Welcome to Scribd, the world's digital library. Read, publish, and share books and documents. See more
Download
Standard view
Full view
of .
Save to My Library
Look up keyword
Like this
38Activity
0 of .
Results for:
No results containing your search query
P. 1
HATI YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR (1).doc

HATI YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR (1).doc

Ratings: (0)|Views: 34,087 |Likes:
Published by Othman Michuzi

More info:

Published by: Othman Michuzi on Apr 14, 2014
Copyright:Traditional Copyright: All rights reserved

Availability:

Read on Scribd mobile: iPhone, iPad and Android.
download as DOC, PDF, TXT or read online from Scribd
See more
See less

08/19/2014

pdf

text

original

 
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone:
 
255-22-2114512, 2116898
 
Fax: 255-22-2113425
 #$E%&'E(T)% *++&E, TE %TTE */%E,  #.*. 0* 912,  '$ E% %3 
 .
Tan"ania
 .
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
TAMKO LA KATIBU MKUU KIONGOZI KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU HATI YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR IKULU, DAR ES SALAAM, TAREHE 14 APRILI, 2014 __________________________________________________ 
Siku 12 zijazo tutasherehekea miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, na kuzaliwa kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. amezaliwa watu n!ani ya Muungano huu na wengine wana wajukuu."nasikitisha sana kuwa leo, miaka 50 baa!aye i#o !hana #oto$u inayojengwa kuwa Muungano huu si halali kwa %ile hakuna &ati ya Muungano
(Articles of the Union).
aasisi wa Tai$a letu ambao tarehe 22 '#rili, 1()* kule Zanzibar walitia saini &ati hiyo, mbele ya mashuhu!a, nao wameonekana kama wali+hoki$anya kilikuwa kiini ma+ho, na kwa hiyo kwamba waliongoza Tai$a ji#ya la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa msingi wa kiini ma+ho hi+ho kwa miaka yote ha!i Mwenyezi Mungu ali#owaita.Mambo yote mawili yametusononesha sana sisi Serikalini, na bila shaka yamewasononesha wanan+hi wanaoi#en!a n+hi yao, wanaowa#en!a aasisi wa Tai$a letu na kuuenzi Muungano wao.Ma!ai ya kuonyeshwa &ati ya Muungano yalianza siku nyingi lakini hatukuweza kuamini hali ita$ikiwa ili#o$ikia, amba#o wa#o watu wanathubutu ku!ai na kua#a kuwa &ati hiyo hai#o.
 
kweli ni kuwa hati hiyo i#o, ilikuwe#o siku zote. &ata hi%yo, lazima tukubaliane kuwa zi#o &ati $ulani ambazo ni kiini +ha uwe#o wetu kama Tai$a huru, Jamhuri huru na Muungano huru, ambazo tunazihi$a!hi kama mboni ya ji+ho. &ati hizo ni #amoja na &ati ya huru wa Tanganyika ya mwaka 1()1, &ati ya Tanganyika kuwa Jamhuri mwaka 1()2, na &ati ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ya mwaka 1()*. &ati za aina hii zinahi$a!hiwa maeneo maalum ambayo ni salama ili zisi#otee wala kuharibika. -wa kawai!a hatuzitoi, tunazi$ungua ili kuzihi$a!hi kwa namna yoyote ile.akini sasa maneno yanakua mengi, tuhuma zimekuwa nyingi, !hihaka zimekuwa nyingi, kiasi +ha wanan+hi kuanza kutiwa mashaka iwa#o kweli &ati ya Muungano i#o au la.&i%yo, kwa maagizo na ri!haa ya Mheshimiwa /kt. Jakaya Mrisho -ikwete, ais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ninaleta mbele yenu &ati ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar iliyotiwa saini Zanzibar na waasisi wetu, Mwalimu Julius -ambarage yerere na Mzee 'bei! 'man -arume, ili muione na kuwahakikishia atanzania kuwa yanayosemwa kuwa hakuna &ati hiyo si kweli. &ati hiyo i#o tangu wakati huo, imetunzwa %izuri na waliotutangulia, tumeirithi, na tutaen!elea kuihi$a!hi. a, tukiombwa ku$anya hi%yo na Mwenyekiti wa unge Maalum nina uhakika ais atari!hia i#elekwe huko ili kuon!oa mja!ala wa kama &ati i#o au la."sitoshe, tu$anye utaratibu wa kuweka nakala kwenye Makumbusho ya Tai$a ili kila atakayetaka kuiona katika miaka mingine 50 ijayo na kuzi!i aione.Mwisho, narejea kusema kuwa kwa u#an!e wa Serikali tunasikitishwa na ku$a!haishwa sana na tuhuma nzito kwamba lab!a waasisi wetu hawakuwa makini au walitu$anyia kiini ma+ho. &atukutarajia wawe#o atanzania wenzetu, wa$ikie ha#o. i jambo zito. 3ile %ile hatukutarajia kuwa Serikali itatuhumiwa kuwa haikuwa makini kuhi$a!hi waliosaini waasisi wetu.Matumaini yetu ni kuwa baa!a ya leo tutaen!elea na mambo ya msingi kwa mustakabali, umoja na uimara wa Tai$a letu ba!ala ya ku+ho+hea hisia kuwa Muungano wetu hauna msingi imara wa kisheria.
Im!"#$% &%'
-urugenzi ya Mawasiliano ya ais,"kulu,

You're Reading a Free Preview

Download
/*********** DO NOT ALTER ANYTHING BELOW THIS LINE ! ************/ var s_code=s.t();if(s_code)document.write(s_code)//-->