Welcome to Scribd, the world's digital library. Read, publish, and share books and documents. See more
Download
Standard view
Full view
of .
Look up keyword
Like this
8Activity
0 of .
Results for:
No results containing your search query
P. 1
Zanzibar Daima Online, Toleo la Tano

Zanzibar Daima Online, Toleo la Tano

Ratings: (0)|Views: 2,743|Likes:
Published by Hassan Mussa Khamis
Zanzibar Daima Online, Jarida la kila Mzanzibari litolewalo wiki mara mbili. Jarida la Mtandaoni lenye kusomwa na zaidi ya nchi 27 Ulimwenguni hadi sasa.
Zanzibar Daima Online, Jarida la kila Mzanzibari litolewalo wiki mara mbili. Jarida la Mtandaoni lenye kusomwa na zaidi ya nchi 27 Ulimwenguni hadi sasa.

More info:

Published by: Hassan Mussa Khamis on Oct 10, 2013
Copyright:Attribution Non-commercial

Availability:

Read on Scribd mobile: iPhone, iPad and Android.
download as PDF, TXT or read online from Scribd
See more
See less

04/22/2015

pdf

text

original

 
JARIDA LA KILA MZANZIBARI
www.zanzibardaima.net Toleo 05 - 2013
ZANZIBARDAIMAONLINE
 
“Kuna watu wana chuki tu na sisi. Kwa sababu ya chuki zao dhidi yetu, wanasema watakavyo juu yetu. Wanatuhusisha nauhalifu unaofanywa wakati sisi tuko gerezani. Inawezekana wanaofanya wanajulikana lakini wanalindwa kwa sababu wa-nazozijua hao wanaowatuma. Ni chuki yao tu hawana ushahidi hata chembe wa kuhusika kwetu.
‘‘Hatujabadilikauli’’
JARIDA LA KILA MZANZIBARI
www.zanzibardaima.net Toleo 05 - 2013
ZANZIBAR DAIMA
ONLINE
 
PAGE
2
Y O U R
LOGO
H E R E
UKURASA
3
JARIDA LA KILA MZANZIBARI
www.zanzibardaima.net Toleo 05 - 2013
ZANZIBARDAIMAONLINE
 
ZANZIBARDAIMAONLINE
UKURASA
2
JARIDA LA KILA MZANZIBARI
www.zanzibardaima.net Toleo 05 - 2013
Yaliyomo
G r a p h i c s  D e s i g n e r( H a s s a n )
 w w w. z a n z i b a r i m a g e. c o m
MHARIRI MKUUAhmed RajabEmail: ahmed@ahmedrajab.comMHARIRI MSAIDIZIMohammed GhassaniEmail: kghassany@gmail.comMHARIRI MSANIFUHassan M KhamisEmail: hassan@zanzibarimage.comCOMMUNICATION MANAGERHassan M KhamisWAANDISHI Jabir IdrissaEmail: jabirgood@yahoo.comOthman MirajiEmail: mwinjuu@hotmail.comHamza RijalEmail: babujimba@hotmail.comSalim Said SalimEmail: sssalim47@yahoo.comAlly SalehEmail: allysaleh126@gamil.comWASAMBAZAJImzalendo.netzanzibardaima.netzanzibardaima/facebookMATANGAZOHassan M KhamisSimu: +44 7588550153Email: hassan@zanzibarimage.comWASIALIANA NASIzanzibardaimaonline@gmail.com JARIDA HILI HUCHAPISHWA NAZanzibar Daima Collective233 Convent WaySouthallUB2 5UHNonnstr. 2553119 BonnGermany
www.zanzibardaima.net
Z
anzibar DaimaOnline
 Timu Yetu
Zanzibar Daima Online
Toleo 05
03
18 14 2018
 
10
NGURUMO LA MKAMA NDUMENIONAVYOWARAKA KUTOKA BONNBARZA YA JUMBA MAROMKEKA WA MWANA WA ...
 
Kurasa
Makala nataaria za Uchambuzi wa
kina!
14
283612
KALAMU YA BIN RAJABMICHEZOHABARIKAULI YA MWINYI MKUU
 
PAGE
4
Y O U R
LOGO
H E R E
UKURASA
5
JARIDA LA KILA MZANZIBARI
www.zanzibardaima.net Toleo 05 - 2013
ZANZIBARDAIMAONLINE
 
ZANZIBARDAIMAONLINE
UKURASA
4
M
oja ya mijadala yatangu dahari ya falsa-fa ya kisiasa ni iwapotunaweza kuvitenganishavitu hivi vitatu: dini, maadilina siasa. Dhana ya kwambadini haina budi kuungan-ishwa na siasa imekubalikakwa muda mrefu katika nchizenye mifumo iliokomaa yademokrasia.Wazo la kuitenganisha dinina siasa ni wazo jipya nalinashadidiwa sana baraniAfrika ambako kuna mivu-tano kati ya usasa na ukale.Kuna njia tatu zinazowezakuifanya dini iwe na tash-wishi katika siasa. Njia yakwanza ni ile ya viongozi wadini kujihusisha moja kwamoja katika siasa. Njia ya pilini ya kuichanganya dini nasiasa kuzifanya ziwe moja,kitu kimoja.Ya tatu ni kuzifanya siasa auSerikali ziwe chini ya Shari’aau itikadi za kidini, yaaniutawala uwe unatii maam-risho ya kidini. Njia hii hu-wataka viongozi wa Serikaliwawe wanafuata maamrishoya kidini. Wawe na uadilifuwa kidini.Uadilifu aina hiyo unahitajikahasa katika nchi kama zetuambapo viongozi aghalabuhuwa majambazi, wezi, maf-isadi na wasio na maadili.Hapa ningependa kuizung-umza ile njia ya kwanza yakuifanya dini iwe na tash-wishi katika siasa, yaani ileya viongozi wa kidini kupigambizi katika siasa. Hivyondivyo walivyokuwa waki-fanya viongozi wa Jumuiyaya Uamsho na Mihadhara yaKiislam (JUMIKI), kwa ufupiUamsho.Viongozi hao wa Uamshowamekuwa wakijihusishamoja kwa moja katika siasawakiwa wanayatetea masla-hi ya nchi yao. Matokeo yakeni kwamba harakati zaozimeifanya Serikali iwatienguvuni Oktoba 16 mwaka jana na iwatumbukize koro-koroni ambako wameseleleahadi sasa. Kesi yao ilikuwaikitazamiwa isikilizwe Okto-ba 7 katika Mahakama Kuu,Vuga.Kwa bahati mbaya walip-owasilishwa Mahakamanihawakuwahi hata kufiki-shwa kwenye chumba chakusikiliziwa kesi kwa sababuJaji Mkuu wa Zanzibar, OmarOthman Makungu, hayukonchini.Swali ni kuwa je, ilipopangwatarehe hii ya leo ilikuwahaijulikani kwamba Jaji Mkuuatakuwa nje ya nchi?Kwa mara nyingine masheikhhao wamenyimwa haki yakesi yao kusikilizwa ili iju-likane kama kweli wanahatia au la. Na kama hawanawaachiwe halan; la sivyo hakizao za kibinadamu zitazidikukiukwa.Katika toleo hili tuna makalamaalum kuwahusu viongozihao wa Uamsho tulioy-aandika baada ya
Zanzibar Daima Online 
kuzungumzana mmojawao, Sheikh AzzanKhalid Hamdan, aliyeachiwakwa dhamana ili ende Indiakutibiwa.Mashtaka yanayowakabiliviongozi hao wa kidini nimashtaka makubwa. We-nyewe wanaamini kwambamashtaka yenyewe ni kisin-gizio tu. Wanasema kwambakosa kubwa walilolifanyambele ya wakubwa wa Seri-kali ni kupigania Zanzibarirejee kuwa dola kamili.Pamoja na utetezi huo ju-muiya yao imekuwa ikiende-sha miradi kadhaa ya kijamii,kama kwa mfano ule wakuwaangalia na kuwatunzamayatima wapatao 1,000na mwingine wa kuwasaidiawatoto wapate masomo
Kesi ya Uamsho itaakhirishwa hadi lini?
Na Ahmed Rajab
ndani na nje ya Zanzibar.Kwa kuwekwa ndani miradi hiyo hivi sasa inazorota na watoto zaidi ya elfu moja wanany-imwa huduma za Uamsho.
Zanzibar Daima Online 
inawasihi wakubwa wanaohusika wafanye uungwana kesi yamasheikh hawa isikilizwe kwa haraka. Wasipofanya hivyo wataonekana kwamba wanafanyanjama za kuwaonea kwa sababu za kisiasa
Sheikh Mussa [mwenye kanzu na kofia] ni miongoni mwa viongozi wa Uamsho wanaoshikiliwa takri- ban mwaka mmoja sasa. 
Tahariri

Activity (8)

You've already reviewed this. Edit your review.
1 thousand reads
1 hundred reads
Mohamed Aliy liked this

You're Reading a Free Preview

Download
scribd
/*********** DO NOT ALTER ANYTHING BELOW THIS LINE ! ************/ var s_code=s.t();if(s_code)document.write(s_code)//-->