Welcome to Scribd, the world's digital library. Read, publish, and share books and documents. See more
Download
Standard view
Full view
of .
Look up keyword
Like this
1Activity
0 of .
Results for:
No results containing your search query
P. 1
Timu tamba yapili

Timu tamba yapili

Ratings: (0)|Views: 8|Likes:
Published by Gordon Obange
kandanda
kandanda

More info:

Published by: Gordon Obange on Nov 18, 2010
Copyright:Attribution Non-commercial

Availability:

Read on Scribd mobile: iPhone, iPad and Android.
download as DOC, PDF, TXT or read online from Scribd
See more
See less

11/18/2010

pdf

text

original

 
TIMU TAMBA
SHAIRI IGIZI …… ..NA BANATI OBANGE GORDON. @2010KIELELEZO.Ndoto zina pokidhi na kufikia lele, hamu na gamu ya kuziona zimetendekahuwawacha waja kwa hali ya taharuki ambayo utatanisha mawazo na matendoyao kwa wenzio bila kujali haki zao.
TIMU TAMBA.
1:- Timu tamba kweli ya tamba, twa tamba tambo ‘kutambikaBahasha pasha tumebamba, ngome ya ng’ambo kuifikaMchezo tucheze kubamba, tucheze na gwiji ‘merikaTimu tamba twaamba tamba, timu tamba yabambabamba.2:- Bidii mmefanya timu, bidii ya kufuzu timuKaramu kwa timu adimu, karamu ya kufuzu timuFedha za kuenda timu, fedha kupata ndo’ ngumuSamahani sameheani, ng’ambo timu hamutatamba.Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!3:- Ng’ambo jama ndoto kwa sisi, kila kukicha tuna otaNga’mbo fursa yetu sisi, Riziki sisi kutafutaKabumbu kasakate sisi, pesa tupate tita titaLiwe liwalo na liwe lo! Ng’ambo timu tamba ta tamba4:- Fedha zakusafiri basi, fedha mtatoa wapi?Nauli ya ndege ndo’ basi, ni mabunda sisemi ngapiVinywa ji hata mulo basi, bila pesa tapata wapi?Samahani sameheani, ng’ambo timu hamtatamba
 
5:- Mchango natu change nyingi, fedha za kuendea nga’mbo.Vitu natuuze nyingi, hata za nyumbani vyomboFadhili natuombe kwingi, tupate za kufika ng’amboMabunda kibunda mechanga, lakini katu hazitoshi……6:-Wacheni jifanya kunguru, kati yenu kuna ye shabaZiuzeni soko huru, mupate mapesa kibabaTuuzieni mushukuru, tuwape milioni arobaLiwe liwalo naliwe lo! Timu tamba tambeni ng’amboWawawawawawa……………………………..H!7:-Tumekua pumbavu sisi, kinywani mejaza kamasiMbona hatujaona basi, kama shaba tunayo sisiPepepe! shaba hizi basi , ni utajiri kwetu sisiLiwe liwalo naliwe lo! Tuuze shaba twende ng’ambo8:- kituuza kwao jamani! Watatufanya ka mahindivipande pande kukateni, watuchome kama wahindiwatupakie kuuzani, kama dawa ko’ malindi‘badani badani katani, hatunadwi kwayo mnada9:-Situletee Kiswahili, kujaza roho zetu majiTimu zozote zenye hali,huuza wao wachezajiMan.U pia arsenali, wanawauza wachezajiNinyi ni shaba wa kuuzwa, tuuze shaba twende ng’ambo
 
Sawasawa sawasawa sawasawa sawasawa….!10:- Magolikipa tuuzeni , kama shaba tuuzeniNamba kumi tuuzeni, kama shaba tuuzeniMakocha pia tuuzeni, kama shaba tuuzeniShaba za timu uzeni, timu tamba tambeni ngambo! (wimbowakiuuzwa).Heeeeeeeeeeeeeee……………..!11)- Tutatambaje uko ng’ambo, bila golikipa wa goli?Tutatambaje huko ng’ambo, bila wa kufunga mabaoTutatambaje huko ng’ambo, bila nahodha watimuTimu hatutambi ng’ambo, bila ya wetu wachezaji.12)- Warudisheni wenzetu, timu tamba tuimarisheRudisha wachezaji wetu, timu tamba tubambisheWawe wa shaba ni watu, waje timu tuimerishe.Kwa umoja timu tabamba, kwa utengano timu ta yumba.13)- Jameni tusiwakufuru, tusiwabague wenzi wetuBeruberu na zeruzeru, wote ni watu jameniWana haki pia uhuru, kuishi na kushirikiniTimu tamba kitaka tamba, zambaratisha unyanyapa13)-Umoja tukae pamoja, umoja sisi timu mojaRangi sije kuwa ndo hoja, kututenga nisha na wajaSisi wote wake wateja, mola ndio wetu faraja

You're Reading a Free Preview

Download
scribd
/*********** DO NOT ALTER ANYTHING BELOW THIS LINE ! ************/ var s_code=s.t();if(s_code)document.write(s_code)//-->