Welcome to Scribd, the world's digital library. Read, publish, and share books and documents. See more
Download
Standard view
Full view
of .
Look up keyword
Like this
7Activity
0 of .
Results for:
No results containing your search query
P. 1
Wakuu Wa Vyombo Vya Habari

Wakuu Wa Vyombo Vya Habari

Ratings: (0)|Views: 9,205|Likes:
Published by Othman Michuzi

More info:

Published by: Othman Michuzi on Dec 03, 2013
Copyright:Attribution Non-commercial

Availability:

Read on Scribd mobile: iPhone, iPad and Android.
download as DOCX, PDF, TXT or read online from Scribd
See more
See less

12/03/2013

pdf

text

original

 
 
Wakuu wa Vyombo vya Habari
 
TANZANIA.
 
Shindano la Msimu wa kwanza la Tanzania Top Models litafanyika Jumamosi hii 7/12/2013 katika ukumbi mpya kabisa wa Mwalimu Julius Nyerere ulioko katikati ya Jiji la Dar es salaam kwenye mtaa wa Shabaan Robert. Huu ni ukumbi mpya tunaokwenda kuuzindua kwa mambo ya mitindo na ulimbwende. Ukumbi uko sehemu iliyotulia kwenye mtaa wa Shabaan Robert unao anzia kwenye viwanja vya Gymkhana na kuishia kwenye lango kuu la Ikulu ya Dar es salaam; ambao umejengwa na serikali ya China na kutolewa kwa serikali ya Tanzania. Tunategemea shindano kuanza saa 2 usiku likiwahusisha Wanamitindo 15 kutoka katika mikoa 7 ya Tanzania.
 
Tiketi za VIP na Business Class zimeanza kuuzwa katika vituo vya Shear Illussion Mlimani City na Millenium Tower, Girraffe Ocean View Hotel na Break Point mjini na kijitonyama pia mtu anaweza kupiga simu 0717422166 au0688140140, 0753300004 na kupelekewa tiketi mahala popote atakapo kuwa jijini Dar es salaam.
 
Models walioko kwenye kambi ni Ammara, Darline, Nemic, Tina, Maturege, Miracle, Zulpher, Nuru, Lorraine, Iryna, Gladys, Eve, Gaudencia, Niler na Retty watachuana katika kinyan
g’anyiro cha kumtafuta Mwanamitindo bora wa Tanzania 2013.
Mashindano yetu ambayo yatakuwa sehemu ya shamrashamra za kusheherekea miaka 52 ya uhuru wa Tanzania Bara, yatahusisha washiriki kuvaa na kuonyesha mavazi ya aina nne. Mavazi hayo yatakuwa ni Vazi la kitanzania(Tanzanian Dress), vazi la kubalizi (Cocktail Dress), Vazi la kiofisi(Office Dress) na Vazi la Jioni Evening Dress. Pamoja na Wanamitindo hawa kushindana katika mavazi, pia watashindana katika vipaji hadi tupate mshindi ambaye atatuwakilisha katika mashindano ya Top Model of the World yatakayo fanyika mwezi wa March 2014.
 
 “Tunamshukuru Mungu leo ni siku ya 26 wasichana wakiwa kambini” na mambo
yakiendelea vizuri ingawa kumekuwepo na changamoto kadhaa kama kuugua kwa baadhi ya Models na mapungufu ya vitu vidogo vidogo kutokana na kutokuwepo wadhamini wa kutosheleza mahitaji yote.
 

You're Reading a Free Preview

Download
scribd
/*********** DO NOT ALTER ANYTHING BELOW THIS LINE ! ************/ var s_code=s.t();if(s_code)document.write(s_code)//-->