THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com press@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425

PRESIDENT’S OFFICE, THE STATE HOUSE, P.O. BOX 9120, DAR ES SALAAM.

Tanzania. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amefanya uteuzi wa Wenyeviti wapya wa Mamlamka ya Bandari Tanzania (TPA) na Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) . Katika uteuzi huo Rais Kikwete amemteua Prof. Joseph Prof.

Msambichaka kuwa Mwenyekiti wa TPA na kutengua uteuzi wa Bwana Raphael Mollel, ambaye alikua anashikilia wadhifa huo. Msambichaka ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mbeya. Rais Vilevile amemteua Bwana Severine M.A Kaombwe, kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya TRL. Bwana Kaombwe ni Mtaalam wa Usafirishaji (East Africa Corridor Diagnostic Study for Northern and Central Corridors). Kulingana na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Bw. Peniel Lyimo, uteuzi huu unaanza tarehe 16 Januari, 2013. Imetolewa na: Premi Kibanga, Mwandishi wa Habari wa Rais, Msaidizi, Ikulu Dar-Es-Salaam 18 Januari, 2013

Sign up to vote on this title
UsefulNot useful