FEKI SAHIHI FEKI Barua pepe zilizo sahihi kutoka katika mabenki au kampuni zote za kibiashara kama vile Amazon, eBay n.k kamwe haziwezi kukutumia barua pepe itakayokutaka kuwapatia taarifa zako binafsi (Mf. Jina, neno la siri kwa madhumuni ya kuhakiki akaunti yako) Barua pepe maranyingi zinakutaka ujibu ili kutoa taarifa zako (Mf. Jina, neno la siri kwa madhumuni ya kuhakiki akaunti yako) Kamwe hazina kauli za vitisho au kuonyesha uharaka Barua pepe zinazotumwa maranyingi zinakua zina vitisho au uharaka (Mfano. Ukishindwa kuchukua hatua maramoja akauti yako itafungwa) Barua pepe zinakua na salam zenye kuhusisha jina la mhusika au namna ya ambayo imezoeleka kutumika na mhusikaji (Mfano, Pole na Majukum Kamanda, slm Bob, mpendwa Rebecca n.k)
Mara nyingi zinakua na salam ya ujumla (Mfano, Mpendwa mteja) Kamwe huwezi kupata barua pepe kutoka katika makampuni ya kifedha ikikutaka ujaze fomu ya aina yoyote Mara nyingu barua pepe inakua imeambatanisha fomu itakayo kutaka ujaze taarifa zako Kwa upande wa tuvuti utaona zina onyesha .com au kwetu .co.tz na mifano kama hiyo. Mfano: https://www.crdb.com KUMBUKA: tovuti yoyote ambayo inaweza kukutaka kujaza jina na neon la siri au taarifa nyingine lazima ziwe na mwanzo (https://) hii inamaanisha taarifa utakazotoa zitakua zinasafiri bila kuoweza kusomeka na wengine (encrypted) Kwa upande wa tovuti hutaona mwisho mfano wa zilizo sahihi
Siku zote tovuti sahihi haziwezi kuwa na IP mwishoni kama inavyo onekana katika tovuti zisizo sahihi. Mara nyingi utakuta tovuti uliyotumiwa ina IP mwishoni. Mfano: http://sigin.crdbbank.com@12.67.98.92