You are on page 1of 7

Hawa ni Maria na Yusuf. Wanaenda Bethlehemu. Maria ni mjamzito.

Amechoka sana.

Ni usiku wa manane.

Maria na Yusuf wanafika Bethlehemu.

Wanatafuta mahali pa kupumzika.

Samahani, Hatuna chuma leo.

Yusuf, usibabaike, tumefika hoteli!

Habari Bwana! Kuna chumba cha kulala?

Aha! Tazama kuna chumba cha ngombe! Tupumzike hapa.

Yusuf, tafathali nimechoka sana.

Maria ninajua umechoka sana, lakini tutafanyeje?

Sawa, lala salama.

Asante Bwana. Tunashukuru.

Haya Maria, twende tukapumzike. Kwaheri Bwana!

Maria, mahali hapa ni pazuri. Lala salama.

Yusuf! Yusuf!Tazam a mtoto huyu.

Kweli Yusuf, anapendeza sana. Jina lake ni Yesu.

Aha! Tazama Maria, ni mtoto mzuri wa kiume!

Yesu ni jina mzuri sana.

You might also like