You are on page 1of 4

M O T O WA MA BA DI L I K O UM E ANZ A . . .

Cheche za Fikra
J U ZU U 5 TO LE O 20

DI SE M BA 3 0 , 2 0 0 8

KIJARIDA CHA BURE— UKISHASOMA MPE MWINGINE—USIBANIE!

BENKI M ICHUNGUZWE—2

NIMROD MKONO
FISADI MZALENDO?
Benjamin. G. Mwalukasa
Wakati Benki M inaan-
zishwa na hasa tetesi
za kuanzishwa kwake
zilipoiva maswali
mengi yalianza kuji-
Kijarida Ulichoshika
tokeza kuhusu uhu- • Kinatoka kila Ju-
siano wa Bw. Mkono na mmoja wa manne
watuhumiwa wa wizi wa fedha za
EPA Bw. Jeetu Patel ambaye tayari • Ni cha bure kabisa!
amefikishwa mahakamani. Katika
taarifa ya gazeti la The Citizen la • Kisichofungamana na
Machi 6, 2008 Bw. Mkono alinuku- chama chochote au
liwa kumkana Bw. Patel kuwa ha- fisadi yeyote!
jawahi kuwa na urafiki naye na
madai kwamba Bw. Patel ame- • Kiko huru, kinathu-
pitisha karibu Bilioni 8 kwenye butu, na hakiogopi
Mdau wa Benki M—Mhe. Nimrod E. Mkono
akaunti ya mtu au hoja yoyote.
CCM). Bw. Mkono ni Mkono.
Na. Fred Katunzi Kwa mtu • Ni kijarida chako!
Wakili ambaye ni Ndege wenye mbawa
Mshiriki Mkuu wa Kam- aliyesoma • Haki zote za kuchapa
Mmojawapo wa watu am- zinazofanana huruka habari
bao wanahusiana na Benki puni ya Mkono & Com- na kunakili zimeru-
pany Advocates am- pamoja hiyo
M na ambaye ameonekana anaweza
husiwa!
kuwa ni msemaji wake ni bayo imekuwa ikifanya
kazi zake kwa muda kuhisi
Mhe. Nimrod Elirehema kuwa Bw.
Mkono (Musoma Vijijini – mrefu nchini.
Mkono alikuwa hamjui au hana
Ndani ya Toleo Hili

HOJA YA MWANAKIJIJI — HERI YA MWAKA MPYA 2009 Bank M na Mkono –2 1, 2

Mwaka 2008 ndio huo una- Sisi “Cheche za Fikra” tunawa- jazo kupitia anuani zenu pepe. Hoja ya Mwanakijiji 1
toweka taratibu na pamona takia wasomaji wetu, na Wa-
nao ni matukio mbalimbali ya tanzania wote heri ya mwaka Baada ya wiki mbili (siandiki Bank M na Mkono—2 2
furaha na ya uchungu. mpya ambao utakuwa umejaa makala yoyote wiki ya kwanza
fanaka tele. ya mwaka) nina salamu za Hoja ya Nguvu 3
Unaondoka ukiwa umeacha mwaka mpya ambazo nitazitoa
historia katika Tanzania na se- Tunafanya mambo mawili kwenye gazeti mojawapo Maoni ya Da’ Jessica 3
hemu mbalimbali duniani lakini tunapoukaribisha mwaka kama makala kama nilivyo-
pia bado unamalizika kwa mpya. Wanachama wetu fanya mwaka uliopita. Zita- Maoni ya Mtandao 4
mambo yale yale ya zamani; mtapata barua ya taarifa ya kuwa ni salamu za kukumbuka
Vita Mashariki ya kati. mwaka mzima siku chache zi- kama zile za mwaka unaoisha! Picha na Katuni 4
PAGE 2 CHECHE ZA FIKRA

NIMROD MKONO NA BENKI M


uhusiano wa aina yoyote na Jeetu Patel. hayajapatiwa majibu ya kuridhisha. Katika siyo jambo la ajabu basi kuona Bw.
taarifa yake ya ukaguzi miaka miwili ili- Mkono akitumia fedha hizo kujenga
Cha kushangaza kwetu ni kuwa kama yopita Mkaguzi Mkuu anahoji inakuwaje mashule ya sekondari au kutoa mchango
hawa wawili hawakuwa na uhusiano kampuni ya Mkono ilipwe mabilioni ya wa mamilioni kwa chama chake!
wa karibu (unaweza ukaitwa urafiki au shilingi kwenye kesi ya Valambhia ambayo
ushirikiano) inakuwaje wawe pamoja Benki Kuu inadaiwa Shilingi kama bilioni Hata hivyo katika kuelewa nafasi yake na
(inaendlelea Uk.2) zisha Benki? Ni 60 hivi. Katika ripoti hiyo Mkaguzi Mkuu maswali au wingu la ufisadi linalomzun-
vigumu sana kwa mtu kuingia katika alidai kuwa Bw. Mkono amelipwa Shs. Bili- guka turejee katika ile taarifa muhimu
biashara ya fedha na mtu mwingine am- oni 7.1 zaidi ya kiwango kinachoruhusiwa iliyosomwa Mwembeyanga na tuhoji
baye moja humfahamu vizuri, lakipi pili kisheria. kama fedha ambazo zimetumika kuan-
huna uhusiano naye wa karibu wa ku- zisha Benki M kwa upande wake na wa
weza kuaminiana fedha. Utetezi wa Mkono kuhusu madai hayo wengine hazikutokana na vitendo vya
ulitolewa kwenye gazeti la Thehaya
Magazeti Citizen la ufisadi wa Benki Kuu ambako yeye ali-
Hitimisho letu hapo ni kuwa kukanusha April 16, 2008. Ni utetezi wa hadaa na kuwa Wakili wake? Hata leo hii tunapo-
kwa Mhe. Mkono mwezi ule wa tatu ili- ambao kimsingi unahitaji kuangaliwa
yanahaririwa na zungumza tunafahamu kampuni yake
kuwa ni kujaribu tu kuficha uso wake upya na kuona kile ambacho tunaamini nayo inaonekana katika masuala ya ATCL
ilhali akijua kuwa alichosema kilikuwa wahariri
msingi mbovu kabisa. wale
Utetezi wale
wake umeji- ambako inawakilisha maslahi ya kampuni
hakina msingi katika ukweli. kita kwenye “mkataba” kati yake nyingine inayoidai ATCL.
(kampuni) na Benki Kuu ya Tanzania.
Katika toleo la gazeti la This Day la Au- Katika utetezi wake huo Bw. Mkono Tunafahamu pia mchango wa Bw.
gusti 3, 2007 Bw. Mkono alinukuliwa anasema kuwa yeye alilipwa kwa “mujibu Mkono katika kesi ya DAWASA ambapo
kuzungumzia kwa mara ya kwanza juu wa Mkataba”. Kwa maneno mengine ni mlalamaki aliamua kutoendelea na kesi
ya Benki M. Mojawapo ya mambo aliy- kuwa licha ya ujuzi wake wa sheria na hiyo na hivyo kuipa DAWASA ushindi wa
oulizwa ni jinsi gani yeye kuwa katika kiapo chake cha Katiba hakuwa tayari chee. Hatuna uhakika ni kiasi gani Bw.
kundi moja na watu wanaohusishwa na kuangalia sheria inasema nini isipokuwa Mkono alilipwa kwenye kesi hiyo na hasa
vitendo vya kihalifu na ambao wengine mkataba unasema nini, mkataba ambao kiini cha mkataba wake nao; kama ni kile
wana rekodi ya uhalifu ambayo ina- yeye ana maslahi ya kwanza! kinachotakiwa kulipwa kisheria au kile
julikana wazi. Jibu lake linatushtua. Bw. alichoingia mkataba nao (kinachoweza
Mkono alijibu kuwa “Kama kuna watu Kwa maneno mengine, kama sheria kupita asilimia 13 kama kesi ya Valambhia
wenye rekodi za kihalifu, hilo siyo juu inasema kuwa kiwango cha kumlipa inavyoonesha).
yangu, kuna vyombo vya serikali vyenye Wakili nchini Tanzania kwenye madai
jukumu hilo”. Hii inashangaza sana kwa yanayozidi Shilingi milioni 10 ni asilimia Tunapofuatilia Bank M tunayaona majina
sababu kama Wakili yeye Mkono ni Afisa tatu yeye Mkono na kundi lake hawajali ya watu kama kina Jeetu Patel na Vimal
wa Mahakama na anaitwa na kiapo sheria hiyo hasa kama wana uwezo wa Mehta ambao historia yao ina ukungu wa
chake cha uwakili, na kiapo chake pia kuingia kipengele cha kulipwa zaidi ya uhalifu. Tunashtushwa zaidi na jinsi gani
kama Mbunge kuitetea na kuilinda asilimia 13! Je yawezekana Mkataba huo waliweza kupata leseni ya kufungua
Katiba yetu. Kujihusisha kwake na watu uliingiwa kwa makusudi hayo hasa (ya Benki hiyo Tanzania licha ya sheria yetu
wenye rekodi ya uhalifu ni kitu chenye kutengeneza zaidi ya asilimia 3)? ya Benki Kuu kuwa makini katika watu
picha mbaya kabisa na kama alijua lakini wenye historia ya uhalifu au watu ambao
hakujali basi alichofanya tunaweza Kivuli ambacho kinaonekana kutumiwa na wana udugu kuwa na hisa kwenye benki.
kukiita ni usaliti kwa taifa letu. wale waliochota fedha benki kuu ni kuzi-
zungusha fedha hizo kwenye miradi halali Kweli inawezekana wote hawa wanaun-
Cha kushangaza hata hivyo ni Mbunge na shughuli halali na hivyo kutengeneza ganishwa na uadilifu wao au kama
Mkono huyo huyo mwezi wa pili alipo- kile ambacho tunaweza kukiita kuwa ni msemo kwamba ndege wenye mbawa
hojiwa na gazeti la Habari Leo kuhusu “kuhalalisha” fedha za kifisadi. Kuna wale zinazofanana huruka pamoja?
kujiengua/kuenguliwa kwa Jeetu Patel watuhumiwa wa wizi wa EPA ambao wa-
Ile orodha maarufu ya mafisadi ili-
kutoka kwenye kampuni ya Benki M ali- mejenga majengo ya kukodisha, wengine
yotolewa na wapinzani pale Mwembey-
kuwa na haya ya kusema “Hilo jambo wameanzisha miradi inayotoa ajira
anga mwaka jana bado inabakia na
siyo siri tena kwamba siyo mkurugenzi mbalimbali na wengine wamekuwa waki-
taarifa muhimu kuhusu madai dhidi ya
wa benki yetu tena…Siyo mkurugenzi toa michango ya mamilioni ya shilingi kwa
Mhe. Nimrodi na uhusiano wake na Benki
tena…tumeona hatuwezi kuwa na mtu chama tawala au taasisi mbalimbali na
Kuu.
ambaye ana kashfa nyingi kiasi hicho” hivyo kuonekana ni “wakarimu”.
Tunaamini ipo haja ya lazima kabisa ya
Sasa kijarida chako kinajiuliza, kweli Hili si tofauti kwa Mhe. Mkono pia kwani
kuchunguza Benki M, kuanzishwa kwake
yawezekana kwa mtu msomi, mwenye licha ya ukweli kuwa analipwa fedha ny-
na uhusika wa wadau wake katika wizi
uzoefu kama wa kwake kujihusisha na ingi katika shughuli zake mbalimbali kama
wa mabilioni ya fedha Benki Kuu. Lakini
mtu mwenye sifa za Jeetu Patel na wen- yeye mwenyewe alivyowahi kushuhudia
zaidi ni kumtafuta kinara wa operesheni
zake pasipo kujua? huko nyuma, bado ukweli unabakia kuwa
“chotachota” iliyofanyika kati ya 2000na
fedha nyingi za Benki Kuu au zile ambazo
2005. Ni nani huyo? Subiri 2009!
Cha kushtua zaidi hata hivyo ni madai zimetokana na mikataba mibovu ya Taifa
mazito yaliyotolewa na ripoti ya Mkaguzi letu zimepitia kwake. Kama madai ya CAG
Mkuu wa Serikali ambayo hadi hivi sasa ni ya kweli (na hatuna shaka vinginevyo) KARIBU MWANAKIJIJI.COM
JUZUU 5, TOLEO 20 PAGE 3

HOJA YA NGUVU
TUTARAJIE NINI 2009
utawala wa sheria. Katika nchi ya kide- kudhibiti mauaji hayo.
Na. Benjamin Mwalukasa mokrasia ambayo tunajaribu kuijenga,
sheria ni lazima ifuatwe hata kama ni Tunafahamu siku hizi chache zilizopita
Tunapouangalia mwaka huu mpya tu- kwa machozi. Hiki ndicho kinachoitwa kampeni maalum imeanzishwa ikihusisha
nayo kila sababu ya kuamini kuwa yali- uimla wa sheria (the dictatorship of the watu wa Usalama wa Taifa kwa namna ya
yoko mbele yetu ni mema zaidi kuliko law). Watu lazima waheshimu sheria pekee. Tusubiri matokeo yake mapema
tuliyoyaacha nyuma yetu. Tunaamini siyo kama kwa hiari bali kwa lazima. Na mwaka mpya.
mwaka huu ujao utatulea neema na hili lazima lianze juu.
amani zaidi. Jingine tunalotarajia ni kuwa mazingira ya
Pili ni lazima tukomeshe mauaji yasiyo ya kuelekea uchaguzi wa 2010 yataboreshwa
Hata hivyo kama Taifa ni muhimu ku- lazima ambayo yanafanywa nje ya she- mwaka huu ikiwemo mabadiliko makubwa
weka matatarjio yetu katika mambo am- ria. Mauaji ya “vibaka” ambapo watu ya Katiba yetu ili kuifanya iende na wakati
bayo tuna nguvu na uwezo wa ku- wanaamini wao ndio washitaki, masha- na pia iwe kweli ni Katiba inayoakisi mata-
yatimiza. hidi, majaji na nyonganyonga lazima manio na maono ya wananchi wa Taifa
yakomeshwe. Watu wajifunze kukimbilia hili. Ndipo tutakuwa tayari kuingia 2010
Binafsi naamini kuna mambo kadhaa ulinzi wa sheria hata kama inakwenda mwaka wa uchaguzi!
ambayo tukiyatarajia na kuyafanyia kazi pole pole!
basi yatatimia. Yatatimia si kama matukio Matarajio haya ni lazima tuyafanyie kazi
ya nasibu bali kama mambo yaliyo- Pamoja na hilo mauaji ya ndugu zetu kuyatimiza. Tunaahidi sisi katika kijarida
fikiriwa, kupangwa, na kutekelezwa Albino ni lazima yakomeshwe. Ipo haja hiki ukipendacho tutafanya sehemu yetu,
kama kwa ufundi wa tabibu mpasuaji. ya kuandaa maandamano makubwa ya na wewe msomaji ukikisambaza hata kwa
mshikamano na ya kuitaka serikali kuchapa nakala moja tu, utakuwa un-
La kwanza ni kurudisha na kuutukuza kuelekeza nguvu na ujuzi wake katika afanya sehemu yako!

MAONI: JAMII YETU IBADILIKE KATIKA MALEZI


Jessica L. Fundi toto 19 kule Tabora wakati wa siku kuu ya maisha ya watoto wetu.
Id el Fitr. Katika matukio haya yote na-
Tunapoelekea mwaka jiuliza kama sisi wazazi tunatimiza wajibu Nilimuliiza binti yangu hivi karibuni kuwa
mpya wa 2009 Watanza- wetu hasa au tumezidiwa na maisha na
nia hatuna budi kujiuliza mahangaiko ya kila siku.
kama katika malezi ya wa-
toto wetu kwa mwaka Linapokuja kwa watoto wanaokaribia
huu wa 2008 tunaweza kuona fahari umri wa balehe, changamoto kubwa ili-
kuwa tumefanya vizuri au la. yopi ni jinsi gani tunawaandaa kukabiliana
na ulimwengu huu wa teknolojia mpya ya
Niliona picha kwenye bulogu moja am- mtandao.
bapo mama mzazi anamuangalia mtoto
wake wa kama miaka mitano au sita hivi Leo hii tunaona watoto wetu (hasa wa
akinywa bia aina ya safari. Alikuwa ana- kike) wakipiga picha za utupu na picha akiwa mtu mzima angependa awe nani,
muangalia kwa fahari na ikadaiwa kuwa hizo kuonekana kwenye mitandao jibu lake limenifanya nijiulize kama
mama huyo alikuwa anawaambia watu mbalimbali. Mabinti wengine wanaosoma mabinti zetu wanaona “umodo” kuwa
kuwa mtoto wake alikuwa na uwezo wa shule mbalimbali na hasa walio mbali na ndiyo kitu pekee cha kufanya au kupata
kunywa chupa mbili za bia na “bado uangalizi wa wazazi wao wanajikuta waki- umaarufu.
mkavu”. fanya mambo ambayo siku si nyingi yana-
tokea katika mtandao wa intaneti na kuwa Ninawasihi wazazi wenzangu kuanza
Kabla hilo halijatulia kukawa na habari ni aibu ya familia na hasa wazazi wen- kufikiria ni jinsi gani tunawalea watoto
mikoani ambapo kuna mtoto ameripo- yewe. wetu tunapoelekea katika katika ulim-
tiwa kufa kutokana na kunywesha wengu huu wa teknolojia ya mawasilino.
pombe aina ya gongo na mama yake Leo hii tunapata ugeni wa kila aina wa Heri ya Mwaka mpya!
mzazi. Hilo lilitokea huko Simanjiro am- wasanii mbalimbali wanaokuja kutum-
bapo mtoto wa darasa la kwanza ait- buiza nchini na watoto wetu wanataka
kwenda kwenye maonesho ya namna hii
Soma
waye Sifael Rafael (6) alikufa baada ya
kupewa kinywaji kikali cha gongo na na siyo tu yale ya wa wageni bali hata ya
mama yake aitwaye Fausta Hango. hawa watu maarufu wetu wa humu

Hilo nalo linanikumbusha vifo vya wa-


humu ndani. Katika mazingira yote hayo
ni watu wengine zaidi ndio wanagusa bure
MOTO WA MABADILIKO UMEANZA...
Picha ya Mwaka
KATUNI ZA WIKI

Mhe. Lowassa akiwasili Arusha baada ya kujiuzulu Uwa-


ziri Mkuu kufuatia kashfa ya kampuni ya Richmond.

JIUNGE NA WANAKIJIJI WENZAKO!

http://www.mwanakijiji.com

Jiandikishe kushiriki mijadala, kupata ha-


bari, kusikiliza muziki masaa 24 na matan-
gazo ya moja kwa moja kila mwishoni mwa
juma.
Ukizungumzia habari, unatuzungumzia sisi!

K ut oka kw enye m tand ao


Sioni kama ni vizuri kuishtaki ATCL doa kinga kwa sababu halihusiani kabisa
kwani hakuna maslahi kwa Taifa. Tu- na masuala ya kinga ya uraisi, aliyafanya Cheche za Fikra
kumbuke kwamba, ATCL ikishindwa maamuzi haka kama mtu binafsi, na ndio Mchapishaji na Mhariri Mtendaji
kesi na kupaswa kulipa fidia ni Serikali maana hata kwenye fomu akajaza kuwa
ndo italipa. Binafsi ningewaomba wala- yeye ni mjasiriamali—Mpita Njia M. M. Mwanakijiji
lamikaji wakubali kuridhika na maneno
ya kuomba msamaha yaliyotolewa na Sisi ndio tumeanzisha huu mjadala hakuna Timu ya Waandishi
Serikali.— Nziku wa kuufunga sio Makamba (Katibu Mkuu
wa CCM, Yusuf) wala Chiligati (Katibu wa
Benjamin Mwalukasa— Mhariri
Mbowe ambaye ni kijana mdogo sana NEC, Itikadi na Uenezi, John) na tutapiga
asiyekaribia hata kidogo kwa umri wa kelele hadi watuhumiwa wote waka- Freddy Katunzi—Habari za Siasa
baadhi ya watoto wa Rais Mwinyi, ali- matwe.— Dr. Wilbroad Slaa
paswa kuonyesha heshima na adabu Mahmoud Rashid—Habari mbalimbali
kwake kwa kuzingatia kwamba ni kama Mimi pia sina mengi ya kuandika mkuu!
baba yake—Tambwe Hizza Lakini niweke angalizo tu.Wakuu nyinyi Jessica L. Fundi – Makala
endeleeni na mchakato wa kumburuza
Mkapa asiondolewe kinga wala asishi- mkapa mahakamani na endeleeni kum-
Kwa kujiandikisha,
takiwe.Kinga iliyopo ni ya kikatiba kwa shawishi Kikwete ili abadili msimamo wake.
mambo ambayo rais atayafanya chini Lakini yote hayo yakikamilika basi mjiandae maoni, habari, na ushauri
ya mamlaka yake kama rais. nadhani na kusambaratika kwa taifa la Tanzania.–
walioiweka walitaka kumfanya rais Mtarajiwa Tuandikie: Mhariri@klhnews.com
asiwe na hofu wakati atakapokuwa
anafanya maamuzi ambayo karibu yote Tovuti: http://www.mwanakijiji.com
yana madhara kwa upande mmoja au
mwingine.
Lakini wapo wanaolijadili hili waki-base Kanusho: Mawazo yanayonukuliwa hay-
kwenye ushiriki wa Mkapa kwenye Ki- awakilishi msimamo au mawazo ya mchap-
wira. kwangu mimi hilo si suala la kuon- ishaji na utawala wa kijarida hiki.

You might also like