Welcome to Scribd, the world's digital library. Read, publish, and share books and documents. See more
Download
Standard view
Full view
of .
Save to My Library
Look up keyword
Like this
0Activity
0 of .
Results for:
No results containing your search query
P. 1
250913 Final AR5 Press Notice-Swahili version.pdf

250913 Final AR5 Press Notice-Swahili version.pdf

Ratings: (0)|Views: 0 |Likes:
Published by Othman Michuzi

More info:

Published by: Othman Michuzi on Sep 28, 2013
Copyright:Attribution Non-commercial

Availability:

Read on Scribd mobile: iPhone, iPad and Android.
download as PDF, TXT or read online from Scribd
See more
See less

09/28/2013

pdf

text

original

 
 
Taarifa kwa vyombo vya habari:
Jumamosi, 28 Septemba 2013
Katibu wa Mambo ya Nje akaribisha ripoti ya IPCC juu ya Mabadiliko ya Tabia nchi
Jopo baina ya serikali na Umoja wa Mataifa katika Mabadiliko ya Tabia nchi(IPCC) limetoa ripoti ya tano ya tathmini; ripoti mpya katika sayansi ya tabianchi kwa mara ya kwanza ndani ya miaka sita.
Mnamo Ijumaa, 27 Septemba 2013, IPCC ilichapa moja kati ya nakala tatu za ripoti ya tanoya tathmini, moja kati ya ripoti iliyosheheni tathmini za kisayansi juu ya mabadiliko ya tabianchi. Waziri wa Mambo ya Nje, William Hague alionyesha uhitaji wa haraka katikakushughulikia matokeo ya ripoti. Alisema;
“ 
Ripoti mpya ya kisanyansi ya jopo baina ya serikali na Umoja wa Mataifa katikaMabadiliko ya Tabia Nchi linathibitisha mabadiliko ya tabia nchi yanasababishwana shughuli za kibinadamu. Mazingira ya uwepo wa hali mbaya za hewa,yameongeza uwepo wa hatari katika maisha ya binadamu na mali, kuongezekakwa kina cha maji ya bahari, na kuyeyuka kwa barafu haraka zaidi yailivyotarajiwa. Ripoti ya IPCC inaonyesha wazi tusiposhughulikia sasa hivi kupunguza utolewaji wa gesi ya ukaa, yote haya yataongezeka kuwa mbayazaidi muongo hadi muongo. Serikali, wafanyabiashara na watu binafsi wotewanauwezo wa kushughulikia mabadiliko ya tabia nchi. Kadiri tunavyozidi kuchelewa ndivyo tunavyozidi kujiweka katika hatari na gharama zaidi kwa vizazi vya sasa na baaday 
e” 
 
Mwakilishi maalumu wa masuala ya Mabadiliko ya Tabia Nchi wa Waziri wa Mambo ya Nje,Neil Morisetti alitambua pia umuhimu wa ushahidi wa kina na kukubaliana na ripoti;
“....inajenga msingi muhimu wa kuhakiki hitaji la kushughulikia mabadiliko ya
tabia nchi na hii itatumiwa na serikali duniani kuhabarisha namna ya kukabilianana moja kati ya hatari kubwa tunayoikabili. Ushahidi mpana unaothibitisha kileambacho tumekuwa tukifahamu kwa muda: dunia imekuwa ikiongezeka joto
 
 
kadiri ya mabadiliko ya tabia nchi. Hali ya hewa zisizo za kawaida zimekuwazikijitokeza mara nyingi hivi sasa. Ni mpaka hapo ambapo tutachukua hatuakupunguza kusambaa kwa gesi za
“ 
greenhouse
” 
na kipindi cha mpito cha gesi za ukaa za kiwango kidogo, matumizi bora ya rasilimali duniani, tunauwezekanomkubwa wa kushuhudia kuongezeka nyuzi joto mbili na uwezekano kabisampaka nyuzi joto tano katika joto la dunia mpaka mwisho wa karne hii. Hii inaashiria hatari katika uimara na ustawi wa dunia. Umuhimu wa kuchukuliwa
hatua kidunia sasa lipo wazi” 
 
Ripoti inahitimisha uwepo wa ushahidi wa kisayansi ulio wazi kwamba vitendo vya binadamuvimesababisha ongezeko la joto katika mfumo wa tabia nchi katika karne iliyopita. Hii nitofauti na namna ambavyo mabadiliko ya tabia nchi yamekuwa yakitizamwa na kuhusishwakwa upana wake.
Dondoo kwa wahariri:
Madokezo toka katika muhtasari wa AR5:
-
 
Joto kidunia limezidi kwa nyuzi joto 0.9 toka mwaka 1901.
-
 
Kiwango cha maji ya bahari kimeongezeka takribani mita 0.2 toka mwaka 1901, nakiwango cha kukua kinaongezeka.
-
 
Theluji katika bahari ya Arctic katika kipindi cha joto imepungua kwa eneo takribani asilimia 40 tangu mwaka 1979.
-
 
Tabaka la theluji katika mabara ya Greenland na Antarctic yamekuwa yakipungua uzitokama ilivyo kwa matabaka ya theluji kwingineko duniani.
-
 
Majanga ya hali ya hewa yaliyokithiri ya hali ya hewa na tabia nchi yamekuwayakiongezeka na yanategemewa kuongezeka zaidi katika muongo unaokuja.
-
 
Ripoti kamili kwa watunga sera inapatikana: hapa. 
Uingereza imethibitisha kupunguza uchafuzi wa hewa kwa asilimia 34 mpaka ifikapo mwaka2020 na asilimia 80 ifikapo 2050 kulinganisha na viwango mnamo mwaka 1990. Malengohaya yamewekwa kisheria: Sheria ya Mabadiliko ya Tabia Nchi (2008), na utendaji wakiserikali dhidi ya hilo unakuwa unafatiliwa na kamati huru ya mabadiliko ya tabia nchi.Tunaendelea kuondosha hewa ya ukaa katika sekta ya nishati, usafirishaji na uchumi nakuweka motisha kupunguza matumizi ya ndani ya nishati. Muswada wa Nishatiunaopendekezwa utawezesha teknolojia ya kutoa gesi ya ukaa kwa kiwango kidogokushindana katika soko la umeme na kuvutia uwekezaji.Kimataifa, tunafanya kazi kuhakikisha kufunga mkataba wa dunia katika kupunguza uchafuziwa hewa kupitia Mkataba wa Umoja wa Mataifa juu ya Mabadiliko ya Tabia nchi (UNFCCC),kongamano la vyama mnamo mwaka 2015. Tumekubaliana kama sehemu ya Umoja waUlaya, kuingia katika kipindi cha pili cha makubaliano kadiri ya Mkataba wa Kyoto nawanahimiza Umoja wa Ulaya kufikia asilimia 30 ya kupunguza uchafuzi wa hewa kamamalengo ya mwaka 2020 na asilimia 50 kwa mwaka 2030 kadiri ya makubaliano yakimataifa juu ya mabadiliko ya tabia nchi. Sambamba na hili, Uingereza inatoa paundi Bilioni3.87 kupitia mfuko wake wa kimataifa wa kusimamia masuala ya mabadiliko ya tabia nchi(International Climate Fund) kusaidia nchi zinazoendelea, kudhihirisha utoaji mdogo wa gesiya ukaa, kulinda misitu na kusaidia nchi masikini kuhimili madhara ya mabadiliko ya tabianchi. 

You're Reading a Free Preview

Download
/*********** DO NOT ALTER ANYTHING BELOW THIS LINE ! ************/ var s_code=s.t();if(s_code)document.write(s_code)//-->