You are on page 1of 4

WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII Kwa kushirikiana na TAASISI YA BENJAMIN WILLIAM MKAPA HIV/AIDS

TANGAZO LA KAZI
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa kushirikiana na Taasisi ya Benjamin William Mkapa HIV/AIDS inatekeleza Mradi wa kuimarisha mifumo ya huduma za afya ( Health Systems Strengthening) kupitia ufadhili wa Mfuko wa Dunia wa kupambana na UKIMWI, Kifua Kikuu na Malaria Mzunguko wa 9 ( Global Fund Round 9). Moja ya malengo ya mradi ni pamoja na; kuongeza wataalam wa afya, ili kuimarisha huduma za UKIMWI, Kifua Kikuu, Malaria na huduma nyinginezo katika Halmashauri za Wilaya zenye upungufu wa watumishi wa afya. Katika awamu ya kwanza ya utekelezaji wa mradi huu (2011 - 2013), watumishi wa afya 230 na wakufunzi wa afya 137 waliajiriwa na kupangiwa kazi katika Halmashauri za Wilaya 35 na Vyuo vya afya 43. Katika awamu ya pili ( 2013- 2016), mradi huu una nafasi za kazi kwa watumishi wa afya 230 katika Halmashauri 35 kama ilivyoainishwa kwenye jedwali lifuatalo:
Afisa Muuguzi Msaidizi (Assistant Nursing Officer) Daktari Msaidizi (Assistant Medical Officer) Jumla ya nafasi

Mkoa

Wilaya

Tabibu (Clinical Officer)

Daktari (Medical Doctor)

Muuguzi (Nurse)

Mteknolojia Maabara (Laboratory Technologists)

Afisa Muuguzi (Nursing Officer)

Mfamasia (Pharmacist)

Mteknolojia Dawa (Pharm tech)

1. Mbeya

1.Mbozi 2.Rungwe 3.Chunya 4.Ileje 5.Kyela

3 4 3 4 2 2 1 2 1 1 1

3 1 2 1 2 1 1 1 1

1 1

7 6 7 7 6 6

2. Iringa

6.Kilolo

7. Mufindi 3. Njombe 8.Ludewa 9. Njombe vijijini 4.Kilimanjaro 5. Arusha 6. Tanga 10.Mwanga 11.Karatu 12.Muheza 13.Handeni 14.Kilindi 15.Pangani 16.Lushoto 17.Mkinga 6. Kigoma 18.Kigoma vijijini 19.Kibondo 20.Kasulu 7.Shinyanga 21.Bukombe 22.Kishapu 23.Msalala 24.Shinyanga vijijini 8. Simiyu 25.Meatu 26.Busega 27.Maswa 28.Itilima 29.Bariadi 9. Kagera 10.Mwanza 30.Biharamulo 31.Magu

5 7 1 2 3 6 2 6 3 2 1 3 1 1 2 2 3 2 3 1 4 1 1 3 2 2 2 1 6 2 3 1 1 1 4 2

6 7

2 1 3

2 1

6 6 6 6 1 1 7 7 1 1 6 7 7 7 1 8 7 7

1 2 1 3 1 1 1 1 1

2 2 3 2 2 2 2 1 1 2 1 1 1 3 4 2 3 1 1 1 2 1

7 6 6

7 6

7 7 7 6 6

32.Ukerewe 11. Geita 12. Mara 33.Chato 34.Rorya 35.Serengeti Jumla

1 2 4

7 6

5 3 91 13 3 29 49 19

7 6

10

230

Vilevile katika awamu hii, mradi huu una nafasi za kazi za wakufunzi (Tutors) 75 katika vyuo 14 kama ilivyoainishwa katika jedwali lifuatalo:
Chuo 1. 2. Mkomaindo Nursing Training School Nachingwea Nursing Training School Kada Afisa Muuguzi (Nursing Officer) Afisa Muuguzi Msaidizi (Assistant Nursing Officer) Afisa Muuguzi (Nursing Officer) Afisa Muuguzi Msaidizi (Assistant Nursing Officer) Afisa Muuguzi (Nursing Officer) Afisa Muuguzi Msaidizi (Assistant Nursing Officer) Afisa Muuguzi (Nursing Officer) Afisa Muuguzi Msaidizi (Assistant Nursing Officer) Afisa Muuguzi (Nursing Officer) Afisa Muuguzi (Nursing Officer) Daktari (Medical Doctor ) Daktari (Medical Doctor ) Daktari (Medical Doctor) Daktari (Medical Doctor) Daktari (Medical Doctor) Daktari (Medical Doctor) Daktari (Medical Doctor) Daktari (Medical Doctor) Jumla Jumla ya nafasi 3 3 3 3 3 3 2 2 6 6 5 6 5 5 5 5 5 5 75

3. 4. 5. 6. 7. 8. 9.

Korogwe Nursing Training School Newala Nursing Training School Tanga Nursing Training School Bagamoyo Nursing Training School Tanga Assistant Medical Officers Training College Kigoma Clinical Officers Training College Kilosa Clinical Officers Training College

10. Mafinga Clinical Officers Training College 11. Mbeya Assistant Medical Officers Training College 12. Musoma Clinical Officers Training College 13. Sumbawanga Clinical Officers Training College 14. Maswa Clinical Assistants Training College

Izingatiwe kwamba: Ajira ndani ya mradi huu itatolewa kwa mkataba wa miezi kumi na nane (18) na mara baada ya kukamilika kipindi hiki, waajiriwa wote katika mradi huu watatakiwa kujiunga katika utumishi wa umma kulingana na taratibu na kanuni za Serikali za Ajira Watumishi waliopo katika ajira ya utumishi wa umma au katika Taasisi/Vyuo vya mashirika ya dini (FBOs) hawaruhusiwi kuomba nafasi za kazi zilizotangazwa. Mishahara itatolewa kulingana na sifa na ujuzi wa mtumishi husika pamoja na maslahi mengineyo yaliyobainishwa katika mradi.

Maombi yote yaambatanishwe na:

1. Barua ya maombi ya kazi, ikipendekeza Halmashauri 3 mwombaji anazopendelea kupangwa kazi, na pia mwombaji aonyeshe ridhaa ya
kujiunga na utumishi wa umma, baada ya kukamilika kwa mkataba.

2. Nakala ya cheti cha Taaluma na cheti cha kidato cha 4 pamoja na cha 6 (iwapo anacho), na viwe vimethibitishwa na Hakimu au Wakili. 3. Nakala ya cheti cha usajili/leseni, cheti cha mazoezi kwa vitendo (internship) kwa kada zinazohusika kama vile; madaktari, wafamasia,
wateknolojia na wauguzi

4. Picha mbili (2) saizi ya Pasipoti na maelezo binafsi (CV), ikionyesha umri, anuani kamili ya Posta, barua pepe na namba ya simu ya
kiganjani, pamoja na anuani/ namba ya kiganjani ya wadhamini wako wasiopungua watatu (3). Mwisho wa kupokea maombi haya ni tarehe 27 Januari 2014

Maombi yote yatumwe kwa njia ya Posta kwa anuani ifuatayo: Afisa Mtendaji Mkuu, Taasisi ya Mkapa HIV/AIDS Foundation, S.L.P. 76274, DAR ES SALAAM. Majibu yatatolewa kwa watakaofanikiwa tu ifikapo tarehe 24 Februari 2014 Tangazo hili linapatikana pia katika tovuti ya: www.mkapahivfoundation.org

You might also like