Welcome to Scribd. Sign in or start your free trial to enjoy unlimited e-books, audiobooks & documents.Find out more
Download
Standard view
Full view
of .
Look up keyword
Like this
3Activity
0 of .
Results for:
No results containing your search query
P. 1
ANNUUR 1066

ANNUUR 1066

Ratings: (0)|Views: 2,856|Likes:
Published by Hassan Mussa Khamis
Gazeti la kila wiki la Annur
Gazeti la kila wiki la Annur

More info:

Published by: Hassan Mussa Khamis on Apr 12, 2013
Copyright:Attribution Non-commercial

Availability:

Read on Scribd mobile: iPhone, iPad and Android.
download as PDF, TXT or read online from Scribd
See more
See less

09/07/2014

pdf

text

original

 
ISSN 0856 - 3861 Na. 1066
JAMADUL AWWAL
1434, IJUMAA -APRILI 12-18, 2013 BEI TShs 500/=, Kshs 50/=
Sauti ya Waislamu
www.annuurpapers.co.tz
(11) WAISLAMU TUITUKUZE HIJJA!
Katika Alama na Vitakatifu vya Allahambavyo Ameonya visivunjiwe heshima,bali vitukuzwe, vingi sana vinapatikanaMakka na Madina (Qur’ani, 5:2, 22:30).Kwa nini basi waislamu tusiitukuzesana Hijja! Bila shaka Allah Atafurahina kuridhika sana na sisi, na makafiriwatachukiwasana. Jiandikishe leo Ahlu Sunna wal Jamaa. Gharamazote ni Dola 4,300. Tafadhaliwasiliananasi ifuatavyo: Tanzania Bara:0717224437; 0777462022;Unguja:0777458075;Pemba: 0776357117.
TUSIPOKUWAmakini, punde tuZanzibar itakuwamaarufu kama ilivyoAfghanstan, Iraq naSyria!
Hapo ‘wabaya’ wetuwatapata sababu zakutosha za kuifanya
Zanzibar tusikubalikufanywa makuchi
Wanataka tuwe maarufu kama AfghanistanWalete majeshi, misaada, kutufanya koloniAsili, utamaduni wa Mzanzibari utoweke
Zanzibar kuwa Mkoa auhata Wilaya.Utamaduni na asili yaZanzibar ndo itapoteakabisa.Tusikubali kufanywamakuchi tukapiganishwasie kwa sie.
 (Soma Uk. 6)
Umoja wa Makanisa wamsukia kitanzi Kikwete
‘Wamshitaki’ kwa Waziri Emmanuel NchimbiWasema anaendesha ugaidi wa Kiislamu Atakiwa ajiuzulu na Timu yake yote ya Jihad
Kweli Mkapa ana haki ...Uk. 8
 RAIS Mstaafu Benjamin William Mkapa.
WALIOCHOMAMsikiti Tunduma,
Waliochoma Msikiti Tundumahawajafikishwa mahakamani
Na Bakari Mwakangwalebado hawajafikishwamahakamani.
Habari kutoka katika mjihuo mdogo katika Mkoa waMbeya zinafahamisha kuwaJeshi la Polisi, linaendeleakuwashikilia watuhumiwa
45
Inaendelea Uk. 4VIONGOZI wa KiislamuZanzibar walio rumande,watazidi kukaa humo hukudanadana na sarakasi zakisheria mahakamanizikiendelea.
Wataendelea kuwepo humo baada ya haki yao ya dhamana
Kesi ya Masheikh Uamsho
Ni sarakasi, danadana tupu
Mahakama Kuu Vuga yasita kusikilizaYasubiri kauli ya Mahakama ya RufaaKanuni ya haki iliyocheleweshwa….Haifanyi kazi, au haiwahusu Masheikh?
 SHEIKH Farid Had.
Na AlghaithiyyahZanzibarInaendelea Uk. 10
 
2
 AN-NUUR
JAMADUL AWWAL 1434, IJUMAA APRILI 12-18, 2013
AN-NUUR
S.L.P. 55105, Simu: +022 2400786
Cel: 0784 370 208, 0713 110 148, 0755 260 087 , DSM.
www.annuurpapers.co.tz
E-mail: annuurpapers@yahoo.co.uk
Ofisi zetu zipo: Manzese Tip TopUsangi House (Jengo dogo), barabara ya Morogoro, D'Salaam
MAONI YETU
Tahariri/Habari
Mengi kapatia
AKIONGEA na waandishiwa habari mapema wiki hii,Mwenyekiti wa Chama chaWamiliki wa Vyombo vyaHabari Tanzania (Moat),Reginald Mengi, amesemahaoni sababu ya kuwepomazungumzo baina yaviongozi wa Kiislamu naKikristo kuzungumziasuala la kuchinja. Mengiamesema, kuliko kupotezamuda kuzungumzia jambo hilo, ni vema mudahuo ukatumika kufanyamambo ya maana na yamaendeleo.
Reginald Mengiameyasema hayo baada yakuonyesha kuwa haoni kuwakuna sababu ya kuwepomgogoro baina ya Waislamuna Wakristo kutokana nasuala la kuchinja.Akisisitiza kuwa hakunatatizo la msingi akasemakuwa kwa hakika itakuwa ni jambo la aibu kama Waislamuna Wakristo watajeruhianana kutoana roho, kisa nini,kugombea nani achinje.“Mimi ni Mkristo, hojayangu haiingilii undani waimani za watu, lakini kwautaratibu tuliorithishwa nawazee wetu kwa kuwa hadileo haujatuathiri, tunaishikwa amani na umoja, sionisababu ya kuufuta, Waislamuwaendelee kuchinja.”Alisema Mengi.Kwa upande mwingineimeripotiwa kuwa Mufti waBakwata anaunda Tume yakukutana na viongozi waKikristo ili kuzungumzana kuondoa tofautizinazoendelea, moja ikiwa nihilo la kuchinja. Mufti Simbaakasema kuwa anawaombaMaaskofu wawapokeeMasheikh wake na kuwapaushirikiano. Ni ukweli kuwa kamasuala la kuchinja lingekuwana mushkeli kwa upandewa Wakristo kiimani,lisingesubiri mpaka wakatihuu ndio lilipuke. Na msingiwenyewe ni kuwa kiimani,kimafundisho ya Kikristo nakwa mafundisho ya Biblia,Wakristo hawaharibu imanizao wala Ukristo wao kwakula nyama iliyochinjwana Waislamu. Ndio maanaReginald Mengi anasemakuwa “kwa utaratibutuliorithishwa na wazee wetu…hadi leo haujatuathiri,tunaishi kwa amani na umoja”,na kwa hiyo akasema, haoni“sababu ya kuufuta, Waislamuwaendelee kuchinja.”Sisi tunasema swadakta.Amesema kweli ReginaldMengi. Pamoja na elimukidogo ya Biblia tuliyo nayo,lakini tuna uzoefu wa kutosha juu ya Wakristo wa nchi hiiwalivyo wakali na madhubutikatika kupigania haki zao zakidini pamoja na masilahiyao kama Wakristo nawananchi. Japo haliwadhurukiimani, lakini tunaona jinsiwalivyosimama imara kuzuiyaserikali isijiunge na OIC.Tunaona pia jinsi Wakristowalivyokuja juu kuzuiyakurejeshwa kwa Mahakamaya Kadhi nchini mpakaserikali inajikuta haiwezikuwa na maamuzi yakeyenyewe ila ipime kwanza joto la Wakristo.Hawa ndio Wakristo wanchi hii. Kama jambo hililingekuwa na mushkeli katikaimani ya Kikristo, ni wazikuwa tusingefika hapa tulipona utaratibu huu ambaponi Waislamu wanaochinjana kitoweo kuuzwa katikamaduka ya nyama. Walaisingewezekana kwa Wakristowanaojali ujirani, kumwitaMuislamu awachinjie kuku!Sasa ukizingatia hayounaweza kusema kuwawanaofanya jambo hili liwesuala la kuleta mgogoro, wanaagenda yao ambayo inapaswawaulizwe. Kama alivyosematena Mengi, hili si suala lakuwakutanisha Masheikhna Mapadiri kwa sababuhakuna msigano wala utatawa kiimani na mafundisho.Kinachoweza kufanyikani namna mbili. Moja nikwa viongozi wa kanisakuwaelimisha waumini wao juu ya suala hilo. Lakini pili,kama wapo baadhi ya viongoziwa makanisa wanaolichocheana kuwachochea wauminiwao kuleta fujo, basi serikaliishughulike nao. Iwaite, kamakuna vifungu vipya vya Bibliavimekuja juu ya uchinjaji,waonyeshe. La sivyo serikaliiwe na ujasiri wa kuwaambiawaache fujo.Kwa watu walioamuakuleta fujo, watu walioamuakutumia suala la kuchinjakuwafarakanisha Waislamuna Wakristo katika nchi hii, siwatu wa kutulizwa na Timu yaMasheikh wa Mufti Simba.Katika suala la Mahakamaya Kadhi, Waislamu waliundaTimu ya Masheikh (Bakwataikiwemo) ambao wangekutanana Serikali kuzungumzia sualahilo mpaka kupata ufumbuzi.Wakati mchakato ukiendelea,ghafla Mufti akawaachaWaislamu akaungana naSerikali kwenda kutangaza‘Kadhi Mkuu wa Bakwata’.Serikali ikapumua. Sasa kilaanayehoji Mahakama ya Kadhianaonekana kama analetaukorofi kwa sababu Kadhiashapatikana. Maaskofu naowamefurahi kwa sababu hatuaya Mufti Simba kutangazaKadhi Mkuu na Makadhi waMikoa, imevunja nguvu yaWaislamu katika kupiganiakuwepo Mahakama yaKadhi nchini. Kwa manenomengine, alichofanya MuftiSimba ndicho walichotakaMaaskofu. Kwamba iwepoMahakama ya Kadhi kiinimacho. Ambayo haipokisheria, haitambuliki na hainamaana yoyote. Basi ukisikiaMaaskofu wanawasifia baadhi ya Masheikh, hasa waBakwata, ni kwa sababu hii.Wanafanya yale yaliyo namasilahi na Kanisa badala yaUislamu. Na kwa Serikali nihivyo hivyo. Wanawasifia nakuwakumbatia walio tayarikuwatoa muhanga Waislamuna masilahi yao, ilimuradiwao wapendeze mbele yaSerikali.Sasa Mufti wa BakwataSimba anaposema leo kuwaanaunda Tume ya Masheikhitakayokutana na Maaskofuili kuondoa tofauti zilizopo,tofauti zipi. Askofu ganikatika nchi hii anawezakupokea maelekezo kutokakwa Sheikh!Maaskofu walisemahawataki kuiona East AfricaMuslim Welfare Society(EAMWS), ikapigwamarufuku na Nyerere.Wakasema hawataki kuonaOIC wala Mahakama yaKadhi. Imekuwa kamawalivyotaka.Kwa upande mwingine,mwaka jana Mufti Simbaalitoa kauli juu ya OIC naMahakama ya Kadhi pamojana NECTA. Na kuhusu Barazala Mitihani Tanzania (NECTA)akasema kuwa Baraza hilohalionyeshi sura ya kitaifakwa sababu toka limeundwalimesheheni Wakristo watupukatika nafasi zote muhimu.Akataka liundwe upya.Labda Mufti Simbaatuambie, toka ametoa kaulihizo, lipi limetekelezwa kamayanavyotekelezwa yale yaMaaskofu? Kama hakuna,ni kuwa wao Masheikhwakisema wanajisemea tu.Hakuna anayejali kuwa kunamtu anasema na anasemanini! Sasa katika hali kamahiyo unatuma Tume Serikaliniau kwa Maaskofu ukitarajiakupata nini?Sisi tunadhani kama nikukutana na Maaskofu, labdahiyo Tume ya Mufti Simba waBakwata wakawaulize wenzaowa Kikristo, inakuwaje waoMaaskofu wakitaka jambowanasikilizwa na Serikali,lakini wao Masheikhhawasikilizwi wala madaiyao kutekelezwa?Kwa upande mwingine,hatuoni hiyo Timu yaMasheikh wa Mufti waBakwata itapata wapi usona ujasiri wa kukutana naWaislamu kuwaelimisha hichokinachoitwa dhamira nzuri yaMufti Simba maana kama nidhamira nzuri angeionyeshakwa kusimama na Waislamuwenzake katika kupiganiaMahkama ya Kadhi.
AMIR wa Baraza Kuula Jumuiya na Taasisi zaKiislamu (T), Alhaj MussaYusuph Kundecha, amesemaudini nchini Tanzania nisuala kongwe kabla nabaada ya Uhuru.
Amir Kundecha ameyasemahayo mapema wiki hii akiongeana An nuur, kufuatia kauli yaRais Mstaafu wa awamu yatatu, Mh. Benjamin Mkapa,aliyejitapa kwamba, katikautawala wake aliongoza Taifa bila ya ubaguzi wa kidini.Alhaj Kundecha, alisemaunapozungumzia suala laudini humu nchini muhangamkubwa wa suala hilo niMuislamu, kwani kihistoriaudini uliletwa na Wakolonina baada ya hapo umekuwaukiendelezwa na marais wotekatika Tanganyika/Tanzaniahuru.“Suala la udini hapaTanzania ni kongwe, limeanzatoka mkoloni kwani wakatianakuja upande mmojaalikuwa mueneza dini yaKikristo na upande mwingineakiwa na mkataba wakimataifa wa kupewa eneo hilikulitawala, kupitia mkatabawa Berlin.” Alifafanua AmiriKundecha.Amir Kundecha alisemakuwa alichoongea MzeeMkapa ni maneno ya kisiasa,yenye lengo la kuuhadaa
Kundecha apangua kauli ya Mzee Mkapa
Na Bakari Mwakangwale
umma, lakini akamtakaRais huyo Mstaafu (Mkapa)kutambua kuwa uongo wowoteule bila kujali nani amesema,sio msingi wa kuondoatatizo au shida iliyopo, baliunaikawiza tu, lakini kinyumechake ni kulikuza jambo nakuwa kubwa zaidi.Alibainisha kwamba,katika kumbukumbu zake,hakumbuki kama kunautawala ambao Waislamuhawajalalamikia dhulma zaudini dhidi yao na kwa bahatimbaya sana alidai, tawalazote zimekuwa zikiwapuuza, badala ya kufanyia kazi madaihayo.Alisema, tofauti yaawamu hizo ni uzito namadhila ya udini wenyewekwa Waislamu katika kilaawamu kuwa yanatofautianana kwamba alidai hakunaRais, aliyeonyesha dhamiraya dhati ya kuondosha udiniuliopo nchini.Alisema, Mkapa(Benjamin), anayesema leoutawala wake haukuwa naudini yeye ni shahidi nambamoja wa malalamiko yaWaislamu, pale DiamondJubilee, aliposomewa risalakutoka Umoja wa Waislamuwote nchini.“Tunasema uongo hauondoishida bwana, bali uongohukuza shida tu, jambo hilianalijua. Tunasema endapotukiwa wakweli, itasaidia sanakushughulikia matatizo kwawakati na kwa namna nzuritu, tukiwa waongo tutakawizaukweli kupatikana.”“Lakini pia shida itakuwakubwa kwa sababu kadirisiku zinavyozidi kusongambele athari ya jambo hilolinazidi kutanuka kamainavyoonekana hivi sasa.”Alisema Alhaj Kundecha.Akiuzungumzia utawalawa Mzee Mkapa (1995-2005),Amir Kundecha, alisemaWaislamu walikuwa wahangakatika sehemu mbalimbali,kuanzia katika ajira, elimuutawala wake pia umefelishaWaislamu, walikuwa wahangakatika uchumi, wahangakatika utawala.Amir Kundecha, alisemaikija kutokea ukapatikanautawala wa haki na sheriakutokana na kuwa dhulmahuwa haidumu milele, sheriaikachukua mkondo wake, hatayeye (Mkapa) hatanusurika.Alhaj Kundecha, alitoleamfano ile ripoti ya Waislamualiyoipokea, katika ukumbi waDiamond Jubilee, wakati wautawala wake akidai kupatiwaushahidi wa kisayansi madaiya Waislamu kisha alipelekewaushahidi huo.Alisema, alipopelekewaushahidi huo, badala yakuchukua hatua, akarudinyuma pasi ya kuchukua hatuazozote na kudai matatizo yaWaislamu ni ya kihistoria nahayatatuliki, jambo ambalosi sawa.
 
3
 AN-NUUR
JAMADUL AWWAL 1434, IJUMAA APRILI 12-18, 2013
Habari
Umoja wa Makanisa wamsukia kitanzi Kikwete
WANAOJIITA KamatiHuru ya Umoja wa Makanisanchini, wamemwandikiaWaziri wa Mambo yaNdani Mheshimiwa Dr.Emmanuel Nchimbiwakimtaka amsaidieRais Kikwete kutanabahikwamba anatakiwa“ajiuzulu pamoja na timuyake yote ya Jihad.”
Umoja huo umetoamaelekezo hayo baada yakumtuhumu Rais JakayaMrisho Kikwete kuwaanaendesha Jihad ya kuwauwaWakristo na Ukristo.Katika barua yao kwaMheshimiwa Waziri Nchimbiya tarehe 31 Machi, 2013wametahadharisha wakisemakuwa itakuwa ni maangamizikwa wana-jihad kamawanadhani kuwa Wakristowatawageuzia shavu lakulia.“Ndugu Waziri, ni vyemaukamsaidia Rais Kikwetekusoma nyakati. Wakristo28 milioni kuchokozwa naWaislamu 11 milioni, hatimayake inaeleweka hata kwamjinga.”Katika barua hiyoiliyonakiliwa kwa taasisizote za Kikristo nchini pamoja na Bakwata, Waziri Nchimbi anafahamishwakuwa Wakristo wote kwa pamoja wanamtaka RaisKikwete ajiuzulu.“Ndugu Waziri, unafahamukwamba Wakristo milioni 28wa Taifa hili kama Mwilimmoja wa Kikristo, na kamafamilia moja ya wana wamilki ya Mungu, wametoaTamko kwamba Rais JakayaKikwete ajiuzulu pamojana timu yake yote ya jihad,kwa kuongoza nchi yetu kwaudini mahala pa utawala waSheria, na kuipuuza kabisaKatiba ya Nchi.”Wakifafanua waliouitaudini na ujahidina wa RaisJakaya Mrisho Kikwetewamesema kuwa ni pamojana kuwalazimisha kula nyamailiyochinjwa na Waislamuwakati “ni marufuku Wakristokula chochote kilichoswaliwakwa Allah na mashetaniwengine. (Kwamba) Munguanawapiga marufukuWakristo kushirikiana namashetani, kwamba nimarufuku kunywea kikombecha Bwana na kikombe chamashetani yaani Allah namajini.”Imesema na kufafanua barua hiyo ambayo pia
Na Mwandishi Wetu
imenakiliwa kwa KatibuMkuu Kiongozi Ikulu,Spika wa Bunge na taasisiza Kikristo nje ya nchi.Jambo jingineanaloshutumiwa RaisKikwete na hivyokushitakiwa kwa Waziriwa Mambo ya Ndani Dr.Emmanuel Nchimbi, ni kuwaamepiga marufuku Redioya Kikristo, Redio Neema,ambayo inaelezwa kuwainafanya kazi ya kupambanana ugaidi wa Kiislamu.Umoja huo ukamtakaWaziri Nchimbi kuhakikishakuwa Redio hiyoinafunguliwa mara mojana kwa upande mwinginekumtaka Rais Kikweteawaombe radhi Wakristo.“Mheshimiwa Waziri(Dr. Emmanuel Nchimbi),kilichoitwa “uchochezi wakidini” ni uhanga wa Redio Neema na Askofu Mpemba,wa kuishindania Imaniya Kristo kama Mungualivyowaagiza Wakristokatika Biblia Takatifu…Kama kweli Rais JakayaKikwete yuko kinyume naugaidi huu unaoendeshwadhidi ya Wakristo nchini,ni lazima afanye yafuatayo:Awaombe radhi Wakristo kwakutumia dola kuukandamizaUkristo nchini, na kutumiadola kuuimarisha ugaidi waKiislamu…(na pia) awaombemsamaha Wakristo kwakufungiwa Redio Neema,eti isipinge ugaidi dhidi yaUkristo.”Pamoja na kumshutumuRais Kikwete, Umoja huo waMakanisa umeushitaki piaUislamu kwa Waziri Nchimbikwamba unawaagizaWaislamu kuwakata shingoWakristo na kwamba ugaidihuo ulianzishwa rasmiwakati wa Awamu ya Piliikiongozwa na Alhaj AliHassan Mwinyi.“Ndugu Waziri, Jihad yakuchochea kuwakata shingoWakristo nchini na kuteketezamakanisa, wakisimamakatika maamrisho ya munguwao Allah katika Qur’ansura 9:30, sura 47:4 (ziko aya320 zinazochochea ugaidi),ilianza rasmi mwaka 1986kwa udhamini wa Ali HassanMwinyi, kinyume cha Katibaya Nchi na maadili ya Taifaletu.” Inasema sehemu baruahiyo.Japo Bakwatawanaonyesha kupewanakala, bado hakuna dalilikwamba wameifanyia kazi barua hiyo na haijulikanini kwa nini Umoja huo waMakanisa ukaamua kuwapanakala wakati humo ndaniwamemuita Allah kuwa nishetani.Aidha, bado hakuna isharayoyote kwamba serikaliimeifanyia kazi hasaukizingatia uzito wa kufru nakashfa iliyofanywa dhidi yaWaislamu na Uislamu kwaMola wao kuitwa shetanina Uislamu kuitwa kuwa niugaidi.“Wakristo wameonywavikali na Mungu kwambawasiivunje kamwe miiko hiiyote, kwa sababu vyote hivyovya Waislamu vinaswaliwakwa mashetani yaaniAllah na majini. Kiwangocha ugaidi kilichofikiwadhidi ya Ukristo nchinikimelazimisha mipangomadhubuti ya kuhakikishakwamba huduma zote hizizinatolewa na Wakristokwa ajili ya Wakristo, iliwakiisha kutubia dhambiya kukinywea kikombe chamashetani kwa miaka mingisasa wasiirudie tena, kwaniYesu yuaja.”Imesema katika kumalizia barua hiyo huku ikiwatakaWakristo wasinunue katikamaduka ya Waislamu walakula katika migahawa yao,kulala katika hoteli zao aukupanda daladala zao “kwasababu vyote hivyo vyaWaislamu vinaswaliwa kwamashetani yaani Allah namajini.”Imekuwa vigumukufahamu ni kwa niniKamati hii Huru ya Umojawa Makanisa imeamua‘kumshitaki’ MheshimiwaRais Kikwete kwa Waziriwake.Hata hivyo, baadhi yavifungu katika barua yaovinatoa dalili ni kwa niniwamefanya hivyo.Moja ya dalili hizo ni palewanaposema kuwa Wizarayake “imetumika sana kwaugaidi wa Kiislamu nchini,na zaidi Jeshi la Polisi,ingawa Idara ya Uhamiajinayo imetumika kuwaingizanchini magaidi wengi.”Wakionyesha zaidi ni kwanini wameamua kumshitakiayeye Waziri wanasemakuwa Polisi walio chiniyake wanatumika kuzima‘Crusade’ hasa wanapoonaWaislamu wanakimbiaUislamu na kujisalimishakwa Yesu na hasa“waonapo ‘Biblia ni Jibu’wanauangamiza Uislamukwa kutoboa siri za ushetaniwa Allah na mtume wake,kutoka katika vitabu vyaKiislamu na Biblia Takatifu.(Na kwamba) Ugaidi huuwa Polisi umewatesa sanawahubiri wa Kikristo nchinzima mpaka Zanzibar.”Kwa upande mwinginewameonyesha kuwawamelazimika kumwandikiaWaziri Nchimbi akiwa nadhamana ya usalama wandani ya nchi kwa sababuanaonekana kutowajibikaipasavyo kuzuiya magaidiwa Al Shabab na Al Qaidakuingia nchini.“Mheshimiwa Waziri,siyo siri kwamba wapiganajiwengi wa Kiislamuwameandaliwa nje na ndaniya nchi kwa ajili ya ugaididhidi ya Ukristo nchini. Hatawale waliokwenda Somaliakufunzwa na Al-Shabab naAl-Qaida jinsi ya kuangamizamakafir (Wakristo) mpakakwa mabomu ambayowamefundishwa hatakuyatengeneza, wamerejeanchini kwa ajili ya vita.”“Hivi sasa misikiti minginchini inatumika kwamafunzo ya kivita. Ugaidiunafundishwa kwa nguvukatika vituo maalum vyaKiwalani (Jijini Dar esSalaam), Ukala katika ZiwaVictoria, Namtumbo, Ifakara,Uvinza, Morogoro, Tanga,Pemba na kwingine.”Hata hivyo, pamoja namaelezo hayo ambayoyanatoa ishara ni kwa ninimashitaka na malalamikohaya yameelekezwakwa Waziri Nchimbi,inavyoonekana kuna sababunyingine muhimu zaidiambayo inajitokeza paleKamati Huru ya Umoja waMakanisa inapomwelekeaMheshimiwa Nchimbiikisema:“Mheshimiwa Waziri,tunaheshimu sana uzalendowako na umakini wako katikamasuala nyeti, pamoja nahofu uliyo nayo kwa Mungu.Tunaamini kwamba…Raisakighafilika kama binadamuwengine upo wewe wakumsaidia upesi kupunguzamizigo ili chombo kivukemaji ya hatari.”Hivi karibuni mara baadaya kutokea ile jinai mbayaya kuuliwa Padiri Mushi,Waziri wa Mambo ya Ndani,Mheshimiwa Emmanuel Nchimbi alikuwa wa mwanzokatika viongozi wa serikalikudai kuwa lile lilikuwatukio la kigaidi. Kwambawaliofanya mauwaji yalewalikuwa magaidi.Hata hivyo, si rahisikusema kwa uhakikaiwapo ugaidi aliokuwaakizungumzia MheshimiwaWaziri Dr. Emmanuel Nchimbi, unahusiana na huuunaozungumziwa na KamatiHuru ya Umoja wa MakanisaTanzania.
 RAIS Jakaya Kikwete

Activity (3)

You've already reviewed this. Edit your review.
1 thousand reads
1 hundred reads

You're Reading a Free Preview

Download
scribd
/*********** DO NOT ALTER ANYTHING BELOW THIS LINE ! ************/ var s_code=s.t();if(s_code)document.write(s_code)//-->