Welcome to Scribd, the world's digital library. Read, publish, and share books and documents. See more
Download
Standard view
Full view
of .
Look up keyword
Like this
4Activity
0 of .
Results for:
No results containing your search query
P. 1
ANNUUR 1087

ANNUUR 1087

Ratings: (0)|Views: 1,973|Likes:
Published by MZALENDO.NET
ANNUUR 1087
ANNUUR 1087

More info:

Published by: MZALENDO.NET on Aug 24, 2013
Copyright:Attribution Non-commercial

Availability:

Read on Scribd mobile: iPhone, iPad and Android.
download as PDF, TXT or read online from Scribd
See more
See less

10/19/2013

pdf

text

original

 
ISSN 0856 - 3861 Na. 1087
SHAWWAL1434, IJUMAA
, AGOSTI 23-29, 2013
 
BEI TShs 500/=, Kshs 50/=
Sauti ya Waislamu
www.annuurpapers.co.tz
Mwanasheria Mkuu waSerikali ya MapinduziZanzibar amesema kuwa‘kuwepo kwa ruhani nchi
Ruhani Tanganyika ndio
mzizi wa ftna muungano
Nyakati ladaiwakuandika uzushi
Latakiwa kuomba radhi la sivyo….
Asema Mwanasheria Mkuu SMZSerikali 2 ni kuifanya ZNZ robo koloniAsisitiza zilizoungana ni nchi mbili
Mashitaka mapya Ponda
Na Mwandishi Wetuya Tanganyika na ruhaniSerikali ya Tanganyika’,ndio mzizi mkubwa wa
tna katika muungano.
Inaendelea uk. 6
Redio imaan inatokakifungoni Jumapili nahivyo kutarajiwa kuwa
hewani kuanzia Jumatatu.
Redio hiyo yenye makaoyake mkoani Morogoro,inamaliza adhabu yakufungiwa kwa kipindicha miezi sita kurushamatangazo yake nchini.Ilifungiwa na serikalikupitia Mamlaka yaMawasiliano nchini TCRA,
Radio Imaan FM
 yatoka kifungoni
Na Shaban Rajab
kurusha matangazo yakekwa kipindi hicho ambapoilianza kutumikia adhabuhiyo na kusitisha kurushamatangazo yake Jumanneya Februari 26 mwaka huu.Kulingana na mudawa adhabu uliotolewa naserikali kwa kituo hicho,ina maana kwamba adhabuhiyo itakoma Jumapili yaAgosti 25 mwaka huu.Hivyo kuanzia Jumatatu
Inaendelea uk. 4
WAISLAMU katika kongamano la Mwembeyanga Jumapili iliyopita.
Uk. 6
WaislamuKigoma watakaTume huruUk.4
 
2
AN-NUUR
SHAWWAL 1434, IJUMAA AGOSTI 23-29, 2013
3
AN-NUUR
SHAWWAL 1434, IJUMAA AGOSTI 23-29, 2013
AN-NUUR
S.L.P. 55105, Simu: +022 2400786
Cel: 0784 370 208, 0713 110 148, 0755 260 087 , DSM.
www.annuurpapers.co.t
E-mail: annuurpapers@yahoo.co.uk
Osi zetu zipo: Manzese Tip TopUsangi House (Jengo dogo), barabara ya Morogoro, D'Salaam
Habari
Tahariri/Habari
Kufuatia msimamouliowekwa na Shura yaMaimamu Manispaaya Sumbawanga, kuwakuanzia sasa Waislamukatika Manispaa hiyowatekeleze hadithi yaMtume Muhammad(SAW) ya kuondoamunkari kwa mikono nakwa maneno, msimamohuu umeanza kutekelezwa
tangu Ramadhani 28.
Awali Waislamuwalishuhudia matangazoyakiwa yanabandikwasehemu mbalimbaliyakisomeka kuwakutakuwa na Disko toto nausiku la wakubwa kuanziaEid Mosi. Jambo hilo lilisababishaviongozi wa Waislamukuwatangazia wauminiwajihadhari nalo nakutakiwa kubanduamatangazo yoteyanayotangua sikukuu yaEid katika Manispaa hiyo.Aidha viongozi waKiislamu walikwendakuonana na Mkuu wa kituocha Polisi Sumbawangamjini kumweleza hasarazinazopatikana kwamadisko yatakayopigwakatika kumbi za starehesiku hiyo ya Eid hukuwahusika wakitangazakuwa ni kusherekea Eid.Mbali na hasara zakiimani, Waislamu haowalimtolea Mkuu huyo waKituo mifano kadhaa yamadhara ikiwa ni pamojana Taifa kupoteza Maishaya watoto katika diskototo la Eid kule mkopaniTabora na Dar es Salaamsiku za nyuma, pamoja nakukithiri vitendo vya zinaakatika sikukuu na mikeshakama hiyo.Mkuu huyo alikubalianana Ushauri wa Masheikh nakusema kuwa sababu zao niza msingi, hivyo akaahidi
Waislamu Sumbawanga waonyesha njia
Na Mwandishi Wetu
kushirikiana na Waislamukukomesha uovu huo wakupiga disko kwa ajili yasherehe ya eid.Imeelezwa kuwa hatuahiyo iliwafanya Waislamukuandika barua kwaOCD tarehe 8/8/2013 nakuthibitisha msimamowao na kufafanu taarifa
waliyoifkisha awali.
Aidha walibandikavipeperushivilivyoandaliwa naShura ya Maimamukutahadharisha kuwa Eid elFitri ni ibada ya Waislamu,hivyo hairuhusiwi kufanyasherehe za kumuasi Allah(sw).Hata hivyo taarifazilieleza kuwa ilipofika jioni walionekana askariwa FFU wakiranda napikipiki na kuyabanduamatangazo yaliyowekwana Waislamu.Katika Baraza la Eidlilofanyika katika viwanjavya Msikiti wa Qiblatainsiku ya Ijumaa ya Eidkuanzia saa nane mchanana kuhudhuriwa nahalaiki ya Waislamu, madakadhaa zilitolewa, lakinisuala maalumu lilikuwani kuwatahadharishaWaislamu kuwa kuna hilampya inataka kuingizwakatika Misikiti nakuwavuruga Waislamu.Ilielezwa kuwa kunampango wa kufanyaushushushu Misikitinina kutoa taarifa Polisi.Kufuatia kuwepo mpangowa kuanzishwa kamati zausalama misikitini, ililezwakatika baraza hilo kuwaMtume (SAW) ameamriwana Allah (SW) kuwapiga
vita makafri na wanafki
kwa sababu makazi yao ni Jahannam, nako ni mahalapabaya sana. (TAWBA9:73).Hata hivyo wakati madahiyo ikiendelea, ghaflailisikika milio ya mabomu.Tukio hilo lilikuja kufuatia
polisi kufka katika disko
na kuwaona walimu waMadrasa wakiwa nje,wakiangalia na kukaguakwa umakini kama kunawanafunzi wao wanaotakakuingia disko toto iliwawazuie.Hali hiyo imedaiwakuwa iliwalazimu baadhiya askari waliokuwepokatika maeneo hayokuwapigia simu wenzaokituo kikuu, wakidaikuwa wamezingirwa nawanahitaji nguvu za ziadaambapo waliwasili nakuwatawanya Waislamuhao kwa mabomu yamachozi.Katika kuhitimishaBaraza la Eid, Amiri waKamati ya KundelezaUislamu, alitoa taarifa yamatatizo yanayoukabiliumma wa KiislamuSumbawanga, ambapoalisema, hivi sasa tareheya kufanyika mtihaniwa taifa wa Maarifa yaKiislamu imegonganishwana zoezi la unyweshwajiwa vidonge vya chanjo kwawanafunzi.Baada ya kufuatilia sualahilo, Amiri alitoa taarifakuwa wamekubalianana Mkurugenzi na AfisaElimu kuwa, wanafunziwa Kiislamu hawatapewachanjo mpaka palewatakapomaliza mitihaniyao kwa utulivu.Aidha Amir huyo alitoataarifa ya unyanyasaji wawanafunzi wa Kiislamukatika shule za sekondariza Mafulala na Kilimani,ambapo walimu Wakuuwa shule hizo waliwatakawanafunzi wa kidato cha
pili kufka Ijumaa shuleni
huku wakijua siku hiyo nini sikukuu ya Eid .Baada ya wanafunzi haokukataa kwenda, wenzaowaliendelea kufundishwa.
Nyakati ladaiwakuandika uzushi
UMOJA wa Hadhiriwa Kiislamu Tanzania,umesema utalichukuliahatua za kisheria, Gazetila Kikristo la Nyakati,kwa kupotosha taarifaya kikao chao na Waziriwa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mh. EmmanuelNchimbi.
Akiongea na Gazetila An nuur, UstadhiRajab Salim, alisemakuwa wamelipa gazetila Nyakati, siku sabakukanusha taarifa hizona endapo watakaidiwatalichukulia hatua zakisheria.Katika mashartiwaliyotoa, Umoja huoumelitaka Gazeti hilola Kikristo, kuombaradhi kwa uzitoule ule kulingana nawalivyoripoti katikaupotoshaji wao nakulitaka kukanushakuwa hawajamtengaSheikh Ponda.“Pamoja na hayo,tunaomba gazeti lakolituombe radhi ndaniya wiki moja, katikaukurasa wa mbele kwamaandishi makubwakama mlivyofanya.
Na Bakari Mwakangwale
Wahadhiri wa KiislamuTanzania hawakumtengaSheikh Ponda.” Imesemasehemu ya barua.Katika barua yao kwaNyakati, kulitaarifu juuya kile walicho kiitakukithiri kwa uzushidhidi ya Waislamuna Uislamu nchini,imesema, katika habarihiyo kuna mengi ambayoyamejitokeza ambayohayana ukweli dhidi yaUmoja huo.Miongoni mwa hayoyaliyoripotiwa na gazetihilo ambayo Umoja huounadai ni uzushi ni kuwalimedai kwamba (Umojahuo) walimweleza WaziriNchimbi, kuwa Serikalihaipaswi kuwahusishawao na watu kamaSheikh Ponda, ambaohufanya Makongamanoyenye kuchochea chuki baina ya WaislamuWakristo.“Walimweleza namnawanavyofanya shughulizao, kisha walimuelezakile ambacho hufanywakwenye Makongamanokama yale yanayofanywana akina Ponda, Hamzana akina Sheikh Ilunga,ambayo huchocheachuki.” Limeripoti gazetihilo la Nyakati, likidai nimaelezo ya Wahadhirihao.Ust. Salim, alidaikuwa katika kikao hichohawakumzungumziaSheikh Ponda, walayoyote kati ya haowaliotajwa na gazetihilo, zaidi ya kuonanana Waziri Nchimbi, kwalengo la kukumbushiaushiriki wake katikaKongamano laowalilo andaa litakalozungumzia juu ya amani.Hata hivyo, Ust. Salim,alisema uzushi mwingikatika gazeti hilo, nikudai kuwa katika kikaohicho kwa upande waWahadhiri wa Kiislamuwaliongozwa na SheikhOthman Habib Mazinge,ili hali (Mazinge)hakuhudhuria kabisakatika kikao hicho.“Tunataka likanushehabari hizo, kishalituombe radhi kwanilimetuzulia uongo kwaWatanzania hususankwa Umma wa Kiislamu,kwa kudai kuwa Umojahuo umemtenga SheikhPonda, sisi tupo pamojanae na hatupinganina harakati zake.”Amesema Ust. Salim.Kwa upande wakeUst. Othman Mzinge,pia ameliandikia baruagazeti hilo, akilitakakumlipa fidia yaShilingi Milioni Kumi(10,000,000/-), sambambana kumuomba radhindani ya wiki moja.“Uliadika habarizenye kichwa cha habari‘Sheikhe Ponda sasaatengwa’, katika kikaohicho ulinitaja kwa jinakuwa nilikuwa kiongoziupande Wahadhiri waKiislamu…………”ilisema sehemu ya baruayake kwa gazeti hilo.Ust. Mazinge,ameliambia gazetihilo kuwa taarifa hiyosi sahihi, na kwambahakushiriki katikakikao hicho, zaidigazeti hilo limelenga
kuwaftinisha Waislamu
na kwamba toka habarihiyo itoke kwa upandewake imemsababishaiusumbufu mkubwakutoka jamii ya Kiislamu.Awali, Ust. Salim,alisema kwambawalilazimika kumonaWaziri EmmanuelNchimbi, baada yakutakiwa kufanya hivyona viongozi wakuu wa Jeshi la Polisi, kufuatiakunyimwa vibali na Jeshi la Polisi kwa ajiliya kufanya Mihadharaya Kidini.Alisema, walikuwawakinyimwa vibalihivyo katika maeneombalimbali Mikoani,ambapo Polisi hugomakutoa vibali wakisema,kuwa hawezi kuruhusukwa kuwa Mihadharaimesitishwa na Waziriwa Mambo ya Ndani.Baada ya kukutana navikwazo hivyo alisema,walilazimika kuundakamati ya kuonana naKamanda SuleimanKova, na kuongea naye juu ya suala hilo, ambayealiwataka kwendakuonana na IGP, SaidMwema, kulingana nasuala lenyewe lilivyo.“Kamati ilienda kwaIGP Mwema, na kuongeanaye, hata hivyo nayealitutaka tukamuoneWaziri wa Mambo yaNdani, Mh. Nchimbi,kwa kuwa yeye ndiyealitolea kauli suala hilo.”Alisema Ust. Salim,akirejea maagizo ya IGP,Mwema.Alisema, kamati hiyoilifanya mchakato nahatimaye waliwezakuonana na WaziriNchimbi, na kumuelezavikwazo wanavyokutananavyo kufuatia kauli yakeya kuzuia Mihadhara yaKidini.“Waziri (Nchimbi)alitupa maelezo kupitiahotuba yake kwa viongoziwa Dini ya Kiislamu naKikristo katika kikaokilichoitishwa na Mkuuwa Mkoa wa Dar esSalaam, yeye akiwamgeni rasmi.” AlisemaUst. Salim.Alisema, WaziriNchimbi, aliwapahotuba yake aliyoitoasiku hiyo kwa viongozihao na kushereheshakwamba yale yalikuwani maazimio ya Jijini Dares Salaam, na hayakuwamikoani.“Alitupa hotuba yakekama muongozo kwaMaafande, watakaokuwawakizuia kutoa vibalimikoani, alitueleza yalemaazimio yalikuwa ni yaMkoa huu (DSM) na siyoya nchi nzima.” Alisema,akifafanua maelezo yaWaziri Nchimbi.Alisema, katikamaongezi hayo,walimuomba awe mgenirasmi katika Kongamanowatakalo liandaa litakalozungumzia amani, ombiambalo alilikubali.Ust. Salim, alisemawalilazimika kurejea kwaWaziri Nchimbi, mapemahivi karibuni, kwa lengola kumkumbushiaahadi hiyo ambapo,Kongamano hilo,linatarajiwa kufanyikaAgosti 24, 2013.“Ni katika kikao hiki,ndiyo gazeti hilo laNyakati, likatengenezahabari kwa mtazamona malengo yakekisha kuibuka na huouzushi wake, wakatikatika kikao hichohapakuzungumziwakabisa kuhusu SheikhPonda na wengine nahata Ust. Mazinge piahakuwepo kama walivyoripoti.” Alisema Ust.Salim.
MANENO kama “dawa
za kulevya”, yamekuwawimbo uvumao kwanguvu hivi sasa hapanchini, lakini ukakosa
wachezaji.
Ni vigumu ikapitasiku bila kusikia manenohaya katika vyombovyetu mbalimbali vyahabari. Wenye mamlakana waliopewa dhamana,ambao kwa sehemu kubwawamekuwa ndio vyanzovya habari hizi za dawaza kulevya, tunawasikiawakitumia kila aina yalugha, wakijitahidikuwadhihirishiawatanzania kwambawanapambana vikalina biashara ya dawa zakulevya hapa nchini.Wakati mwinginewanaonekana wakijana lugha za matumainizaidi, pale wanaposemawamewakamata watukadhaa wakisafirisha auwakitumia dawa hizo.Pamoja na jitihada zao zakujaribu kuonyesha kamawanawajibika kisawasawakwenye vita hii, lakinipia utakuta miongonimwao, pamoja na kupewadhamana na serikalina vyombo vya dola,wamekuwa wakikumbwana kashfa za hapa na paleza kuhusika kwa namnamoja au nyingine katika biashara hii ya mihadarati.Tumeshuhudia vithibitivya mihadarati kamacocaine vikipotea aukupungua ujazo vikiwamikononi mwa polisi,
tumeshuhudia maofsa wa
polisi wakijihusisha na biashara za bangi, tumesikiamadai ya kwamba baadhiya maofisa wa vyombovya dola wakihusishwa narushwa katika biashara hiiya mihadarati n.k.Lakini zaidi, hata Waziriwa Uchukuzi Dkt. HarrisonMwakyembe, nayeameonyesha mashaka yakekwa baadhi ya watendaji wavyombo vya dola kuhusikakatika biashara hii.Nasi tunapata mashakapia, iweje watumiaji wadawa za kulevya ”Mateja”wamejaa mitani chwaka,na vyombo vya dolavinawaona na vinafahamu
fka kwamba ni watumiaji
wa dawa za kulevya, lakinihawachukuliwi hatuazozote.Si hivyo tu, tunajuafika kwamba watumiajihawa kuna mahaliwanaponunulia dawahizo, jambo ambalo nirahisi tu kwa maofisawa vyombo vya usalamakuamua kufuatilia hadikumfikia mhusika wamwisho wa dawa hizo,iweje hatua hazichukuliwina inafanyika hivyo kwamakusudia?Inakuaje dawa hizozipenye mahala penyeusamala wa hali ya juukama viwanja vya ndege bila wahusika kukamatwa?Katika mazingira haya,ni wazi kwamba biasharaya dawa za kulevya hapanchini, kwa kiwangokikubwa hufanywa na baadhi ya watu wenyemamlaka serikalinina wafanyabiasharawakubwa.Miongoni mwaoni watumishi wasiowaaminifu katikavyombo vyetu vya dola,ambao hutumia nafasizao kama mwavuli wakufanya uhalifu wao bilakujulikana.Lakini pia tunaonakwamba kuna uwezekanomkubwa kwambawatumishi hawa waserikali, kwa nafasi zaoserikalini hutumiwana wafanyabiasharawakubwa wa mihadarati,kwa kuwakingia vifuawasibughudhiwe katikamaeneo yanayohusikana kuingiza au kutoamihadarati, na wakubwahao huambulia posho nenekwa kazi hiyo.Ndio maana utaonahata jeshi letu la polisi,linakuwa ‘ngangari’kweli kweli kuwadhitiwaharakati kama akinaPonda au wanasiasa kamaakina Dkt. Slaa. Hawahushughulikiwa kwagharamna yeyote na maramoja hufunguliwa kesimahakamani.Lakini uhodari huohauonekani kuwaangukiamagwiji wa biashara zadawa za kulevya!Matokeo yake,watanzania wanaambuliapropaganda tu kwambadola ipo katikamapambano ya dawaza kulevya, wengine
KATIBU wa BARAZA KUU la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, SheikhRamadhani Sanze akiteta na Imam wa Masjid Mtambani, Sheikh Suleiman Abdallahkatika kongamano la Waislamu Mwembeyanga Jijini Dar es Salaam.
wakitumia zaidi neno “vitadhidi ya dawa za kulevya”,lakini vita yenyewehaionyeshi matunda zaidiya kushuhudiwa vijana,nguvu kazi ya Taifa letuikiendelea kuteketea kilauchao, kwa maslahi yawabinafsi wachache.Kwa ujumla tunawezakusema kuwa watanzaniawamechoshwa na nyimbohizi za mapambaoya mdomoni dhidiya muhadarati, hukuwakishindwa kuonamatokeo yenye nafuu.Hii yote ni kwasababuyawezekana kabisawanaopiga propagandahii, kwa upande mwinginewanaweza kuwa ndiovinara wa mianya ya biashara yenyewe.Katika mazingira haya,ni vyema serikali ikatafutautaratibu mwingine wakupambana na magwijihawa wa mihadarati.Na utaratibu wenyeweuanze kwa kuwachunguzana kuwashughulikiakwanza watu wa serikaliwanaojihusisha na biashara hii na baadaewashughulikiwe raiawengine.Hili likifanyika kwa dhatina bila hofu, tutafanikiwa.Basi ni vyema tukaanza kwakumuunga mkono Dkt.Mwakyembe katika hili.Vinginevyo tutaendeleakupiga propaganda zadebe tupu, huku vijanawetu wakiteketea.Mwisho wa yote, Taifalitasheheni nguvu kaziya wabwia unga, nahatimaye tuje kuongozwana wabwia unga na wavuta bangi, na hapo ndipotutakapotanabahi.
Tuache propagandadawa za kulevya
 
4
AN-NUUR
SHAWWAL 1434, IJUMAA AGOSTI 23-29, 2013
5
AN-NUUR
SHAWWAL 1434, IJUMAA AGOSTI 23-29, 2013
HABARI
Habari za Kimataifa/Tangazo
DAMASCUSDuru mbalimbali za habari
zimeripoti kupatikanamafanikio makubwaya jeshi la Syria, katikakukabiliana na makundiya waasi yanayoungwamkono kutoka na madolaya Magharibi, utawala waKizayuni na baadhi ya nchi
za Kiarabu.
Aidha majeshi hayoyamezidi kuungwa mkonona wananchi katika kilakona ya nchi hiyo katikamapambano yake dhidi yawaasi wa nchi hiyo, kufuatiamafanikio ya operesheni kaliza kijeshi dhidi ya waasi haokatika maeneo tofauti nchinihumo.Habari zinasema kuwa,hali ya amani na utulivuimeanza kurejea taratibu.Rais Bashar al-Assadwa Syra amekutana mjiniDamascus na wawakilishiwa vyama mbalimbalivya wananchi kutokaMauritania, ambapo mbalina kuwashukuru kwa juhudizao kubwa zenye lengo lakusaidia kumaliza mgogorowa nchi yake, alisema kuwataifa na wananchi wa Syriawameazimia kukata kabisamzizi wa ugaidi.Alisisitiza kuwa kwakuzingatia ushirikianomkubwa kati ya wananchina jeshi la nchi hiyo, Syriaitafanikiwa kuwatokomezakabisa waasi hao na kilealichokiita kuwa ni ugaidiwanaoufanya nchini humo.Kwa upande wao,wawakilishi wa vyama namakundi mbalimbali kutokaMauritania, walitangazakuungana kikamilifu na taifa, jeshi na viongozi wa Syriana kusisitiza kuwa, taifahilo la Kiarabu litazidi kuwataifa lenye nguvu, baada yakuondokana na jinamizi lamgogoro wa sasa.Mapambano makaliyameendelea kushuhudiwanchini Syria katika mkoa wapwani wa Attaquie, uliopoMagharibi mwa nchi hiyoambapo jeshi limeshambuliakwa makombora nakumuuwa kiongozi mmojawa kundi la waasi, shirikala haki za binadamulimethibitisha.Wanajeshi zaidiwametumwa katika eneohilo linaloaminika kuwa ndiokitovu cha Rais Bashar AlAssad katika kupambana nawapiganaji walioweka kambikatika milima inayozungukahuo, ambako jeshi lilianzishamapambano takribanmajuma mawili yaliopita.Wakiwa hawana silahaza kutosha, wapiganajihao waliamua kujiunga namakundi ya wapiganaji wa jihad wa makundi ya Kiislamkutoka nchini Iraq, lichaya uhusiano mbaya uliopo baina ya waasi na wapiganajiwa makundi ya Jihad nchini
Rais Al-Assad aapa kuung’oa mzizi wa ugaidi Syria
Jeshi lashambulia ngome za waasi nchini humo
Rais Bashar al-Assad wa Syra akimjulia hali mmoja wa afsa wa jeshi
aliyejeruhiwa na kundi la waasi nchini humo.
Syria.Mkuu wa shirika lahaki za binadamu nchiniSyria, Rami Abdel Rahman,amesema majeshi ya serikaliyalimiminika kwa wingi
katika eneo hilo la Aaquie,
kupambana na waasi nakufanya mashambulizimakali katika maeneoyaliokuwa yanashikiliwa nawaasi hao.Kituo cha televisheni yataifa nchini Syria kimesema jeshi limefanikiwa kurejeshakatika himaya yake mijiiliyokuwa inashikiliwa namakundi ya waasi katika jimbo hilo, ikiwa ni pamoja naKharata, Janzuriyeh, Baluta,Baruda na Hambushiyeh.Hata hivyo Abdel Rahman,ameeleza kuwa mapiganohayo yalikuwa makali mnona kuendelea kudhibiti baadhi ya vijiji.Kwa mujibu wa kiongozihuyo wapiganaji wengi wamakundi ya kigeni ya Jihadwameuliwa katika mapiganohayo, akiwemo kiongozi wakundi la EIIL. Kiongozi huyowa kundi la EIIL aliuawawakati wa mapigano katikakijiji cha Jamusiyeh.wakati huo huo taarifazinasema kuwa jeshi la anganchini Syria limeshambuliaeneo la Jabal al Arbaine, katikamkoa wa Edleb (Kaskazinimagharibi) mwa miji yaDaraya na Zabadani karibuna Damascus, pamoja namji wa Deir Ezzor masharikimwa nchi hiyo.Takwimu za Umoja waMataifa zinaonyesha kuwawatu laki moja wamepotezamaisha katika mapiganohayo, ambayo sasayamedumu kwa miezi 29sasa. Jumamosi mwishoni mwa juma lililopita, watu 124wamepoteza maisha katikamapigano yaliojiri kwenyemaeneo mbalimbali nchinihumo.REUTERSPolisi 24 wa Misriwameuawa huko Sinaikatika shambulio lililotokea Jumatatu asubuhi.Wakati huo huo, Wizara yaMambo ya Ndani nchini Misriimetowa taarifa za kuuawakwa wafuasi 36 wa chamacha Muslim Bradherhood,ambao walikuwa wametiwanguvuni wameuawa janakwa mabomu ya machoziwalipojaribu kutorokawakati polisi walipokuwawakiwahamisha katika jelanyingine karibu na jiji laCairo.Wizara hiyo ya mambo yandani nchini Misri imesemawatu 36, ni wafuasi wachama cha Rais wa zamanialiyepinduliwa na jeshi nakukamatwa Julai 3, ambapovyombo vya usalamavimesababisha umwagajiwa damu mkubwa wakatiwa kuwasambaratishawaandamanaji wanaoendeleakudai kurejeshwa madarakanimwa Rais Mohamed Morsi.Watu mia nanewamepoteza maisha nchiniMisri kwa kipindi cha sikutano, huku kiongozi wakijeshi nchini humo akiapakuendeleza mapambanodhidi ya waandamanaji.Hayo yanajiri wakatiwawakilishi wa nchi 28 zaUmoja wa Ulaya wakitarajikukutana Jumatatu hii jijiniBrussels kujadili kuhusu haliinayoendelea nchini Misri.Kiongozi wa kijeshi jenerali
Abdel Faah al-Sissi, ambaye
amezungumza mwishonimwa wiki kwa mara yakwanza tangu kutokea mauajiya watu mia sita Jumatanowiki iliyopita, amesema kuwa jeshi halitovumilia hali yoyoteile ya vurugu na lipo tayarikupambana kwa kutumianguvu kubwa ili kukomeshamaandamano, bila hata kujalikauli za viongozi wa nchi zaMagharibi wanaosema kuwakunafanyika umwagaji wadamu. Jijini Bruxels mkutanowa mawaziri wa mambo yanje wa nchi wanachama waUmoja wa Ulaya unafanyika,ikiwa ni kikao cha kwanzacha kidiplomasia cha haliya juu kufanyika juu yakuzungumzia hali ya nchiniMisri.
Mahabusu38 Ikhwanwauawagerezani Misri
LONDON
Mkuu wa taasisi ya misaadaya kibinaadamu ya ‘TellMama’, amesema kunaongezeko la vitendo vyakibaguzi na mashambulizidhidi ya Waislamu nchiniUingereza na Wale
s.
Fiyaz Mughal, ambayepia anafuatilia kesi za
Waislamu Uingereza wazidi kushambuliwa
vitendo hivyo nchini humo,amesema kuwa katikakipindi cha miezi 18 iliyopita,watu wasiopungua 1,200walitekeleza mashambuliziya kudhuru Waislamu nchiniUingereza na Wales.Mkuu huyo ameelezakusikitishwa kwake namashambulizi na vitendo vyaubaguzi dhidi ya jamii hiyondogo ya Waislamu, kwa jinsivinavyozidi kuongezeka siku baada ya siku.Fiyaz Mughal amesemakuwa vitendo hivyo haviishiitu katika mitaa na barabaraza nchi hiyo, bali piavinashuhudiwa hata katikamitandao ya intaneti.Kabla ya hapo, mshaurimmoja wa serikali yaLondon ambaye hakutaka jina lake litajwe, alisisitizakuwa viongozi wa nchihiyo ya Ulaya wamekosambinu za kisiasa kwa ajiliya kukabiliana na ongezekola mashambulizi na vitendovya ubaguzi dhidi ya jamii yawalio wachache ya Waislamu.
SERIKALI imetakiwa
kuunda Tume huru yakusikiliza madai yaWaislamu nchini badalaya kuyafumbia macho nakutaka kujaribu kuwazibamdomo kwa mtutu wa
bunduki.
Wito huo kwa Serikaliumetolewa na WaislamuMkoani Kigoma, katikatamko lao lililotolewa naShura ya Maimam Mkoanihumo, mwishoni mwa wikiiliyopita, wakilaani kupigwarisasi Sheikh Ponda IssaPonda.Waislamu hao wamesema,wapo tayari kufanyamaamuzi magumu endapoSerikali haitowachukuliahatua za kisheria wale wotewaliohusika na shambuliohilo chini ya Kamanda waMkoa wa Morogoro, FaustineShilogile.“Tunaitaka Serikali iachempango wake wa kupuuzana kufumbia macho madaiya Waislamu na badalayake iunde tume huru yauchunguzi itakayosikilizakero za Waislamu na iwetayari kuyafanyia kazimajibu ya uchunguzi huo.”Limesema tamko hilo.Tamko hilo limesema,Waislamu Mkoani Kigomawanaamini kuwa tukiolililofanywa na Jeshi laPolisi kushambulia kwakumpiga risasi hadharaniSheikh Ponda, ni mpangomkakati na muendelezowa kuwahujumu viongoziwa Kiislamu wanaoteteahaki na kupinga dhuluma
UALIMU:
STASHAHADA- E moja na S mojaGRADE 3 A – Division IV 27CHEKECHEA – Division Iv 28 na kuendeleaNote:Nafasi za udhamini kwa waliopata Viwango Ngazi yaDiploma na ChetiWahi nafasi ni chache! Asiyekuwa na viwango anaruhusiwa kusoma Ualimu hukuanarudia mitihani
KOZI ZA BIASHARA
Secrerial Studies, Records mgt. Project Planning na mgt Ict,
Simplifed accountancy.
Computer ApplicationsKwa mawasiliano zaidi tupigie 0715 860120 au 0654- 580924
Bismillah Rahman Rahiim
CHUO CHA UALIM
KIGAMBONI - CU.124/ KIGOGO- CU.130Teachers` College
Nafasi za Masomo 2013/2014
Waislamu Kigoma wataka Tume huru
Wakumbusha ya Mwembechai
Na Bakari Mwakangwale
wanazofanyiwa Waislamunchini.Likasema, tamko hilokuwa, badala ya kuwasakamaWaislamu na Masheikh wao,kwa kuwaita wachochezi, nivyema Serikali ikaunda tumehuru ya kuchunguza madaina kero zao na si kuwazibamdomo kwa kutumia nguvuya dola.“Ukweli huuunadhihirishwa na mlolongowa matukio yaliyokwishafanywa na Jeshi la Polisinchini, dhidi ya Waislamukama vile mauji ya kinyamaya Mwembechai Dar esSalaam, mauaji ya Imamuakitoka Msikini Zanzibar, namengine mengi.” Lilisematamko hilo.Shura hiyo ya MaimamuKigoma imeitaka Serikali navyombo vyake vya usalamakufahamu kwamba kaziinayofanywa na SheikhePonda na baadhi ya viongoziwa dini ya Kiislamu nikuitahadharisha Serikalikuacha kufanya dhulmadhidi ya Waislamu.Ikafafanua taarifa hiyokuwa hatua hiyo ya Masheikhkuyasema madhila dhidiya Waislamu ni kutokanana Serikali kushindwakuchukua hatua madhubuti juu ya madai dhidi yake.“Kuudhihirishia nakuufahamisha ummah juuya dhuluma zinazofanywana Serikali si uchochezi kamainavyodaiwa, bali ndio njiapekee itakayodumisha amaniya nchi endapo viongozi wanchii hii watazingatia nakuyafanyia kazi”. Lilisematamko hilo.Tamko hilo lilibainishakwamba, malalamiko yaWaislamu na madai yoteyanayozungumzwa naSheikh Ponda, na wale wotewanaomuunga mkono yanaushahidi wa wazi na wakisayansi.Tamko hilo lilitaja baadhiya kero hizo ambazoWaislamu wanaitaka Serikalikutenda haki katika makundiyote kuwa ni mkataba wakifisadi kati ya Serikali naMakanisa (Memorundumof Understanding –MoU),kwamba Serikali inatoafungu kuyasaidia Makanisapeke yake.Kadhia nyingineimetajwa kuwa ni Baraza laMitihani Tanzania (NECTA)linalodaiwa kutokufanyakazi na kutekeleza wajibuwake kwa uadilifu.Umetajwa pia mfanounaojitokeza mara kwamara ambapo viongozi waKiislamu huwekwa rumandena kunyimwa haki yao yadhamana.Shura hiyo ikafafanuakwamba, Waislamuwanapenda amani ya nchiyao iendelee kudumu lakiniikaitaka Serikali kufahamukuwa msingi wa amani yakweli ni kusimamia haki kwamakundi yote yaliyo chini yautawala wake sambamba nakuwatendea haki raia wakewote bila kujali rangi, Kabila,Dini na ukanda.Katika hatua nyingineShura hiyo ya MaimamMkoani humo, imesemahaitakubaliana na taarifayeyote itakayotolewa natume iliyoundwa na Jeshila Polisi.Hatua hiyo ni kutokanana Waislamu kupotezaimani na Jeshi la Polisi kwakukanusha kuhusika na tukiola kupigwa risasi SheikhPonda, mbele ya mamia yaWaislamu wakishuhudiashambulio hilo.“Katika tukio hili Jeshi laPolisi ni mtuhumiwa nambamoja hivyo taarifa yeyoteitakayotolewa na tumeiliyoundwa na Jeshi hilohaitakuwa ya kuaminiwahata kidogo”. ImesemaShura ya Maimam Kigoma.Shura hiyo ikasemakwamba, Waislamu MkoaniKigoma wanaamini kuwashambulio hilo lililengakumuua kiongozi huyo,wakizingati kauli ya kibabeya Serikali kupitia kwaWaziri Mkuu wa Jamhuriya Muungano wa Tanzaniaaliyoitoa Bungeni.Shura ya Maimam Kigoma,ikaitaka Serikali kuundatume huru ya uchunguzinje ya Jeshi la Polisi, itakayohusisha viongozi wa Dini,wanaoaminiwa na ummahwa Kiislamu sambamba nakumuwajibisha Kamandawa Polisi Mkoa wa MorogoroFaustine Shilogile pamojana viongozi waandamizi wa Jeshi hilo mkoani humo.Tukio la kupigwa risasiSheikh Ponda Issa Ponda,lilitokea siku ya JumamosiAgosti 10, 2013, Majira ya jioni, Mkoani Morogoro, baada askari Polisi kuvamiamsafara wa Waislamuwaliokuwa wakielekeamsikitini kwa swala yaMagharibi.Shambulio hilo lilifanywambele ya mamia ya Waislamuwaliokuwa wakitoka katikaBaraza la Idd, wakielekeakatika Msikiti wa MunguMoja Dini Moja, MkoaniMorogoro. 
Radio Imaan FM
Inatoka Uk.1
ijayo, kituo hichokinatarajiwa kurejeshamatangazo yake kamakawaida.Redio Imaan FMilifungiwa kurushamatangazo yake tanguFebruari 26 mwakahuu, kutokana na kilekilichoelezwa na serikalikuwa ni kwasababu yakosa la uchochezi, sababukubwa ikielezwa kuwa nikuwashawishi Waislamukutoshiriki katika zoezi lasensa ya watu na makazilililofanyika Agosti mwaka jana, ambapo Waislamuwalidai iwapo kipengelecha dini hakitajumuishwakatika zoezi hilo, basi waoh
awatashiriki.Wakati Radio Imaanikimaliza kifungo chake, bado hatma ya kurusharasmi matangazo kituocha televisheni cha TVIMAAN imekuwa nikitendawili licha yakituo hicho kudaiwakukamilisha taratibuzainazohitajika.Hata hivyoMkurugenzi Mkuuwa wa TCRA Prof. John Nkoma, amekuwaakieleza kuwa taratibu bado zinaendelea nazitakapokamilika lesenihiyo itatolewa kwamuombaji.

You're Reading a Free Preview

Download
scribd
/*********** DO NOT ALTER ANYTHING BELOW THIS LINE ! ************/ var s_code=s.t();if(s_code)document.write(s_code)//-->