Welcome to Scribd, the world's digital library. Read, publish, and share books and documents. See more
Download
Standard view
Full view
of .
Look up keyword
Like this
4Activity
0 of .
Results for:
No results containing your search query
P. 1
Mheshimiwa Raisi Jakaya Kikwete Anaihitaji CCM Kushinda Uchaguzi Mkuu 2010

Mheshimiwa Raisi Jakaya Kikwete Anaihitaji CCM Kushinda Uchaguzi Mkuu 2010

Ratings:

4.0

(1)
|Views: 453|Likes:
Published by Subi
Imeandikwa na Barnabas Mbogo
Imeandikwa na Barnabas Mbogo

More info:

Published by: Subi on Aug 01, 2010
Copyright:Attribution Non-commercial

Availability:

Read on Scribd mobile: iPhone, iPad and Android.
download as PDF, TXT or read online from Scribd
See more
See less

08/22/2014

pdf

text

original

 
Mheshimiwa Raisi Jakaya Kikwete anaihitaji CCM kushinda uchaguzi mkuu 2010?
Wakati Tanzania inajiandaa kuelekea kwenye uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na raisiwa Jamhuri ya Muungano hapo Octoba 2010, kumekuwa na hekaheka za kampeni na siasa zavijembe zimekuwa zikitawala hapa na pale nchini kote. Kama mtanzania mwingine,nimeonamambo mengi mazuri yamefanyika katika miaka mitano ya awamu ya kwanza ya uongozi waMheshimiwa Raisi Jakaya Kikwete. Halikadhalika kumekuwa na changamoto mbalimbali zakiuchumi, kisiasa na kijamii zilizolikabili taifa letu pendwa, vilevile kumekuwa na tafitimbalimbali kupima kukubalika kwa Raisi katika utendaji wake nchini mwetu, matokeo ya tafitihizi yalionyesha wananchi wengi kuridhika na utendaji wa Raisi wetu. Kwa kuzingatia matokeohayo, ningependa kuwachalenji watanzania wenzangu kuwa “
kukubalika kwa Mheshimiwaraisi kunatokana na ufanisi wake binafsi kama kiongozi makini
ama
ni kwa vile anatekelezailani makini ya chama cha mapinduzi kinachotawala Tanzania?.”
Mara kwa mara ninapofuatilia utendaji wa Mheshimiwa raisi, na hata ninapokuwa nikisikilizahotuba zake katika nyakati tofauti tofauti, ninajivunia kuwa na kiongozi makini ambaye kamwehaumi maneno, wala kuficha kitu wakati anazungumzia masuala nyeti ya nchi yetu pendwa yaTanzania. Kwa uadilifu na umakini wake wakati mwingine naona kuna baadhi ya viongozi ndaniya CCM wanamungusha kwa kundekeza vitendo vya rushwa, hapo najiuliza, kama kwa kiwangoambacho Mheshimiwa raisi anakubalika, kwa umakini wa utendaji wake na uhodari wake wauongozi, je , Mheshimiwa raisi akisimama kugombea uraisi bila CCM ina maana watanzania
 
hatutomchagua tena kuwa raisi wetu? Ama ikiwa Mheshimiwa raisi atajiunga na chama tofautina CCM hatutompa kura za ndiyo ili aendelee kutuongoza?Ndugu zangu, watanzania wenzangu,maswali haya yanalenga kuamsha fikra za kutambuakiongozi makini alipo bila kujali sana yupo kwenye chama gani. Naamini kiongozi makini katikaTanzania anaweza kutoka CCM, CUF, UPT-Maendeleo, NCCR,TLP, CHADEMA, SAU ama chamakingine chochote cha siasa. Katika miaka takribani kumi na nane (18) tangu kuanza rasmi kwademokrasia ya vyama vingi, tumeshuhudia viongozi kutoka vyama tofauti vya siasa katika ngaziza udiwani na ubunge ingawa nafsi ya uraisi imebaki kwa chama cha mapinduzi. Ni wazidemokrasia hi ya vyama vingi haijakomaa sana, hali inayosababisha ugumu wa kufanyamaamuzi wakati wa uchaguzi kama wakati huu. Kuendeleo kukua na kukomaa kwa demokrasiaya vyama vingi kunahitaji viongozi watoke vyama tofauti tofauti vya siasa kulingana na uwezona umakini wao wa kuongoza. Hatuna budi kuwaamini viongozi kutoka vyama vya upinzani iliwaingie bungeni wakachangie sio tu ustawi wa demokrasia bali pia maendeleo ya nchi kwakuisimamia serikali, kuikosoa na kuingoza kwa kupitisha miswada makini katika nyanjambalimbali.Ndugu zangu, tungejuaje uwezo wa Zitto Kabwe kama wana wa Kigoma wasingemwamini nakumpa kura za ndio kuwa mbunge wao? Tungejuwaje Dr Taarabu mbunge wa CUF kuwa nikiongozi makini nje ya fani ya Tiba kama wananchi wa jimbo lake wasingempa kura za ndio?Hata huyu Dr Slaa, mbunge wa Karatu tungejuaje kuwa husoma nyaraka nyeti mara mbili mbilikabla hajazisaini ikiwa CHADEMA hawakumpa nafasi. Vipi kuhusu Mheshimiwa Magufuri,
 
Mheshimiwa Ngereja na hata mzee Mizengo Pinda wa CCM, wote hawa wameaminiwa nakupewa nafasi kwa nyakati tofauti na wengi wetu tumekubali sana ufanisi wao.Salaam zangu kwa watanzania wenzangu ni tubadili fikra zetu tunapoelekea kuchagua viongoziwatakaoshikilia nafasi nyeti za uongozi nchini mwetu kwa miaka mitano ijayo, nionavyo baadhiya watu wameamua kugombea nafasi za uongozi kupitia CCM kwa kuamini kuwa kazi yao nikuhakikisha wanafanya fitna na hila ili wapitishwe na vikao halali vya CCM, kwa vile kupitishwana vikao halali vya CCM ni tiketi tosha ya kushinda uchaguzi mkuu ujao kiulaini, kwani haipingikiuwezo na nguvu za CCM katika uchaguzi huwa sio za kitoto, CCM wanajua sana kufanyakampeni kiasi kwamba hata kama baadhi ya wagombea wa upinzani watashindana na kivuli chaCCM, sio ajabu kukuta kivuli kinapata kura nyingi zaidi kuliko wapinzani. Matokeo haya nikielelezo cha ukongwe wa CCM katika kushinda chaguzi kwa kishindo. Angalizo hapa ni kuwa,tunapoelekea kupiga kura, tusipumbazike tu na mgombea kuwa katika chama fulani pendwa, nivizuri zaidi kuzingatia uwezo wa mgombea katika kusimamia ilani ya uchaguzi ya chama chake,uwezo na nia yake ya dhati kuwaletea maendeleo wanajimbo wenzake. Itashangaza sanakuchagua viongozi ambao hawakerwi wala kuumizwa na shida za wapiga kura wao.Jawabu la Mheshimiwa Raisi Jakaya Kikwete anaihitaji CCM ili kushinda uchaguzi mkuu hapoOktoba 2010, ni wazi sio rahisi kusema ndio ama hapana, lakini nionavyo ikiwa MheshimiwaRaisi Kikwete akigombea nafasi ya uraisi kwa tiketi ya chama tofauti na CCM, sitoshangaakumwona anapoteza nafasi yake ya uraisi. Kwa mtazamo huo hapo ndipo najiuliza mara mbilimbili, siri ya ushindi ya CCM ni nini? Kwa vile pamoja na kuongoza nchi kwa miaka zaidi ya

Activity (4)

You've already reviewed this. Edit your review.
1 thousand reads
1 hundred reads
David Sichizya liked this

You're Reading a Free Preview

Download
scribd
/*********** DO NOT ALTER ANYTHING BELOW THIS LINE ! ************/ var s_code=s.t();if(s_code)document.write(s_code)//-->