Welcome to Scribd, the world's digital library. Read, publish, and share books and documents. See more
Download
Standard view
Full view
of .
Look up keyword
Like this
0Activity
0 of .
Results for:
No results containing your search query
P. 1
Mafisadi Wa Muziki

Mafisadi Wa Muziki

Ratings: (0)|Views: 0 |Likes:
Published by Jestina George Meru

More info:

Published by: Jestina George Meru on Apr 18, 2013
Copyright:Attribution Non-commercial

Availability:

Read on Scribd mobile: iPhone, iPad and Android.
download as PDF, TXT or read online from Scribd
See more
See less

04/18/2013

pdf

text

original

 
MAFISADI WA MUZIKI
Walio wengi wamezoea kusikia ufisidi katika siasi, viongozi waliokua nauuzo wa tabia na kujilimbikizia mali chungu nzima. Ufisadi hauishiikwenye siasa tu bali kuna ufisadi kila sehemu, kwenye kazi, mashirikabinafsi, michezo na hata katika tasnia ya muziki. Ufisidi katika tasnia yamuziki upo, tena mkumbwa na si rahisi kuusikia wala kuuona hataukiwa msaani.Swala hili la ufisadi katika muziki tumekuwa tukilifatilia kwa muda sasakama wadau wamuziki na tumefanya uchanguzi wa kina sana kwakuongea na watu tafauti tafauti katika mziki, wasanii, maproducer, mapresenters, ma dj na wadau wa mziki.Tumekua tukisikia malalamiko mengi sana ya wasanii hivi karibunikwanini nyimbo hazipingwi? Kwanini hawapati show? Na maudhimengine mengi. Hivi sababu nini hasa ? Nyimbo zao ni mbaya?Hawana vipaji au? wasanii kama chidi benz, lady jd, ali kiba, bushoke,prof jay, matonya, makamua, qchief, TID, na wengine wengi. Kuna jambo hapa japo kua wengi hawataki kulizungumzia kwa kuogopa aulabda kwa ufahamu mdogo. Nyuma ya yote haya kuna mafisadi,hawa ni watu ambao wanaupeleka mziki wanavyotaka wao kwakujifanya kama wao ndio wamiliki wa huo mziki na kutumia nafasi zaoza kazi vibaya kwa manufaa yao binafisi bila kujali mustakabali watasnia ya muziki.Kuna kijikampuni kinaitwa OSATA ambacho kazi yake kubwa nipromotion, publishing na usimamizi wa wasanii tafauti tafauti kwa njiaya mikataba mifupi mifupi. Wamiliki wa kampuni hiyo ni Babu tale, saidfela na suka othumani suka, OSATA ni ufupisho wa majina hayamatatu.Herufi O katikaOSATA ni Othuman suka ambaye ni mfanyakazi wacloudfm kwenye upande wa kusikiliza /kuhakiki nyimbo za wasanii nakuzipitisha kabla ya kupigwa.
 
 Na herufi SA katika OSATA ni said fela ambaya ni meneja wa kundi laTmk Wanaume family ,
 
Herufi za mwisho TA katika OSATAni Tale ambaye pia ni manage wakundi la Tip Top connection.Kazi kubwa ya kampuni hii ni kusambaza muziki kwenye redio,television, mitandao ya jamii na sehemu nyingine nyingi. Kampuni hiyohaiishi kwenye kusambaza tu bali inafanya promotion ya hizo kaziwalizosambaza kwa kutumia pesa au lugha nyingine fasaha rushwa.Rushwa kwa maana kuwapa mapresenter na madj wa redio tafautitafauti pesa kupiga hizi nyimbo wanazozipromote. Katika uchunguziwetu kampuni hiyo inamtoza msanii kiasi cha shilling mil 3 kusambazana kufanya promotion ya nyimbo. Kwa haraka haraka unawezakusema hakuna tatizo, OSATA inafanya biashara tu na hakuna ofisadiwowote ule unaendelea. Katika shughuli hizi za promotion ya nyimbokatika redio na television, OSATA huwalipa madj na wafanyakazi wamedia kupiga kazi zao na pia kuwashawishi kutokupiga kazi za watuwengine ili wapate wateja wengi katika kampuni yao.

You're Reading a Free Preview

Download
scribd
/*********** DO NOT ALTER ANYTHING BELOW THIS LINE ! ************/ var s_code=s.t();if(s_code)document.write(s_code)//-->