Welcome to Scribd, the world's digital library. Read, publish, and share books and documents. See more
Download
Standard view
Full view
of .
Look up keyword
Like this
3Activity
0 of .
Results for:
No results containing your search query
P. 1
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI-TIGO KIGOMA.docx

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI-TIGO KIGOMA.docx

Ratings: (0)|Views: 3,223|Likes:
Published by Othman Michuzi

More info:

Published by: Othman Michuzi on Apr 08, 2013
Copyright:Attribution Non-commercial

Availability:

Read on Scribd mobile: iPhone, iPad and Android.
download as DOCX, PDF, TXT or read online from Scribd
See more
See less

04/08/2013

pdf

text

original

 
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tigo yawekeza kuunganisha watu wa vijijini na kuboresha huduma zake
Kasulu, Kigoma Tanzania, 06th April 2013:
Tigo Tanzania leo wametangaza mipango yao ya kuwekezakatika upanuzi wa mtandao wake ili kuongeza kiwango cha ubora na upatikanaji wa mtandao huo nchinikote. Upanuzi huo pia utakwenda sambamba na kujenga miundombinu mipya ya mawasiliano hasakatika maeneo ya vijijini, kuleta mawasiliano kwa maelfu ya watu. Minara mipya ya mawasilianoitajengwa nchi nzima ambapo mradi huo utaanzia katika maeneo kama Mwanza, Tabora, Kigoma, Marana Kagera.Kwa kuanzia mkoa wa Kigoma Tigo imeboresha mtandao kwaku zindua minara mitatu (3) katika Tarafaya Mwandiga wilaya ya Kigoma vijijini,Kata ya Muyama wiliaya mpya ya Buhigwe na Kazuramimbawilaya ya Uvinza.Akizindua Minara hiyo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mh. Issa Mashibya ,Mkuu wa Wilaya yaBuhigwe Mh.Charles Gishuli alisema Uzinduzi wa minara hii mipya wa mawasiliano hapa leo hiiitatuwezesha kutumia mtandao wa Tigo kwa kutoa mawasiliano yenye ubora wa hali ya juu hivyokufurahia zaidi mawasiliano ya simu zetu za mkononi. Matumaini na imani yangu kuwa, hii ni mojawapoya mambo mengi mazuri kutoka Tigo na ninatarajia mambo mengine makubwa na mazuri zaidi kujakupitia mtandao huu kwa siku zijazo.Akitangaza mradi huo, kwa niaba ya Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Meneja wa Kanda ya Ziwa Bw.Joseph Mutalemwa
alisema “Tigo Tanzania imeendelea kukua kwa kasi mwaka hadi mwaka. Bidhaa zetu
za kipekee na huduma pamoja na kuongezeka kwa wateja ni ushahidi wa wazi kabisa wa kukua kwetu.Uzinduzi wa minara hii mipya utawezesha kuwapatia wateja wetu bidhaa bora za kipekee zilizobuniwakatika ubora wa hali ya juu ili wateja wetu waweze kunufaika na huduma na bidhaa zenye kiwango chahali ya juu kabisa kwa hatua mpya. Hii ndio dhamira yetu ambayo imetufanya tuendelee kuwa kampuni
inayoongoza ya mtandao wa simu za mkononi Tanzania.”
 Kwa kanda ya Ziwa Tigo ina mpango wa kuboresha minara 141 hadi kufikia mwezi septemba ambapotayari minara 17 imeshawaka, kati ya hii 17, mitatu (3) ndiyo iliyozinduliwa Kigoma na lengo kubwanikuwasha minara 24 kwa mkoa wa Kigoma.

You're Reading a Free Preview

Download
scribd
/*********** DO NOT ALTER ANYTHING BELOW THIS LINE ! ************/ var s_code=s.t();if(s_code)document.write(s_code)//-->