i
DIBAJI
Kitabu hiki kimeorodhesha wanafunzi wote wa kikewaliochaguliwa kujiunga Kidato cha 5 na Vyuo vya Ufundimwaka 2012. Wanafunzi
9,378
wamechaguliwa kujiunga katikamachaguo
13
ya masomo mbalimbali ya Kidato cha 5 namasomo
11
ya Vyuo vya UfundiJumla ya shule za serikali zilizopangiwa wanafunzi wa Kidatocha 5 mwaka
2012
ni
201
. Shule walizopangiwa wanafunziwasichana ni
95
zikiwemo shule
61
za wasichana pekee nashule
34
zinazochukua wasichana na wavulana. Shule hizizimetawanyika katika mikoa yote ya Tanzania Bara kamainavyooneshwa katika jedwali lililoambatishwa.Wanafunzi wamepangwa kulingana na shule walizofanyiamitihani ya Kidato cha 4 mwaka
2011
. Majina ya shule hiziyamepangwa Ki-alfabeti kuanzia A mpaka Z. Katika kila shulewanafunzi waliopata nafasi ya kwenda Kidato cha 5na Vyuovya Ufundi wameorodheshwa pamoja na shule/vyuowanavyokwenda na machaguo yao. Kwa sababu hiyo,kitabuhiki kinarahisisha kumtafuta mwanafunzi aliyechaguliwa Kidatocha 5 na Vyuo vya Ufundiendapo utajua shule atokayomwanafunzi huyo. Aidha kwa kutumia kitabu hiki, idadi yawanafunzi waliopangwa Kidato cha 5 na Vyuo vya Ufundi kwakila shule inaweza kupatikana.
C. Philemon
Kaimu Mkurugenzi wa Elimu ya SekondariMachi,2012