Welcome to Scribd, the world's digital library. Read, publish, and share books and documents. See more
Download
Standard view
Full view
of .
Save to My Library
Look up keyword
Like this
6Activity
0 of .
Results for:
No results containing your search query
P. 1
ANNUUR 1076

ANNUUR 1076

Ratings: (0)|Views: 2,718 |Likes:
Published by MZALENDO.NET
ANNUUR 1076
ANNUUR 1076

More info:

Published by: MZALENDO.NET on Jun 22, 2013
Copyright:Attribution Non-commercial

Availability:

Read on Scribd mobile: iPhone, iPad and Android.
download as PDF, TXT or read online from Scribd
See more
See less

01/06/2014

pdf

text

original

 
ISSN 0856 - 3861 Na. 1076
 
SHAABAN 1434, IJUMAA JUNI 21-27, 2013
BEI TShs 500/=, Kshs 50/=
Sauti ya Waislamu
www.annuurpapers.co.tz
Mtume(saw) amesema, “Mwenye kujakunizuru mimi kwa kutaraji ujira kwa Allah,basi mimi nitakuwa muombezi na shahidi wake (siku ya Kiama)”. Neema iliyoje kupatafursa kama hii! Na hakuna aliyekuwasi muhitaji wa uombezi huu. Inapasakwanza kujihakikishia hili ndipo tujenge,na kufanya mengine. Hivyo basi harakishakuja kujiandikisha Ahlu Sunna wal Jamaatwende Hijja.Gharama zote ni Dola 4,300.Tafadhaliwasiliana nasi ifuatavyo: TanzaniaBara: 0717224437; 0777462022;Unguja:0777458075;Pemba: 0776357117.
Haki ipo wapi?-Imam Hamza
Kwanini hakukamatwa Askofu MpembaWakati Imam kasota rumande miezi 4 na…Tuhuma yao moja: CD za uchochezi Mwanza
Maslahi binafsi sumu
kwa harakati za Kiislam
(19) UOMBEZI WA MTUME(SAW)
SHEIKH Jabir Katura, Imamu wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa Jijini Mwanzaaliyefanya juhudi kubwa katika kusimamia kesi ya Imamu Hamza hadikupata dhamana.
WAZIRI wa Fedha waZanzibar Mhe. Omar YussufMzee amedaiwa kukwepakujibu hoja juu ya mgao waZanzibar katika mapato yaserikali ya muungano.
Mapato hayo ambayoinadaiwa kuwa Zanzibarhaipati fungu lake kikamilifuni pamoja na mafungu yafedha za misaada ya kibajeti(GBS), fedha za mifuko ya
Nani anambeba nani
Mgao wa Zanzibar uko wapiWaziri wa Fedha akwepa hoja
Na Mwandishi Wetu
miradi kisekta na fedhaza miradi ya maendeleozinazotoka kwa washirika wamaendeleo zinazoombwa nakutolewa kwa jina la Jamhuriya Muungano wa Tanzania.Inadaiwa kuwa fedha hizokutoka kwa washirika wamaendeleo ukifanya hesabuya Zanzibar ambapo mgaowake ni 4.5% tu, zinafikiashilingi bilioni 163.Hayo yamesemwa na
 Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi, Jussa Ismail Ladhu
Inaendelea Uk. 3
 
2
 AN-NUUR
SHAABAN 1434, IJUMAA JUNI 21-27, 2013
AN-NUUR
S.L.P. 55105, Simu: +022 2400786
Cel: 0784 370 208, 0713 110 148, 0755 260 087 , DSM.
www.annuurpapers.co.tz
E-mail: annuurpapers@yahoo.co.uk
Ofisi zetu zipo: Manzese Tip TopUsangi House (Jengo dogo), barabara ya Morogoro, D'Salaam
MAONI YETU
Tahariri/Makala
Maslahi binafsi sumu kwa harakati za Kiislam
WAISLAMUwatafanikiwa katikaDunia na kufuzu maishaya akhera ikiwa tu wataishina kuendesha harakatizao kwa mujibu wamafundisho ya Uislamu.
Hayo yamesemwa naUst. Salum Machano,akiwahutubia Waislamukatika khotba yake ya Ibadaya swala ya Ijumaa wikiiliyopita katika Msikitiwa Qiblatain, Chanika,nje kidogo ya Jiji la Dar esSalaam.Ust. Machano alisema,Waislamu wamekuwawakifanya harakati nyingikwa nia nzuri lakinimafanikio yamekuwamadogo ukilinganisha namuda mwingi wanaotumiakatika haraka hizo.“Tumekuwa tukifanyaharakati nyingi kwa nianzuri lakini ni kamatunapiga danadana,mafaniko ni machache. Hiimaana yake tutafanikiwahapa duniani na kufuzukatika maisha ya akhera,ikiwa tutaishi na kuendeshaharakati zetu kwa mujibuwa mafundisho ya Uislamuna si vinginevyo.” AlisemaUst. Machano.Akizungumzia sualala harakati za Waislamunchini, Ust. Machano
Na Bakari mwakangwale
alisema Waislamu wengiwamekuwa hawafuatimisingi na mafundishoya harakati hizo na maranyingi hujikuta hawafikiimalengo yao.Alisema, katika harakatizozote huwa kunachangamaoto zake jamboambalo kwa Waislamuwengi huwa wanajisahaukujipanga katika namna yakukabiliana nazo.“Mwenyezi Munguametuagiza tunapofanyaharakati zetu tuangaliechangamoto zilizombele yetu na namna yakukabiliana nazo, kwanimiongoni mwetu wanafikipia wamo na hata Mtume(s a w) alikabiliana naona alishinda kwa kuwaalijiandaa kwa changamotohiyo.” Alisema Ust.Machano.Ust. Machano, alisemakwa muda mrefu Waislamunchini wamekuwa katikaharakati mbalimbalimathalani kujenga Shuleili watoto wao wasomena kuwajenga Waislamukiimani.Ust. Machano alisema,Mwenyezi Mungu kupitiaQur an, ameshaeleza jinsigani ya kupambana nachangamoto hizo ili kuwezakufanikiha harakati katikaUislamu.Akielezea changamotozilizopatikana katikavita vya Uhudi, alisemaawali Mwenyezi Mungualiwaahidi Waislamuushindi lakini walijikutawanashindwa dakikaza mwisho kwa kuwahawakuzingatia misingiwaliyowekewa.Hata hivyo Ust. Machanoalisema, miongoni mwaWaislamu hao katikavita hivyo, kuna ambaowalikuwapo kwa ajili yamaslahi yao binafsi.Alisema, harakatizozote zinahitaji nidhamuambayo ndiyo msingi wamafanikio.“Katika harakatiyoyote ile maslahi binafsiyakiwekwa mbele harakatihaziwezi kwenda, wengiwanataka Uislamuuwanufaishe wao badala yasisi tuunufaishe Uislamu,nakusahau kuwa Allah(sw) anatutaka tuupiganieUislamu kwa mali zetu nana nafsi zetu, hapa tayaritumekiuka msingi waharakati.” Alisema Ust.Machano.Alisema, MwenyeziMungu amewaahidi Pepona mafanikio dunia naakhera wale wenye imanithabiti, walio mstari wambele katika kuipiganiadini yake kwa mali zao nanafsi zao, na hao wametajwakuwa ndio watu wa heri nawalio faulu.
SHULE IPO CHALINZE WILAYA VA BAGAMOYO KILOMETA 7 KUTOKA NJIA PANDAYA CHALINZE-TANGA KUELEKEA MOROGORO.MICHEPUO TUNAYOSOMESHA NI-PCM, PCB, CBG,PGM,EGM,HE,HGL,HGK, HKL,HKA, KLA,HGA,KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA UONGOZI KWA NAMBA ZIFUATAZO: 0762-270378 0657-935148 0784-323203FOMU ZlNAKOPATIKA MIKOANI KATIKA VITUO VIFUATAVYO:
CHALINZE:
Shuleni 0762270378, 0657935148, 0784-323203
Zanzibar:
Rashid Masoud-Simu: 0777-478246
Dar es Salaam:
Hassanali (Koosa stationery) - Simu: 0719-350044 au Yahya Tatee (Kariakoo)-Simu: 0715-361444 MOROGORO: Rama (Wastara) - Simu: 0718-778300 au Mohamed Shayo- MUM Simu: 0717-172804
Iringa:
Sheikh Abdulkarim Mshana-Simu: 0715878883, au Sheikh Shamsi Elmi 0784448484.
Mbeya:
Sheikh Suleman (Ofisi za Happy Nation) - Simu: 0783-840060.
Tanga:
Shemtoi (Raha Stationery) - Simu: 0714-335030.
Mombo:
Sheikh Biko (Lango la Msikiti Mkuu) simu: 0754 983733.
Handeni:
Sheikh Mafiga-Simu: 0657-093983/0782105735 Moshi: Mzee Issa Simu- 0766-796807 (Muuza Magazeti Msikiti wa Riadha) au KUTAYBA SACCOS Moshi Simu- 0716-109000/0713-719441
Hai:
Smart Stationery Services - Simu: 0717-806566Arusha: Imamu Hambal Simu-0754-290329 Msikiti Mkuu wa Ijumaa au Abdulkarim – Kandahar Simu- 0754 316948 (Masjid Qubah Shopping Centre).
Babati:
-Sheikh Juma Ibuva Simu-0714-262706
Singida:
Sheikh Ramadhani ni Mtipe- Simu: 0786-797695 Dodoma: Sheikh Said Chobo-Simu:0712-217072
Tabora/Nzega:
Garden Cafe: Simu: 0784-640112
Kondoa:
Mwalim Jabir Issa Isere-Simu: 0784 780869/0716 588420Ibra Line Booking Offices: Arusha, Moshi na DSM
MLETE MWANAO CHALINZA ISLAMIC SEMINARY KWA DUNIA YAKE NA AKHERA YAKE
Wabillahit Tawfiq
CHALINZE ISLAMIC SEMINARY
INAWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO KIDATO CHA TANO(V) KWA MWAKA WA MASOMO 2013/2014
HIVI sasa umma waKiislamu upo katikaibada ya sunna yaswaumu ya mweziwa Sha’aban baada yakukamilika Rajab.
Funga katika miezi hiimiwili, yaani Rajab naSha’aban, ni miongonimwa ibada muhimu zasunna kwa Waislamu,hasa ikizingatiwakwamba swaumuhumwandaa mja kuwamcha Mungu.Lengo la swaumulimebainishwa katikaQur’an (2:183),ambayo inasema,“Enyi mlioaminimmelazimishwakufunga (swaumu) kamawalivyolazimishwawaliokuwa kabla yenuili mpate kumchaMwenyezi Mungu.Mafunzo katikaUislamu yanatuelezakwamba Bwana wetuMtume Muhammad(saw), alikuwa akifungasana katika miezi ya Rajabna Sha’aban kabla yakuingia mwezi Mtukufuwa Ramadhani.Alisimulia Bi.A’isha katika hadithiiliyopokelewa na Buharina Muslim, akisema“Sijamuona Mtumeakifunga mwezi mzimakama alivyokuwaakifunga Ramadhanina sijamuona akifungamara nyingi kamaalivyofunga katikaSha’aban”.Na funga za Rajabna Sha’aban ni sehemumuhimu ya maandalizikwa umma wa Kiislamukuingia katika mwezihuo wa Toba.Waislamu sotetunafahamu kuwa fungaya mwezi Mtukufu waRamadhani umekuwamtukufu kutokana na
Waislamu tujiandae na Ramadhani
sifa zake. Ni nguzo yatatu ya Uislamu.Kutokanana utukufuwake mkubwa,Waislamu wana kilasababu kwa kipindihiki, kuanza kuwekamazingira mazuri yakuiendea ibada yaRamadhani, ambayoinatarajiwa kuanzamwezi ujao Inshaalahpanapo maajaaliwa.Katika mwezihuu wa Sha’aban, ninafasi muhimu kwaWaislamu kujiwekatayari kisaikolojia, tayarikuingia katika fungaya Ramadhani kwakuwa wanapata kuzoeaswaum kabla ya kuingiaRamadhani.Aidha tunaonakwamba kipindihiki ni muafaka kwaWaislamu kuanza namapem
a kujilimbikiziamasurufu yaRamadhani hususankwa ajili ya mlo wafutari na daku. Niwakati sasa wa kuandaa bajeti mapema yamatumizi kwa jili yamwezi huo mtukufu ilikuitekeleza ibada hiyokwa uhakika zaidi.Hata hivyo hatutarajiiatapatikana Muislamuatakayeshindwakufunga swaumuya Ramadhani kwakukosa futari. Hii nikutokana na ukwelikwamba futari(breaking fast) ni kwachochote halali, japotende moja au maji.
Lakini ni vyema mjaakajiweka tayari kwaswaumu kwa kuwa mlowowote katika Uislamuni sehemu ya ibada kwakuwa humfanya mjakumkumbuka Allahmuumba wake (sw).
 
3
 AN-NUUR
SHAABAN 1434, IJUMAA JUNI 21-27, 2013
Habari
Haki ipo wapi?-Imam Hamza
HAKI ipo wapi? AmehojiImam Hamza baada yakutoka rumande.
Imam Hamza wa jijiniMwanza ameachiwa hurukatikati ya wiki hii baadaya kukaa rumande kwamiezi mine.Akiongea na Mwandishiwa habari hizi kwa njiaya simu, kutoka Mwanza,Imam Hamza alisemaanashangazwa naSerikali kwa kushindwakumkamata AskofuMpemba hadi hivi sasa.Alisema, yeyealikamatwa kufuatia amriya kukamatwa viongozi wakidini ikiwajumisha AskofuMpemba kwa tuhuma zakutoa CD za uchochezi.Hata hivyo akasemakuwa inashangaza kuonaamekamatwa peke yakehuku polisi wakidaikuwa wanatumia polisiwa kimataifa kumtafutaAskofu.Askofu Mpemba, mpakahivi ninavyo zungumzahajakamatwa, na RPC waMkoa wa Mwanza hapaalizungumza kwa kusemakwamba wametuma kikosicha Polisi wa Kimataiafa(Interpol) kumtafutaAskofu huyo Mwanza”.Alisema Imam Hamza.Imam Hamza alisema,Polisi hao wa Kimataifawanadaiwa kufika JijiniMwanza, kumtafuta mtuwa kawaida miezi minne bila kumpata, “kisha mimi(Imam Hamza) nakaa ndanimiezi minne bila dhamana,haki iko iko wapi.”Imam Hamza, alihoji je,atakapo kuwa amekamatwahuyo Mpemba, ambayeni Askofu, wanawezakumweka ndani biladhamana miezi minnekama alivyofanyiwa yeye?“Serikali inatoa majibugani kuwa anatafutwakwa kuwa naye (Askofu)yupo katika amri (Order)moja ya kukamatwa,kisha anakamatwa mtummoja (Hamza) na kesiinaendelea.”IMAM Hamza Omarialikuwa akishikiliwa katikaGereza la Butimba JijiniMwanza kwa miezi minne,na amepata dhamanakupitia Mahakama Kuu,na leo Ijumaa atahutubiakatika Msikiti wa Thaqib.Imam Hamza amepatadhamana hiyo majira yasaa saba kasoro, Jumatanowiki hii, katika Mahakamahiyo baada ya Mawakiliwake kukata rufaa kupinga
Na Bakari Mwakangwale
Mahakama ya Wilayakuzuia dhamana yake.Kwa mujibu wa taarifakutoka Mahakamanihapo, na kuthibitishwa naImam Hamza mwenyewe,zilisema kuwa Jaji waMahakama Kuu ametoadhamana hiyo kwakuzingatia maelezoya upande wa utetezina kuungwa mkono naupande wa mashita.“Jaji alisema, kutokanana maombi ya upande wamshitakiwa, na maelezoya Wakili wa Serikali, basimimi nakubali na maombiyenu, dhamana yake itoke”.Kilisema chazo chetu chahabari kikimnukuu Jaji.Hata hivyo imeelezwakuwa dhamana hiyoimetoka kupitia kwa Msajiliwa Wilaya, na kupangwakuendelea kusikilizwatena katika Mahakama yaWilaya Julai 3, 2013.“Baada ya hapo na kesiyangu itaendelea katikaMahakama ya Wilayakwa Hakimu mpya,Mheshimiwa Luboroga,kwa sababu yule aliyezuiadhamana yake keshahamishwa kwa sasa”.Kimebainisha chanzo hichocha habari.Imeripotiwa kuwaWaislamu walimiminikakwa wingi MahakamaKuu, wakifuatilia hatimaya kiongozi wao na baadaya kupata dhamanawaliondoka na ImamHamza, kupitia barabara yaPosta, Kenya�a na kuingiaMakongoro, kuelekeakatika Msikiti wa Thaqibambapo hapo alisalimianana Waislamu waliokuwawamefurika Msikitinihapo.Akizungumzaiadhamana yake ImamHamza alisema ameipatakupitia MahakamaKuu, kwa sababu awaliMahakama ya Wilayailimnyima dhamanapamoja na kuwa ni hakiyake kisheria.Alisema, Hakimu waMahakama ya Wilaya sikualiyopelekwa Mahakamanializuia asipewe dhamanakwa mtazamo wake pamojana kuwa dhamana ilikuwani haki yake kisheria.Imam Hamza alisema,Mawakili wake ilibidiwakate rufaa MahakamaKuu, na baada ya kufuatataratibu hatimaye imetoamajibu baada ya kuitwa leo(Jumatano) kutoka gerezala Butimba, na kwendamoja kwa moja MahakamaKuu.Imam Hamza, alisemakutokana na maelezo yamawakili wake mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu,walitaka nipewe dhamanakwa kuwa amezuiliwadhamana kinyume chasheria na amekaa ndanimiezi minne.“Wakili wa Serikalinaye alipewa nafasiazunguze chochote iliMahakama Kuu itendehaki, kwa ujumla aliielezaMahakama kwamba hanapingamizi na hilo kutokanana mtuhumiwa ameshakaa miezi minne ndanikinyume cha Sheria na kesiyake inastahili dhamana”.Alisema Imam Hamzaakirejea maneno ya Wakiliwa Serikali.Wakili huyo wa Serikalipia inadaiwa alikiri kuwaaliyekuwa Hakimu waMahakama ya Wilayaya Nyamagana, Mh.Mwambapa, alifanyakosa kuzuia dhamanaya mtuhumiwa bila yakuwa na hati ya kisheriainayomruhusu kufanyahivyo.Akiwa katika Msikitiwa Thaqib, Imam Hamza,aliushukuru Umma waKiislamu kutoka maeneombalimbali nchini kwanialidai walifika kwa wingikule alipokuwa na hatakufika Mahakamani bilakuchoka.Imam Hamza, alisemaSerikali isidhani kwakuwakamata na kuwawekandani viongozi wa Kiislamukuwa watapunguza kasi yakudai haki.Imam Hamza, alisemahatua hiyo imempa ujasirizaidi kwani alidai amepataibra kwa nini MwenyeziMungu aliwachia Mitumewake wapate mitihani yakuingia gerezani.Alisema, mwenendowa Itiqafu zinazoendeleazimekuwa dawa toshana kwamba kuna dalilizote kuwa MwenyeziMungu anazipokea Duaza Waislamu kupitia itiqafhizo.Imam hamza alisema,kupitia kesi hizi, ziwe ndioufunguo wa kudai haki zaokwa nguvu zote Waislamupasi ya kuhofu chochote,kwani alidai gezani nisehemu ya kawaida sana,na kuwataka Waislamukutokurudi nyuma.Imam Hamza,alikamatwa miezi minneiliyopita na kunyimwadhamana, ambapoanakabiliwa na mashitakamawili ambayo niuchochezi kupitia CD yakeiliyopewa jina la ‘Ndegewote walie akilia BundiUchuro” na shtaka la pilini la kuvuruga amani.
Jumuiya ya wataalamu wa Kiislamu( TAMPRO) kuelekea Mwezi Mtukufuwa Ramadhani Inakukumbusha “Collection Campaign” kuchangiaNguo na viatu vilivyo katika hali nzurikwa ajili ya Jamii zetu zilizo vijijini.Kukusanya piga Simu 0786 665 375/0712 665 375 au fika ofisi zote zaTAMPRO Mikoani.
“ Collection Campaign”
Nani anambeba nani
Inatoka Uk. 1
 baadhi ya Wawakilishi ambaowanasema kuwa katikamuundo wa sasa Zanzibarinapunjika kinyume na madaiya wengine kwamba, Zanzibarinabebwa.Ukiacha hizo, inadaiwakuwa kuna na zile fedhaza mikopo ya elimu ya juuambazo kama Zanzibarikipewa 4.5% tu kutokaSerikali ya muungano, jumlayake inafikia kiasi cha shilingi bilioni 14.6 ambapo mahitaji yaZanzibar kuwapatia mikopowanafunzi wote wanaoombani bilioni 5 tu.Miongoni mwa Wajumbewa Baraza wanaoleta hoja hiyoni pamoja na Mheshimiwa Jussa ambaye anasema kuwailikuwa muhimu Waziri waFedha kueleza lipo wapigawio la Zanzibar kutokataasisi za Muungano kamaTCRA, TCAA, TTCL, TPC naTPDC ambazo zinakusanyamapato na nyingine ambazoZanzibar ina hisa lakinihakuna tunachokipata.Akitoa mfano Jussaanasema kuwa hivi karibunikampuni ya simu ya Vodacompeke yake ililipa TCRA kodiya bilioni 36.“Je, ukichanganya naZantel, Tigo na Airtel mbalina tozo na ada nyinginezo”,Zanzibar ingepata kiasi gani?Alihoji katika maoni yakealiyoyarusha katika moja yamitandao ya kijamii.“Ukiacha hizo hata kodi yamapato (PAYE) inayotokanana wafanyakazi wa Taasisi zaMuungano waliopo Zanzibarna ambao wanatumia hudumazote za hapa zinazolipiwa nawalipa kodi wa Zanzibarnazo hazilipwi sawa sawa”,aliongeza Jussa.“Halafu anatokezea mtuanasema Zanzibar inanufaikana mfumo uliopo waMuungano na kwamba etitunabebwa. Nani anambebanani hapa? Nini faida yaMuungano wa aina hii?”Alihoji Jussa na kumaliziamaoni yake akisema: “ndiyomaana tunasema hatupokeichochote pungufu yaMAMLAKA KAMILI yaZanzibar kitaifa na kimataifa.Na tutahakikisha katikarasimu ya Katiba tunayarejeshakwenye mamlaka ya Zanzibarmambo yafuatayo ili tuwezekusarifu na kupanga uchumiwetu kwa maslahi ya nchiyetu na watu wetu. Mambohayo ni: Mambo ya Nje,Sarafu na Benki Kuu; Uraiana Uhamiaji.”

Activity (6)

You've already reviewed this. Edit your review.
1 thousand reads
1 hundred reads
Salim Ahnmed liked this

You're Reading a Free Preview

Download
/*********** DO NOT ALTER ANYTHING BELOW THIS LINE ! ************/ var s_code=s.t();if(s_code)document.write(s_code)//-->