i
DIBAJI
Kitabu hiki kimeorodhesha wanafunzi wote wa kiumewaliochaguliwa kujiunga Kidato cha 5 na Vyuo vya Ufundimwaka
2012.
Wanafunzi
22,138
wamechaguliwa kujiungakatika machaguo
13
ya masomo mbalimbali ya Kidato cha 5na masomo
12
ya Vyuo vya UfundiJumla ya shule za serikali zilizopangiwa wanafunzi wa Kidatocha 5 mwaka
2012
ni
201
. Shule walizopangiwa wanafunziwavulanani
131
zikiwemo shule
97
za wavulanapekee na shule
34
zinazochukua wasichana na wavulana. Shule hizizimetawanyika katika mikoa yote ya Tanzania Bara kamainavyooneshwa katika jedwali lililoambatishwa.Wanafunzi wamepangwa kulingana na shule walizofanyiamitihani ya Kidato cha 4 mwaka
2011
. Majina ya shule hiziyamepangwa Ki-alfabeti kuanzia A mpaka Z. Katika kila shulewanafunzi waliopata nafasi ya kwenda Kidato cha 5 na Vyuovya Ufundi wameorodheshwa pamoja na shule/vyuowanavyokwenda na machaguo yao. Kwa sababu hiyo, kitabuhiki kinarahisisha kumtafuta mwanafunzi aliyechaguliwaKidatocha 5 na Vyuo vya Ufundi endapo utajua shule atokayomwanafunzi huyo. Aidha kwa kutumia kitabu hiki, idadi yawanafunzi kwa majina ya waliopangwa Kidato cha 5 na Vyuovya Ufundi kwa kila shule imeoneshwa.
C. Philemon
Kaimu Mkurugenzi wa Elimu yaSekondariMachi 2012