Welcome to Scribd. Sign in or start your free trial to enjoy unlimited e-books, audiobooks & documents.Find out more
Download
Standard view
Full view
of .
Look up keyword
Like this
0Activity
0 of .
Results for:
No results containing your search query
P. 1
Katiba Ya Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ya Mwaka 1977-B

Katiba Ya Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ya Mwaka 1977-B

Ratings: (0)|Views: 3|Likes:
Published by Deo Clux
Katiba ya mwaka 1977
Katiba ya mwaka 1977

More info:

Categories:Types, Business/Law
Published by: Deo Clux on Jul 23, 2013
Copyright:Attribution Non-commercial

Availability:

Read on Scribd mobile: iPhone, iPad and Android.
download as PDF, TXT or read online from Scribd
See more
See less

07/24/2013

pdf

text

original

 
66
(b)wakati wowote baada ya Spikakupokea taarifa iliyotiwa sahihi naWabunge na kujiridhisha kuwamasharti ya Katiba kwa ajili ya kuletahoja yametimizwa, Spika atamruhusumtoa hoja kuiwasilisha hoja hiyo, nakisha Spika atalitaka Bunge, bila yakufanya majadiliano, lipige kura juu yahoja ya kuunda Kamati Maalum yaUchunguzi na kama ikiungwa mkonona Wabunge wasiopungua theluthimbili ya Wabunge wote, atatangazamajina ya wajumbe wa KamatiMaalum ya Uchunguzi.(4)Kamati Maalum ya Uchunguzi, kwamadhumuni ya ibara hii, itakuwa nawajumbe wafuatao, yaani ------ (a)Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano,ambaye atakuwa ndiye Mwenyekitiwa Kamati;(b)Jaji Mkuu wa Tanzania Zanzibar; na(c)Wajumbe saba walioteuliwa na Spikakwa mujibu wa Kanuni za Bunge nakwa kuzingatia uwiano wauwakilishi baina ya vyama vya siasavinavyowakilishwa Bungeni.(5)Endapo Bunge litapitisha hoja yakuunda Kamati Maalum ya Uchunguzi,Rais atahesabiwa kuwa hayupo
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
 
kazini, kisha kazi na madaraka yaRais yatatekelezwa kwa mujibu wamasharti ya ibara 37(3) ya Katiba hiihadi Spika atakapomfahamisha Raisjuu ya azimio la Bunge kuhusiana namashtaka yaliyotolewa dhidi yake.(6)Ndani ya siku saba baada ya KamatiMaalum ya Uchunguzi kuundwa,itakaa, ichunguze na kuchambuamashtaka dhidi ya Rais, pamoja nakumpatia Rais fursa ya kujieleza,kwa kufuata utaratibu uliowekwa naKanuni za Bunge.(7)Mapema iwezekanavyo, na kwavyovyote vile katika muda usiozidisiku tisini, Kamati Maalum yaUchunguzi itatoa taarifa yake kwaSpika.(8)Baada ya Spika kupokea taarifa yaKamati Maalum ya Uchunguzi, taarifahiyo itawasilishwa Bungeni kwakufuata utaratibu uliowekwa naKanuni za Bunge.(9)Baada ya taarifa ya Kamati Maalumya Uchunguzi kuwasilishwa kwamujibu wa ibara ndogo ya (8), Bungelitaijadili taarifa hiyo na litampa Raisfursa ya kujieleza, na kisha, kwakura za Wabunge wasiopunguatheluthi mbili ya Wabunge wote,
67
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
 
Bunge litapitisha azimio ama kuwamashtaka dhidi ya Rais yamethibitika,na kwamba hastahili kuendeleakushika kiti cha Rais, au kuwamashtaka hayo hayakuthibitika.(10)Endapo Bunge litapitisha azimio kuwamashtaka dhidi ya Rais yamethibitikana kwamba hastahili kuendeleakushika kiti cha Rais, Spikaatawafahamisha Rais na Mwenyekitiwa Tume ya Uchaguzi juu ya azimiola Bunge, na hapo Rais atawajibikakujiuzulu kabla ya kuisha kwa sikuya tatu tangu Bunge lilipopitishaazimio hilo.(11)Endapo Rais ataacha kushika kiti chaRais kutokana na mashtaka dhidiyake kuthibitika, hatakuwa na hakiya kupata malipo yoyote yapensheni wala kupata haki.
46B.
-(1)Bila ya kuathiri wajibu wa kila raiauliotajwa katika ibara ya 28 ya Katibahii, viongozi wakuu wa vyombovyenye mamlaka ya utendaji katikaJamhuri ya Muungano vilivyotajwakatika, ibara ya 4 ya Katiba hii,watawajibika, kila mmoja wao katikakutekeleza madaraka aliyopewakwa mujibu wa Katiba hii auKatiba ya Zanzibar, 1984, kuhakikisha
68
WajibuwaViongoziWakuuwavyombovyaMamlakayautendaji
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

You're Reading a Free Preview

Download
scribd
/*********** DO NOT ALTER ANYTHING BELOW THIS LINE ! ************/ var s_code=s.t();if(s_code)document.write(s_code)//-->