Professional Documents
Culture Documents
Agano la Utele
As established by God with Noah after the flood, the covenant of abundance anchors on Kama Mungu alivyolithibitisha kwa Nuhu baada ya gharika, agano la utele lina mhimili wake katika KUTOA/UTOAJI Mwa 8:20-22/ Kum 8:18 Kutoa ndiyo sheria nanga inayowezesha kupatikana kwa utajiri Ay 22:21-26 Lakini KUTOA ZAKA ndiyo lango la kiagano la kuingia kwenye Baraka za kifedha. Law 27:30-31/ Mal 3:10 KUTOA ZAKA ndio hitaji la nyakati zote kwa kila muamini anayetamani kutembea katika Baraka za kifedha AbrahamNi agano la Mungu kwa wote walio wana wa Abrahamu - Mwa 14:19-20/ Yn 8:39/ - Gal 3: 13-14/ Heb 7:1-8 Yesu pia alithibitisha utoaji wa Zaka kwa nyakati za sasa Mat. 23:23/ Heb 7:1-8 Hakuna mtoto wa Mungu atakayeweza kutembea katika Baraka za kifedha bila kuwa mtoaji wa zaka. Mfano mmoja ni John D. Rockefeller, Marekani wa kwanza kuwa bilionea katika historia alikuwa na TABIA YA KUTOA ZAKA Isa 51:1-3
Kuhitimisha, Upendo wa Mungu uliothibitika moyoni mwetu ni hitaji la msingi kwa ajili ya Baraka za kifedha 1Kor 2:9 Lakini kimaandiko kutoa ndio Kunathibitisha upendo 2Kor 8:8 / -1Yn 3:14-15/ Yn 3:16 Izingatiwe kwamba ni utoaji unaosukumwa na upendo ndio pekee unaofanya ya mbingu ya Baraka kufunguliwa juu yetu - 1Kor 13:3 T Kwahiyo, tukipuuzia kutoa, tunakosa sifa ya kupata Baraka za kifedha. - Hag 1:3-11/ Mal 3:10/ Zab 102:13-15/ Mat. 6:33 Jesus is Lord!