Welcome to Scribd, the world's digital library. Read, publish, and share books and documents. See more
Download
Standard view
Full view
of .
Look up keyword
Like this
13Activity
0 of .
Results for:
No results containing your search query
P. 1
Katiba Ya Taifa - 13-04-2014

Katiba Ya Taifa - 13-04-2014

Ratings: (0)|Views: 15,267|Likes:
Published by Othman Michuzi

More info:

Published by: Othman Michuzi on Apr 13, 2014
Copyright:Traditional Copyright: All rights reserved

Availability:

Read on Scribd mobile: iPhone, iPad and Android.
download as DOC, PDF, TXT or read online from Scribd
See more
See less

04/14/2014

pdf

text

original

 
KATIBA YA TAIFA
Wakati Bunge maalum la katiba likiendelea utungaji wa katiba na mjadala mkubwa uliopo sasa hivi ukiwa ni juu ya aina ya Muungano na Idadi ya serikali, binafsi nimekuwa nikiendesha mjadala ndani ya nafsi yangu wa maswala haya mawili, 1) Aina ya Muungano !) Idadi ya "erikali#atika kutaka kuusaili muungano nadhani ni vema kupitia nyaraka $a wa$i $ili$oanshiwa muungano, kisha kuangalia maisha ya muungano huo tangu ulipoan$ishwa mpaka sasa%
1.AINA YA MUUNGANO
#wenye swala la aina ya muungano, nadhani swala la msingi la kujiuli$a na kulipatia majibu sahihi ni& Muungano tulionao ni muungano wa nini'(a)Muungano wa nhi(b)Muungano wa watu, yaani wananhi%#abla ya kuhagua jibu mojawapo miongoni mwa hayo mawili hapo juu, nadhani ni vema tukaangalia uhusiano wa nhi na watu pia kutambua *aifa ni nini%#wa maoni yangu, nhi ni mjumuiko wa eneo la ardhi na kila kilihomo hini ya uso wake ikiwa ni pamoja na madini na vingine tusivyovijua kwa yakini na kilihopo juu yake ikiwa ni pamoja na watu, wanyama, misitu, milima, mabonde, mito, ma$iwa na  bahari na vilivyomo ndani yake% +apa naomba tutambue kuwa hata bahari ipo juu ya ardhi #wenye utambu$i huo hapo juu tunapata suala la mipaka ya nhi% Mipaka ya nhi ni mistari ya kufikirika inayohorwa ndani ya akili $a watu kwan$a ni kisha kuwekewa alama juu ya uso wa ardhi pale inapowe$ekana kufanya hivyo na pale isipowe$ekana kama vile baharini na kwenye ma$iwa inaendelea kubaki kuwa mistari ya kufikirika tu% +ivyo basi jambo la msingi kwenye suala la mipaka ya nhi ni makubaliano ya mahali ulipo mpaka baina ya nhi mbili, hata kama mahali hapo pamefunikwa na maji kama vile  baharini, $iwani au mtoni% -aomba kufanya hitimisho dogo hapa kuwa, nhi ni ardhi na kila kilihomo ndani yake na kilihopo juu yake% .ia tumetambua kuwa watu ni sehemu tu nhi%.amoja na kuwa watu ni sehemu tu ya nhi lakini kwa mamlaka waliyopewa ndani ya silka yao na Muumbaji wa nhi na vilivyomo ndani yake na juu yake, watu ndio watawala wa nhi%#atika kutawala ardhi yote kwa mamlaka waliyopewa na Muumba watu wamejigawa katika makundi mengi na wakati huo huo wakijijumuisha pamoja ndani ya makundi hayo kwa kutumia vinasabishi kama ku$aliwa, mahali wanapoishi, lugha na kwa bahati mbaya pengine hata rangi ya ngo$i% #wenye kujigawa ndipo $inapotokea nhi na kwenye kujijumuisha juu ya nhi ndipo yanapotokea mataifa% +ivyo basi, *aifa ni mjumuiko wa watu juu ya nhi%*ukirejea kwenye swali letu la msingi, je muungano wetu ni muungano wa nini' Muungano wa nhi au watu, ni vema tukarejea tarehe !/ Aprili 10/, je $ili$ounganishwa $ilikuwa ni nhi mbili au waliounganishwa walikuwa watu wa mataifa mawili'
 
+apa naomba kutambua suala moja la msingi la maisha ya kila siku% 2itu $aidi ya kimoja, yaani viwili au $aidi vinapounganishwa kinahotokea ni kitu kimoja% #atika hali halisi baada ya uunganishwaji, bila kujali vitu vilivyounganishwa ni vingi kiasi gani kitu kimoja kinahotokea ni henye uwe$o wa kukidhi mahitaji yaliyopelekea au kusababisha uunganishwaji huo hata kama baada ya uunganishwaji vitu vilivyotumika vinawe$a kubainishwa kimoja kimoja% #itu ha msingi hapa ni kukidhi mahitaji yaliyopelekea uunganishwaji wake% -inapoutafakari muunguno, kwa kuwa sikuwepo siku hiyo ya muungano, nilikuwa sija$aliwa piha niliyonayo ya muunguno ni piha ya +ayati Mwalimu 3ulius #ambarage -yerere akihanganya udongo wa 4an$ibar na *anganyika mbele ya +ayati M$ee Abeid Aman #arume na wengineo waliokuwepo% .iha hii nimekuwa nikiiona kama ishara ya muuguno wetu kuwa ni muungano wa nhi lakini ninapofanya upembu$i wangu binafsi na kuangalia uendeshwaji wa muungano baada ya hafla ya kuhanganya udongo ninabaini kuwa ile ilikuwa ni ishara tu, ila muungano wenyewe ulikuwa ni muungano wa watu wa kuunda taifa moja na nhi $ilibaki kuwa mbili% +ili linathibitishwa na "heria -amba !! ya 10/, inayotambulika kama "heria ya Muungano wa *anganyika na 4an$ibar%#ifungu -amba  ha "heria ya Muungano wa *anganyika na 4an$ibar kama kilivyoandikwa
“The Republic of Tanganyika and the People’s Republic of Zanzibar shall, upon Union Day and ever after, be united into one overeign Republic by the na!e of the United Republic of Tanganyika and Zanzibar"# 
 *afsiri yangu kwa #iswahili ni
‘Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, kuanzia siku ya  Muungano na milele baada ya hapo, zitaungana na kuwa Jamhuri yenye mamlaka kamili kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.’ 
 #ifungu hiki hakionyeshi kwa namna yoyote ile utashi wa kuwa na muungano wa nhi ila kinaonyesha utashi wa kuwa na muungano wa utaifa% "heria hii ilisainiwa tarehe !5 April 10/ ikiwa ni siku moja kabla ya siku ya muungano%  -ionavyo ni kuwa *anganyika na 4an$ibar $ilibaki kuwa nhi moja moja $ina$ounda *aifa moja la 3amhuri ya Muungano wa *anganyika na 4an$ibar kama ilvyoele$wa kwenye "heria ya Muungano wa *anganyika na 4an$ibar%#ifungu -amba 6(1) ha "heria ya Muungano wa *anganyika na 4an$ibar kama kilivyoandikwa
“ub$ect to the provisions of this section, on and after Union Day the e%isting la& ot Tanganyika and of Zanzibar shall continue to be the la& in the territories of Tanganyika and of Zanzibar respectively,"# 
 *afsiri yangu kwa #iswahili ni
‘u!uatana na ki!ungu hiki, siku na baada ya siku ya Muungano sheria zilizopo za Tanganyika na za Zanzibar zitaendelea kuwa sheria ndani ya mipaka ya Tanganyika na  Zanzibar kila moja.’ 
 +apa inaele$wa wa$i kuwa sheria $a *anganyika $ilibaki kuwa sheria $a *anganyika na sheria $a 4an$ibar $ilibaki kuwa sheria $a 4an$ibar hii inamaanisha nhi ya *anganyika na nhi ya 4an$ibar $ilibaki kuwa nhi kamili (kwa maana ya neno territories), siku ya Muungano na baada ya siku ya Muungano%  -aomba kutoa hitimisho dogo hapa kuwa hapakuwepo na muungano wa nhi siku ya Muungano na ilikusudiwa kuwa kuwa hapatakuwepo na muungano wa nhi hata baada ya siku ya muungano kwa mujibu wa "heria -amba !! ya 10/ ya Muungano wa *anganyika na 4an$ibar%
 
#wa mtiririko huo hapo juu ni wa$i kuwa muungano wa *anganyika na 4an$ibar wa tarehe !/ April 10/ haukuwa muungano wa kuunganisha nhi mbili kwa maana ya kubadilisha mipaka ya nhi $ili$okuwepo ili kupata nhi mpya moja% +uu ni muungano wa mataifa mawili yaliyokusudia kuunda taifa moja la 3amhuri ya Muungano wa *anganyika na 4an$ibar ndani ya nhi mbili $a *anganyika na 4an$ibar% -aomba kutoa mfano wa uwe$ekano wa nhi mbili au $aidi kuwa taifa moja amba$o $ipo ni $inaendelea vi$uri% Mifano ni kama ifuatayo&1)7nited #ingdom kama taifa linaloundwa na nhi $a Britain, "otland na Ireland!)7nited Arab 8mirates kama taifa linaloundwa na nhi $a Abu 9habi, 9ubai, "harja, :as Al #haimah, Ajman, ;ujairah na 7m Al <uwain#wa maana hii, tarehe !/ April 10/ 3amhuri ya Muungano wa *anganyika na 4an$ibar haikuwa ya kwan$a kuwa na muungano wa taifa moja linaloundwa na nhi $aidi ya moja kwani 7nited #ingdom ilishakuwepo na imeendelea kuwepo na baadae tarehe ! 9esemba 10=5, 7nited Arab 8mirates ilian$ishwa na imeendelea kuwepo%#wa kuwa ni bayana muungano wa *anganyika na 4an$ibar haukuwa muungano wa kuunganisha nhi mbili kama ulivyoasisiwa na kutekele$wa na +ayati Mwalimu 3ulius #ambarage -yerere na +ayati M$ee Abeid Aman #arume, basi kimsingi muungano *anganyika na 4an$ibar ni muungano wa kuunda *aifa Moja%"wali la msingi hapa ni vipi muungano huo ungeendeshwa' #wa bahati n$uri majibu ya uendeshaji kimsingi yamo kwenye sheria hiyo hiyo iliyoan$isha muungano na ku$aa 3amhuri ya Muungano wa *anganyika na 4an$ibar%#ifungu -amba = ha "heria ya Muungano wa *anganyika na 4an$ibar kama kilivyoandikwa
“ 'n the co!!ence!ent of the interi! (onstitution of the United  Republic, the (onstitution of Tanganyika shall cease to have effect for the govern!ent of Tanganyika as a separate part of the United Republic# 
 *afsiri yangu kwa #iswahili ni
‘"takapoanza atiba ya mpito ya Jamhuri Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,  atiba ya Tanganyika itakoma kuwa na athari kwa #erikali ya Tanganyika kama  sehemu peke ya Jamhuri ya Muungano.’ 
 #ifungu -amba = ha "heria ya Muungano wa *anganyika na 4an$ibar kinaeleke$a kuwa #atiba ya *anganyika haitakuwepo tena kwa ajili ya "erikali ya *anganyika tu na "erikali ya 3amhuri ya Muungano itaendeshwa kwa mujibu wa #atiba ya muda kama ilivyokusudiwa na kueleke$wa na #ifungu 5 ha "heria ya Muungano wa *anganyika na 4an$ibar%#ifungu hiki -amba = ha "heria ya Muungano wa *anganyika na 4an$ibar ndiho kilihoweka msingi wa serikali mbili na kuwa "erikali ya *anganyika ndiyo itayowajibika na uendeshaji wa masuala yanayohusu serikali ya Muungano kwa niaba ya *anganyika na 4an$ibar%#ifungu -amba 5(1) ha "heria ya Muungano wa *anganyika na 4an$ibar kinaele$a
$...., the %nited &epubli' shall be go(erned during the interim period in a''ordan'e with the pro(isions o! the )onstitution o! the &epubli' o! Tanganyika as so modi!ied as to pro(ide*.+a !or the reser(ation to the -arliament and /e'uti(e o! the %nited &epubli' o! the  !ollowing matters0*+ithe )onstitution and go(ernment o! the %nited &epubli',+ii/ternal 1!!airs2

You're Reading a Free Preview

Download
scribd
/*********** DO NOT ALTER ANYTHING BELOW THIS LINE ! ************/ var s_code=s.t();if(s_code)document.write(s_code)//-->