Welcome to Scribd, the world's digital library. Read, publish, and share books and documents. See more
Download
Standard view
Full view
of .
Look up keyword
Like this
5Activity
0 of .
Results for:
No results containing your search query
P. 1
Dk. Hamisi Kigwangalla CV

Dk. Hamisi Kigwangalla CV

Ratings: (0)|Views: 375|Likes:
Published by Subi
Wasifu wa Dk. Hamisi Kigwangalla anayewania Ubunge Nzega kwa tiketi ya CCM
Wasifu wa Dk. Hamisi Kigwangalla anayewania Ubunge Nzega kwa tiketi ya CCM

More info:

Categories:Types, Resumes & CVs
Published by: Subi on Jul 13, 2010
Copyright:Attribution Non-commercial

Availability:

Read on Scribd mobile: iPhone, iPad and Android.
download as DOC, PDF, TXT or read online from Scribd
See more
See less

08/06/2013

pdf

text

original

 
Wasifu wa Dk. Hamisi A. Kigwangalla
Dk. Kigwangalla ni kijana wa Nzega aliyebahatika kupata fursa ya kusoma na kuhitimuna sasa anarudi nyumbani kuwatumikia wananzega waliomsomesha kwa kodi zao. Nimtu wa watu na yuko tayari kuwatumikia. Ana uwezo mkubwa wa kufanya kazi, kujengahoja, mbunifu, mtendaji zaidi ya msemaji; na ana historia nzuri ya kuwawakilisha nakuwatetea wenzake kwa nguvu zake zote. Kwa waraka huu anatangaza rasmi nia yake yaKugombea Ubunge wa Jimbo la Nzega Kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Huu niwasifu wake:
Jina:
Dk. Hamisi A. Kigwangalla
Elimu:
Digrii Tatu na Kozi Fupi
(a.)Elimu ya Juu ( Digrii Tatu)
(1.)Digrii Ya Kwanza – 
 Digrii ya Udaktari wa Tiba za Binadaamu
(Doctor of Medicine, MD) – Kutoka Chuo Kikuu Cha Dar es salaam, Muhimbili,Tanzania (2004) [Alichaguliwa kuwa Mbunge wa Wanafunzi wa Mwakawa Kwanza(1999) na baadaye Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa ChuoKikuu, Mwaka 2000, Alipata Nishani ya Club ya Rotaract Kwanza/RotaryInternational ya Uongozi Bora wa Vijana (2004) na Tuzo ya Mwanafunzialiyetoa Mchango Mkubwa Zaidi kwa ajili ya Maendeleo ya Jamii yaWanachuo iliyotolewa na Klabu ya SaveLife (2003)](2.)Digrii Ya Pili – 
 Digrii ya Uzamili kwenye Afya ya Jamii
(Masters of Public Health, MPH) amebobea zaidi kwenye
Utafiti wa Mifumo ya Sekta ya Afya na Kuhamasisha Usalama
, kutoka Chuo Kikuu Cha Karolinska, jijini Stockholm, Sweden (2006)(3.)Digrii Ya Tatu – 
 Digrii ya Uzamili kwenye Biashara na Utawala
(Mastersof Business Administration, MBA) amebobea zaidi kwenye
Uongozi,Oganaizesheni, Mikakati ya maendeleo na Masoko
, kutoka Chuo KikuuCha Blekinge, Mjini Ronneby/Karlskrona, Sweden (2007)
(b.)Kozi Fupi -
Pia amechukua kozi fupi fupi nyingi zikiwemo: Uchumi; Utafiti namaadili; Mawasiliano katika jamii na harakati za kuhamasisha maendeleo;kompyuta; kutengeneza mikakati ya kuondoa umaskini na kuleta maendeleokwenye jamii, Uendelezaji wa sekta za pamba, nyuzi na nguo; Kuongoza timumbalimbali za kazi na uongozi; VVU/UKIMWI; ushindani wa ki-nchi na biasharaza kimataifa; afya ya jamii ya muda mfupi na Ujasiriamali
(c.)Elimu Ya Sekondari-
 Kidato Cha Tano hadi Cha Sita
>
Alisoma masomo yenye kombinesheni yaFizikia, Kemia na Baiolojia (Physics, Chemistry and Biology - PCB) pale Shule
 
Ya Sekondari Shinyanga (Maarufu kama Shybush) Kuanzia Mwaka 1996 – 1998[Alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Serikali ya Wanafunzi/Kiranja Mkuu;alipewa zawadi ya Uongozi bora, alishinda zawadi ya kitaaluma kamamwanafunzi bora wa mwaka kwenye masomo ya sayansi (Fizikia, Kemia naBaiolojia) na Mwanafunzi Bora wa Mwaka kwa Ujumla (Overal best student),alifanikiwa kuhamasisha upandaji wa hiari wa miti zaidi ya 6000]-
 Kidato Cha Kwanza hadi Cha Nne>
Alisoma Kidato Cha Kwanza hadi Cha Nne pale Shule ya Sekondari Kigoma (Maarufu pia kama Livingstone au Bangwe)Kuanzia Mwaka 1992 – 1995 [Alichaguliwa kuwa Mbunge wa Bweni, Spika waBunge la Wanafunzi, Makamu Kiranja Mkuu na Kamanda wa Skauti, alipata tuzoya Mwanamichezo Bora wa Shule]
(d.)
 
Elimu Ya Msingi
Alisoma pale Shule ya Msingi Kitongo – Nzega, Sima - Bariadi na KumaliziaMwanzoli – Nzega [Aliwahi kuwa Kiranja wa Miradi pale Kitongo S/M kuanziadarasa la Nne na Kuendelea hadi alipohama, Alishiriki kukimbiza mwenge wa UhuruKwenye Vijiji Mbalimbali akiwa Chipukizi wa CCM, Alishiriki kucheza halaikimbalimbali za CCM akiwa kama Chipukizi]
Kazi:
Dk. Kigwangalla amewahi kufanya kazi sehemu mbalimbali kama ifuatavyo:-
 Kampuni ya MSK Solutions Ltd kama Mkurugenzi Mtendaji 
>
Kuendeshashughuli za ununuzi, usindikaji, uuzaji, kudhibiti mapato na matumizi ya kampunina raslimali za kampuni, Kuendesha shughuli za uwekezaji na kuendesha mradiwa kuhamasisha kilimo cha Pamba Nzega, kuhamasisha michezo kwa kufadhilimichezo ya Mpira wa Miguu na Mbio za Baiskeli, Kubuni Mradi wa Ujenzi waViwanda vya Kuchambua Pamba (Ginnery) wilayani Nzega na Kwimba ilikusogeza soko la uhakika la zao la pamba karibu zaidi na wananchi, Kubuni nakusimamia Uanzishaji wa Mradi wa Ujenzi wa Viwanda vya Kusindika Mafutaya Mbegu za Pamba na Alizeti wilayani Nzega na Misungwi, Kubuni nakuendesha mradi wa kituo cha matrekta ya kukodisha, Kuleta na kusimamiaUsambazaji wa pembejeo za Kilimo wilaya za Nzega na Kwimba-
 Shirika la Peercorps kama Mkurugenzi Mtendaji >
ambapo alianzisha nakusimamia miradi mbalimbali ya maendeleo ya vijana, kinamama na watoto mf.Kubuni na kusimamia mradi wa kuendeleza sekta ya elimu Nzega (mf. zawadikwa wanafunzi waliofanya vizuri kwenye mitihani ya kidato cha Nne kwenyeshule za Sekondari Wilayani Nzega, Kutoa vitabu na vifaa mbalimbali kwenyeshule za sekondari, kutoa misaada mbali ya kuendeleza mashule na kuhamasishamaendeleo) na Kubuni na kusimamia mradi wa kutoa mikopo kwa kinamamawajasiriamali Nzega na Dar es salaam, Kubuni na kusimamia mradi wa kuletawalimu na wafanyakazi wa kujitolea, Kuhamasisha michezo mf. Mpira waMiguu, Netiboli, na Kikapu Nzega kwa kuwawezesha vijana kupata vifaa vyamichezo ili kuwazuia wasijiunge na makundi mabaya
 
-
 Hospitali ya Taifa Muhimbili na Hospitali ya Manispaa ya Ilala kama Daktari wa Tiba>
 
Kutibu wagonjwa kwenye kliniki, wodini, upasuaji; na kusimamia nakufundisha wanafunzi na madaktari na manesi wa ngazi za chini [Alichaguliwakuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Madaktari Tanzania (MAT) Kanda Maalum yaDar es salaam – 2005 hadi sasa]-
 Mtafiti na Mshauri Mtaalam (Consultant)>
Kushiriki kwenye tafiti mbalimbalina kutoa Ushauri wa Kitaalam kwenye taasisi mbalimbali kama vile: Taasisi yaMama Salma Kikwete ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Taasisi ya Taifa yaUtafiti wa Magonjwa ya Tiba (NIMR), Taasisi ya Afya ya Ifakara (IHI), Kampuniya Kabanga Nickel Company Ltd, Kampuni ya Kimarekani ya Booz-Allen-Hamilton, University of Bergen, Wizara ya Afya-Mpango wa Taifa wa KudhibitiUKIMWI (NACP), Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu (UNFPA),Taasisi ya Benjamin Mkapa, na kwenye miradi mbalimbali ya Afya naVVU/UKIMWI ya mashirika ya kimataifa kama vile FHI, EGPAF,Engenderhealth na Intrahealth.
Umri:
Miaka 35
Uraia:
Mtanzania wa Kuzaliwa (Kwa Baba na Mama)
Kabila:
Mnyamwezi
Hali ya Ndoa na Familia:
Ana Mke na Watoto Wawili
Kada wa Chama:
 Ni Mwanachama wa CCM tangu Mwaka 1994, ameshiriki vikao vingivya wanachama vya Tawi, Kata na Wilaya. Ameshiriki Kufanya kampeni mbalimbali zaWagombea wa CCM tangu akiwa Mwanafunzi Kigoma Sekondari na alifanikishakuwarudisha CCM vijana wengi waliokuwa Upinzani. Ni kada anayejitolea sanamichango ya hali na mali ya kuimarisha chama. Amewahi kuwa Mjumbe waHalmashauri kuu ya CCM (w) Sikonge (Mwaka 2002 – 2007) na ni Mjumbe wa Kamatiya UKIMWI ya UVCCM Mkoa Tabora.
Uzoefu wa Kimataifa:
Dk. Kigwangalla amewahi kuhudhuria mikutano mbalimbali yakimataifa, amewahi kutembelea zaidi ya nchi 6 za Afrika, nchi 6 za Asia, na 4 za Ulaya.Dk. Kigwangalla ni mwana harakati wa haki za vijana aliyewahi kuwawakilisha vijanawa Tanzania kwenye mikutano na makongamano mbali mbali ya kimataifa.
Uzoefu Kwenye Bodi/Kamati Mbalimbali:
Dk. Kigwangalla amewahi kuwa Mjumbekwenye Mabaraza na Bodi Mbalimbali za Maamuzi Nyeti, kama ifuatavyo:1.Mjumbe wa Bodi ya Utawala wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Sayansi za AfyaMuhimbili kwa miaka mitatu, Kuanzia Mwaka 2000 alipoteuliwa na Mh. Waziriwa Sayansi, Teknolojia na Elimu ya Juu, baada ya kuwa Rais wa Serikali yaWanafunzi wa Chuo Kikuu

Activity (5)

You've already reviewed this. Edit your review.
1 thousand reads
1 hundred reads
Baraka Wilson added this note
big up kigwangala keep up
Keay Mkumbwa liked this

You're Reading a Free Preview

Download
scribd
/*********** DO NOT ALTER ANYTHING BELOW THIS LINE ! ************/ var s_code=s.t();if(s_code)document.write(s_code)//-->