Welcome to Scribd, the world's digital library. Read, publish, and share books and documents. See more
Download
Standard view
Full view
of .
Look up keyword
Like this
2Activity
0 of .
Results for:
No results containing your search query
P. 1
Swahili Translation GOD BELIEVES in YOU[1]

Swahili Translation GOD BELIEVES in YOU[1]

Ratings: (0)|Views: 763|Likes:
Published by Francois du Toit
Discover yourself in the mirror of God's love
Discover yourself in the mirror of God's love

More info:

Published by: Francois du Toit on Nov 27, 2008
Copyright:Attribution Non-commercial

Availability:

Read on Scribd mobile: iPhone, iPad and Android.
download as DOC, PDF, TXT or read online from Scribd
See more
See less

05/09/2014

pdf

text

original

 
DIBAJI
Mara nyingine maisha huonekana kama sumaku yenye nguvu,ambayo humshurutisha mtu sawasawa na mfano wa kifaakinachofanya kazi kwa mbali. (remote control)Hata ikiwa Karma ana usemi wa mwisho, kwa nini hutokeakwamba watu wengine wana bahati kuliko wengine? Mawazoyetu, maneno, chaguzi, tabia na mienendo huendelea kugeuzana kutia nguvu mazingira, matukio na watu, ambayo matokeoyake hugusa na kutengeneza hatima yetu. Hata hivyo maranyingi hujikuta tumeingia katika machafuko, mahali ambapomaisha hayawi na maana tena.Je bado ‘kanisa la mapokeo’ lina sauti ya uhai katika jamii?Tofauti na hali ya wakati wa mageuzi katika siku za Luther,mimbari ambayo kanisa la kwanza lilikuwa nayo, hasa miongonimwa vijana, ilipoteza mvuto wake kwa watu. Malipo ya toharani(purgatory indulgences) yaani ‘tenda dhambi sasa, lipabaadaye;’ au kwa hakika ‘lipa sasa, tenda dhambi baadaye!’Zilinunuliwa kwa gharama yoyote, na sasa zinampa nafasibuibui yule yule kutengeneza utando mpya, yaani, Uzembe wakidini. Kusudi la uwongo huu wote ni kuendelea kumfuga mtukatika ujinga wa kutokujua utambulisho wake wa kweli.Ninaamini kuwa katika kufikia upeo wa mioyo yetu, sauti yaroho yetu huitikia ukweli. Tumeumbwa kupeleleza na kuvumbuaundani wetu, utajiri wa nuru, na maisha katika kufikia hali yetu.Hata hali ya kutokuwa na matumaini katika shida itatuhimizakuchimba chini zaidi ili kutafuta msingi wa Mwamba ndani yetu.Ninaomba kwamba maandiko haya yalete changamoto nakuamsha hali ya undani wako na imani yako kuondoa kilaalama ya kuwa mbadala, iliyotengenezwa na watu, mfanobinafsi pamoja na kichwa cha utukufu wa mng’ao wa dhahabuna sanamu yake ya fedha na mwili wa shaba. Jiwe dogolililochongwa bila kazi ya mkono limewekwa kipiga ile sanamuya ubatili wa uchaji wa Mungu juu ya nyayo zake za chuma na
 
udongo, na badala yake kuwa Jiwe lililoijaza dunia yote; sura yakweli na mfano wa Mungu, uliorejeshwa na kufunuliwa ndaniya mwanadamu. (Dan.2:32-35)
NYANGUMI NA MCHANGA WA SABI
Mimi na jamaa yangu tunaishi Hermanus, karibu na Cape Town.Kwa kweli huu ni mmoja wa miji mizuri sana ndani ya Afrika yakusini, na maarufu kwa maeneo ya kuwaangalia nyangumi.Shirika la Haki za Nyangumi hutembelea ufukwe wetu kilamwaka kati Juni na Desemba ili kushiriki na kutulia huko. Kwamiaka mingi Hermanus ulibaki kuwa mji wa uvuvi na kijiji chamapumziko. Lakini huwezi kumficha mnyama wa mita 14 natani 40 milele. Kwa kweli ni zaidi ya watu 200 huchezea,huvunja sheria, kufanya ujangili na kuitupa mikia kwa wingi!Tuliondoka hapa miaka saba iliyopita, baada ya mwaka washida ya uharibifu mkubwa. Katika mwaka wa 1996 shughulizetu, na ndoa yetu vilikuwa karibu na kuvunjika. Ilikuwa kamatumeanguka katika shimo refu. Si kwamba nilimpoteza babayangu tu, bali na mmoja wa rafiki zangu wapendwa alikufa kwaajali ya pikipiki. Kwa miaka mingi hakuna mtu wa karibualiyekuwa amefariki. Ghafula, katika miezi michache, watu sitatuliowafahamu walifariki katika ajali tano tofauti za ndege. Mimimwenyewe nilianguka na ndege yangu katika hifadhi zaMchanga wa Sabi, lakini nilitoka katika ajali bila mkwaruzo.Bado wanasema kuwa ardhi yoyote unayoweza kutoka kwakutembea (au kukimbia) ndiyo iliyo nzuri! Wakati wa mwaka ule,tulikuwa tumeanzisha uwekezaji wa ‘ajabu,’ ambao uligeuka nakuwa kama chungu cha mashauri. Zilihitajika Randi milioninyingi, na watu wengi waliumizwa vibaya!Lakini miaka minne kabla ya mambo haya, tuliishi kwa ndotoyetu. Nilifanya makubaliano na mmoja wa wamiliki wa shambala mifugo katika hifadhi binafsi ya Mchanga wa Sabi,lililopakana na hifadhi maarufu ya Kruger. Tulibuni, tulijenga nakusimamia nyumba ya wageni ya kijijini yenye vyumba vitano
2
 
ambavyo viliongezeka mara mbili. Kituo kilikuwa mashambani,na joto lenye tabia ya kubadilika-badilika. Wakati Lyidiaalifurahiwa sana na wageni kwa uwezo wake wa kupika kwamoto wa nje, mtoto wa ndugu yangu pamoja nami,tuliwachangamsha kwa mwendo mrefu katikati ya tembo nasimba. Wakati wa mwisho wa juma na siku kuu za shule, watotowetu wanne walijizoeza katika kazi ya kukaribisha watu.Shinga ulikuwa katika eneo zuri la Afrika safi. Kwa kweli huuulikuwa wakati wa ujuzi wa ajabu na utajiri wa kumbukumbunyingi. Tulikutana na watu wa ajabu na kushirikiana nao nyakatizisizoweza kusahaulika.Nilimshirikisha mwenzi wangu ambaye alimhimiza mmiliki washamba la mifugo kwa mambo ya kifedha. Ndipo tulifikiamakubaliano ya kuendelea kuipandisha hadhi, hatimaye ilikuwani hoteli kubwa katika Mchanga wa Sabi. Mipango yakuiendeleza hoteli mpya ilikamilika, na uandikishaji woteuliotangulia Shinga ulifutwa.Tukiwa katika mapumziko Rooi Els karibu na Hermanus, mweziDesemba ya 1996, tulipata habari ambazo zilitufunga; kamatiya Mchanga wa Sabi iliikataa mipango yetu yote ya kuwa nahoteli mpya. Tulijulishwa kwamba tusingeruhusiwa kufunguatena Shinga kwa kuwa wamiliki wa Mchanga wa Sabi waliamuakuzuia idadi ya vitanda katika shamba. Mpaka hapo tayarituligundua kuwa tulikuwa tumepoteza kila kitu kuhusu mamboya uwekezaji, kwa mbadiliko wa matukio yasiyotegemewa;tulilazimika kufanya ubunifu na maamuzi ya haraka.Wazazi wa mama yangu pamoja na wazazi wa baba yanguwaliishi Hermanus kwa miaka mingi. Tulitumia muda mwingi wamapumziko hapa. ‘Nyumba ya maonyesho ya sanaa ya DeWets-huis’ ilikuwa nyumba ya nyanya yangu. (Hakutakakwamba watoto wake wafundishwe na mwalimu wa kiingereza,kwa hiyo alimleta Hermanus Pieters kutoka Holland). Mpakamiaka ya 1890 aliendesha mashua sita kutoka bandari yazamani. Mvuto wa bahari na uwezekano kwa watoto wetu kuishimjini kwa mara ya kwanza katika maisha yao, pamoja na elimu
3

Activity (2)

You've already reviewed this. Edit your review.
1 thousand reads
1 hundred reads

You're Reading a Free Preview

Download
scribd
/*********** DO NOT ALTER ANYTHING BELOW THIS LINE ! ************/ var s_code=s.t();if(s_code)document.write(s_code)//-->