmachinga au Tajiri fulani kuwa
kitendo cha kijana mmoja wiki iliyopita mua kumpiga magumi na ana haki zaidi kuliko masikini “yule”.
wakati wa siku kuu ya maulidi alipoa- mateke na magazeti men-
mua kumchapa kibao Rais Mstaafu gine kuandika ati
Tukitambua hili tutaona kuwa kama wa-
katika hafla ya Maulidi. “yalimuadhibu” kijana huyo wakati alikuwa kubwa waliotuchapa vibao kwa kuiba
tayari mikononi mwao, hakuwa na uwezo mabilioni wanafikishwa mahakamani kwa
Wapo watu ambao wamejaribu ku- wa kukimbia na kulikuwa na maafisa wa heshima zote na wezi wa kuku (kama
tolea mawazo kitendo hicho cha Polisi karibu! ilivyotokea Moshi wiki hii) wanauawa
kishenzi huku wengine wakijaribu ku- papo kwa papo ina maana kuwa sisi ni
halalisha kuwa ni suala la kidini. Sijasikia mtu akitaka watu hawa wachuku- Taifa la wanafiki, tumegeuza vipaumbele
liwe hatua vile vile kwani picha zao zipo na na dhana nzima ya haki za binadamu
Hata hivyo ukweli unabakia kuwa mikanda ya video ipo. Kama waumini hawa imetupita kushoto!
katika Tanzania sheria haiwezi kamwe waliona kuwa kitendo cha kumpiga Rais ni
kuchukuliwa na mtu kwa kisingizio kibovu na hakifai mbele ya jamii kwanini
Email: dajessy@klhnews.com
cha dini. Kama kila mwenye dini yake walifikiri cha kwao cha kumpiga mtuhumiwa
MOTO WA MABADILIKO UMEANZA...
Picha ya Wiki
KATUNI ZA WIKI

Kijana aliyemzaba Mzee Mwinyi akipigwa na yeye

PATA HABARI MOTOMOTO NA MIJADALA

http://www.mwanakijiji.com

Jiandikishe kushiriki mijadala, kupata ha-


bari, kusikiliza muziki masaa 24 na matan-
gazo ya moja kwa moja kila mwishoni mwa
juma.
Ukizungumzia habari, unatuzungumzia

K ut oka kw enye m tand ao


Ni nani kwenye safu ya uongozi Tanza- Hakuna ufisadi bwana, yule Mkurugenzi
nia asiye fisadi? Maana karibu kila kuki- alijichanganya tu katika kutoa maelezo, ma- Cheche za Fikra
cha kuna tuhuma za mafisadi wapya.— kusanyo ambayo si ya mlangoni mimi nilia- Mchapishaji na Mhariri Mtendaji
Nyani Ngabu cha Sh milioni 61 kwa mwezi, lakini siku hizi
nasikia ni milioni 80 kwa mwezi—Mukama M. M. Mwanakijiji
Tutahakikisha Rais Kikwete anatueleza
wamiliki wa Kagoda na wezi wetu wen- Hivi ni uzuri gani au ufanisi upi mkubwa Timu ya Waandishi
gine ni kinanani kwani mabilioni ya uliomfanya JK kukataa Dr Idrissa kujiuzuru
fedha yamechotwa na hatua hazichu-
Benjamin Mwalukasa— Mhariri
pale alipotaka kufanya hivyo? je JK alikuwa
kuliwi huku wengine wakijulikana aanajua kuwa akija mtu mwingine pale
wazi...umaskini wa nchi hii unatokana Freddy Katunzi—Habari za Siasa
TANESCO watashindwa kupanga hivi
na viongozi wetu kupenda ubabena wanavyopanga leo? Idrissa na scandal ya
kuamini watakaa madarakani milele. – Rada bado Rais wetu anamwamini kiasi Mahmoud Rashid—Habari mbalimbali
Freeman Mbowe hicho Idrissa kuja na kututisha kichwa
mchungwa? sawa lakini mungu si Athu- Jessica L. Fundi – Makala
Sio kweli kwamba hakukuwa na ulinzi, mani! - Kite Munganga
lakini yawezekena walijisahau kwa sa-
Kwa kujiandikisha,
babu Mzee Mwinyi alikuwa katika eneo
la usalama wa kutosha, na ni eneo la Hawa watu wanaojiita viongozi wetu in- maoni, habari, na ushauri
ibada ambapo hakuna aliyetegemea abidi wakae chini waaanze kudesa upya
kuwa tukio hilo lingetokea— Waziri maana naona sometimes si kwamba Tuandikie:
Sophia Simba wanafanya makusudi,bali hawajui hata la mhariri@ klhnews.com
kufanya . Kwa hiyo wao ni kuhamisha na
Tuliapa kuilinda Katiba ya nchi hii, hivyo kukariri tu. Wakiulizwa nini kimechangia
umasikini hawajui
Tovuti: http://www.mwanakijiji.com
hakuna tutakayemwogopa katika ku-
tekeleza kazi ila Mwenyezi Mungu tu— —Jmushi 1 Kanusho: Mawazo yanayonukuliwa hay-
VP Shein awakilishi msimamo au mawazo ya mchap-
ishaji na utawala wa kijarida hiki.
TOA NAKALA MOJA

You might also like