You are on page 1of 12

MAHARAGE YA KUKAANGA (KITAFUNWA)

KISHUMBA

Kitafunwa hiki hutumiwa na chai, soda au maji ya matunda (juice).

Mlo huu ni mchanganyiko wa ndizi mbichi (mshare mgumu) na maharage yasiorojeka

Mahitaji:
1. Kilo moja ya maharage 2. Mafuta ya kupikia 3. Chumvi.

Hutumiwa asubuhi kwa chai na hutumika kama keki kwenye baadhi ya sherehe

Mlo wakati wa kazi shambani.

Utayarishaji:

Chagua na osha maharage vizuri Weka chumvi na chemsha hadi yaive ila yasirojeke Acha maji yakauke kabisa Chemsha mafuta, tumbukiza maharage yakaangike Ondoa kwenye mafuta Andaa.

Mahitaji:
1. 2. 3. 4. 5. Ndizi kichane kimoja Vikombe viwili vya maharage Magadi Chumvi Robo kikombe cha mafuta ya kupikia.
2

25

Utayarishaji:

Utayarishaji

Chagua na osha maharage vizuri Pika hadi yaive ila yasirojeke Menya ndizi na katakata vipande vidogo na uoshe Changanya ndizi na maharage yaliyoiva Weka nyanya, vitunguu, karoti, chumvi na binzari Weka maji kiasi na ufunike Ongeza maji kidogo kuhakikisha ndizi zimeiva Weka tui la nazi, punguza moto na chemsha kwa dakika kumi

Chagua na osha maharage vizuri Pika maharage na weka chumvi mpaka yaive na yasirojeke Menya ndizi, kata vipande vidogo vyembamba na uzioshe Weka maharage kwenye sufuria Weka ndizi Weka magadi, chumvi na maji kiasi kinachotosha na funika Acha ndizi ziive na kuwa laini Weka mafuta Punguza moto wakati unasonga ndizi ili zisongeke vizuri Kata kishumba vipande vidogo vidogo Andaa.

Andaa.

24

MACHALARI YA MAHARAGE

MAKANDE

Mlo huu ni mchanganyiko wa mahindi na maharage. Mlo huu ni mchanganyiko wa maharage makubwa na ndizi mbichi (mshare laini). Maharage hutumika badala ya nyama.

Mahitaji:
1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9. 10. Vikombe viwili vya mahindi yaliyokobolewa Kikombe kimoja cha maharage makubwa Vitunguu maji viwili Nyanya mbili Robo kikombe cha mafuta ya kupikia Nazi kubwa moja Pipilipi hoho mbili Binzari kijiko cha chai kimoja Chumvi Pilipili kali moja.
4

Mahitaji:
1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. Ndizi kichane kimoja Vikombe viwili vya maharage Karoti mbili Vitunguu maji viwili Nyanya mbili Nazi kubwa moja Chumvi.

23

Utayarishaji:

Utayarishaji:

Chagua na osha mahindi na maharage vizuri Weka chumvi kiasi kwenye mchanganyiko huu, pika hadi uive ila usirojeke Chemsha mafuta na kaanga vitunguu mpaka viwe na rangi ya kahawia Ongeza nyanya, pilipili hoho, binzari, karoti na pilipili kali iliyotwangwa. Pika mpaka viive Changanya vizuri mchanganyiko wa mahindi, maharage na viungo Weka tui la nazi Weka chumvi kiasi Punguza moto, pika kwa dakika tano mpaka kumi Andaa.

Chagua na osha maharage vizuri Pika maharage hadi yaive ila yasirojeke Menya viazi, katakata vipande vidogo na uweke kwenye sufuria

Ongeza maharage, vitunguu, nyanya, karoti, binzari na chumvi

Ongeza maji kiasi cha kutosha kuivisha Acha mchanganyiko uiive vizuri Weka tui la nazi Punguza moto na pika kwa dakika kumi Andaa.

22

VIAZI VITAMU NA MAHARAGE

MAHARAGE YA KUMENYA

Mlo huu ni mchanganyiko wa viazi vitamu na maharage makubwa. Mchanganyiko huu ni mzuri hasa kwa mtu aliyeshinda njaa, wazee, wagonjwa na watoto kwa vile ni laini kulika.

Mboga hii ni nzuri sana, hasa kwa wale watu wenye matatizo ya tumbo. Huliwa na chakula chochote cha wanga. Mahitaji: 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9. Vikombe viwili vya maharage Vitunguu maji viwili Nyanya mbili Robo kikombe cha mafuta ya kupikia Binzari kijiko kimoja cha chai Pilipili hoho mbili Karoti kubwa mbili Nazi kubwa moja Chumvi.
6

Mahitaji:
1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8.
21

Vikombe viwili vya maharage Viazi vitamu vikubwa vitano Nazi kubwa moja Binzari kijiko cha chai kimoja Nyanya mbili Vitunguu maji viwili Karoti mbili Chumvi.

Utayarishaji:

Utayarishaji:

Chagua na osha maharage vizuri Loweka maharage kwenye maji ya uvuguvugu nusu saa

Chagua na osha maharage vizuri Chemsha hadi yaive Katakata vitunguu, nyanya, pilipili hoho na karoti

Menya

maharage,

pika

hadi

yaive

ila

yasirojeke

Chemsha mafuta na kaanga vituguu mpaka viwe na rangi khawia

Chemsha mafuta na kaanga vitunguu mpaka viwe na rangi ya kahawia

Weka nyanya, pilipili hoho, karoti na binzari Pika mpaka viive

Ongeza nyanya, karoti, pilipili hoho na binzari Pika mpaka viive


Changanya maharage na viungo Weka tui la nazi na chumvi kiasi Punguza moto na acha ichemke kwa dakika tano mpaka kumi

Changanya maharage, viungo na chumvi kiasi Ongeza tui la nazi Punguza moto na pika kwa dakika tano mpaka kumi

Andaa na chakula chochote cha wanga.

Andaa.

20

MAHARAGE YA NAZI

MBOGA YA MAJANI YA MAHARAGE

Mboga hii ni nzuri sana ikitumiwa na vyakula vya wanga badala ya nyama.

Mboga hii hutumika na vyakula vya wanga ni tamu na ina vitamin A, C na madini mengine muhimu kwa mfano madini ya chuma.

Mahitaji:
1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. Vikombe viwili vya maharage Nazi kubwa moja Vitunguu maji viwili Pilipili hoho mbili Robo kikombe cha mafuta ya kupikia Nyanya mbili Binzari kijiko kimoja cha chai Chumvi.

Mahitaji:
1. 2. 3. 4. 5. 6. Fungu mbili za majani Robo kikombe cha mafuta ya kupikia Chumvi Vitunguu maji viwili Karoti mbili Majani yawe machanga na laini.

19

Utayarishaji:

Utayarishaji:

Chuma majani ya maharage Osha na ukate ndogo ndogo Katakata vitunguu na karoti Chemsha mafuta na kaanga vitunguu, karoti na mboga

Chagua na osha maharage vizuri Chemsha maharage hadi yaive na yasirojeke Menya ndizi, kata vipande vyembamba na uzioshe Weka maharage, ndizi, magadi na maji kiasi cha kutosha kwenye sufuria na funika Acha ndizi ziive na ziwe laini Weka mafuta na punguza moto Songa ndizi mpaka zisongeke vizuri Ongeza maji yaliyochemka kufanya chakula kiwe laini Weka chumvi kiasi ili chakula kiwe na ladha Chemsha kwa moto mdogo kwa dakika tano Andaa.

Ongeza chumvi kiasi na ufunike Ongeza maji kidogo na kisha uchemshe kwa muda mfupi

Andaa.

18

KIBURU

SAMBUSA ZA MAHARAGE

Sambusa ya maharage ni tamu na ina protini ya Mlo huu ni mchanganyiko wa mshare mgumu na maharage yasiorojeka. Chakula hiki ni kizuri kwa makundi yote ya watu hasa wazee, wagonjwa na watoto kwa vile ni laini kulika. kutosha.

Mahitaji: A. Vitu vya kuweka ndani:


1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. Nusu kilo ya maharage yaliyoiva Vitunguu viwili vilivyokatwakatwa Robo kilo za karoti zilizokatwakatwa Vijiko viwili vya chakula - majani ya giligilani Vijiko viwili vya chai - viungo mchanganyiko Pilipili kali moja Binzari Chumvi.
10

Mahitaji:
1. 2. 3. 4. 5. Ndizi kichane kimoja Vikombe viwili vya maharage Magadi Chumvi Robo kikombe cha mafuta ya kupikia.

17

Utayarishaji:

Chemsha mafuta vijiko viwili vya chakula Kaanga vitunguu viwili Weka viungo Koroga, ongeza maharage, pilipili kali na binzari Pika kwa dakika ishirini Ondoa jikoni ili vipoe.

Funga sehemu moja juu ya jingine na sukuma Rudia mara tatu mpaka siagi ichanganyike Acha donge kwa dakika mbili ili siagi iyeyuke Sukuma umbo la mstatili lenye unene unaotaka.

B: Mahitaji ya vitu vya kuweka ndani:


1. 2. 3. 4. 5. 6. Vikombe viwili vya maharage yaliyoiva Vijiko viwili vikubwa vya unga wa ngano Mayai mawili Binzari Chumvi Kijiko kimoja cha chai - viungo mchanganyiko. Changanya maharage, viungo, chumvi na unga Sukuma donge liwe refu (pembe nne), unene nusu sentimita Weka mchanganyiko ndani, kunja ibane na funga upande mwingine kwa kutumia gundi Pakaa mafuta kwenye chombo cha kuokea Pasua yai na ulikoroge Kata ukubwa unaotaka, weka kwenye chombo cha kuokea na pakaa yai tayari kwa kuoka Acha iwe kahawia Andaa.
16

B: Gundi ya kuunganisha:
Hii hutengenezwa na maji baridi na unga wa ngano, uzito wake uweze kuunganisha pande mbili. C: Kutengeneza donge la unga wa ngano:

Utayarishaji:

Mahitaji:
1. 2. 3. 4. 5. Nusu kilo ya unga wa ngano Vijiko viwili vya chai - mafuta ya kupikia Nusu kijiko cha chai - maji ya limao Chumvi na maji baridi Changanya upate donge gumu.

11

MAANDAZI YA MAHARAGE (Bean Rolls)

Utayarishaji:

Gawanya Sukuma mduara

donge vidonge na

kubwa

kwenye

vidonge viwe ili

vidogo vidogo

vitatu mpaka sita mafuta kidogo

pakaa

visishikamane

Sukuma vyote kwa pamoja mpaka viwe na unene wa nusu sentimeta Usipake mafuta na pika kwa dakika chache Ondoa vipoe Kata sehemu nne zilizolingana Kunja pembe mbili kwa gundi na kufanya mfuko wa pembe tatu Jaza mfuko kwa maharage yaliyoungwa Kunja sehemu iliyobaki na ufunge kwa gundi Chemsha mafuta na tumbukiza sambusa hadi ziwe kahawia Andaa.

Maandazi haya ni mazuri na ni rahisi kutengeneza.

Mahitaji: A: Donge la unga wa ngano:


1. 2. 3. 4. Vikombe viwili vya unga wa ngano Vijiko vitano vya chakula vya siagi Vijiko sita vya chakula - maji baridi Chumvi.

Utayarishaji:

Chekecha unga na chumvi kiasi Changanya kijiko kimoja na nusu - siagi Tumia maji kutengeneza donge la unga Sukuma donge liwe na pembe nne Gawanya donge sehemu tatu Pakaa siagi sehemu mbili.

15

12

UJI WA MAHARAGE

Utayarishaji wa uji: Mahitaji:


1. 2. 3. 4. Vikombe sita vya maji Kikombe kimoja cha unga Vijiko vinne vya chakula - sukari Vijiko viwili vya chakula - mafuta ya kupikia

Uji huu ni muhimu kwa watoto, wazee na wagonjwa ambao wanahitaji protini ya kutosha kwa ajili ya kujenga miili yao.

Jinsi ya kupika:
1. 2. 3. 4. 5. 6. Weka maji kwenye sufuria Ongeza unga na koroga usiwe na mabonge Acha uchemke kwa nusu saa Ongeza sukari Punguza moto na chemsha kwa dakika tano Andaa.

Mahitaji:
1. 2. 3. 4. 5. 6. Kilo moja ya maharage Kilo mbili za mahindi yaliyokobolewa Kilo mbili za ulezi Kilo moja ya dagaa Sukari Mafuta ya kupikia.

Jinsi ya kutengeneza unga:


Chagua na osha maharage, ulezi na dagaa Loweka maharage kwenye maji ya uvuguvugu kwa nusu saa halafu menya Kausha maharage, ulezi na dagaa juani vikauke Saga mchanganyiko upate unga.
14

13