You are on page 1of 11

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI TAARIFA YA MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) ILIYOFANYIKA

OKTOBA 2012

1.0

UTANGULIZI MtihaniwaKidatochaNne, 2012ulifanyikanchinikotekuanziatarehe8/10-25/10/2012. Baraza la Mitihani la Tanzaniakatikakikaochakecha 94 kilichofanyikatarehe 30 Mei, 2013 liliidhinishamatokeo haya

2.0

USAJILI NA MAHUDHURIO Jumlayavituo5,058vilitumikakatikakufanyamtihanihuoikilinganishwa na vituo4,795vilivyotumikamwaka 2011.

2.1

TaarifazaWatahiniwa

Jumlayawatahiniwa480,029 walisajiliwakufanyaMtihaniwaKidatochaNne 2012 wakiwemowasichana217,587sawa na asilimia45.33 na wavulana262,442sawa na asilimia54.67.WatahiniwawaliofanyamtihaniwaKidatochaNne 2012 ni 458,139sawa na asilimia95.44.Watahiniwa21,890 sawa na asilimia4.56yawatahiniwawotewaliosajiliwa, hawakufanyamtihani. 2.2 WatahiniwawaShule Watahiniwawashulewaliosajiliwa ni 411,225 wakiwemowasichana182,982sawa na asilimia44.50 na wavulana228,243sawa na asilimia55.50.Watahiniwawashulewaliofanyamtihaniwalikuwa397,138sawa na

asilimia96.57. Aidha, watahiniwa14,087sawa na asilimia3.43 hawakufanyamtihanikutokana na sababumbalimbalizikiwemoutoro, ugonjwa na vifo.

2.3

WatahiniwawaKujitegemea Watahiniwawakujitegemeawaliosajiliwawalikuwa ni 68,804wakiwemowasichana34,605 sawa na asilimia50.30 na wavulana34,199sawa na asilimia49.70.Watahiniwa61,001 wakiwemowasichana 30,918 nawavulana 30,083 wamefanyamtihaniwakatiwatahiniwa7,803 sawa na asilimia 11.34 hawakufanyamtihani.

3.0

MATOKEO YA MTIHANI

3.1

Maandaliziyamatokeo MatokeoyaMtihaniwaKidatochaNnemwaka 2012 yalitangazwatarehe 18 Februari 2013 na kufutwaMachi 2013 kutokana na sababuzakitaalamukatikamatumiziyataratibuzakuchakatamatokeo. MatokeoyaliyofutwayalikuwayamechakatwakwakutumiautaratibuwaFixed Grade Ranges. MatokeoyanayotangazwasasayamechakatwakwautaratibuhuohuolakiniyamefanyiwaSta ndalization. Kimataifakunaainakuumbilizakuchakatamatokeoyamtihani : Flexible Grade Ranges na Fixed Grade Ranges. Flexible Grade Ranges hutumiaviwangotofautikuchakatamatokeoyawatahiniwakwakuzingatiakiwangochaufaul uchasomohusikakwakilamwaka. Hivyoviwangovyakuchakatamatokeohubadilikakilamwakakulingana na ufauluwawatahiniwakwakilasomohusika. Katikamfumowa Fixed Grade viwangovyaainamojahutumikakuchakatamatokeokwamasomoyote Ranges bila

kujalikiwangochakufaulukwasomohusika. Viwangovyakuchakatamatokeohutumikahivyohivyokilamwaka bila mabadiliko. KwamiakamingiBaraza la Mitihani la Tanzanialimekuwalikitumiamfumowa Flexible Grade Ranges. Mwaka 2012, mfumowa Fixed Grade Ranges ulitumikakuchakatamatokeokwamaraya kwanza Mabadilikohayoyalitokana na maoniyawadauyaliyotokana na utafitiuliofanywa na Wizaramwaka 2010 kufuatiakushukakwaufauluwamtihaniwaKidatochaNnemwakahuo. Pia kwakuzingatiamaelekezoyaTumemaalumiliyochunguzadosarizilizojitokezakwenyematok eoyamtihaniwaKidatocha Sita mwaka 2012 katikasomo la IslamicKnowledge.

3.2 MatokeoyaWatahiniwawaShule Jumlayawatahiniwawashule159,609katiyawatahiniwa397,138 waliofanyaMtihaniwaKidato cha Nne 2012 Wasichanawalikuwani60,751nawavulanawalikuwani98,858. wamefaulu.

3.3 MatokeoyaWatahiniwawaKujitegemea

Idadiyawatahiniwawakujitegemeawaliofaulumtihanini26,191 katiyawatahiniwa61,001 waliofanyamtihani. Wasichanawaliofauluni11,581nawavulanani14,910.

4.0

UBORA WA UFAULU KWA MADARAJA NA JINSI

Uborawaufaulukwakuangaliamadarajawaliyopatawatahiniwawashuleunaoneshakuw ajumlayawatahiniwa35,349wamefaulukatikamadaraja I III ambapokatiyaowasichanani10,924 nawavulanani24,425.

MchanganuowaufaulukwakiladarajakwajinsikwaWatahiniwawaShulemwaka nikamaifuatavyo:

2012

Daraja I II III I-III IV I-IV 0

Wavulana Wasichana Jumla Idadi Asilimia Idadi Asilimia Idadi Asilimia 2,179 1.07 1,063 0.64 3,242 0.88 7,267 3.58 3,088 1.85 10,355 2.8 14,979 7.37 6,773 4.05 21,752 5.87 24,425 12.02 10,924 6.54 35,349 9.55 74,433 36.65 49,827 29.78 124,260 33.54 98,968 48.66 60,779 36.30 159,747 43.08 104,259 51.33 106,587 53.7 210,846 56.92

5.0

SHULE KUMI BORA NA SHULE KUMI ZA MWISHO

Uborawashuleumepangwakwakutumiakigezo cha Grade Point Average (GPA) kuanzia A = 1 na F = 5. Shulezimegawanywakatikamakundimawilikulingananaidadiyawatahiniwakamaifuatavy o: (i) (ii) Shulezenyewatahiniwa40 na zaidi (Jumlani 3,396) Shulezenyewatahiniwapungufuya 40 (Jumlani 753).

5.1

Shule Kumi bora katikakundi la shulezenyewatahiniwa 40 na zaidi

Shulezifuatazozimepangwakwakuanzanaya shulezenyewatahiniwa40nazaidi.

kwanza

hadiyakumikatikakundi

la

NAFASI RANK 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10

JINA LA SHULE IDADI CENTRE NAME REGISTERED ST. FRANCIS GIRLS S S 90 MARIAN BOYS' S S 75 FEZA BOYS' S S 69 MARIAN GIRLS S S 88 CANOSSA S S 66 FEZA GIRLS' S S 50 ROSMINI S S 78 ANWARITE GIRLS S S 49 ST. MARY'S MAZINDE JUU S S 83 JUDE MOSHONO SS 51

MKOA REGION MBEYA PWANI DAR ES SALAAM PWANI DAR ES SALAAM DAR ES SALAAM TANGA KILIMANJARO TANGA ARUSHA

5.2

ShuleKumizamwishozenyewatahiniwa 40 nazaidi

Shulezifuatazozimepangwakwakuanzanaya kwanza hadiyakumikutokamwisho. NAFASI 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 JINA LA SHULE MIBUYUNI S S MAMNDIMKONGO S S CHITEKETE S S KIKALE S S ZIRAI S S MATANDA SECONDARY SCHOOL KWAMNDOLWA S S CHUNO S. S MBEMBALEO S S MAENDELEO S S IDADI 40 63 57 60 41 53 89 143 56 103 MKOA LINDI PWANI MTWARA PWANI TANGA LINDI TANGA MTWARA MTWARA DAR ES SALAAM

5.3

ShuleKumi bora katikakundi la shulezenyewatahiniwachiniya 40

Shulezifuatazozimepangwakwakuanzanaya shulezenyewatahiniwa 40 nazaidi.

kwanza

hadiyakumikatikakundi

la

NAFASI 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10

JINA LA SHULE THOMAS MORE MACHRINA SS S QUEEN OF APOSTLESUSHIROMBO SEMINARY BETHELSABS GIRLS S S PRECIOUS BLOOD S S MAUA SEMINARY ST. MARY'S JUNIOR SEMINARY CARMEL S S SANU SEMINARY BROOKEBOND S S ST.CAROLUS SECONDARY S S

IDADI 20 24 33 34 31 28 36 37 27 37

MKOA DAR ES SALAAM SHINYANGA IRINGA ARUSHA KILIMANJARO PWANI MOROGORO MANYARA IRINGA SINGIDA

5.4

Shulekumi (10) zamwishozenyewatahiniwachiniya 40

Shulezifuatazozimepangwakwakuanzanaya kwanza hadiyakumikutokamwisho. NAFASI 1 2 3 4 5 6 7 8 9 JINA LA SHULE DODEANI TECH. S S KALAMBA S S HURUI S S USUNGA S S MANDWANGA S S BETTY MITCHEL S S CHONGOLEANI S S MMULUNGA S S NYUAT S S IDADI 10 11 12 13 13 17 17 17 20 MKOA PEMBA DODOMA DODOMA TABORA LINDI MOROGORO TANGA MTWARA ARUSHA

10

MWAKIJEMBE S S

13

TANGA

6.0.

HITIMISHO

KuanziasasamatokeoyamithaniyakidatochaNne na Sita yatachakatwakwakutumiaFixed Grade Range na Standardisation. Natoawitokwawadauwotewaelimukutoaushirikianotuwezekuboreshaelimunchini.

7.0.

KUANGALIA MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2012

MatokeoyaMtihaniwaKidatochaNne (CSEE), 2012 yanapatikanakatikatuvutizifuatazo : www.matokeo.necta.go.tz www.necta.go.tz www.udsm.edu.ac.tz, au www.moe.go.tz

Mhe. Dkt. ShukuruKawambwa (Mb) WaziriwaElimu na MafunzoyaUfundi 30/5/2013 ****************************************** MATOKEO YA AWALI YALIYOFUTWA YALIKUWA HIVI
1.0 TAARIFA YA MATOKEO YA MITIHANI YA MAARIFA (QT) NA KIDATO CHA NNE (CSEE) ILIYOFANYIKA OKTOBA 2012 UTANGULIZI Mitihani ya Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa (QT) kwa mwaka 2012 ilifanyika nchini kote kuanzia tarehe 8-25 Oktoba 2012. Napenda kuchukua nafasi hii kutangaza rasmi matokeo ya mitihani hiyo kama ifuatavyo :

2.0 2.1

2.2 3.0

MTIHANI WA MAARIFA (QT) Usajili na Mahudhurio Katika Mtihani wa Maarifa 2012 watahiniwa waliosajiliwa ni 21,310 ambapo wasichana walikuwa ni 13,134 na wavulana ni 8,176. Jumla ya watahiniwa 17,137 sawa na asilimia 80.42 ya waliosajiliwa wamefanya Mtihani. Matokeo ya Mtihani wa Maarifa (QT) Watahiniwa 5,984 kati ya 17,137 waliofanya mtihani wamefaulu Mtihani wa Maarifa (QT). MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2012 Jumla ya vituo 5,058 vilitumika katika kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne 2012 ambapo vituo 4,155 vilikuwa vya watahiniwa wa shule na vituo 903 vilikuwa ni vya watahiniwa wa kujitegemea. 3.1 Usajili na Mahudhurio ya Watahiniwa

(b)

(a) Watahiniwa Wote Jumla ya watahiniwa 480,036 walisajiliwa kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne 2012 wakiwemo wasichana 217,583 sawa na asilimia 45.33 na wavulana 262,453 sawa na asilimia 54.67. Watahiniwa waliofanya mtihani wa Kidato cha Nne 2012 ni 456,137 sawa na asilimia 95.44. Watahiniwa 21,820 sawa na asilimia 4.55 ya watahiniwa wote waliosajiliwa hawakufanya mtihani. Watahiniwa wa Shule Watahiniwa wa shule waliosajiliwa ni 411,230 wakiwemo wasichana 182,978 sawa na asilimia 44.50 na wavulana 228,252 sawa na asilimia 55.50. Watahiniwa wa shule waliofanya mtihani walikuwa 397,136 sawa na asilimia 96.57. Aidha, watahiniwa 14,090 sawa na asilimia 3.43 hawakufanya mtihani kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo utoro, ugonjwa na vifo.

(c)

Watahiniwa wa Kujitegemea Watahiniwa wa kujitegemea waliosajiliwa walikuwa ni 68,806 wakiwemo wasichana 34,605 sawa na asilimia 50.29 na wavulana 34,201 sawa na asilimia 49.71. Watahiniwa 61,001 wakiwemo wasichana 30,917 na wavulana 30,084 wamefanya mtihani wakati watahiniwa 7,730 sawa na asilimia 11.23 hawakufanya mtihani.

4.0 (a) (b) 5.0

MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE Watahiniwa wa Shule Jumla ya watahiniwa wa shule 126,847 kati ya watahiniwa 397,136 waliofanya Mtihani wa Kidato cha Nne 2012 wamefaulu. Wasichana waliofaulu ni 46,161 na wavulana ni 80,686. Watahiniwa wa Kujitegemea Idadi ya watahiniwa wa kujitegemea waliofaulu mtihani ni 16,112 kati ya watahiniwa 61,001 waliofanya mtihani. Wasichana waliofaulu ni 6,751 na wavulana ni 9,361. UBORA WA UFAULU KWA MADARAJA NA JINSI Ubora wa ufaulu kwa kuangalia madaraja waliyopata watahiniwa wa shule unaonesha kuwa jumla ya watahiniwa 23,520 wamefaulu katika madaraja I III ambapo kati yao wasichana ni 7,178 na wavulana ni 16,342. Mchanganuo wa ufaulu kwa kila Daraja kwa jinsi kwa Watahiniwa wa Shule mwaka 2012 ni kama ifuatavyo: Daraja I II III I-III IV 0 Idadi ya Wavulana 1,073 4,456 10,813 16,342 64,344 120,664 Idadi ya Wasichana 568 1,997 4,613 7,178 38,983 120,239 Jumla 1,641 6,453 15,426 23,520 103,327 240,903

6.0

SHULE ISHIRINI ZILIZOFANYA VIZURI ZAIDI KATIKA KUNDI LA SHULE ZENYE WATAHINIWA 40 AU ZAIDI Ubora wa ufaulu wa shule umepangwa kwa kutumia kigezo cha Grade Point Average (GPA) kuanzia A = 1 hadi F = 5. Shule zenye watahiniwa 40 na zaidi ziko 3,391. Shule ya kwanza hadi ya ishirini zimeainishwa kwenye Jedwali lifuatalo : NAFASI 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 JINA LA SHULE IDADI YA WATAHINIWA 90 75 69 88 78 66 51 83 49 86 49 MKOA

ST. FRANCIS GIRLS MBEYA MARIAN BOYS S.S PWANI FEZA BOYS S.S DAR ES SALAAM MARIAN GIRLS S.S PWANI ROSMINI S S TANGA CANOSSA S.S DAR ES SALAAM JUDE MOSHONO S S ARUSHA ST. MARYS MAZINDE JUU TANGA ANWARITE GIRLS S S KILIMANJARO KIFUNGILO GIRLS S S TANGA FEZA GIRLS DAR ES SALAAM KANDOTO SAYANSI GIRLS SS 124 KILIMANJARO 13 DON BOSCO SEMINARY SS 43 IRINGA 14 ST.JOSEPH MILLENIUM 133 DAR ES SALAAM 15 ST.JOSEPHS ITERAMBOGO SS 64 KIGOMA 16 ST.JAMES SEMINARY SS 44 KILIMANJARO 17 MZUMBE SS 104 MOROGORO 18 KIBAHA SS 108 PWANI 19 NYEGEZI SEMINARY SS 68 MWANZA 20 TENGERU BOYS SS 76 ARUSHA 7.0 SHULE KUMI AMBAZO HAZIKUFANYA VIZURI ZAIDI KATIKA KUNDI LA SHULE ZENYE WATAHINIWA 40 AU ZAIDI NAFASI JINA LA SHULE IDADI YA MKOA WATAHINIWA 1 MIBUYUNI S.S 40 LINDI 2 NDAME S.S 41 UNGUJA 3 MAMNDIMKONGO S.S 63 PWANI 4 CHITEKETE S.S 57 MTWARA 5 MAENDELEO S.S 103 DAR ES SALAAM 6 KWAMNDOLWA S.S 89 TANGA 7 UNGULU S.S 62 MOROGORO 8 KIKALE S.S 60 PWANI 9 NKUMBA S.S 152 TANGA 10 TONGONI S.S 56 TANGA 8.0 TATHMINI YA UFAULU WA WATAHINIWA WA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE MWAKA 2012 8.1 Tathmini ya awali iliyofanyika kuhusu ufaulu wa watahiniwa katika shule mbalimbali inaonesha kuwa shule zilizofanya vizuri zaidi ni zile ambazo zina mahitaji yote ya msingi ikiwemo walimu wa kutosha, miundombinu na vifaa vya kufundishia na kujifunzia. Aidha, shule zenye ufaulu wa chini ni zile ambazo zina changamoto mbalimbali ikiwa ni pamoja na: (i) Baadhi ya shule za vijijini hazina kabisa walimu wa masomo ya Sayansi na Hisabati na pia zina upungufu mkubwa wa walimu wa masomo mengine; (ii) Kutokuwepo kwa maabara kwa shule zenye mikondo ya sayansi na pia kutokuwepo kwa maktaba kwa ajili ya kujisomea; na

(iii)

Upungufu mkubwa wa vitabu vya kiada na ziada. Katika baadhi ya shule uwiano wa kitabu kwa mwanafunzi ni 1:10. 8.2 Mkakati wa Serikali ni kuendelea kupunguza changamoto hizo kila mwaka ikiwa ni pamoja na kufanya mambo yafuatayo: (i) Kuajiri walimu kila mwaka ili kuondoa upungufu uliopo katika shule zetu. Mwaka 2011/2012 Serikali iliajiri walimu wa sekodari 13,246 na mwaka huu wa fedha 2012/2013 imeajiri walimu 12,973 ambao wamepangwa katika shule zenye upungufu mkubwa wa walimu. Ajira ya walimu wapya mwaka huu umetuwezesha kuwa na wastani wa walimu 2-3 kwa shule. Hali hii itaendelea kuboreka kadri tunavyoendela kuajiri walimu. (ii) Kuboresha miundombinu iliyoko katika shule zetu ikiwa ni pamoja na kujenga nyumba za walimu, madarasa na maabara. Mwaka 2012/2013 Serikali imepanga kuboresha miundombinu katika shule 264 zilizopo katika mazingira magumu ikiwemo miundombinu ya maabara na nyumba za walimu. (iii) Kuendelea kutoa ruzuku ya Tsh 25,000 kwa mwanafunzi kwa mwaka, ambapo asilimia 50 ya fedha hizo ni kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya kufundishia na kujifunzia ili kuziwezesha shule kununua vitabu pamoja na vifaa vingine muhimu kitaaluma. (iv) Wizara kuendelea kuzishauri Halmashauri kuweka mgawanyo mzuri wa walimu waliopo baina ya shule na shule. (v) Wizara itaendelea kuimarisha Idara ya Ukaguzi wa Shule pamoja na kuwawezesha Waratibu Elimu Kata na Wakuu wa Shule kufanya ukaguzi wa ndani katika Shule za Sekondari zilizo katika maeneo yao. 9.0 MATOKEO YA MITIHANI YALIYOZUIWA Baraza la Mitihani la Tanzania limezuia kutoa matokeo ya: (a) Watahiniwa 28,582 wa Shule ambao hawajalipa ada ya Mtihani hadi watakapolipa ada wanayodaiwa pamoja na faini; na ikiwa hawatalipa katika kipindi cha miaka miwili (02) toka matokeo kutangazwa, matokeo yao yatafutwa. Watahiniwa 65 wa kujitegemea na 71 waliofanya Mtihani wa Maarifa (QT) mwaka 2012 bila ya kulipa ada ya Mtihani hadi watakapolipa ada pamoja na faini. Ikiwa hawatalipa ada hiyo katika kipindi cha miaka miwili (02) toka matokeo kutangazwa, matokeo yao yatafutwa. MATOKEO YA MITIHANI YALIYOFUTWA Matokeo Yaliyofutwa Kwa Sababu ya Udanganyifu Jumla ya watahiniwa 789 wamefutiwa matokeo yao yote ya mtihani kwa mujibu wa kifungu Na. 52(b) cha Kanuni za Mitihani baada ya kubainika kuwa walifanya udanganyifu katika mitihani ya Oktoba 2012. Kati yao, watahiniwa wa shule ni 624 na watahiniwa wa kujitegema ni 148 na watahiniwa wa Mtihani wa Maarifa (QT) ni 17. Aina ya udanganyifu uliobainika na idadi ya watahiniwa husika ni kama ifuatavyo: S/N AINA YA UDANGANYIFU IDADI YA WATAHINIWA (i) Watahiniwa kubainika kuwa na skripti zenye miandiko tofauti 04 au kuwa na miandiko tofauti katika skripti ya somo moja au zaidi ya moja. (ii) Watahiniwa kukamatwa na wasimamizi ndani ya chumba cha 170 mtihani wakiwa na notes. (iii) Watahiniwa kubainika kuwa na mfanano usio wa kawaida wa 590 majibu. (iv) Watu kukamatwa wakiwafanyia watahiniwa wengine mtihani 04 impersonation. (v) Watahiniwa kukamatwa na simu ndani ya chumba cha mtihani. 06 (vi) Watahiniwa kukamatwa na wasimamizi wakibadilisha karatasi 15 za maswali au skripti kwa lengo la kufanya udanganyifu. JUMLA 789 Matokeo Yaliyofutwa Kwa Sababu ya Watahiniwa Kuandika Matusi Katika Skripti Zao Jumla ya watahiniwa 24 waliandika matusi kwenye skripti zao za masomo mbalimbali. Kitendo hicho ni kosa kwa mujibu wa kifungu 5(13) cha Kanuni za Mitihani kinachosomeka:

(b)

10.0 10.1

10.2 (i)

Written responses to any examination question which carry words, drawings or pictures connected to sex or abusive language in such a way that it becomes offensive shall consitute an examination offence and a candidate who commits such an offence shall be punished by the Council . Kutokana na kosa hilo Baraza la Mitihani limefuta matokeo yao yote kwa mujibu wa Kifungu cha 6(2)(a) cha Kanuni za Mitihani kinachosomeka: A candidate found to have committed an examination offence shall - (a) have his examination results nullified (ii) Kitendo cha kuandika matusi kwenye karatasi za majibu (skripti) kinaonesha utovu wa nidhamu wa hali ya juu. Serikali haitaweza kuwavumilia hata kidogo watahiniwa wa aina hiyo. Hivyo, Serikali itaangalia hatua zaidi za kisheria za kuchukua dhidi ya watahiniwa wote walioandika matusi. Kwa mujibu wa kifungu Na. 6(2)(b) cha Kanuni za Mitihani, watahiniwa wote waliobainika kufanya udanganyifu katika mitihani au kuandika matusi katika skripti zao hawataruhusiwa kufanya mitihani inayoendeshwa na Baraza la Mitihani la Tanzania kwa kipindi cha mwaka mmoja (01) kuanzia tarehe ya kutangazwa kwa matokeo. 11.0 (a) (b) KUANGALIA MATOKEO YA MTIHANI WA CSEE na QT, 2012 Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa (QT), 2012 yanapatikana katika tovuti zifuatazo: www.matokeo.necta.go.tz, www.necta.go.tz, www.udsm.edu.ac.tz, au www.moe.go.tz Matokeo yanaweza kupatikana pia kwa njia ya ujumbe mfupi wa maneno (SMS) kwenda namba 15311. Jinsi ya kutuma ujumbe andika: MATOKEOXNAMBA YA KITUOXNAMBA YA MTAHINIWA (Mfano : matokeoxS0101x0503) Dkt. Shukuru Jumanne Kawambwa (Mb) WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI 18 Februari 2013

You might also like