You are on page 1of 1

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI JESHI LA POLISI TANZANIA

Anuani ya Simu MKUUPOLISI Simu : !""# "$$!%&' (a) *a+ !""# "$&,,,Unapo/i0u tafa12ali ta/a: Ofisi ya Inspekta Jenerali wa Polisi, Makao Makuu ya Polisi, S+L+P+ .$'$, 3A4 5S SALAAM+

20 Novemba, 2013.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Katika siku za hivi karibuni, imebainika kuwa, baadhi ya watu waliomilikishwa silaha kihalali wamekuwa wakitumia silaha hizo kinyume na malengo mazuri ya umilikishwaji. Baadhi yao wamekuwa wakitoa vitisho kwa wanan hi kwa kutumia silaha hizo bila sababu za msingi wawa!o katika maeneo mbalimbali, kama vile kwenye mabaa, kumbi za starehe na hata kuli!izana visasi, jambo ambalo ni kinyume ha sheria na malengo ya umilikishwaji. Ku"uatia hali hiyo, #eshi la $olisi n hini linatoa onyo kali kwa wote wenye tabia hiyo kua ha mara moja na badala yake wanatakiwa kuzingatia sheria na masharti waliyo!ewa wakati wa umilikishwaji. %idha, #eshi la $olisi linaanza o!eresheni kali ya kuwabaini wote wanao"anya vitendo hivyo, ikiwa ni !amoja na kuwanyang&anya silaha hizo wale watakaobainika kwenda kinyume ha sheria na matumizi ya silaha zao. #eshi la $olisi linatoa wito kwa wanan hi wote wazalendo na wenye ma!enzi mema na n hi yetu, kutoa taari"a zitakazosaidia kuwabaini watu hao wanaojihusisha na vitendo hivyo ili waweze kukamatwa na ku"ikishwa kwenye vyombo vya sheria ku!itia namba ya simu 0'()'*(((', namba za simu za makamanda wa mikoa au kwenye kituo ho hote ha $olisi. +metolewa na,%dvera .enso - ..$ /semaji wa #eshi la $olisi.