Kokeini. Kokeini safi isiyokuwa na doa. Biashara kuu ya Kolonia Santita inayowaingizia mamafia wa Amerika ya Kusini dola bilioni 40 za Kimarekani kwa mwaka.