Welcome to Scribd, the world's digital library. Read, publish, and share books and documents. See more
Download
Standard view
Full view
of .
Save to My Library
Look up keyword
Like this
1Activity
0 of .
Results for:
No results containing your search query
P. 1
RASIMU YA KATIBA MPYA YA TANZANIA - FINAL DRAFT

RASIMU YA KATIBA MPYA YA TANZANIA - FINAL DRAFT

Ratings: (0)|Views: 81 |Likes:
Published by Mzalendo Mtanzania
BAADHI YA MAMBO YA MSINGI KATIKA RASIMU YA KATIBA MPYA YA TANZANIA.

IDADI YA MAWAZIRI

Inapendekezwa Rais aunde Serikali ndogo iliyo na Mawaziri wasiozidi kumi na tano na mawaziri hao wasiwe wabunge. Mawaziri hawatahudhuria vikao vya Bunge isipokuwa kama watahitajika kutoa ufafanuzi kwenye kamati za Bunge.

TUME YA UCHAGUZI

Tume imefanya uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Tume ya Uchaguzi. Tume inapendekeza jina la tume liwe Tume Huru ya Uchaguzi. Tume pia inapendekeza sifa za wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi ziwekwe kwenye Katiba. Wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi watapatikana kutoka miongoni mwa watu wenye sifa zilizoainishwa ndani ya Katiba kwa kuomba. Majina ya waombaji yatachambuliwa na Kamati ya Uteuzi ambayo Mwenyekiti wake atakuwa Jaji Mkuu na wajumbe wengine sita ambao ni Majaji Wakuu wa nchi Washirika, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Maspika wa Mabunge wa nchi Washirika na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu.

Kamati ya uteuzi itapendekeza majina ya watu wanaofaa kwa Rais ambaye atateua Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na Wajumbe wengine. Bunge litathibitisha uteuzi wao. Wabunge na viongozi wa aina hiyo hawatakuwa na sifa za kuwa wajumbe wa tume ya uchaguzi.

MUUNDO WA MUUNGANO

Wananchi waliopendekeza muundo wa Serikali tatu walikuwa wengi kuliko makundi yote. Sababu zao zilikuwa nzito lakini pia kulikuwa na changamoto nyingi na nzito. Pamoja na maoni ya wananchi Tume ilirejea sababu za kupendekeza muundo huu zilizotolewa na Tume zilizopita na Tafiti zilizofanywa na Tume kuhusu aina mbalimbali za Muungano. Baada ya yote hayo Tume ilifikia uamuzi wa kupendekeza mfumo wa Serikali tatu. Yaani Serikali ya Shirikisho, Serikali ya Tanzania Bara na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

ORODHA YA MAMBO YA MUUNGANO

Ndugu Wananchi,
Tume imependekeza katika Rasimu ya Katiba kuwa orodha ya Mambo ya Muungano yawe 7 badala ya 22 yaliyopo sasa.
Mambo ya muungano yanayopendekwa ni:
1. Katiba na Mamlaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
2. Ulinzi na Usalama wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
3. Uraia na Uhamiaji
4. Sarafu na Benki Kuu
5. Mambo ya Nje
6. Usajili wa Vyama vya Siasa
7. Ushuru wa bidhaa na mapato yasiyo ya Kodi yatokanayo na Mambo ya Muungano.

More info:

Published by: Mzalendo Mtanzania on Jun 04, 2013
Copyright:Attribution Non-commercial

Availability:

Read on Scribd mobile: iPhone, iPad and Android.
download as PDF, TXT or read online from Scribd
See more
See less

06/04/2013

pdf

text

original

i
 
 ______ TAARIFA _______ Toleo la Rasimu ya Katiba limechapishwa kwenye Gazeti la Serikali kwamujibu wa kifungu cha 18(5) cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura ya83, kwa madhumuni ya kuwepo kwa wananchi kusoma na kutoa maoni zaidikwa Tume kuhusu maudhui yaliyomo kwenye Rasimu ya Katiba.Dar es Salaam, J
OSEPH
S. W
ARIOBA
,3 Juni, 2013
 Mwenyekiti wa Tume
 
ii
 
RASIMU YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WATANZANIA YA MWAKA 2013
________YALIYOMO______
 Ibara Kichwa cha Habari
UTANGULIZISURA YA KWANZAJ
AMHURI
 
YA
M
UUNGANO
 
WA
T
ANZANIA
 SEHEMU YA KWANZAM
IPAKA
, A
LAMA
, L
UGHA
, U
TAMADUNI
 
NA
T
UNU
 
ZA
T
AIFA
1.
 
Jamhuri ya Muungano2.
 
Eneo la Jamhuri ya Muungano3.
 
Alama na Siku Kuu za Taifa4.
 
Lugha ya Taifa na lugha za alama5.
 
Tunu za Taifa
SEHEMU YA PILI
 
M
AMLAKA
 
YA
W
ANANCHI
, U
TII
 
NA
H
IFADHI
 
YA
K
ATIBA
 
6.
 
Mamlaka ya wananchi7.
 
Watu na Serikali8.
 
Mamlaka na utii wa Katiba9.
 
Hifadhi ya Katiba
SURA YA PILI
M
ALENGO
M
UHIMU
, M
ISINGI
 
YA
M
WELEKEO
 
WA
 S
HUGHULI
 
ZA
S
ERIKALI
 
NA
S
ERA
 
ZA
K
ITAIFA
 
10.
 
Utekelezaji wa malengo ya Taifa11.
 
Malengo Makuu12.
 
Sera kuhusu Mambo ya Nje
SURA YA TATU
M
AADILI
 
NA
M
IIKO
 
YA
U
ONGOZI
 
WA
U
MMA
 SEHEMU YA KWANZA
M
AADILI
 
YA
U
ONGOZI
 
WA
U
MMA
 
13.
 
Dhamana ya Uongozi wa Umma
 
iii
 
14.
 
Kanuni za Uongozi wa Umma15.
 
Zawadi katika Utumishi wa Umma16.
 
Wajibu wa kutangaza mali na madeni17.
 
Mgongano wa kimaslahi18.
 
Matumizi ya mali ya umma19.
 
Matumizi ya masharti ya maadili kwa watumishi wa umma
SEHEMU YA PILIM
IIKO
 
YA
U
ONGOZI
 
WA
U
MMA
 
20.
 
Utii wa Miiko ya Uongozi wa Umma21.
 
Marufuku kwa baadhi ya vitendo
SURA YA NNE
 H
AKI
 
ZA
B
INADAMU
, W
AJIBU
 
WA
R
AIA
 
NA
M
AMLAKA
 
ZA
N
CHI
SEHEMU YA KWANZAH
AKI
 
ZA
B
INADAMU
 
22.
 
Uhuru, utu na usawa wa binadamu23.
 
Haki ya kuwa hai24.
 
Marufuku kuhusu ubaguzi25.
 
Haki ya kutokuwa mtumwa26.
 
Uhuru wa mtu binafsi27.
 
Haki ya faragha na usalama wa mtu28.
 
Uhuru wa mtu kwenda anakotaka29.
 
Uhuru wa maoni30.
 
Uhuru wa habari na vyombo vya habari31.
 
Uhuru wa imani ya dini32.
 
Uhuru wa watu kujumuika na kushirikiana na wengine33.
 
Uhuru wa kushiriki shughuli za umma34.
 
Haki ya kufanya kazi35.
 
Haki za wafanyakazi na waajiri36.
 
Haki ya kumiliki mali37.
 
Haki ya uraia38.
 
Haki ya mtuhumiwa na mfungwa39.
 
Haki ya watu walio chini ya ulinzi40.
 
Uhuru na haki ya mazingira safi na salama41.
 
Haki ya elimu na kujifunza42.
 
Haki ya mtoto43.
 
Haki na wajibu wa vijana44.
 
Haki za watu wenye ulemavu45.
 
Haki za makundi madogo katika jamii46.
 
Haki za wanawake47.
 
Haki za wazee

You're Reading a Free Preview

Download
/*********** DO NOT ALTER ANYTHING BELOW THIS LINE ! ************/ var s_code=s.t();if(s_code)document.write(s_code)//-->