Welcome to Scribd, the world's digital library. Read, publish, and share books and documents. See more
Download
Standard view
Full view
of .
Look up keyword
Like this
0Activity
0 of .
Results for:
No results containing your search query
P. 1
PRESS 10.01.2014

PRESS 10.01.2014

Ratings: (0)|Views: 0|Likes:
Published by Othman Michuzi

More info:

Published by: Othman Michuzi on Jan 10, 2014
Copyright:Attribution Non-commercial

Availability:

Read on Scribd mobile: iPhone, iPad and Android.
download as DOCX, PDF, TXT or read online from Scribd
See more
See less

01/10/2014

pdf

text

original

 
 taarifa ya jeshi la polisi mkoa wa mbeya kwa vyombo vya habari
“press release”
tarehe 10.01. 2014. wilaya ya rungwe
 –
 mauaji.
mnamo tarehe
09.01.2014
 majira ya
saa 06:00hrs
 huko katika kijiji cha
ilenge
, kata ya
kyimo
,
 
tarafa ya
ukukwe
 wilaya ya
rungwe
 mkoa wa mbeya.
magreth d/o ijumba
, miaka 55, kyusa, mkulima, mkazi wa kijiji cha ilenge aliuawa akiwa nyumbani kwake kwa kupigwa jiwe kichwani na mtu/watu wasiofahamika kisha kutupwa katika shamba lake la migomba umbali wa mita 69 kutoka nyumbani kwake. mbinu ni kuvunja mlango wa nyumba ya mhanga ambaye anaishi peke yake kuingia ndani na kumuua kwa kutumia jiwe. aidha watu hao pia walikwenda mtaa wa pili na walimshambulia
kisa w/o ephraim
, miaka 50, kyusa, mkulima, mkazi wa kijiji cha ilenge kwa kutumia jiwe kichwani na amelazwa hospitali ya misheni igogwe.
chanzo ni imani za kishirikina
. kamanda wa polisi mkoa wa mbeya kamishna msaidizi mwandamizi wa polisi
ahmed. z. msangi
 anatoa wito jamii kuacha kuamini imani potofu za kishirikina kwani zina madhara makubwa katika jamii. aidha anatoa wito kwa yeyote mwenye taarifa za mtu/watu waliohusika na tukio hili azitoe katika mamlaka husika ili wakamatwe na sheria ichukue mkondo wake.
wilaya ya mbeya vijijini
 –
 mauaji.
mnamo tarehe
09.01.2014
 majira ya
saa 16:00hrs
 huko
mlima nyoka,
 kata ya
igawilo
, tarafa ya
iyunga
, wilaya ya
mbeya vijijini
, mkoa wa
mbeya
, watu wawili
1. charles s/o livingstone,
miaka 32, msafwa, mkulima, mkazi wa itezi na
2. tatizo s/o mbwiga,
miaka 27, msafwa, mkulima, mkazi wa nsalaga
 
walishambuliwa kwa kupigwa na kundi la wananchi walioamua kujichukulia sheria mkononi wakitumia silaha za jadi fimbo na mawe hadi kufa.
chanzo ni tuhuma za wizi wa pikipiki
 
t.693 cbd
aina ya
shanley
 mali ya
keven s/o msemwa
, miaka 24, muwanji, mkulima, mkazi wa uyole. marehemu
charles s/o livingstone
 alikuwa anatoka mahakama ya mwanzo uyole akiwa mlalamikaji katika kesi
cc 568/2013
 kosa shambulio akiwa ni mlalamikaji na marehemu
tatizo s/o mbwaga
alikuwa anamsindikiza na walipofika eneo la uyole kati waliiba pikipiki hiyo. kamanda wa polisi mkoa wa mbeya kamishna msaidizi mwandamizi wa polisi
ahmed. z. msangi
 anatoa wito jamii kuacha tabia ya kujichukulia sheria mkononi kwani ni kinyume cha sheria. aidha anatoa wito kwa yeyote mwenye taarifa za mtu/watu

You're Reading a Free Preview

Download
scribd
/*********** DO NOT ALTER ANYTHING BELOW THIS LINE ! ************/ var s_code=s.t();if(s_code)document.write(s_code)//-->