You are on page 1of 1

UBALOZI WA UINGEREZA & NETHERLANDS

MNADA WA HADHARA:
UNIVERSAL AUCTION CENTRE Kwa idhini waliyopewa na Ubalozi wa Uingereza & Netherlands watauza kwa mnada wa hadhara Fanicha za nyumbani / ofisi & Magari tarehe 2 March, 2013 Jumamosi saa 4.00 asubuhi. Mnada utafanyika Golden Resort Sinza, Lion Street.

MALI ZITAKAZOUZWA: Sofa sets, W all units, Chest drawers, Dining table/chairs,

Idadi Make Model Mw aka Ushuru 1 Mercedes Benz Saloon E220 Diesel 2007 Bado 1 Toyota L/Cruiser Prado 1KZ Diesel S/W agon 1994 Bado 1 Toyota Harrier MCU10 Diesel S/W agon 1998 Bado 1 L/Rover Discovery TDI 200 Diesel S/W agon 1999 Bado Mali zote zinaweza kukaguliwa Golden Resort Sinza,Lion Street tarehe 28 Feb. mpaka 1 March, 2013 kuanzia saa 4.00. asubuhi mpaka saa 10.00 jioni.

MAGARI YATAKAYOUZWA:

Book shelves, Meza za ofisi/viti, Carpets, Vitanda/Magodoro, Deep freezer, Fridges, Heavy duty Cookers na Oven, Washer/ Dryer m/c, Lawn mower, Safe, Computer set, Printer, Photocopy m/c, A/c split units Etc.

MASHARTI YA MNADA:

1. Mnunuzi wa fanicha atatakiwa kulipa malipo yote pale pale. Na mnunuzi wa gari atatakiwa kulipa 25% pale pale na salio lilipwe ndani ya siku 7 ukishindwa kulipa kwa muda huu gari litauzwa tena na dhamana haitarudishwa. 2. Mali zote zitauzwa kama zilivyo. 3. Mnunuzi atawajibika kulipa ushuru. 4. Mali yote iliyouzwa itatakiwa kuondolewa siku hiyo hiyo baada ya kulipia malipo yote pamoja na ushuru

UNIVERSAL AUCTION CENTRE NKRUMAH STREET MKABALA NA CO-CABS SIMU NA: 0754-284 926, 0767 284 926 Email : universalauction@hotamail.com DAR ES SALAAM.

Kwa maelezo zaidi waone: