You are on page 1of 2

HAKI YA MWANAMKE KUMILIKI Umiliki wa Ardhi Kisheria Sheria ya Ardhi ya Kijiji Na.

5 ya 1999
ARDHI Maana ya haki ya miliki-Ni haki ya  Washiriki watajua maana na
Maana ya Ardhi kumiliki ,kutumia na kukaliwa mgawanyo wa ardhi ya kijiji
Kifungu cha 2 cha sheria ya ardhi Na;4 na ardhi.kifungu cha 159-161 cha sheria kulingana na sheria hii
sheria ya Ardhi ya kijiji Na;5 ya mwaka ya ardhi Na.4 ya mwaka 1999  Washiriki wanaelewa kuchambua
1999.Ardhi ni pamoja na ardhi inayoonekana, Aina kuu mbili za umiliki ardhi sheria ya ardhi ya kijiji kwa mtazamo
vitu vilivyoota juu yake,nyumba na majengo 1. Umiliki wa mtu binafsi wa kijinsia
mengine ya kudumu pamoja na vitu vyote Umiliki huu unahusisha haki ya mtu  Washiriki wataelewa taratibu za
vilivyopo chini ya ardhi isipokuwa madini na binafsi kutumia ardhi akiwa na uhuru ugawaji na upatikanaji wa ardhi ya
mafuta wa kufanya uamuzi binafsi bila ya kijiji kutokana na sheria hii
Haki za Wanawake zinazobainishwa na Sera kumhusisha mtu au watu wengine.  Wataelewa kuwa sheria za kimila
Sera imeweka mikakati ifuatayo katika Umiliki wa aina hii unampa mtu hazitatumika wala kupewa uzito
kulinda na kutetea haki za wanawake uhuru wa kuuza,kutoa zawadi au iwapo zitambagua mwanamke,watoto
katika kumiliki ardhi kuweka rehani ardhi husika bila idhini na watu wenye ulemavu katika
 Mwanamke anayo haki ya ya mtu au watu wengine kupata, kumiliki au kutumia ardhi ya
kumilki ardhi .kifungu cha 2. Umiliki wa pamoja kijiji
4.2(b) Umiliki huu unahusisha haki ya mtu  Waeleze jinsi mwanamke anayo haki
 Mwanamke ana haki ya zaidi ya mmoja kutumia ardhi kwa shiriki katika maamuzi ya ardhi ya
kupata,kutumia na kugawa pamoja.Umiliki huu haumruhusu mtu kijiji
ardhi sawa na kwa masharti binafsi kufanya maamuzi binafsi bila
yale yale ilivyo haki ya kumhusisha mwenzake au Sifa za Haki Miliki ya Kimila
mwanaume .kifingu cha 3(2) wenzake.Uamuzi utakao fanywa na  Hutolewa na
cha sera mtu mmoja bila kumruhusu halmashuri ya kijiji
Kuhakikisha mikakati hiyo inatekelezeka mwenzake au wenzake juu ya  Hutolewa ndani ya
Sera imeeleza kuwa: kuuza,kutoa zawadi au rehani ardhi Ardhi ya kijiji
 Ugawaji na upatikanaji wa ardhi unakuwa husika ,uamuzi huo utakuwa batili  Hutolewa ndani ya
sawa kwa raia wote ikimaanisha kila mtu Nani anatoa hati ya kumiliki ardhi? ardhi ya hifadhi baada ya
anayo haki ya kupata na kumilki sehemu Kifungu cha 25 cha sheria ya ardhi mawasiliano na makubaliano
ya ardhi kwa ajili ya matumizi ya msingi Na 4 ya mwaka 1999 Kamishina wa na mamlaka ya hifadhi
 Uwakilishi wa jinsia zote katika vikao vya ardhi amepewa mamlaka na Mh. Rais husika
kutoa uamuzi unaohusu mambo ya kumilki wa Jamuhuri ya Muungano wa  Inaweza kutolewa kwa
na kutumia ardhi unakuwepo na uzingatiwe Tanzania kutoa Hati miliki muda maalum kwa wasio
 Mfumo ulio huru, wenye haki na wana kijiji
usiochelewesha usikilizaji na utatuzi wa
migogoro ya ardhi unawekwa na kufuatwa
 Inaweza kutolewa kwa Mambo yaliyomo kwenye sheria ya uwakilishi na ni mahali gain sheria
muda usiokikomo kwa utatuzi wa migogoro ya ardhi sheria haijaruhusu uwakilishi
wanakijiji Na.2 ya 2002
 Inatolewa kwa mujibu  Sheria hii imeweka taratibu Upelekaji wa migogoro mahakamani
wa sheria ya kimila ili mradi na kutoa mamlaka na kutoka kwenye mabaraza ya vijiji
sheria hiyo haikiuki misingi ya majukumu ya mahakama  Mahakama ya Rufaa
haki za binadamu. zilizotajwa katika sheria hii  Kitengo cha Ardhi cha Mahakama
 Inaweza kutolewa kwa  Sheria hii imefuta mabaraza kuu
urithi ya nyumba na mabaraza ya  Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya
 Inalipiwa kodi na ada za usuluhishi wa ardhi ya awali  Baraza la Kata
mwaka  Sheria hii imefuta mamlaka  Baraza la Ardhi la Kijiji
 Inatolewa kwa masharti ya ya mahakama za
matumizi endelevu na mwanzo,wilaya na
kuhifadhi mazingira mahakama ya hakimu mkazi
 Ina hadhi sawa na haki miliki ya kuamua mashtaka yote ya *Imetayarishwa na Ludende Development
Association (LUDA)
zinazotolewa na serikali maslahi kuhusu ardhi na P.O.BOX 133,
Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi nyumba LUDEWA.
(Kifungu cha 60 hadi 62 cha sheria ya ardhi ya Majukumu ya mabaraza na Kwa kufadhiliwa na The Foundation for Civil Society
(FCS)
vijiji Na .5 ya mwaka 1999 na sheria ya utatuzi Mahakama katika utatuzi wa
wa migogoro ya ardhi sheria Na.7 ya mwaka migogoro ya ardhi:
2002)  Usawa wa jinsia kwa
 Kuelewa muundo wa utatuzi wa wajumbe
migogoro ya ardhi katika Tanzania  Vikao halali katika kila
 Waelewe kuwa sheria Na.2 ya baraza na Mahakama za
mwaka 2002 imeipa mabaraza ya usuluhishi migogoro ya ardhi
kata uwezo wa kusikiliza mashauri  Jinsi ya kukata rufaa pale
ya ardhi ambapo mtu hakubaliani na
 Washiriki waelewe idadi ya uamuzi wa baraza au
wanawake katika kila chombo cha mahakama za kusuluhisha
utatuzi migogoro ya ardhi na
 Kuelewa jinsi ya kupeleka migogoro kiwango cha muda wa kukata
ya ardhi katika sehemu husika rufaa hiyo (yaani siku ngapi
 Kuelewa makosa mbalimbali na baada ya hukumu hiyo
adhabu zake kama ilivyojionyesha kutolewa)
katika sheria hii  Ni baraza lipi au mahakama
ipi sheria imeruhusu

You might also like