TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Toleo la Leo

RATIBA YA FAINALI ZA MASHINDANO YA TAIIFA YA MCHEZO WA POOL NGAZI YA MIKOA KUANZA WIKI IJAYO AGOSTI 23,2013 “SAFARI LAGER NATIONAL POOL CHAMPIONSHIPS 2013”.

Chama cha Pool Taifa(TAPA) leo kimetangaza ratiba ya muendelezo wa mashindano ya mchezo wa Pool Taifa ngazi ya mikoa unaotarajiwa kuendelea Agosti 23,2013 katika mikoa iliyobaki yajulikanayo yajulikanayo kama “Safari Lager National Pool Championships 2013” yanafanyika kwa mwaka wa sita sasa, Safari Lager imekuwa wadhamini wakuu wa mashindano haya kwa miaka yotesita. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam Katibu wa Chama cha Pool Taifa, Amos Kafwinga alisema baada ya mapumziko ya mfungo wa Ramadhani sasa ratiba ya Fainali za mashindano ngazi ya mikoa tutaendelea na mkoa wa Dar es Salaam ambao unamikoa mitatu ya kimichezo ambapo 23 Agosti,2013 mikoa yote itaanza fainali zake na Agosti 25,2013 wataanza mkoa wa Temeke kumaliza wakifuatiwa na mkoa wa Ilala Agosti,311,2013 na mwisho watamalizia Mkoa wa Kinondoni Sepemba 01,2013. Katibu alisema fainali za mwaka zilianza juni 27,2013 kwa kushirikisha mikoa 17 na tayari baadhi mikoa imeshamaliza na kupata klabu itayowakilisha mkoa katika mashndano ya kitaifa Mkoani Morogoro Septemba 08,2013 kama linavyonyesha jedwali hapo chini;

MKOA

KLABU BINGWA

MKOA WA LINDI MKOA WA KAGERA MKOA WA TABORA MKOA WA MWANZA MKOA WA SHINYANGA MKOA WA MOROGORO MKOA WA ARUSHA MKOA WA KILIMANJARO MKOA WA TANGA MKOA WA MANYARA MKOA WA PWANI TEMEKE-DSM ILALA -DSM

KLABU YA BUS STAND KLABU YA BALELE KLABU YA LORIONDO KLABU YA PASEANSI KLABU YA KING PALACE KLABU YA ANATORY KLABU YA NGARENARO KLABU YA MBOSHO KLABU YA SPIDER KLABU YA SUPERSPORT KLABU YA YAKWETU BADO BADO BADO BADO BADO BADO

KINONDONI-DSM DODOMA IRINGA MBEYA

Nae Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania(TBL), Fimbo Butallah alisema wao wamejipanga vizuri hasa kwenye swala la zawadi kuanzia ngazi ya Mmkoa hadi Taifa wako vizuri. Alisema Butallah, “Nia hasa ya kudhamini mashindano haya ni kuibua vipaji kwa vijana na kuwasaidia kiuchumi hasa ukizingatia kwamba kwa sasa michezo ni ajira kama ajira nyinginezo. Mchezo wa pool huandamana pia naburudani waipatayo wachezaji kutokana na mchezo huo”. Bw. Butallah aliendelea kusema; “Ukiachilia mbali ongezeko la kipato na burudani, mchezo wa pool husaidia kuwakutanisha watu mbalimbali kufahamiana kibinafsi na kibiashara, hujenga afya bora na katika mazingira yetu ya sasa michezo inamsaidia mtu kutumia muda wake vizuri ili kuepuka mambo mengine yanayoweza kumsababishia matatizo kama vile kukaa vijiweni, ugomvi nk”. Safari Lager imekuwa wadhamini wa mchezo wa Pool toka mwaka 2008, imedhamini mashindano

ya ndani na ya nje ya nchi pia. Imedhamini timu ya Taifa ya mchezo wa Pool kushiriki mashindano ya dunia ya mchezo wa Pool nchini Ufaransa mwezi wa kumi mwaka 2010 ambapo timu yetu ilifanya vizuri. Aidha Butallah alikumbushia zawadi kwa washindi ukianzia ngazi ya Mkoa hadi Taifa kama ifuatavyo;

ZAWADI -2013
ZAWADI NGAZI YA MIKOA ZAWADI KWA TIMU Bingwa Mshindi wa pili Mshindi wa tatu Mshindi wa nne 4 Losses on QFinals KIASI ZAWADI KWA MMOJA MMOJA 700,000.00 350,000.00 200,000.00 100,000.00 50,000.00 Bingwa Mshindi wa pili Mshindi wa tatu Mshindi wa nne 4 Losses on best 8 for men and ladies 8 Losses on best 16 for men KIASI (WANAUME) 350,000.00 200,000.00 150,000.00 100,000.00 50,000.00 KIASI (WANAWAKE) 250,000.00 ZA 150,000.00 100,000.00 50,000.00 20,000.00 WA DI NG AZI YA FAI NAL I 20,000.00 TAI FA KIASI (WANAUME) 500,000.00 250,000.00 200,000.00 150,000.00 100,000.00 KIASI (WANAWAKE) 350,000.00 200,000.00 150,000.00 100,000.00 50,000.00

ZAWADI KWA TIMU Bingwa Mshindi wa pili Mshindi wa tatu Mshindi wa nne 4 Losses on 8 Regional’s kila mmoja atapata

KIASI

ZAWADI KWA MMOJA MMOJA

5,000,000.00 2,500,000.00 1,250,000.00 750,000.00 350,000.00

Bingwa Mshindi wa pili Mshindi wa tatu Mshindi wa nne 4 Losses on best 8 for men and ladies

8 Losses on 16 Team’s kila mmoja atapata

150,000.00

8 Losses on best 16 for men and best 14 for ladies

50,000.00

30,000.00

ZAWADI NYINGINE KWA NGAZI YA TAIFAMWANZA

WASHINDI WA TIMU ZA MIKOA MSHINDI
Winners Runner Up No. 3 No. 4

KIKOMBE
1 -

MEDALI
DHAHABU10 FEDHA 10 SHABA 10 -

SINGLES- WANAUME NA WANAWAKE MSHINDI
Winners Runner Up No. 3 No. 4

KIKOMBE
1 -

MEDALI
DHAHABU 1 FEDHA 1 SHABA 1 -

MCHEZAJI BORA WA MASHINDANO KUTOKEA NGAZI YA MIKOA HADI TAIFA KWA WANAUME MSHINDI
Winners

NGAO
1

MEDALI
DHAHABU 1

-

MWISHO –

Kwa Maelezo zaidi wasiliana na; Oscar Shelukindo, Safari Lager Brand Manager, simu; +255 767 266 833, (Oscar.Shelukindo@tz.sabmiller.com). Kuhusu TBL; Tanzania Breweries Limited (TBL) inatengeneza, kuuzanakusambazabia, vinywajivyenyeladhayamatundavilivyonakilevinavinywajivisivyonakilevihapa Tanzania. TBL piandiyokampuni mama ya Tanzania Distilleries Limitedpamojanakampunishirikiya Mountainside Farms Limited. Biazinazotengenezwanakampuniya TBL nipamojana Safari Lager, Kilimanjaro Premium Lager, Ndovu Special Malt, Castle Lager, Vinywajivinginevinavyotengenezwanakundi la makampuniya TBL niKonyagi Gin, Amarula Cream, Redd’s Premium Cold na Grand Malt. Kundi la makampuniya TBL limeorodheshwakwenyeSoko la Hisa la Dar es Salaam, limeajiriwatuwapatao 1,300 nalinawakilishwanchinzimanaviwandavinnevyabia, kiwandakimoja cha kutoneshea, kimoja cha kutengenezeakimeapamojanaboharinanezakusambaziabia. Kuhusu SABMiller; SABMiller plcmojakatiyamakampunimakubwayabiadunianiikiwanamikatabayakutengenezanakusambazabiakwenyenchizaidiy a 60 katikamabaramatano. Biazakenipamojanazilezakimataifakama Miller Genuine Draft, PeroniNastroAzzurrona Pilsner Urquellvilevilenabianyinginezinazoongozakwenyemasokoyandaniyanchimbalimbali. NjeyaMarekani, SABMiller nimojayakatiyamakampunimakubwayanayotengenezavinywajivya Coca-Cola duniani. Hivikaribuni SABMiller plcilinunuakampuniyabiaya Foster’s pamojanashughulizakezauzalishajinchini India. SABMiller imeorodheshwakwenyemasokoyahisaya London na Johannesburg.

Sign up to vote on this title
UsefulNot useful