Welcome to Scribd, the world's digital library. Read, publish, and share books and documents. See more
Download
Standard view
Full view
of .
Look up keyword
Like this
0Activity
0 of .
Results for:
No results containing your search query
P. 1
PRESS 12.03.2014

PRESS 12.03.2014

Ratings: (0)|Views: 3 |Likes:
Published by Othman Michuzi

More info:

Published by: Othman Michuzi on Mar 12, 2014
Copyright:Attribution Non-commercial

Availability:

Read on Scribd mobile: iPhone, iPad and Android.
download as DOCX, PDF, TXT or read online from Scribd
See more
See less

03/12/2014

pdf

text

original

 
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI JESHI LA POLISI TANZANIA.
RPC. Ofisi ya Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Mbeya,  Namba ya simu 2502572 S. L. P. 260, Fax - +255252503734 MBEYA. E-mail:- rpc.mbeya@tpf .go.tz
TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI
“PRESS RELEASE” TAREHE 12.03
.2014.
 
MWANAMKE MMOJA AMUUA MUME WAKE KWA KUMKATA NA KITU CHENYE NCHA KALI KICHWANI.
 
JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LINAWASHIKILIWA WATU WANNE KWA KOSA LA KUFANYA BIASHARA BAADA YA MUDA KUISHA.
MWANAMKE MMOJA AMUUA MUME WAKE KWA KUMKATA NA KITU CHENYE NCHA KALI KICHWANI.
MWANAMKE MMOJA ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA
ETINA SILUMBA (44)
 MKAZI WA MPEMBA WILAYA YA MOMBA AMEMUUA MUME WAKE ALIYETAMBULIKA KWA JINA LA
MISHECK MWASHIUYA (52)
 MKAZI WA MPEMBA WILAYA YA MOMBA KWA KUMKATA KISOGONI NA KICHWANI NA KITU KINACHODHANIWA KUWA NI PANGA NA KISHA KUMVUNJA SHINGO NA MGUU WA KUSHOTO. TUKIO HILO LILITOKEA MNAMO
TAREHE 10.03.2014
 MAJIRA YA
SAA 21:00 USIKU
 KATIKA KIJIJI CHA IPAPA, KATA YA IPUNGA, TARAFA YA VWAWA, WILAYA YA MBOZI. UCHUNGUZI UNAONYESHA CHANZO CHA MAUAJI HAYO NI WIVU WA KIMAPENZI. MTUHUMIWA KABLA YA KUTENDA TUKIO HILO INADAIWA KULIKUWA NA UGOMVI KATI YAKE NA MAREHEMU. MTUHUMIWA AMEKAMATWA KWA MAHOJIANO ILI HATUA ZA KISHERIA ZICHUKULIWE DHIDI YAKE. KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHINA MSAIDIZI MWANDAMIZI WA POLISI
AHAMED Z. MSANGI
 ANATOA WITO KWA WANANDOA KUTATUA MIGOGORO YAO YA KIMAPENZI KWA NJIA YA KUKAA MEZA MOJA YA MAZUNGUMZO BADALA YA KUAMUA KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI KWANI  NI KINYUME CHA SHERIA.
JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LINAWASHIKILIWA WATU WANNE KWA KOSA LA KUFANYA BIASHARA BAADA YA MUDA KUISHA.

You're Reading a Free Preview

Download
scribd
/*********** DO NOT ALTER ANYTHING BELOW THIS LINE ! ************/ var s_code=s.t();if(s_code)document.write(s_code)//-->