Welcome to Scribd, the world's digital library. Read, publish, and share books and documents. See more
Download
Standard view
Full view
of .
Look up keyword
Like this
3Activity
0 of .
Results for:
No results containing your search query
P. 1
Swahili translation of Divine Embrace

Swahili translation of Divine Embrace

Ratings: (0)|Views: 123|Likes:
Published by Francois du Toit
Translated by Zephania Mwalusambo
Translated by Zephania Mwalusambo

More info:

Published by: Francois du Toit on Nov 27, 2008
Copyright:Attribution Non-commercial

Availability:

Read on Scribd mobile: iPhone, iPad and Android.
download as DOC, PDF, TXT or read online from Scribd
See more
See less

05/09/2014

pdf

text

original

 
UTANGULIZI NA Kobus Grove
 “Maana wewe ndiwe uliyeniumba mtimawangu, uliniunga tumboni mwa mamayangu. Nitakushukuru kwa kuwanimeumbwa kwa jinsi ya ajabu yakutisha. Matendo yako ni ya ajabu, nanafsi yangu yajua sana; mifupa yanguhaikusitirika kwako, nilipoumbwa kwasiri, nilipoungwa kwa ustadi pande zachini za nchi.
Macho yako yalinionakabla sijakamilika; chuoni mwakoziliandikwa zote pia, siku zilizoamriwakabla hazijawa bado.
Mungu, fikira zakozina thamani nyingi kwangu; Jinsi ilivyokubwa jumla yake! Kamaningezihesabu ni nyingi kulikomchanga; Niamkapo nikali pamojanawe.” Zab. 139:13-18. REB.Nilipotambua jinsi nilivyo wa thamanikwa Mungu, na kwamba andiko la hapo juu lina ukweli, kila mtu alifanyika kuwa
 
wa thamani kwangu. Kwa hiyo, ombilangu ni kuwa unaposoma kitabu hiki,uweze kufikia kutambua kikamilifu jinsiulivyo wa thamani kwa Mungu, naufahamu kamili wa utambulisho wakowa kweli katika Yesu Kristo. Ninyi niwana na binti wa Mungu. Ulikufapamoja naye msalabani, na ulifufuliwapamoja naye kutoka kwa wafu. Kwa njiaya utii wa Kristo aliyeutoa mwili wakemara moja kwa ajili ya wote; hivi sasatumetangaziwa kuwa wenye haki kwaimani. Hatuna lawama na bila hatiambele ya macho yake, na tuko hurukufurahia bila kuingiliwa, uhusiano wandani pamoja na Mungu kwa maishayetu yote! Katika mapenzi hayotumepata utakaso, kwa kutolewa mwiliwa Yesu kristo mara moja tu.Ebr.10:10. Haoni haya kutuita sisi nduguzake, kwa kuwa,”Yeye atakasaye nahao wanaotakaswa wote pia watokakwa mmoja.” Ebr. 2:2. Ni kutoka kwakesisi tunapata asili yetu, kwa njia ya Yesu
2
 
Kristo ambaye Mungu alimtoa kuwahekima yetu, haki yetu, utakaso wetu naukombozi. 1Kor. 1:30. Tafsiri ya Knox. 
MFANO MTAKATIFU
Kiini kikuu na ufunuo wa Bibliaunafurahia uhusiano uliopo kati yaMungu na na mwanadamu ulio wa haliya juu, muunganiko wa uadilifu kabisa,usio na hali yoyote ya kutengana,kujiona duni, hatia, hukumu au shuku.Muda mtakatifu , wakati kwa mara yakwanza katika historia ya dunia,Muumba asiyeonekana aliakisi mfanowake na sura yake katika vyombodhaifu vya mwili, na kufanyika utukufuwa uwepo na kusudi lake duniani,ambalo lingetawala historia yamwanadamu na hatima yao. Mwanzo1:26,27,31. Ufunuo wa Injili unaonyesha jinsi Mungu alivyohifadhi chapa yakusudi la kuwepo kwetu katika Kristoijapokuwa mwanadamu aliangukakatika dhambi. Ushirika wetu wa milele
3

Activity (3)

You've already reviewed this. Edit your review.
1 thousand reads
1 hundred reads

You're Reading a Free Preview

Download
scribd
/*********** DO NOT ALTER ANYTHING BELOW THIS LINE ! ************/ var s_code=s.t();if(s_code)document.write(s_code)//-->