You are on page 1of 3

BIAFRA SPORTS CLUB

P. O. BOX 75333 DAR ES SALAAM, ISERE STREET, KINONDONI B,


CONTACTS (MOBILE PHONE): 255 715 253 653, 255 717 375 375
EMAIL: biafra.jsclub@gmail.com BLOG: www.biafrajogging.blogspot.com

FOMU YA KUBAINI MAHITAJI YA MAFUNZO KWA


WANACHAMA

Katika kutimiza malengo yake ya kutoa fursa za mafunzo kwa wanachama


wake, klabu imeandaa fomu hii ambayo itabainisha mahitaji ya
mwanachama mmoja mmoja na hatimaye kuunganishwa katika vikundi kwa
ajili ya kupatiwa mafunzo mbalimbali kulingana na mahitaji, uwezo wa klabu
na mwanachama mwenyewe pamoja na fursa zingine zilizopo. Mwanachama
anapaswa kujaza fomu hii katika vipengele vyote. Mara baada ya kuijaza,
fomu itarudishwa kwa katibu mkuu wa klabu na hatimaye kamati ya utendaji
kwa kushirikiana na kamati zingine za klabu kwa ajili ya utekelezaji.
1.0.Taarifa binafsi
1.1.
Jina
la
Mwanachama
(andika
matatu) .................................................................

1.2.
Tarehe ya kuzaliwa ..............
mwaka ................................

1.3.

mwezi

majina

..................................,

Jinsia: Mke [ ] Mme [ ]

1.4.
Namba
ya
kadi/kitambulisho
uanachama .................................................................

1.5.
Tarehe
ya
kujiunga
klabu ............................................................................................

cha

na

2.0.Taarifa ya elimu
2.1.
Kiwango
cha
juu
elimu ...................................................................................................
..

2.2.
Shule/chuo
ulichosoma ..........................................................................................
.........

2.3.
Mwaka
wa
kumaliza ..............................................................................................
..........

3.0. Taarifa ya ajira na ujuzi/weledi


3.1.

Umeajiriwa [

] Umejiajiri [

3.2.

Kazi/biashara
unayofanya ....................................................................................
....

3.3.

Mahali
unapofanya
kazi/biashara ............................................................................

3.4.

Taaluma/ujuzi/weledi
wako ....................................................................................

4.0. Taarifa ya mahitaji ya mafunzo


4.1.

Fursa
ya
mafunzo
itolewapo,
nini? ........................................

ungependa

kujifunza

4.2.

Toa maelezo kwa kifupi ya kwa nini ungependa kujifunza (hicho


ulichojaza
hapo
juu) ................................................................................................
...........................
.......................................................................................................
.......................................................................................................
.......................................................................................................
.......................................................................................................
.......................................................................................................
.....

4.3.

Je, unaweza kufundisha wengine ulichojifunza kupitia mpango


huu
wa
mafunzo
kwa
wanachama
AU
kupitia
taaluma/ujuzi/weledi wako? Ndio [ ] hapana [ ]

4.4.

Kama ikibidi kulipia, una uwezo wa kuchangia gharama za


mafunzo? Ndio [ ] hapana [ ]

Ahsante kwa ushirikiano.

You might also like