Professional Documents
Culture Documents
USHAIDI Isaya 9: 6
Kwa maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, tumepewa mtoto mwanamume, nao utawala utakuwa mabegani mwake. Naye ataitwa: Mshauri wa Ajabu, Mungu Mwenye Nguvu, Baba wa Milele, Mfalme wa Amani. Huu ni ushaidi unatufahamisha kuwa Yesu atazaliwa na ataitwa Mungu mwenye Nguvu.
Katika Agano Jipya, kuna ushaidi ambao unakiri Umungu wa Yesu Kristo.
USHAIDI
Hebu tusome Wafilipi 2: 5-11 5 Tuweni na nia ile ile aliyokuwa nayo Kristo Yesu. 6
kushikamana nacho, 7 bali alijifanya si kitu, akajifanya sawa na mtumwa, akazaliwa katika umbo la mwanadamu. 8 Naye akiwa na umbo la mwanadamu, alijinyenyekeza hata mauti, naam, mauti ya msalaba! 9 Kwa hiyo, Mungu alimtukuza sana na kumpa Jina lililo kuu kuliko kila jina, 10ili kwa Jina la Yesu, kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, vya duniani na vya chini ya nchi 11na kila ulimi ukiri ya kwamba YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba. NENO la Kwas sawa na Mungu kwa Kigiriki ni MORPHE-: Ikimanaisha Yesu alikuwa na adhama zote za Kimungu na Mungu. Hivyo basi katika ushaidi huu wa katika kitabu cha Wafilipi tunasoma kuwa Yesu hakuwa mtu wa kawaida bali alikuwa ni Mungu pamoja nasi yaani Imanueli.
USHAIDI
WAEBRANIA 1:
Mwana Ni Mkuu Kuliko Malaika 1 Zamani Mungu alisema na baba zetu kwa njia ya manabii mara nyingi na kwa njia mbalimbali, 2
lakini katika siku hizi za mwisho amesema nasi kwa njia ya Mwanawe, ambaye amemweka kuwa mrithi wa vitu vyote, ambaye kwa Yeye aliuumba ulimwengu.
3
65Ndipo Kuhani Mkuu akararua nguo zake na kusema, Amekufuru! Kwa nini tunahitaji ushahidi zaidi? Tazama, sasa ninyi mmesikia hayo makufuru. 66 Uamuzi wenu ni nini? Wakajibu, Anastahili kufa
JIBU la Yesu ukilikiliza unaweza kufikiri kuwa Yesu hakukubali kuwa YEYE NI Mungu. Lakini THE REACTION ya Kuhani Mkuu na Mafarisayo na wengine walio kuwepo pale inaonyesha wao walimuelewa kivingine. Biblia inasema Kuhani Mkuu akararua nguo zake.!!! Yesu amekufuru mbele yetu, kwanini tutafute ushaidi zaidi ya huu? Kama hii hukumu ya kudai kuwa Yesu amekufuru, basi Yesu hapa alikuwa na nafasi nzuri ya kupinga madai ya huyu Kuhani Mkuu na wengine walio kuwa pale. Lakini Yesu alikubali hii charge ya kujiita yeye Mungu kama Aloivyo sema Kuhani Mkuu.