Welcome to Scribd, the world's digital library. Read, publish, and share books and documents. See more
Download
Standard view
Full view
of .
Save to My Library
Look up keyword
Like this
7Activity
0 of .
Results for:
No results containing your search query
P. 1
Zanzibar Daima toleo la pili

Zanzibar Daima toleo la pili

Ratings: (0)|Views: 4,829|Likes:
Published by Hassan Mussa Khamis
Soma kila wiki mbili Jarida la kila Mzanzibar
Soma kila wiki mbili Jarida la kila Mzanzibar

More info:

Published by: Hassan Mussa Khamis on Aug 24, 2013
Copyright:Attribution Non-commercial

Availability:

Read on Scribd mobile: iPhone, iPad and Android.
download as PDF, TXT or read online from Scribd
See more
See less

08/28/2013

pdf

text

original

 
ZANZIBAR DAIMA
ONLINE
AGOSTI 23-07
SEPT 
1
 
 Toleo laPili
 
Je, Kitanzicha DodomachashindwakumnyongaMansoor? 
 
ZANZIBAR DAIMA
ONLINE
AGOSTI 23-07
SEPT 
ZANZIBAR DAIMA
ONLINE
AGOSTI 23-07
SEPT 
32
 
32
Othman Masoud:Jemedariwa kupigania haki
12
62
Kutoka kwa MhaririYALIYOMO
Zanzibar Daima Online CollectiveMHARIRI MKUU
 Mhariri: Ahmed RajabEmail: ahmed@ahmedrajab.com
MHARIRI MSAIDIZI
Mhariri: Mohammed GhassaniEmail: kghassany@gmail.com
MSANIFU MKUU
 Graphic Designer: Hassan M KhamisEmail: hassan@zanzibarimage.com
WAANDISHI
Mohammed Ghassani
 Email: kghassany@gmail.com
Mauwa Mohammed
Email: mauwa100@yahoo.com
Jabir Idrissa
Email: jabirgood@yahoo.com
Othman Miraji
Email: mwinjuu@hotmail.com
Hamza Rijaal
Email: mzeeshari@hotmail.com
Said S Salim
Email: sssalim47@yahoo.com
WASAMBAZAJI
 mzalendo.netzanzibardaima.comzanzibardaima/facebook
MATANGAZO
 Kwa matangazo tafadhali wasiliana nasikuptia:Hassan M KhamisPhone: +44 7588550153Email: hassan@zanzibarimage.com
WASILIANA NASI
 Tafadhali tuandikie maoni yako kupitiaEmailEmail@zanzibardaima.com
JARIDA HILI HUCHAPISHWA NA
Zanzibar Daima Collective
233 Convent Way - Southall - MiddlesexUB2 5UHUnited KingdomNonnstr. 2553119 BonnGermany
Msimamo wa MwanasheriaMkuu wa Serikali ya Map-induzi Zanzibar, OthmanMasoud Othman (tazamaUkurasa 8), ni msimamo wakizalendo, wa kupigiwa mfanona unaofaa kuigwa na wakuuwengine wa Serikali wenyehisia na nchi yao.Ni nadra siku hizi, hasa nchinimwetu, kuwaona au kuwasikiaviongozi wenye vyeo vikubwakama hicho cha MwanasheriaMkuu wakijitokeza wazi, tenabila ya woga, kuitetea mis-imamo inayopingana na ileya wakubwa wa nchi. Hivyo,Mheshimiwa huyu yuko katikatabaka la wale waliojitoleakuipigania nchi yao.Huo ndio uzalendo. Tena niuzalendo wa hali ya juu. Si tukuwa mtu ana mapenzi nanchi yake lakini pia kuwa anamoyo wa kujitolea kuipigan-ia nchi yake na kuwa tayarikuziondoa, kuziweka upandeau kuzipuuza tafauti zozotezilizopo — ziwe za kidini, zakikabila za kichama au za kii-tikadi za kisiasa — baina yakena wananchi wenzake. Daimaanakuwa anaiweka mbelenchi yake, naliwe liwalo.Othman Masoud ameudhihir-ishia ulimwengu na muhimuzaidi amewadhihirishiaWazanzibari wenzake kwam-ba yeye ni mzalendo wa ainahiyo. Tena ni mtu mwenyekujiamini.Nafikiri sababu inayomfanyaajiamini ni kuwa anaaminikwa dhati kwamba anaiteteahaki. Hataki kuona dhulmainatendeka baina ya nchi mbilizilizo katika Muungano. Hata-ki kuiona nchi moja inaidhalili-sha nyingine.Huko kujiamini kwake ndikokunakomfanya asiwe na hatachembe ya woga kwa kuwak-waa wakubwa wenye serazinazopingana na msimamowake. Wale wenye kumbe-za na waliojitokeza kimbelembele kumshauri Rais AliMohamed Shein amfukuzekazi wamekosea.Kwa kuuchukua msimamoaliouchukua Othman Masoudameonyesha kuwa hana ubin-afsi. Hayuko tayari kuiuzanchi yake kwa vijipesa viwilivitatu au kwa ulwa wa ainayoyote ile.Alipokuwa analihutubia kon-gamano la Baraza la Katibala Wanafunzi wa Vyuo VikuuZanzibar, Othman hakutafunamaneno, hakujifanya kibo-goyo alipoutamka ukweli nawala hakubabaika kwa namnayoyote ile. Sauti yake ilijaahamasa ya uzalendo wake;aliyaeleza mambo kwa busarana hikma, tena kwa taratibu.Kwa ufupi aliililia na kuipiga-nia nchi yake. Hamna sha-ka yoyote kwamba yeye ni jemedari mzuri wa kuipiganiaardhi iliyozikiwa kitovu chake.Inafaa tumshukuru Mungukwani kila uchao anachomo-za jemedari mwingine wakuipigania Zanzibar yetu. Kilammojawao akili kichwani. Vipitushindwe kwenye vita hivi?Othman Masoud anauteteamuundo wa Muungano uta-okuwa na Serikali tatu kamailivyopendekezwa na Tume yaKatiba iliyo chini ya Jaji (Msta-afu) Joseph Warioba.Pamoja na kuubainisha msi-mamo wake kuhusu suala laMuungano Mwanasheria huyoMkuu zaidi aliutumia wadhifawake na uweledi wake wamas’ala ya kisheria kutueli-misha Wazanzibari wenzakekuhusu mambo ya Katiba na jinsi Zanzibar inavyopunjwaikiwa ndani ya Muungano waserikali mbili kama ulivyo sasachini ya ule aliouelezea kuwa“ukoloni kasorobo”.Alieleza pia kwamba muundouliopo wa Muungano ndiowenye hatari ya kuuvunja Mu-ungano kinyume na wanavy-ofikiria wahafidhina wa CCM/Zanzibar na wale walio Barawanaotishwa na wahafidhinahao.Ninaamini kabisa kwamba iti-kadi halisi ya wahafidhina haoni kuendelea kuwa na mada-raka ili wayatumie madarakayao kujichumia mali. Huo ndiomkakati wao na hiyo ndiyohali halisi ilivyo.Aghalabu watu wenye kuipe-nda nchi yao na walio tayarikujitolea mhanga kwa sababuya nchi yao huwa hawawa- jali hao wahafidhina. Huwahawawatii maanani. Wanafa-nya hivyo kwa sababu katikanyakati kama hizi za uwazi nademokrasia watu wa sampuliya wahafidhina wetu wenyekuonya kuhusu ‘maafa’ maranyingi, kama si zote, huwandio wasioisoma vizuri histo-ria. Matokeo yake ni kwambahuishia kutupwa katika debela taka la historia.Kwa upande mwingine,watu wa sampuli ya MasoudOthman, hata kama awaliwatakumbwa na misukosu-ko, misukosuo hiyo huwa yampito tu kwani huishia kubeb-wa na umma na kushangiriwakwa ushindi wao kwa sababudaima wanakuwa wanapiga-nia haki.- Ahmed Rajab
5810
14
 
ZANZIBAR DAIMA
ONLINE
AGOSTI 23-07
SEPT 
ZANZIBAR DAIMA
ONLINE
AGOSTI 23-07
SEPT 
54
Mansoor apelekwamachinjioni Dodoma
Na Jabir Iddrisa
W
akatiI Kamati Kuu yaChama cha Mapin-duzi (CCM) ikikutanamjini Dodoma huku ikitarajiwakulijadili suala la Mwakilishiwa Kiembe Samaki, MansoorYussuf Himidi, imefahamikakuwa mwenyewe mwanasiasahuyo anaijua vyema hatimayake kisiasa.Uchunguzi wa
Zanzibar DaimaOnline 
umegundua kwambahata kama haonekani kushu-ghulika sana, hilo linatokanana kuvuta kwake subira ilikuyaingia mwilini maji kwa vilekwa kupima hali halisi ilivyo, nikama alishayavulia nguo.Chanzo cha kuaminika ndaniya CCM kimeliambia jarida hilikwamba Rais Mstaafu wa Zan-zibar, Amani Karume, yupo mji-ni Dodoma, na ingawa chanzohicho hakikutaka kuthibitisha,wengi wanasema kwambaKarume amekusudia kutumianguvu yake kumtetea Mansoorikiwa NEC itaamua kumjadili.“Siwezi kusema kwambaKarume anakwenda kutetea,lakini najua kuwa suala laMansoor halitakuwa rahisikiasi hicho.” Kilisema chanzohicho.Mansoor, mwanasiasa kijanana mwenye kujiamini ambayekatikati ya wiki iliyopita alipiki-wa jungu la kufukuzwa kutokaCCM kupitia kikao cha KamatiMaalum ya Halmashauri Kuuya Taifa (KM-NEC) ya Zanzi-bar, bado ameamua kutosemalolote kuhusu hatua hiyo namustakbali wake kisiasa.Hadi kufikia jana (Ijumaa) usikuMansoor alionekana kwenyemitaa ya mjini Zanzibar, jambolinalomaanisha kwamba haku-wa ameitwa au amekwendaDodoma kujitetea. Hilo la ku-tokuwapo mwenyewe Dodomakujitetea, huenda likazushauhalali wa kisheria wa NEC ku-muadhibu mwanachama wakebila ya kwanza kumsikiliza.“Kimsingi, hawawezi kum-fukuza moja kwa moja bila yakwanza kumuita wakamsikili-za. Wakifanya hivyo, itakuwani mara ya kwanza kwa CCMkumuhukumu mwanachamawake bila mwenyewe kuwapo,”kimesema chanzo hicho.Hata hivyo, chanzo chenginendani ya kikao cha NEC ime-liambia jarida hili kwambasuala la kumwita Mansoorkujieleza halina mantiki kwanikuna taarifa ya kamati yamaadili ya Chama ambayoimeambatanishwa na baruaya Mansoor kwa Katibu Mkuuwa CCM ambayo chanzo hichokinadai kwamba Mansooramesema kuwa yupo tayarikufukuzwa au kunyongwa
Mwenyewe aamua kukaa kimya, nyota yake kisiasa yazidi kung’ara 
Wengi wamuweka kundi la Jumbe, Seif 
Moyo asema hakutendewa haki
lakini sio kubadili msimamo wake kuelekea Muun-gano wa Mkataba.”Mimi najua lazima jambo hilo lije.ila kukubaliwa au kukataliwa kutategemea kikao,”kimefafanua chanzo hicho.NEC inakutana leo Jumamosi na kesho Jumapilikwenye ukumbi wake wa White House Mjini Dodoma,chini ya Mwenyekiti wake , Rais Jakaya Kikwete. Nakwa mujibu wa Katibu wa Itkadi na Uwenezi wa CCM,Nape Nnauye, ajenda kuu ya kikao ni kijadili maoniya CCM juu ya rasimu ya katiba mpya. Inasemekanahapo ndipo patakapopokelewa pendekezo lililotokaKamati Maalum baada ya kushindikana kumfuku-za Mansoor palepale kwa vile suala lake liliwagawawajumbe.Katika mkutano wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar,mjadala juu ya kufukuzwa uwanachama Mansoorlilikaribia kukigawa chama hicho mapande mawilimbele ya Makamo Mwenyekiti wake, Dk. Ali Mo-hamed Shein.Wapo waliomkingia kifua kuwa hajatenda kosa lolotekwa msimamo wake wa kutoa maoni anayoyahisindiyo, na kwa kweli si peke yake katika wanachamaanayetoa msimamo waziwazi; huku kundi jinginelikimsakizia kuwa amezidi kipimo na anakivurugachama.Dk. Shein ndiye Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waBaraza la Mapinduzi ambaye ameunda Baraza laMawaziri kwa kuzingatia mfumo wa serikali ya Umojawa Kitaifa ulioidhinishwa na Baraza la Wawakilishibaada ya kuridhiwa na wananchi kupitia kura ya mao-ni iliyoukubali kwa asilimia 66.4.Mansoor aliyeomba apumzishwe majukumu yauwaziri baada ya uchaguzi mkuu uliopita wa Oktoba2010, amebaki kuwa mjumbe wa Baraza la Wawakil-ishi, na kuwa mmoja wa wana-CCM wachache ndaniya Baraza wanaotoa maoni yao kwa uhuru mkubwa,ukimuuliza, husema: “Kwa kweli sina maoni.”Hata mwandishi wa habari hizi alipomuuliza kwa njiaya simu kama anadhani umekuwepo mkakati tanguhapo kabla, wa kumfukuza chama, anasema, “Kwahakika mimi sijui lolote ndugu yangu.” Amefunga kazikabisa na haongezi neno.Mansoor alijadiliwa kinagaubaga katika kikao cha Ka-mati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya ChamaCha Mapinduzi (KM-NEC-CCM) kilichoketi wiki iliyopi-ta kwenye ukumbi wa Ofisi Kuu za chama Kisiwanduibaada ya kuwasilishwa yale yalioitwa “mashtaka yautovu wa nidhamu” dhidi yake.Duru za kisiasa ndani ya CCM zinasema mashta-ka hayo yaliandaliwa kwa minajili ya kumtia adabuanaonekana kuwa mtovu wa adabu kwa chama kwakutoa kauli na maelezo yanayokiuka sera na ilani yaCCM.Mansour amekuwa mstari wa mbele kupiganiaZanzibar yenye “mamlaka kamili” kama dola inayo- jitegemea tangu alipoanza kujitokeza hadharanikwenye vikao vya Baraza la Wawakilishi, akisema,“Mimi siungi mkono Muamsho (Uamsho), lakini kwahii kaulimbiu yao ya Tuachiwe Tupumue, nakubaliananao moja kwa moja.”Akiwa mjumbe wa Baraza hilo anayewakilisha jimbola Kiembesamaki, Wilaya ya Mjini, Unguja, Mansoorhana wadhifa mkubwa katika chama tangu pale ali-poondolewa kuwa Mjumbe wa Sekretarieti, Katibu waUchumi na Fedha wa Halmashauri Kuu, upande waZanzibar.Wakati huo alikuwa ameshapoteza wadhifa wa uwa-ziri na Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi (BLM) kwakuwa ilisemekana alimuomba Rais Shein, asimfikiriekuwa mmoja wa mawaziri wake atakapounda serikalimpya.Kutokana na nyendo zake nje ya chama akitumiamwamvuli wa Kamati ya Maridhiano inayoongozwana Mzee Hassan Nassor Moyo, viongozi wenzake
 
“Akiwa mjumbe wa Baraza laWawakilishi anayewakilisha jimbola Kiembesamaki, Wilaya ya MjiniUnguja, Mansoor hana wadhifamkubwa katika chama tangu palealipoondolewa kuwa Mjumbe waSekretarieti, Katibu wa Uchumina Fedha wa Halmashauri Kuuupande wa Zanzibar.”
 ‘‘Akifungua Baraza la Katiba la CCM, Rais Jakaya Kikwete alisema kwamba wenyemawazo mbadala katika CCM juu ya Rasimu ya Katiba wavumiliwe, maana wotewakiwa na mawazo mfanano, huo sio mjadala. Naye Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, anaripotiwa kumueleza wazi Naibu Katibu Mkuu wa CCMZanzibar, Vuai Ali Vuai, katika kikao cha CC kwamba anachokifanya Zanzibarkitakiuwa Chama.” - Chanzo cha ZDOnlineo.’’ 

Activity (7)

You've already reviewed this. Edit your review.
1 thousand reads
1 hundred reads
Yussuf Imam liked this

You're Reading a Free Preview

Download
/*********** DO NOT ALTER ANYTHING BELOW THIS LINE ! ************/ var s_code=s.t();if(s_code)document.write(s_code)//-->