Welcome to Scribd, the world's digital library. Read, publish, and share books and documents. See more
Download
Standard view
Full view
of .
Look up keyword
Like this
8Activity
0 of .
Results for:
No results containing your search query
P. 1
PRESS 03.03.2014

PRESS 03.03.2014

Ratings: (0)|Views: 8,103 |Likes:
Published by Othman Michuzi

More info:

Published by: Othman Michuzi on Mar 03, 2014
Copyright:Attribution Non-commercial

Availability:

Read on Scribd mobile: iPhone, iPad and Android.
download as DOCX, PDF, TXT or read online from Scribd
See more
See less

03/17/2014

pdf

text

original

 
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI JESHI LA POLISI TANZANIA.
RPC. Ofisi ya Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Mbeya,  Namba ya simu 2502572 S. L. P. 260, Fax - +255252503734 MBEYA. E-mail:- rpc.mbeya@tpf .go.tz
TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI
“PRESS RELEASE” TAREHE 03.03
.2014.
 
WANANCHI WA KIJIJI CHA CHALANGWA WILAYANI CHUNYA WAFUNGA BARABARA YA MBEYA/CHUNYA BAADA YA KUWEPO MGOGORO KATI YAO NA MMILIKI MMOJA WA ENEO LA UCHIMBAJI MADINI.
 
MTU MMOJA AFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA BARABARANI MKOANI MBEYA.
 
JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LINAWASHIKILIA WATU WATATU WAKIWA NA MALI IDHANIWAYO KUWA YA WIZI.
 
WATU WATATU WANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA WAKIWA NA NOTI BANDIA.
 
WANANCHI WA KIJIJI CHA CHALANGWA WILAYANI CHUNYA WAFUNGA BARABARA YA MBEYA/CHUNYA BAADA YA KUWEPO MGOGORO KATI YAO NA MMILIKI MMOJA WA ENEO LA UCHIMBAJI MADINI.
WANANCHI WA KIJIJI CHA CHALANGWA WILAYANI CHUNYA MKOA WA MBEYA WAFANYA VURUGU ZINAZOTOKANA NA WANANCHI KUPINGA KUKAMATWA BAADHI YA WENZAO
KUFUATIA VITISHO NA VURUGU WANAZOMFANYIA MMOJA WA WAMILIKI WA ENEO LA UCHIMBAJI WA MADINI LENYE LESENI NA. 0003904 KWA MADAI KUWA SI MKAZI WA KIJIJI HICHO NA HIVYO KUTAKA KUMNYANG`ANYA ENEO LAKE
. VURUGU HIZO ZILITOKEA MNAMO TAREHE
02/03/2014
 MAJIRA YA ASUBUHI AMBAPO WANANCHI WA KIJIJI CHA CHALANGWA WALIZIBA BARABARA YA MBEYA/CHUNYA KWA KUTUMIA MAGOGO NA MAWE WAKISHINIKIZA POLISI KUTOWAKAMATWA WANANCHI WENZAO  AWALI WANANCHI HAO MNAMO TAREHE
19/02/2014
 SAA
10:00HRS
 KATIKA KITUO CHA POLISI CHUNYA YALIPOKELEWA MALALAMIKO TOKA KWA
JOSEPH LAISON
 
@
 
MWAZYELE
 (47), MKAZI WA KIJIJI CHA KIWANJA KATA YA MBUGANI, TARAFA YA KIWANJA KUWA MNAMO TAREHE
18/02/2014 MAJIRA YA SAA 09:00HRS
 HUKO KATIKA KIJIJI CHA CHALANGWA ALITISHIWA KUUAWA NA WANANCHI WATANO (5) ALIOWATAJA KUWA NI
1.
 
JOSEPH RASHID
,
2. MWAMBO MWAGANE
 
3. TEDY MWAGANE
 
4. MEDY KATEMBO
 NA
5. VENACE
 
RASHID
 NA HIVYO JALADA LA KUTISHIA KUUA KWA MANENO LILIFUNGULIWA. MLALAMIKAJI HUYO KATIKA MAELEZO YAKE ANASEMA KUWA CHANZO CHA TUKIO HILO NI KIWANJA CHA KUCHIMBA MADINI AINA YA DHAHABU  ANACHOKIMILIKI KILICHOPO KATIKA KIJIJI CHA CHALANGWA CHENYE LESENI
(PRIMARY MINING LICENCE) NAMBA 0003904 TANGU TAREHE 03/05/2004
 AWALI KILIKUWA NA UKOMO WA KWANZA
TAREHE 02/05/2006
 HATA HIVYO ALIENDELEA KUKILIPIA NA SERIKALI ILIONGEZA MUDA WA LESENI
TAREHE 16/03/2004
 HADI
02/05/2011
 NA BAADAE KUKILIPIA NA KWA MARA YA MWISHO ALIONGEZEWA KIBALI CHA UMILIKI
TAREHE 19/10/2012
 HADI
02/05/2018.
HATA HIVYO KABLA YA HATUA ZOZOTE ZA KUPAMBANA NA WANANCHI HAO HAZIJAANZA KUCHUKULIWA MKUU WA WILAYA YA CHUNYA
NDG DEODATUS KINAWIRO
 ALIFIKA KIJIJINI HAPO NA KUONGEA NA WANANCHI KWA NJIA YA KIDIPLOMASIA MAZUNGUMZO YALIYOFUATIWA NA UTOAJI WA MAELEKEZO NA MSIMAMO WA SERIKALI YA WILAYA KWA WANANCHI HAO. KATIKA MAZUNGUMZO HAYO MAMBO MATATU YALIELEKEZWA KUTEKELEZWA AMBAYO NI
1
.MARUFUKU WANANCHI WA KIJIJI HICHO AU MCHIMBAJI HUYO KWENDA KUCHIMBA DHAHABU ENEO HILO LENYE MGOGORO MPAKA HAPO MGOGORO HUO UTAKAPOTATULIWA NA SERIKALI
2.
 MARUFUKU WANANCHI KUJICHUKUA SHERIA MKONONI HASA KUFUNGA BARABARA NA KULETA VURUGU KWANI HILI INAONYESHA NI TUKIO LA TATU (3) KIJIJINI HAPO
3.
 WILAYA YA CHUNYA NI YA WACHIMBAJI MADINI NA KWAMBA LESENI ZAO ZINATOLEWA NA KAMISHNA WA MADINI DAR ES SALAAM NA LAZIMA LESENI HIZO ZIHESHIMIWE NA WANANCHI WAACHE KUVAMIA MAENEO YENYE LESENI NA KWAMBA SERIKALI HAITAVUMILIA VITENDO HIVYO VINAVYOTAKA KUOTA MIZIZI. KATIKA MAZUNGUMZO HAYO AMBAYO WANANCHI WALIONEKANA KUMWELEWA MKUU WA WILAYA HIYO, WALIMWOMBEA MTUHUMIWA ALIYEKUWA AMEKAMATWA NA POLISI  AACHILIWE HURU BAADA YA KUWA AMEJISALIMISHA MWENYEWE KATIKA MKUTANO HUO.  AMANI KATIKA ENEO HILO IMEREJEA MAJIRA YA
SAA 11.00 HRS
 NA BARABARA YA MBEYA/CHUNYA KUFUNGULIWA. HAKUNA MADHARA YOYOTE YA KIBINADAMU YALIYORIPOTIWA KUJITOKEZA. KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHINA MSAIDIZI MWANDAMIZI WA POLISI
AHMED Z. MSANGI
 ANATOA WITO KWA JAMII KUTUMIA NJIA ZA MAZUNGUMZO KUTATUA MIGOGORO/KERO ZINAZOWAKABILI KATIKA MAENEO YAO NA KUACHANA NA TABIA YA KUJICHUKULIA SHERIA MIKONONI KWANI NI KINYUME CHA SHERIA.
 

You're Reading a Free Preview

Download
scribd
/*********** DO NOT ALTER ANYTHING BELOW THIS LINE ! ************/ var s_code=s.t();if(s_code)document.write(s_code)//-->