MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA

TANGAZO KWA UMMA KITENGO CHA HUDUMA KWA WATEJA
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inapenda kuwatangazia Wateja na Watumiaji wote wa Bandari kwamba imeanzisha Kitengo Maalum cha Huduma kwa Wateja kitakachopokea malalamiko, kero, taarifa, maoni, ushauri juu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na Mamlaka. Kuanzishwa kwa Kitengo hiki ni moja kati ya Mikakati ya Mamlaka ya kuboresha huduma zake na kuondoa kero kwa Wateja na Watumiaji wa Bandari. Kwa huduma ya haraka tafadhali piga namba zifuatazo; 0754 0756 0788 0789 292998 849868 888801 334398

Namba hizi pia zinapatikana kwenye mtandao wa TPA www.tanzaniaports.com MENEJIMENTI

Sign up to vote on this title
UsefulNot useful