Welcome to Scribd, the world's digital library. Read, publish, and share books and documents. See more
Download
Standard view
Full view
of .
Look up keyword
Like this
9Activity
0 of .
Results for:
No results containing your search query
P. 1
Zanzibar Daima Online. Toleo Namba 6

Zanzibar Daima Online. Toleo Namba 6

Ratings: (0)|Views: 3,605|Likes:
Published by Hassan Mussa Khamis
Jarida la Zanzibar Daima Online, ni jarida la kila Mzanzibari
Jarida la Zanzibar Daima Online, ni jarida la kila Mzanzibari

More info:

Published by: Hassan Mussa Khamis on Nov 06, 2013
Copyright:Attribution Non-commercial

Availability:

Read on Scribd mobile: iPhone, iPad and Android.
download as PDF, TXT or read online from Scribd
See more
See less

11/11/2013

pdf

text

original

 
JARIDA LA KILA MZANZIBARI
www.zanzibardaima.net Toleo 06 - 2013
ZANZIBARDAIMAONLINE
JARIDA LA KILA MZANZIBARI
 www.zanzibardaima.net Toleo 06 - 2013
 
Uk.08Uk.14Uk.12
Ubaya Ubaya watuon-doshee Wazungu? Kupima maendeleo kwa kutoendeleaBila ya Wazanzibari hakuna Katiba Mpya
LIMEDHAMINIWA NA ZANZIBAR IMAGE.COM
Bure!
Kurasa zaidi ya 40 kutoka ZDO
Zanzibar Daima
Online
 
Zanzibar yashika mpini
 N i
 To leo
0 6
 
PAGE
2
Y O U R
LOGO
H E R E
UKURASA
3
JARIDA LA KILA MZANZIBARI
www.zanzibardaima.net Toleo 06 - 2013
ZANZIBARDAIMAONLINE
 
ZANZIBARDAIMAONLINE
UKURASA
2
JARIDA LA KILA MZANZIBARI
www.zanzibardaima.net Toleo 06 - 2013
MHARIRI MKUUAhmed RajabEmail: ahmed@ahmedrajab.comMHARIRI MSAIDIZIMohammed GhassaniEmail: kghassany@gmail.comMHARIRI MSANIFUHassan M KhamisEmail: hassan@zanzibarimage.comCOMMUNICATION MANAGERHassan M KhamisWAANDISHI Jabir IdrissaEmail: jabirgood@yahoo.comOthman MirajiEmail: mwinjuu@hotmail.comHamza RijalEmail: babujimba@hotmail.comSalim Said SalimEmail: sssalim47@yahoo.comAlly SalehEmail: allysaleh126@gamil.comWASAMBAZAJImzalendo.netzanzibardaima.netzanzibardaima/facebookMATANGAZOHassan M KhamisSimu: +44 7588550153Email: hassan@zanzibarimage.comWASIALIANA NASIzanzibardaimaonline@gmail.com JARIDA HILI HUCHAPISHWA NAZanzibar Daima Collective233 Convent WaySouthallUB2 5UHNonnstr. 2553119 BonnGermany
www.zanzibardaima.net
Z
anzibar Daima Online
 Timu Yetu
Zanzibar Daima Online
Toleo 05
03
Mhariri
Mkuu
 Ahmed Rajab
Penye
Nia
 pana njia
S
afari hii Jabir Idrissa ametuletea makala yenye kuthibitisha ule usemi kwamba panapo nia pana njia. Haukwenda ari- jojo ule msimamo wa Wa-zanzibari, wakisaidiwa na vyama vikuu vya Upinzani vya Tanzania, wa kushikilia kwamba hawakushirikishwa katika kujadili Mapendekezo ya Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba.Rais Jakaya Kikwete na serikali yake wamebidi waje matao ya chini na wakiri kwamba kwa hilo kweli Wa-zanzibari hawakutendewa haki. Na sasa serikali ya Jam-huri ya Muungano imeridhia kufanya marekebisho mapya katika hiyo Sheria ya Mab-adiliko ya Katiba, licha ya kuwa Kikwete amekwisha-tia saini yake katika waraka huo.Hilo si fanikio dogo. Wala halikupatikana kwa urahisi. Ni wazi kwamba serikali hai-kutaka matokeo ya kadhia hiyo yawe kama yalivyoku-wa. Lakini Wazanzibari na wapinzani walipata ushindi kwa sababu mbili. Kwanza walishikamana na kuwa na msimamo mmoja na pili, walisimama imara kuutetea huo msimamo wao. Hawakugawika wala hawakuyumbayumba.Hivyo ndivyo upinzani, ka-tika mfumo wa kidemokra-sia, utakiwavyo uwe. Kila pale seri-kali inapoja-ribu kukata maamuzi kibabe vyama vya upinzani vinawajibika kuzitupilia mbali ari zao na kuungana viwe na msi-mamo mmoja dhidi ya seri-kali.Vikifanya hivyo, serikali huwa haiwezi kufua dafu na kujifanyia itakavyo ikiyapuu-za matakwa ya wananchi.Fanikio hilo la vyama vya up-inzani ni funzo pia kwamba lau vyama hivyo vitauen-deleza umoja wao basi vi-taweza kuleta miujiza ya haraka katika siasa za Tan-zania, miujiza ya kushindwa kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi ujao wa 2015. Tokea hapo chama hicho kinaregarega — Bara na Visiwani — na kuna is-hara nyingi zenye kuashiria kwamba kitapata taabu kuu-nyakua ushindi kama ilivyo kawaida yake. Sasa vyama vya upinzani vikiweza ku-shikamana na kuwa na mka-kati wa pamoja wa kukibo-moa chama hicho katika kila  jimbo la uchaguzi ni rahisi kukiona chama hicho kikon-gwe kikiporomoka katika majimbo mengi ya uchaguzi katika sehemu zote mbili za Muungano.Swali ni kuwa je, vyama vya upinzani vitaweza kweli kuvumiliana, kuaminiana na kuwa na msimamo wa pamoja wenye lengo la kuking’oa kwenye madaraka chama cha CCM. Na kama hivyo vyama vya upinzani vitaweza kusahau tafauti zao na vikawa na umoja kutazuka maswali mengine: je, CCM nacho kita- jiachia kilale kikijua kwamba mshikamano wa vyama vya upinzani utakiua? Au kita-fanya hila zake za kuviingilia vyama hivyo, kuvifitinisha na kuvifanya vikinzane vy-enyewe kwa vyenyewe ili vipwae visiweze kuwa na nguvu za kutosha kukikabili CCM?Tunamaliza kwa kuyarejea yaleyale kwamba vyama vya upinzani vinaweza kukian-gusha CCM endapo vitakuwa na nia ya dhati ya kufanya hivyo
Mazungumzo Baadaya HabariMkeka wa Mwana wa MwanaTufungue KitabuWaraka kutoka BonnKalamu ya Bin Rajab
Uk. 18. Farrel J Foum
Kikwete akithubu ataweza
Uk. 20. Riziki Omar
Zanzibar iuzwapo kwa kikombe cha chai
Uk. 24. Ridder Samsom
Sitiari za Mzee wa Kimbunga
Uk. 22. Othman Miraji
Serikali ni sisi sote
Uk. 28. Ahmed Rajab
Hofu na chuki hazina tena nafasi Zanzibar
Kauli ya Mwinyi Mkuu
Uk. 32. Jabir Idrissa
 Tangu lini Stendi ya gari ikawekwa barabarani
 
PAGE
4
Y O U R
LOGO
H E R E
UKURASA
5
JARIDA LA KILA MZANZIBARI
www.zanzibardaima.net Toleo 06 - 2013
ZANZIBARDAIMAONLINE
 
ZANZIBARDAIMAONLINE
UKURASA
4
AADA y
 
a Zanzibar kupaisha kilio kizito cha kutoshirikishwa katika kujadili mapendekezo ya marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano, sasa ime-sikilizwa. Si hivyo tu lakini tayari serikali imeridhia kupeleka marekebisho mapya katika sheria hiyo, Zanzibar Daima Online limefahamishwa.
Na Jabir Idrissa
Habari Kuu
Hata hivyo, pamoja na wakuu wa Serikali ya Muungano chini ya Rais Jakaya Kikwete kuan-daa mapendekezo mapya ya kuirekebisha sheria iliyotungwa mwaka 2011 na Bunge, mjini Dodoma, kuna ripoti zinazose-ma kuwa vyama vya upinzani vimezuia mapendekezo hayo kuwasilishwa bungeni mpaka kwanza vijiridhishe kama ndiyo yaliyokubaliwa.Taarifa kutoka ndani ya serikali zote mbili, Ofisi ya Bunge, na vyama vya siasa vilivyounda umoja wa kupigania haki ya kusikilizwa wakati serikali ilip-owasilisha mswada wa sheria ambao hatimaye ulipitishwa kinyemela na wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa Tanzania Labour (TLP) Augustine Mrema pekee, zinasema mapendekezo hayo mapya yatasubiri mwafaka.Kwa mujibu wa taarifa hizo, viongozi wa Chama cha Wanan-chi (CUF), Chama cha Demokra-sia na Maendeleo (Chadema) na NCCR-Mageuzi, waliounda timu ya wataalamu wa kuchambua mapende-kezo yanayopaswa kuzingatiwa katika kurekebisha sheria hiyo iliyopitishwa na Bunge Septemba 6, wameona ni muhimu kujiridhisha na mapendekezo ya serikali.“Wameona ni muhimu kwao kuyapitia mapendekezo yenyewe ya marekebisho kama yalivyoandaliwa na Serikali ili kujiri-dhisha kwa sababu wanadhani ipo haja ya kuhakikisha kila kitu kimekwenda kulingana na makubaliano yao. Hatua hii ni ya lazima kwa kuwa uzoefu unaonesha kuwaachia watendaji wa serikali waamue peke yao kunaweza kuleta matatizo mengine,” chan-zo cha habari hizi kimemnukuu mmoja wa wajumbe wa timu ya wataalamu ya vyama hivyo.Mpashaji habari huyo amemnukuu mjumbe wa timu ya wataalamu ya vyama akisema kwamba mapendekezo ya kurekebisha sheria ya katiba yamezingatia vilio vya kila upande likiwemo suala la kupatikana kwa usawa wa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kati ya Zanzibar na Tanganyika, kinyume na ilivyowekwa katika sheria hiyo ambayo kupitishwa kwake kulizua mtafa-ruku hasa pale Zanzibar ilipolalamika kwa kutoshirikishwa katika kujadili mapende-kezo yaliyowasilishwa bungeni na Waziri wa Sheria na Katiba wa Serikali ya Muungano ya kurekebisha sheria ya 2011.Kwa sababu ya hatua hiyo ya vyama kuzuia mapendekezo hayo mpaka kwanza kujirid-hisha, huenda sasa Mswada wa marekebi-sho ya sheria ile ukawasilishwa kwa njia ya dharura, badala ya utaratibu wa kawaida wa kuzingatia muda wa kuusoma mara mbili kabla ya kuwasilishwa rasmi bungeni.Taarifa za karibuni kutoka Ofisi ya Bunge zimesema kuwa kama ni mapema kuliko ilivyokusudiwa hapo kabla, basi mswada huo unaweza kuwasilishwa bungeni katika siku mbili za mwisho za mkutano wa bunge unaoendelea mjini Dodoma kwa sasa, am-bao ulianza Jumanne ya wiki iliyopita.Jarida hili limefanikiwa kuyaona mapende-kezo yaliyoandaliwa awali na timu ya wata-
Zanzibar yashika mpini kisu cha Katiba Mpya
HABARI KUU
 
Waziri wa Sheria na Katiba wa Zanzibar Abubakar Khamis Bakari [katikati], akizungumza na Waziri Mkuu Mizengo Pinda [kulia]

Activity (9)

You've already reviewed this. Edit your review.
Nassour Barrack Kheir added this note
mwendo mdundo hadi kitaeleweka In Sha Allah
Mursal Ohms Shkeil added this note
mwendo mzuri wa kuitambulisha nchi yetu kitaifa na kimataifa
1 thousand reads
1 hundred reads

You're Reading a Free Preview

Download
scribd
/*********** DO NOT ALTER ANYTHING BELOW THIS LINE ! ************/ var s_code=s.t();if(s_code)document.write(s_code)//-->