You are on page 1of 1

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA

Simu: 255 22 2460735/2460706 FAKSI: 255 22 2460735/2460700 Barua pepe: met@meteo.go.tz Tovuti: www.meteo.go.tz Unapojibu tafadhali nakili: Kumb. Na.: TMA/1622

S.L.P. 3056 DAR ES SALAAM

16 Aprili, 2014

Taarifa kwa Umma: Vipindi vya mvua kubwa vinatarajiwa.


Taarifa Na. Muda wa Kutolewa Saa za Afrika Mashariki Daraja la Taarifa: Kuanzia: Tarehe Mpaka: Tarehe Aina ya Tukio Linalotarajiwa Kiwango cha uhakika: Maeneo yanayotarajiwa kuathirika Maelezo: 201404-02 Saa 10:00 Alasiri Tahadhari 17 Aprili, 2014 18 Aprili, 2014

Vipindi vya mvua kubwa inayozidi milimita 50 ndani ya saa 24, ukanda wa pwani.
Wastani (70%) Visiwa vya Unguja na Pemba pamoja na mikoa ya Tanga, Pwani na Dar es Salaam. Kuimarika kwa ukanda wa mvua Inter-tropical convergence zone (ITCZ) ambao umeambatana na ongezeko la unyevunyevu na kuwepo kwa Easterly Wave. Wakazi wa maeneo hatarishi, watumiaji wa Bahari pamoja na mamlaka zinazohusika na maafa, wanashauriwa kuchukua tahadhari stahiki. Mamlaka ya Hali ya Hewa inaendelea kufuatilia hali hii na itatoa mrejeo kila itakapobidi.

Angalizo: Maelezo ya Ziada

Imetolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania.

You might also like