Welcome to Scribd, the world's digital library. Read, publish, and share books and documents. See more
Download
Standard view
Full view
of .
Look up keyword
Like this
11Activity
0 of .
Results for:
No results containing your search query
P. 1
ANNUUR 1065

ANNUUR 1065

Ratings: (0)|Views: 5,648|Likes:
Published by MZALENDO.NET
ANNUUR 1065
ANNUUR 1065

More info:

Published by: MZALENDO.NET on Apr 06, 2013
Copyright:Attribution Non-commercial

Availability:

Read on Scribd mobile: iPhone, iPad and Android.
download as PDF, TXT or read online from Scribd
See more
See less

09/23/2013

pdf

text

original

 
ISSN 0856 - 3861 Na. 1065
JAMADUL AWWAL
1434, IJUMAA -APRILI 5 -11, 2013 BEI TShs 500/=, Kshs 50/=
Sauti ya Waislamu
www.annuurpapers.co.tz
(10) HASARA ZA KUTOHIJI ZINATUENEA SOTE!
Mwenyezi Mungu amesema katikaQur’ani,
“…wenye kukufuru kwakutokwenda Hijja (baada ya kupatauwezo), Allah hana haja na viumbe wote!” 
(3:97)Hii ni hatari! Wenye uwezowasipoisimamisha Hijja ipasavyo, Allah Anatughadhibikia sote! Si balaa hili?Tutubu kwa kuhimizana, kushirikiana, nakuhamasishana. Karibuni Ahlu Sunnawal Jamaa. Gharama zote ni Dola
4,300.
Tafadhaliwasiliana nasi ifuatavyo: TanzaniaBara:
0717224437; 0777462022;
Unguja:
0777458075;
Pemba:
0776357117.
 Agizo la Maaskofulazua balaa Mbeya
Msikiti wachomwa moto TundumaMwingine wanusurika kimaajabuIlikuwa kama Ka’ba na Jeshi la Tembo
Hakuna ‘upepo mbaya’ wala shetani Tanzania
Rais Kikwete ‘hajasomewa Itiqaafu’
Ushahidi wa upendeleo huu hapa
Masheikh wetu wanashangaza
sana
 RAIS Jakaya Kikwete
 SHEIKH Khamis Mataka
Soma Uk. 6
Kukamatwa mtuhumiwaMauwaji ya Padiri Mushi
Polisi, DPP : Ni ‘Sarakasi’ na utata mtupu
Je, alikamatwa kumridhisha Kardinali Pengo?
Uamsho wafutiwa kesi
Lakini kitanzi bado kipo shingoni
Na Mwandishi Wetu
MAHAKAMA yaMwanakwerekwe, Zanzibar,imefuta kesi iliyokuwaikiwakabili viongozi kumiwa Jumuiya ya Uamsho,visiwani Zanzibar.
Mahakama hiyo, imefikia
Inaendelea Uk. 3
 BAADHI ya kinamama wa Kiislamu wakishiriki katika zoezi la kuchangia damu salamalililofanyika katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, jijini Dar es Salaam wiki iliyopita. Habari kamili Uk. 12.
 
2
AN-NUUR
JAMADUL AWWAL 1434, IJUMAA APRILI 5-11, 2013
AN-NUUR
S.L.P. 55105, Simu: +022 2400786
Cel: 0784 370 208, 0713 110 148, 0755 260 087 , DSM.
www.annuurpapers.co.tz
E-mail: annuurpapers@yahoo.co.uk
Ofisi zetu zipo: Manzese Tip TopUsangi House (Jengo dogo), barabara ya Morogoro, D'Salaam
MAONI YETU
Tahariri/Habari/Tangazo
KATIKA gazeti laMwananchi la Jumamosiiliyopita ukurasa wa piliipo picha iliyoelezwakuwa ndiyo picha ya siku.Picha hiyo inamwonyeshamtoto mdogo akibusu‘Kinyago’ kilichochongwakuwakilisha mwili waYesu kikiwa kimepigiliwamisumari katika Msalaba.
Maelezo ya picha yakasemakuwa huyo ni muumini waKanisa Katoliki akibusumsalaba alipohudhuria ibadaya Ijumaa Kuu katika Kanisala Msimbazi jijini Dar esSalaam.Tuseme kuwa hakunaMuislamu mwenye tatizona Wakristo kwa vile etiwanaamini kuwa Yesualiyezaliwa na kutahiriwasiku ya Saba na baadaekutundikwa msalabani kuwandiye Mungu Mkuu waomwokozi wao.Waislamu wanawezawasikubaliane na imani hiyokama ambavyo Wakristohawakubali kuwa Munguni Mmoja asiye katikaUtatu kama wanavyoaminiWaislamu, lakini haiwezikuwa sababu ya kugombana.Wakiparurana, basi kunammoja kamdhulumu nakumuonea mwenzake. Nadawa hapo ni kumwambiaanayedhulumu aachedhulma.Baada ya kusema hayo,labda tukumbushe mambomawili. Katika mauwajiya Mwembechai baadhi yavyombo vya habari viliwahikuchapisha picha ya polisialiyeshika rungu akiwakamkwida mtoto mdogo chiniya miaka 10 ambaye (mtotohuyo) anaonekana kushangaatu. Maelezo katika picha hiyoyakasema kuwa hivi ndivyoPolisi walivyozidiwa nguvuna Waislamu (hadi kutumiarisasi za moto na kuuwa.)!Kipo pia kile kisa chawanawake wawili wa Zanzibar (Pemba?) waliotolewa katikavyombo vya habari wakiwawameshika mapanga wakiwa
Kamishna wetu Mussa hayandiyo mliyojifunza kwa FBI?
Yasije tu kuwa yale ya mtoto wa MwembechaiAu wale ‘wanawake magaidi’ walioshika panga
na nyuso za kushangaa naza huzuni. Jeshi la Polisilikasema kuwa hao ni baadhiya ‘magaidi’ waliotakakuvamia vituo vya Polisi nakupora silaha.Kwa leo tuachane na hayomaana Waswahili wanasemayaliyopita si ndwele. Habarizilizopo ni kuwa Jeshi la Polisilimefanikiwa kumkamatamtuhumiwa wa mauwaji yaPadiri Evarist Mushi. Akitoataarifa hiyo kwa vyombo vyahabari, Kamishna wa PolisiZanzibar Mussa Ali Mussaalisema kuwa walifanikiwakumkamata mtuhumiwa huyo baada ya kuchora michoro yasura ya mtu kwa kutumia watuwalioshuhudia tukio kishakuandaa utaratibu ambapowatu mbalimbali walifanyautambuzi wa muhalifu huyo.Swali ambalo pengineWatanzania wangependakujua ni hili: Je, huu ndioutaalamu Polisi wetuwaliojifunza kutoka kwaFBI? Je, wasingewaalika FBI,wasingeweza kufanya mchorohuo na kufanya gwaride lautambuzi?Tunavyojua ni kuwa iliPolisi wamkamate mtu nakumtuhumu kwa uhalifufulani, ni lazima pawe namazingira na sababu za kutoshaza kujenga tuhuma hizo.Matumaini yetu ni kuwa hayoyote yamezingatiwa katikaukamataji ambao tunaambiwakuwa ushafanyika. Lakinila pili ni matarajio yetu piakuwa, taratibu zote za kisheriana haki zitazingatiwa katikakulitizama shauri hili nakwamba Polisi na waendeshamashitaka watafanya kazi yaokitaalamu na kwa uadilifu.Hatutarajii kwamba jambo hili litaongozwa nakuathiriwa na kauli kali kali zaMaaskofu ambao tunaambiwakuwa wameijia juu Serikali.Wala hatudhanii kuja kuonakuwa kuna watuhumiwawamekamatwa huku wenyewena wananchi wanaowafahamuwakibaki wakishangaa kamaalivyokuwa akishangaa yulemtoto aliyedaiwa kuwazidinguvu Polisi Mwembechai!
Itiqaaf zitawafichua viongozi madhalimu
Na Bakari MwakangwaleIMEDAIWA kuwautaratibu unaoendelea waWaislamu kumshitakiaMwenyezi Mungu shidazao, utawafichua viongozimadhalimu.
Ikaelezwa kuwa hiyo nikwa sababu kila aliyedhulumuhuwa na wasiwasi kuwa duaitampata kwa udhalimu wakealiofanya hivyo hatakosakuweweseka.Kwa muda sasa Waislamuwamekuwa wakifanya Ibadaya Itiqaf kila Jumamosi katikaMisikiti mbalimbali ya JijiniDar es Salaam.Wakiongea kwa nyakatitofauti, baadhi ya viongozi waItiqaf, wamesema kimsingidua hizo zimeanza kufanyakazi.Imam wa Msikiti wa Tungi,Temeke Jijini Dar es Salaam,ambao ni moja ya Misikitiuliyofanya Ibada hiyo, SheikhShaaban Ibrahim, amesemaRais Kiwete amekuwakimya muda wote Waislamuwanapolalamika na kuibukasasa baada ya Waislamukuamua kumueleke MwenyeziMungu.Imam Ibrahim, akasemaRais Kikwete, hapaswikuwa na hofu na ibada hiyo,kwani hakuna siku ambayoametajwa kiongozi yoyotewa nchi, katika Itiqaf hizo bali Waislamu wamekuwawakimlilia Mungu wao, baadaya kutumia njia zote kuombahaki zao kukwama.“Sisi tumeamuakumshitakia MwenyeziMungu, kwa ujumla tunaombakatika Itiqaf zetu kuwa kamakuna mtu anaufanyia hilaUislamu na Waislamu wa nchihii, basi Allah (s.w), apinduehila zao na amkuhukumumtu huyo kwa ubaya wake.”Alifafanua Imam Ibrahim.Imam Ibrahim alisema, kwakawaida ya Dua haimgumsimtu ambaye hana tatizohusika, na kama yeye (Rais)anajiona hana mkono katikamadhila yanayowakuta hivisasa Waislamu, hana sababuya kuwa na wasiwasi kwaniMwenyezi Mungu hadhulumumtu.“Tunasema kwa sasamwendo ni wa dua katikausiku wa Itiqaf kila jumamosi,na hatutoacha kwani hakunamwingine wa kumlilia zaidi yaAllah (sw), na Jumamosi ijayo(Kesho) tunaendelea na Itiqaf,katika Msikiti wa Makukura,Buguruni.” Alisema ImamIbrahim.Alisema, hoja ya WaziriMkuu kukutana na viongoziwa dini, ni hoja walishaitoasiku nyingi, lakini katikahatua hiyo, aliasa kuwa pawena mazingatio kwamba haoviongozi wa dini wawe ambaowanakubalika na Umma waKiislamu. Naye Ustadhi Abubakar Shaaban, aliye Mratibu waElimu ya Dini ya KiislamuTemeke, alisema Waislamuhawamlengi mtu katika duazao zinazoendelea hivi sasa, bali ni kwa yoyote yuleanayekusudia kuwafanyiashari Waislamu.“Sisi tunasema kwambaItiqaf zitaendelea sana na badozipo sana lakini si kwa ajiliya mtu fulani, hatumkusudiiMwema (IGP), wala Kova,wala Mh. Rais Kikwete,tunamkusudia yoyote hatakama ni Sheikh wa
Msikiti,anayeufanyia hila Uislamu pamoja na Waislamu.Alisema.Akizungumziamadai kuwa Serikaliinawapendelea Wakristo,Ust. Salim Machano, alisemaWaislamu hawaongei bilakuwa na ushahidi.Alisema,, Waislamuwanavyo vigezo na ushahidini jinsi gani Serikaliinavyo libeba Kanisa nakuwapuuza Waislamu nakwamba kukanusha hojaanakokanusha Rais Kikweteina maana anakana pia kaulizake mwenyewe.Ust. Machano, alianishana kunukuu misaadaambayo Rais, mwenyewealitamka kama msaadakwa Kanisa, kuwa Machi19, 2011, katika shereza kusimikwa AskofuGervance Nyaisonga, RaisKikwete alisema kuwakatika bajeti ya mwaka2010-2011, Makanisayalipewa Tsh. Bil 61.9. Na kwamba katika bajeti2009-2010, Makanisayalipewa Tsh bil. 50, ambapokatika gazeti moja litokalokila siku la Machi 20, 2011,lilinukuliwa likidai kuwakatika kila bajeti ya Serikalikuna asilimia fulani kwaMakanisa kwenda katikasekta ya elimu na afya,kutokana na MoU yamwaka 1992.“JK, anaposema Serikaliyake haipendelei dini yoyoteina maana anayakataamaneno yake? Au mbonalile gazeti lililonukuutaarifa ile hajawahikukanusha. Waislamu siowajinga, anachotakiwani kurekebisha hali hii iliusawa na haki vipatikane.”alis
ema na kuhoji Ust.Machano.
Uongozi wa Masjid Makukura- Buguruni jijini Dar es Salaamunawaarifu Waislamu wote kuwa,kutakuwa na Ibada maalum yaItkaf msikitini hapo.
Siku:
Jumamosi (kesho) tarehe06/04/2013 baada ya swala yaIshaa.
WOTE MNAKARIBISHWA 
WABILLAH TAWFIQ
Itkaf Masjid Makukura
 
3
AN-NUUR
JAMADUL AWWAL 1434, IJUMAA APRILI 5-11, 2013
Habari
 Agizo la Maaskofu lazua balaa Mbeya
AGIZO la Baraza laMaaskofu kuwatakawaumini wao kuchinja nakuacha mara moja kulanyama inayochinjwa naWaislamu, limezua balaamjini Tunduma.
Msikiti mmoja umechomwamoto huku mwingineukinusurika kimaajabu kamailivyonusuriwa Al-Kaabailipovamiwa na Jeshi laTembo.Hayo yametokea kufuatiavurugu zilizotokea juzikutokana na hatua ya baadhiya maaskofu kulazimishaWakristo kuchinja katikamachinjio ya mji.Taarifa kutoka katika mjihuo mdogo wa Tunduma,zimeeleza kuwa, vurugu hizozimeibuka baada ya Maaskofukudaiwa kulazimishakutekeleza maagizo yaBaraza la Maaskofu Taifa(TEC), likiwataka Wakristokuchinja.Taarifa hizo zimeelezakuwa kabla ya kuibuka kwavurugu hizo siku ya Jumatanowiki hii, palifanyika kikao baina ya Mkuu wa Mkoa waMbeya, Bw. Abbas Kandoro,Kamanda wa Polisi mkoa(RPC) pamoja na viongoziwa Dini, Maaskofu naMasheikh.Hata hivyo, Maaskofuhao imedaiwa kugomea raiya Mkuu wa Mkoa, palealipowataka kuwa na subirawakisubiri, wakati Serikaliikilitafutia ufumbuzi sualahilo kitaifa.Katika vurugu hizo, baadhiya mashuhuda wameliezagazeti hili kwa njia ya simukuwa, Msikiti wa Ijumaa,Masjidi Jamaa, mjini hapoulinusurika kuchomwa motona watu wanaodhaniwa kuwani Wakristo, waliokasirikakuzuiwa kuchinja hukuMsikiti mpya ukiharibiwavibaya na kuchomwa moto nawatu hao.“Sijafanya tathmini kamili,kutokana na uharibifu huo,lakini kwa haraka harakaninavyoona hapa inawezakufika kiasi cha Tsh. 12milioni.”Alisema Ustadhi NassoroMsham, akithibitisha uharibifuuliofanywa katika Msikitihuo.Akisimulia tukio hilo,kiongozi wa Masjid Jamaa,Ustadhi Twahir Mussa, alisemavurugu hizo zimetokanana Maaskofu kulazimishakuchinja, na kukaidi maelezoya Mkuu wa Mkoa Bw. AbbasKandoro.
Na Bakari Mwakangwale
Alisema, kabla ya vuruguhizo palifanyika kikao kikubwaMjini hapo kilichoshirikishaMkuu wa Mkoa, Kamandawa Polisi Mkoa (RPC), namaofisa wengine wa Mkoakwa ujumla.Alisema Ust. Twahir,kwamba katika kikao hicho,kilichofanyika katika Hoteliya Ukinga Hill, Mkuu waMkoa, Bw. Kandoro, alisisitizakuheshimu maamuzi yaSerikali, kwamba sualala kuchinja libaki kamalilivyokuwa awali wakatilikitafutiwa ufumbuzi wake.“Maaskofu walimjibuMkuu wa Mkoa kuwa waowamepata maagizo kutokakwa viongozi wao wa Barazala Maaskofu Tanzania(TEC), na waliisoma baruaya maagizo hayo mbele yaMkuu wa Mkoa, Bw. AbbasKandoro, na RPC.” AlisemaUst. Twahir.Imedaiwa kuwa baadaya hapo Wakristo haowalifanya nguvu kuchinjasiku ya Jumatatu na Jumanne, bila kuruhusiwa baada yakuhamasishwa na Maaskofuwao wa Taifa.Ustadh Twahir alisemawale waliogoma kuchinjiwa naWaislamu, walinukuu maagizoya Maaskofu wao kuwa nimarufuku kula kilichochinjwana Muislamu, hivyo walidaihawawezi kwenda kinyumena viongozi wao.Twahir alisema baada yakugomewa kuchinja, walianzakufanya fujo mitaani nachaajabu alidai fujo hizozilielekezwa katika Misikitihapo mjini.Alisema, kundi kubwa laWakristo walivamia MsikitiMkuu wa Ijumaa, MasjidJamaa, wakiwa na matairiya magari na petroli, lakinizoezi la kuwasha motolilishindikana kwa Kudra zaMwenyezi Mungu.“Matairi yalikuwa yanatoamoshi tu bila kuwaka, mpakawalipofika askari na kuanzakuwakamata na kuwatawanya,na wengine wakakimbia.”Alisema Ustadh Twahir. Nassoro Msham, aliyemsimamizi wa Msikitiuliovunjwa na kuchomwamoto, alisema Msikitiumebomolewa kuta, milangona madirisha sambamba nakuchomwa moto, majira yasaa saba mchana siku yaJumatano.Ust. Mussa, alisema Msikitihuo umejengwa kwa nguvu zaWaislamu, katika harakati zakuongeza nyumba za Ibadakwa Waislamu, pamoja namafundi wanaojenga barabaraiendayo Sumbawanga.Kwa upande wake alisema,sababu kubwa za vuruguhizo ni mvutano wa sualala kuchinja, ambapo alifikaMkuu wa Mkoa na kukutanana viongozi wote wa Dini, nakatika kikao hicho, alishaurisuala hilo wasubiri maamuziya ngazi za juu baada yaWaziri Mkuu kukutana naviongozi wa Dini.Lakini alisema, Wakristohawakukubaliana na maelezohayo ya Mkuu wa MkoaBw. Abasi Kandoro, ambaposiku ya Jumatano wiki hii,walikusanya ng’ombe waona kwenda machinjioni, lakiniilishindikana wao kuchinjakutokna na ulinzi kuwamkali.“Waliposhindwa hukosasa walirudi huku mjini kwa jaziba na hasira, walianzakufanya maandamano nafujo za kila aina, kwakwelihali ilikuwa ni mbaya kwasiku nzima hapa Tunduma.”Alisema Ustadh Mussa.Ustadh Mussa alisemavurugu hizo zilizidi naWakristo hao walianzakuelekea katika Misikiti yaMjini na kuvamia MsikitiMkubwa wa Ijumaa.Alisema, baada yakushindwa kuudhuru Msikitihuo, ambapo moto waliowashaulikuwa ukigoma kuwakakuchoma Msikiti, ndipowalielekea katika Msikitiuliopo mbali kidogo na eneohilo la mjini, katika Msikitimpya uliokuwa ukiendeleakujengwa, wakiwa namashoka, mapanga na mawe pamoja na vyuma.“Huu Msikiti ulikuwa katikahatua za mwisho za ujenzi,ulikuwa ushapigwa bati, plasta, na kuwekwa milangona madirisha, tulikuwa katikahatua ya kuweka sakafutumalizie, sasa wamechomamoto bati zimeungua na chinikumebomolewa.” AlisemaUstadh Masham.Alisema, wakati tukiohilo likitokea, la kuchomana kuvunja Msikiti huo,Waislamu walikuwa eneola mjini wakilinda Misikitihiyo, na hawakudhania kuwaWakristo hao watafika hukokutokana na umbali wake.Alipoulizwa kama kunaWaislamu waliokamatwakatika vurugu hizo, alisemakatika tukio hilo Waislamu,hawakujibu mashambulizi, bali muda mwingi walikuwaMsikitini pasi na kutoka.
Uamsho wafutiwa kesi
Inatoka Uk. 3
uwamuzi huo wakativiongozi hao walipofikishwaMahakamani hapo mapemawiki hii.Katika kesi hiyo,watuhumiwa walidaiwa kuwawalitoa matamko ya uchocheziyanayohatarisha uvunjifu waamani na kusababisha fujo.Hakimu Ame Msaraka Pinjaamesema kuwa ameamuakufuta kesi hiyo kutokanana upande wa mashitakakushindwa kukamilishaushahidi wa kuwatia hatianiwatuhumiwa.Hata hivyo, Masheikh hao bado wanaendelea kuweporumande kutokana na kesinyingine inayowakabili iliyokatika Mahakama Kuu Vuga.Hiyo ndiyo kesi ambayoMwendesha Mashitaka Mkuuwa Serikali, DPP, amezuiyadhamana.Pamoja na kesi hiyo katikaMahakama Kuu, zipo pia kesinyingine mbili zinazohusianana maandamano na mihadharazilizopo katika Mahakamaza Mwanakwerekwe naMfenesini.
Kukamatwa mtuhumiwaMauwaji ya Padiri Mushi
Na Mwandishi Wetu
WAKATI Mahakama KuuZanzibar ikiamuru kuletwamahakamani kwa mtuhumiwawa mauaji ya Padri EvaristusMushi, utata mkubwaumegubika suala la kukamtwamtu huyo baada ya Ofisi yaMkurugenzi wa Mashitaka(DPP) Zanzibar kuinyimaPolisi kibali cha kumfikishamahakamani.
Mtuhumiwa huyo Omar Mussa Makame (37) aliyekuwamgombea uwakilishi wa Jimbola Rahaleo katika UchaguziMkuu wa mwaka 2010 kupitiatiketi ya Chama cha Wananchi(CUF) bado anashikiliwa na polisi Zanzibar na anatetewa naKampuni ya Uwakili ya AJMSolicitors and Advocate.Mtu huyo, Omar MussaMakame wa Zanzibar alitarajiwakupandishwa kizimbani juzi,lakini ofisi ya DPP ilikataakutoa kibali kwa Polisi kufanyahivyo.Awali Kamishna wa PolisiZanzibar, Mussa Ali Mussaalisema kuwa wameshindwakumfikisha mahakamanimtuhumiwa huyo kwa vile DPPhakuwapa kibali.Alipoulizwa sababu ambazozimemfanya DPP asitoe kibalihicho, alisema ni vyemaakaulizwa yeye mwenyewekwani ndiye aliyetoa sababuhizo.Mkurugenzi wa MashitakaZanzibar, Ibrahim Mzee Ibrahimalipofuatwa ofisini kwake juziilielezwa kuwa yuko kwenyemkutano na mwandishi wa habarihizi akalazimika kumuandikia juu ya suala hilo kupitia kwaKatibu Muhtasi wake.Alijibu kwa njia ya maandishimajibu yake yakiwa na manenomatatu tu: “Kamuone KamishnaMussa”.Alipoandikiwa tena kuwaKamishna Mussa ndiye aliyesemaaulizwe yeye kwani ndiyeuliyetoa sababu alijibu kupitiakwa Katibu Muhtasi wake:“Yeye (Kamishna) anazijuasababu kwa nini hataki kuzisema? Nendeni kwake mukamuulize”.Alipoulizwa mara ya pili juuya majibu hayo ya DPP Ibrahim,Kamishna Mussa alisemakwamba yeye hawezi kujibumambo ya mtu mwingine.“Ndio majibu yake ninayo,lakini yeye (DPP) ndiye aliyetoasababu kwa hiyo ndiyo yeyeanayetakiwa kuzisema sio mimi,nadhani hii ndiyo haki, asememwenyewe,” alisema KamishanaMussa.Mtuhumiwa huyo yukomikononi mwa Polisi tangu Machi17 mwaka huu alipokamatwakuhusiana na mauaji hayo yaPadre Mushi aliyeuawa Februari17 mwaka huu wakati akiendakuongoza ibada katika Kanisala Mtakatifu Teresia liliopo Beitel Raas nje kidogo ya mji waZanzibar.Kwa upande mwingine, juzimchana wakili wa Kampuniinayomtetea mtuhumiwa,Abdalah Juma Mohamedaliwasilisha Mahakama Kuu yaZanzibar maombi ya HabeasCorpus Application chini yakifungu cha 390 cha Sheria
Inaendelea Uk. 5

Activity (11)

You've already reviewed this. Edit your review.
1 thousand reads
1 hundred reads
Abdalah Kileo liked this
Salim Ahnmed liked this

You're Reading a Free Preview

Download
scribd
/*********** DO NOT ALTER ANYTHING BELOW THIS LINE ! ************/ var s_code=s.t();if(s_code)document.write(s_code)//-->