Welcome to Scribd, the world's digital library. Read, publish, and share books and documents. See more
Download
Standard view
Full view
of .
Save to My Library
Look up keyword
Like this
1Activity
0 of .
Results for:
No results containing your search query
P. 1
PM_Speech_AFINAL.pdf

PM_Speech_AFINAL.pdf

Ratings: (0)|Views: 59 |Likes:
Published by Envaya
http://envaya.org/NAB
http://envaya.org/NAB

More info:

Published by: Envaya on Mar 17, 2011
Copyright:Attribution Non-commercial

Availability:

Read on Scribd mobile: iPhone, iPad and Android.
download as PDF, TXT or read online from Scribd
See more
See less

10/15/2013

pdf

text

original

 
HOTUBA YA WAZIRI MKUU WAJAMHURI YA MUUNGANO WATANZANIA MHE. MIZENGO P. PINDAKATIKA MAADHIMISHO YA SIKUYA WAZEE DUNIANI, UWANJA WAJAMHURI, MOROGORO1 OKTOBA 2010
 
2
 
3
HOTUBA YA WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WATANZANIA MHE. MIZENGO P. PINDA KATIKA MAADHIMISHO YASIKU YA WAZEE DUNIANI, UWANJA WA JAMHURI, MOROGORO1 OKTOBA 2010
Mheshimiwa Naibu Waziri wa Kazi Ajira na Maendeleo ya Vijana, Mheshimiwa Katibu Mkuu TAMISEMI, Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa, Waheshimiwa Wakuu na Wakurugenzi wa Wilaya, Waheshimiwa vingozi wengine wa Serikali, Mheshimiwa Mkurugenzi Mkazi wa HelpAge International, Mweshimiwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Mashirika ya Wazee Waheshimiwa wazee toka mikoa mbalimbali Kamati ya maadalizi. Mabibi na mabwana
Naomba nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu aliyetuwezesha tukakutana hapaMorogoro katika maadhimisho haya ya siku ya Wazee duniani. Kwa wale ambao tumekiamiaka 60 tunakila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuishi mpaka dakikahii na kukia uzee wetu. Kwa dunia ya leo kukia umri wa uzee ni kazi kwelikweli, kunachangamoto nyingi hasa kutokana na matatizo mbalimbali yanayojitokeza dunianiyakiwepo maradhi. Hata kwa wale ambao hawajakia miaka 60 ni vizuri wote kutambuakwamba wote ni wazee watarajiwa tu.

You're Reading a Free Preview

Download
/*********** DO NOT ALTER ANYTHING BELOW THIS LINE ! ************/ var s_code=s.t();if(s_code)document.write(s_code)//-->