You are on page 1of 2

Uchumi unashangaza / Wengine wanayo wengine hawana / We mtajiri sikiliza mara moja / Usingekuwepo bila mama yako

Nani aliamua awe mama yako / Hiyo ndiyo uamuzi wa dunia / Kwahiyo lazima uyaheshimu / Pamoja na akina mama wote

Mikono juu / Jitolee na usaidie / Ombi kwa binadamu / Upendo usipotee

Heshima kwa wamama heshima kwa wababa / Heshimu kitu cha bure kila mtu anastaili / Ila dunia sasa imejaa kitendawili / Unyama ufedhuri sasa umeshika hataam

Viliyo vya kinamama imekuwa kama salaam / Jiulize ungekuwa nani kama asingekuwepo mzazi / Ubinadaamu kazi, dunia inapata radhi / Kila ninapopita matajiri hawana utu

Roho za umasikini zimetawaliwa na kutu /Wanataka maisha bora wavivu wakuthubutu / Waliyo kata tama sasa wana shika mtutu

Majani ananiambia twenzetu ado ado / Rusha mikono juu kama uko kamaligado / Espen obrigado

Kuna watu tofauti katika dunia yetu / Mmoja anajaribu kusaidia jamii / Wakati mwengine hatoi hata senti tano / Maendeleo hayana muelekeo

butuKama tama inadumu kwenye kichwa chako / Hautakuwa na umoja na dunia /

Binadamu baado wana lia / Umaskini unawabinia

Kwanini hautaki kuwasaidia / Kwenye kiburi hautatulia / Sababu ya kuletwa kwenye hii dunia / Baado haijafanyikiwa

Wewe ni maskini / Na hakuna mwengine

You might also like